Monday, 16 January 2017

Re: [wanabidii] MABADILIKO HAYAEPUKIKI: Nakubaliana na Lowasa kwa asilimia zote:

Kuna wakati nikimsikiliza Rais magufuli naona yapo anayosema kama Rais na mengine kama Magufuli. Kuna text ikitoka nasema hii katunga Mganda. Yapo mengine ya kiMagufuyli tunahitaji kumvumilia maana ndiiye tuliyempa urais. Sikuwahi kusikia habari za majango yote ninyi lakini ningesikia ningemlaumu na kumsamehe na kuendelea kumuunga mkono kwa sababu bahati nzuri nimeielewa vision yake.
Kama kwa maneno magumu akibadilisha mindset za kupewa na kuwaza kujitegemea nitaacha kuona mabaya yake
--------------------------------------------
On Mon, 1/16/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MABADILIKO HAYAEPUKIKI: Nakubaliana na Lowasa kwa asilimia zote:
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, January 16, 2017, 9:37 PM

OK,polepole ninaanza kuelewa unachojaribu kusema.
Lakini hii ya kuwaambia watu kuwa serikali haina shamba si
dalili za mabadiliko mema.Hii ya kuwaambia wahanga kuwa
mbona ninyi ndio mnapata kila balaa, kuanzia ukimwi,
tetemeko, katerero na ngono si dalili za mabadiliko
mema.Kuwahimiza watu kufanya kazi ni jambo jema
lakini ajira lazima ziwepo, na kazi ya serikali ni
kuhakikisha kuwa ajira zipo. Sidhani kuwa
Watanzaniawalitegemea kupewa bure enzi za
Kikwete, Mkapa, Mwinyi na Nyerere, ila walitegemea kupata
matibabu stahiki, elimu stahiki na maendeleo stahiki, vyote
hivi vinachangiwa na serikali yetutukufu. Halafu
tunashuhudia ni mtu mmoja tu anayejiona ndiye mwenye majibu
kwa matatizo yetu, hili nalo ni hatari kwa demokrasia yetu
changa. Ndio maana sikuelewa ulikuwa
unajaribukusema nini. Hayo ya katiba ngoja kwa
sasa niyaweke kiporo.em
2017-01-16 12:48 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Pole
sana.

Huenda ni kwa sababu siyo uliyotaka.

Mabadiliko haya yanatokea katika mawazo ya watu. Walitegemea
kupewa sasa wanalazimika kutafuta.

Wakishaona kutafuta ndio msingi wa maisha wataanza kutafuta
viongozi watakaotetea misingi ya uchumi na maisha yao badala
ya kushabikia wachaguliwa.

Mwisho watadai katiba. katiba itakayokuwa inatetea maslahi
yao sio ya vyama vya siasa.

Hapo wachaguliwa watalazimika kuwajibika kwa wachauaji
badala ya kuwajibika kwa rushwa waliyoitoa. Mfano: kama
mbunge hatatetea maslahi ya wakulima waliomchagua wataweza
kumtimua. Katiba itakayodaiwa kwa msingi huo ni ya swatu
kuliko inayopigiwa chapuo na vyama vya siasa.

Ndiyo mabadiliko ninayoyaona

------------------------------ --------------

On Mon, 1/16/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:



 Subject: Re: [wanabidii] MABADILIKO HAYAEPUKIKI:
Nakubaliana na Lowasa kwa asilimia zote:

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Monday, January 16, 2017, 3:06 AM



 Sijaelewa

 mabadiliko unayoyazungumzia.em

 2017-01-15 12:09 GMT-05:00

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Zaidi ya

 mara nyingi vyombo vya habari vimemkariri mwanasiasa
mwenye

 historia ya kipekee hapa Tanzania, Ndugu Edward Lowasa
kuwa

 'Mabadiliko Tanzania hayaepukiki'.



 Ninaanza kumuelewa Lowasa na maana yake anaposema na

 kulirudia neno hili. Ameona bila shaka kuwa wapo
mahafidhina

 ndani ya jamii yetu ambao wanashindwa kwenda na
mabadiliko.

 Yeye kama mwanasiasa mwenye ushawishi hana budi
kuwaandaa

 wale mahafidhina kuhakikisha hawabaki nyuma ya
mabadiliko

 ambayo hayana budi kutokea.



 Mabadiliko yenyewe anayoyapigia chapuo Lowasa, yameanza

 kitambo na zaidi kipindi cha uchaguzi. (Na kama siyo

 anayoyaongelea basi ana matatizo makubwa). Kuna watu

 walikuwa wanaamini kuwa lazima rais wa Tanzania atoke
CCM.

 Tena kuna walioamini kuwa Rais wa Tanzania lazima atokane
na

 Mtandao. Siasa zilizotangulia uchaguzi zilibadilisha
hilo.

 Watu walichoshwa na ufisadi, rushwa, ukosefu wa
uwajibikaji,

 na kadhalika. Kelele zilizopigwa zilionyesha kuwa kwa
sasa

 sio lazima Rais atoke CCM au mtandaoni. Tayari watu

 walishaonja machungu. Walitaka mtu atakayeyashughulikia
hayo

 yanayowaudhi au kuwasumbua. Wakaangalia sera za chama
na

 watu wanaozitangaza sera hizo.







 Baada ya uteuzi wa wagombea urais kuna watu
(wahafidhina)

 walitaka kuchanganyikiwa. Hawakuamini kuwa nchi inaweza

 kupata rais kutoka nje ya CCM na nje ya mtandao. Kumbe
CCM

 yenyewe ilikuwaa imeliona mapema kuwa si kila
atakayeteuliwa

 na CCM lazima achagulike. Ikahakikisha inamteua mtu
ambaye

 hatapita kwa sababu katoka CCM, bali kwa sifa zake za

 kiutendaji. Kumbe walisoma alama za nyakati na
wakapatia.



 Wakati wa siasa ya ujamaa na kujitegemea; ujamaa
ulikazaniwa

 na kujitegemea kukasahaulika na kwa kweli kukafutika.

 Kujitegemea kulifutika miongoni mwa jamii na viongozi
wao

 pia. Watu na viongozi wakazoea misaada. Kila kitu watu

 wakategemea serikali ifanye. Serikali ikatarajia kila
kitu

 kutegemea wafadhili. Nakumbuka kumsikia jamaa yangu
mmoja

 akilalamikia bei ya madawa. Anasema kupiga picha
(X-Rays)

 shilingi 30,000/= hospitalini ni nyingi. Nikamuuliza
mboja

 juzi ulibadilisha injini ya gari lako kwa hela nyingi
na

 sasa unalalamikia bei ya kurekebisha afya yako
mwenyewe?







 Watu wakazoea. Ukame kidogo ukitokea wanasubiri chakula
cha

 serikali. Huo ni ukame wa msimu mmoja. Kwa watendaji wa

 serikali hiyo ikawa neema maana sehemu kubwa
watachukua.

 Watu wakilima mazao wanasubiri serikali iwatafutie,
masoko

 na kwa kweli wako tayari kulaumu kwa nini serikali

 haijawaletea bei nzuri. Kukuta mtu amelima ekari kumi
za

 mahindi na kuvuna gunia hamsini na anachekelea likawa
ni

 jambo la kawaida. Hana haja ya kuhakikisha anapata
mazao

 mengi katika eneo dogo. Serikali ipo. Nakumbuka wakati
wa

 awamu ya kwanza uliwahi kutokea ukame. Watu
wakalazimika

 kusaidiwa chakula. Ukiondoa wazee wasio na waangalizi,
watu

 walipewa mbegu ya mihogo na mazao mengine
yanayostahimili

 ukame kama msaada. Ilipolazimika kuwapa chakula
utaratibu

 ulikuwa "Food for Work". Unafanya kazi ya kulima
shamba

 lako mwenyewe na kupewa chakula.



 Tunamkumbuka aliyeilalamikia serikali kwa sababu ngombe
wake

 wamekufa kwa maelfu. Hakuchukua hatua alipoona
ng'ombe

 wanakonda, wanashindwa kutembea mpaka kufikia hatua ya
kufa

 mmoja, mamia mpaka maelfu anasubiri tu kwa sababu
anajua

 kuna msemaji wa upinzani ataitukana serikali apige
makofi

 basi. Katika mabadiliko yasiyoepikika ikitokea atauza
mifugo

 mingine ili kupata mal;isho ya michache inayosalia.



 Watu wakasahau na sababu ya uchaguzi. Wakawa na tabia
ya

 kuchagua mtu kwa sababu anatoka chama fulani bila
kupima

 uwezo mgombea huyo; uelewa wake katika matatizo

 yanayowakabili au hata tabia yake katika maswala

 anayoyazungumzia katika jukwaa la siasa. Mtu anatoka Dar
Es

 Salaam na kuja kuwanunulia pombe kesho wanampa ubunge.

 Hawajiulizi atawasaidiaje kwenye bei ya kahawa au pamba
yao

 au mifugo. Havijui na hawajui kuwa wanayemchagua lazima
awe

 anavijua na awe mshirika kwa maana mkulima wa zao

 wanalolitegemea.







 Mabadiliko yakaanza. Baadhi ya walioamini rais lazima

 atokane na mtandao kwa kuona CCM imemteua mtu asiye na

 mtandao wakahama ili kuhakikisha mtandao unajitokeza na

 kutoa rais. Nakumbuka kusoma mahala mtanzania mmoja
akisema

 Sangara hawezi kuishi akishatoka majini na kuonja hewa.

 Mwisho wa uchaguzi taifa lilimpata rais ambaye hakuwa

 mwanantandao na hata kama alitoka CCM lakini
hakuchaguliwa

 na watanzania kwa sababu hiyo bali kwa jinsi
walivyompima

 yeye binafsi. Mabadiliko ya kwanza.







 Rais akaingia madarakani. Akaanza kutumbua. Wauza unga

 (madawa ya kulevya) waliokuwa wanafanya kwa uhuru sasa

 wanajificha. Wamo lupango na wengine wamekimbia. Watu

 waliozoea kutegemea rushwa sasa wana tahadhali kubwa.
Bado

 wapo na wanaiomba. Lakini si kwa uhuru. Waliozoea kuweka
cha

 juu na kufanya kwa uzembe wakashughulikiwa. Lakini
angalau

 serikalini kuna nidhamu hata kama ni ya woga, huo woga

 utaisha nidhamu itakuwa tabia. Mabadiliko hayo.







 Mabadiliko mengine ndiyo haya tunayoanza kuyashuhudia.



 Rais alipotangaza kuwa Mkoa utakaokumbwa na njaa mkuu
wa

 mkoa huo hana kazi watu walishangilia. Hawakujua kuwa
maana

 yake ni wao watakaowajibika kuhakikisha mkoa hauna njaa,
na

 si mkuu wa mkoa.







 Watu wachache walimuelewa rais aliposema Misaada
iliyotolewa

 kufuatiwa tetemeko la Kagera itatumika kutengeneza
miundo

 mbinu kama shule na vituo vya afya. Kuna waliojipanga

 kuifaidi wakati wa usambazaji hata kama hawakuathirika.
Sasa

 wengi wameishajiweka sawa na wamejenga nyumba
wanazoweza.

 Kumbe inawezekana?! Shule ambazo wananchi lazima

 watazifaidi; zimejengwa. Najua kuna wajinga wachache
bado

 hawajaona na wanaweza kutarajia iwe hoja katika chaguzi

 zijazo



 Watu wachache wanamuelewa rais anaposema limeni muuze
kwa

 uhuru bila vikwazo. Mabadiliko hayo.







 Si mbali sana watanzania wataanza kuwahoji wabunge na

 madiwani kuhusiana na barabara ili mazao yao yapite
salama.

 Si mbali sana mkulima atagoma kuuza mpunga kwa sababu

 anaweza kuuza mchele. Si mbali sana hatutaona mahindi

 mijini. Utafika unga na mahindi yaliyokobolewa. Hapo
hakuna

 atakayekuwa anauliza viwanda maana vitakuwa vinaonekana.
Na

 huo ndio msingi wa viwanda vya kati na vikubwa.
Waliochukua

 mbegu za mawese yetu walianzia huko.



 Fikra za watu sasa zitakuwa kujitegemea badala ya
kutegemea

 kupewa. Usishangae baada ya myaka kumi Magufuli; kama

 alivyosema Obama; akajitokeza kuwashukuru watanzania
kwa

 kusimamia mabadiliko yao.



 Ninaamini Lowasa anaposema mabadiliko anamaanisha hayo.
Kama

 hamaanishi hayo basi ajiandae kulalamika 2020.



 Elisa Muhingo



 0787 187 507







  --







  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







   







  Kujiondoa Tuma Email kwenda







  wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya



  kudhibitisha ukishatuma







   







  Disclaimer:







  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility



  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence



  statements and facts must be presented responsibly.

 Your



  continued membership signifies that you agree to this



  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.







  ---







  You received this message because you are subscribed
to

 the



  Google Groups "Wanabidii" group.







  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails



  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.







  For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout.











 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha

 ukishatuma







 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout.













 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment