Najibu moja kwa sasa. Haiwezekani Rais akaacha kuwa Magufuli ili awe rais. La sivyo tungeendelea na rais mmoja. Sasa hivi wamarekani wanateswa na trump licha ya kuwa ataapa kuwa rais. Kama hawatamuua watamvumilia mpaka mwisho, Kwa hiyo huwezi kuacha kuuona uthaidu binafsi wa Magufuli
--------------------------------------------
On Tue, 1/17/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MABADILIKO HAYAEPUKIKI: Nakubaliana na Lowasa kwa asilimia zote:
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, January 17, 2017, 1:15 AM
Elisa,Rais ni full time job. 24/7
A;lipokula kiapo cha urais alikubali kuacha Umagufuli nje
ya urais. Kila anachosema Magufuli anakisema kama
rais.Hata pale kwa msiba wa Masaburi aliyoyasema
kuhusu wake na watoto wa marehemu yalitoka kinywani mwa
rais. Kwa hiyo kuna kila sababu washauri
wakewamweleweshe kuwa kila anachotamka
kinaonekana kwa macho ya umma kuwa ndio msimamo wa
rais.Nimemuunga mkono kwenye utumbuaji wa mafisadi.
Nimemuungamkono katika juhudi za kufufua Air
Tanzania. Lakini nabaki mdomo wazi anapokwenda Kagera na
kuwaambia Wahaya kuwa wamezidi kwa majanga. Nabaki mdomo
wazianapoanza kuzungumza Kisukuma huko Bariadi
huku akujua hotuba yake inasikilizwa na Watanzania wote.
Wanyakyusa watamwelewaje? Nabaki mdomo wazi
anapowaambiawatu kuwa yeye si mpishi wa chakula.
Hapo kwa maoni yangu anachafua vision yake hata kama alikuwa
na nia njema. Nimebaki mdomo wazi kwa jinsi
anavyopambanana wapinzani kana kwamba upinzani ni
tatizo la kutumbuliwa Tanzania. Hapo nimebaki kando ya njia.
Siwezi kuendelea kumshabikia mtu anayejiona ana jibu kwa
kila kitu.Demokrasia ni ushirikisho.
Unawashirikisha unaokubaliana nao na wale wanaokukosoa.
Huwezi kujenga demokrasia peke yako. Mwambieni
hilo.em
2017-01-16 14:13 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kuna
wakati nikimsikiliza Rais magufuli naona yapo anayosema kama
Rais na mengine kama Magufuli. Kuna text ikitoka nasema hii
katunga Mganda. Yapo mengine ya kiMagufuyli tunahitaji
kumvumilia maana ndiiye tuliyempa urais. Sikuwahi kusikia
habari za majango yote ninyi lakini ningesikia ningemlaumu
na kumsamehe na kuendelea kumuunga mkono kwa sababu bahati
nzuri nimeielewa vision yake.
Kama kwa maneno magumu akibadilisha mindset za kupewa na
kuwaza kujitegemea nitaacha kuona mabaya yake
------------------------------
--------------
On Mon, 1/16/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MABADILIKO HAYAEPUKIKI:
Nakubaliana na Lowasa kwa asilimia zote:
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, January 16, 2017, 9:37 PM
OK,polepole ninaanza kuelewa unachojaribu kusema.
Lakini hii ya kuwaambia watu kuwa serikali haina shamba
si
dalili za mabadiliko mema.Hii ya kuwaambia wahanga
kuwa
mbona ninyi ndio mnapata kila
balaa, kuanzia ukimwi,
tetemeko, katerero na ngono si dalili za mabadiliko
mema.Kuwahimiza watu kufanya kazi ni jambo jema
lakini ajira lazima ziwepo, na
kazi ya serikali ni
kuhakikisha kuwa ajira zipo. Sidhani kuwa
Watanzaniawalitegemea kupewa bure enzi za
Kikwete, Mkapa, Mwinyi na
Nyerere, ila walitegemea kupata
matibabu stahiki, elimu stahiki na maendeleo stahiki,
vyote
hivi vinachangiwa na serikali yetutukufu. Halafu
tunashuhudia ni mtu mmoja tu
anayejiona ndiye mwenye majibu
kwa matatizo yetu, hili nalo ni hatari kwa demokrasia
yetu
changa. Ndio maana sikuelewa ulikuwa
unajaribukusema nini. Hayo ya katiba ngoja kwa
sasa niyaweke kiporo.em
2017-01-16 12:48 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Pole
sana.
Huenda ni kwa sababu siyo uliyotaka.
Mabadiliko haya yanatokea katika mawazo ya watu.
Walitegemea
kupewa sasa wanalazimika kutafuta.
Wakishaona kutafuta ndio msingi wa maisha wataanza
kutafuta
viongozi watakaotetea misingi ya uchumi na maisha yao
badala
ya kushabikia wachaguliwa.
Mwisho watadai katiba. katiba itakayokuwa inatetea
maslahi
yao sio ya vyama vya siasa.
Hapo wachaguliwa watalazimika kuwajibika kwa wachauaji
badala ya kuwajibika kwa rushwa waliyoitoa. Mfano: kama
mbunge hatatetea maslahi ya wakulima waliomchagua
wataweza
kumtimua. Katiba itakayodaiwa kwa msingi huo ni ya
swatu
kuliko inayopigiwa chapuo na vyama vya siasa.
Ndiyo mabadiliko ninayoyaona
------------------------------ --------------
On Mon, 1/16/17, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MABADILIKO HAYAEPUKIKI:
Nakubaliana na Lowasa kwa asilimia zote:
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, January 16, 2017, 3:06 AM
Sijaelewa
mabadiliko unayoyazungumzia.em
2017-01-15 12:09 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Zaidi ya
mara nyingi vyombo vya habari vimemkariri mwanasiasa
mwenye
historia ya kipekee hapa Tanzania, Ndugu Edward
Lowasa
kuwa
'Mabadiliko Tanzania hayaepukiki'.
Ninaanza kumuelewa Lowasa na maana yake anaposema na
kulirudia neno hili. Ameona bila shaka kuwa wapo
mahafidhina
ndani ya jamii yetu ambao wanashindwa kwenda na
mabadiliko.
Yeye kama mwanasiasa mwenye ushawishi hana budi
kuwaandaa
wale mahafidhina kuhakikisha hawabaki nyuma ya
mabadiliko
ambayo hayana budi kutokea.
Mabadiliko yenyewe anayoyapigia chapuo Lowasa,
yameanza
kitambo na zaidi kipindi cha uchaguzi. (Na kama siyo
anayoyaongelea basi ana matatizo makubwa). Kuna watu
walikuwa wanaamini kuwa lazima rais wa Tanzania atoke
CCM.
Tena kuna walioamini kuwa Rais wa Tanzania lazima
atokane
na
Mtandao. Siasa zilizotangulia uchaguzi zilibadilisha
hilo.
Watu walichoshwa na ufisadi, rushwa, ukosefu wa
uwajibikaji,
na kadhalika. Kelele zilizopigwa zilionyesha kuwa kwa
sasa
sio lazima Rais atoke CCM au mtandaoni. Tayari watu
walishaonja machungu. Walitaka mtu
atakayeyashughulikia
hayo
yanayowaudhi au kuwasumbua. Wakaangalia sera za chama
na
watu wanaozitangaza sera hizo.
Baada ya uteuzi wa wagombea urais kuna watu
(wahafidhina)
walitaka kuchanganyikiwa. Hawakuamini kuwa nchi
inaweza
kupata rais kutoka nje ya CCM na nje ya mtandao.
Kumbe
CCM
yenyewe ilikuwaa imeliona mapema kuwa si kila
atakayeteuliwa
na CCM lazima achagulike. Ikahakikisha inamteua mtu
ambaye
hatapita kwa sababu katoka CCM, bali kwa sifa zake za
kiutendaji. Kumbe walisoma alama za nyakati na
wakapatia.
Wakati wa siasa ya ujamaa na kujitegemea; ujamaa
ulikazaniwa
na kujitegemea kukasahaulika na kwa kweli kukafutika.
Kujitegemea kulifutika miongoni mwa jamii na viongozi
wao
pia. Watu na viongozi wakazoea misaada. Kila kitu
watu
wakategemea serikali ifanye. Serikali ikatarajia kila
kitu
kutegemea wafadhili. Nakumbuka kumsikia jamaa yangu
mmoja
akilalamikia bei ya madawa. Anasema kupiga picha
(X-Rays)
shilingi 30,000/= hospitalini ni nyingi. Nikamuuliza
mboja
juzi ulibadilisha injini ya gari lako kwa hela nyingi
na
sasa unalalamikia bei ya kurekebisha afya yako
mwenyewe?
Watu wakazoea. Ukame kidogo ukitokea wanasubiri
chakula
cha
serikali. Huo ni ukame wa msimu mmoja. Kwa watendaji
wa
serikali hiyo ikawa neema maana sehemu kubwa
watachukua.
Watu wakilima mazao wanasubiri serikali iwatafutie,
masoko
na kwa kweli wako tayari kulaumu kwa nini serikali
haijawaletea bei nzuri. Kukuta mtu amelima ekari kumi
za
mahindi na kuvuna gunia hamsini na anachekelea likawa
ni
jambo la kawaida. Hana haja ya kuhakikisha anapata
mazao
mengi katika eneo dogo. Serikali ipo. Nakumbuka
wakati
wa
awamu ya kwanza uliwahi kutokea ukame. Watu
wakalazimika
kusaidiwa chakula. Ukiondoa wazee wasio na
waangalizi,
watu
walipewa mbegu ya mihogo na mazao mengine
yanayostahimili
ukame kama msaada. Ilipolazimika kuwapa chakula
utaratibu
ulikuwa "Food for Work". Unafanya kazi ya kulima
shamba
lako mwenyewe na kupewa chakula.
Tunamkumbuka aliyeilalamikia serikali kwa sababu
ngombe
wake
wamekufa kwa maelfu. Hakuchukua hatua alipoona
ng'ombe
wanakonda, wanashindwa kutembea mpaka kufikia hatua
ya
kufa
mmoja, mamia mpaka maelfu anasubiri tu kwa sababu
anajua
kuna msemaji wa upinzani ataitukana serikali apige
makofi
basi. Katika mabadiliko yasiyoepikika ikitokea atauza
mifugo
mingine ili kupata mal;isho ya michache inayosalia.
Watu wakasahau na sababu ya uchaguzi. Wakawa na tabia
ya
kuchagua mtu kwa sababu anatoka chama fulani bila
kupima
uwezo mgombea huyo; uelewa wake katika matatizo
yanayowakabili au hata tabia yake katika maswala
anayoyazungumzia katika jukwaa la siasa. Mtu anatoka
Dar
Es
Salaam na kuja kuwanunulia pombe kesho wanampa
ubunge.
Hawajiulizi atawasaidiaje kwenye bei ya kahawa au
pamba
yao
au mifugo. Havijui na hawajui kuwa wanayemchagua
lazima
awe
anavijua na awe mshirika kwa maana mkulima wa zao
wanalolitegemea.
Mabadiliko yakaanza. Baadhi ya walioamini rais lazima
atokane na mtandao kwa kuona CCM imemteua mtu asiye
na
mtandao wakahama ili kuhakikisha mtandao unajitokeza
na
kutoa rais. Nakumbuka kusoma mahala mtanzania mmoja
akisema
Sangara hawezi kuishi akishatoka majini na kuonja
hewa.
Mwisho wa uchaguzi taifa lilimpata rais ambaye hakuwa
mwanantandao na hata kama alitoka CCM lakini
hakuchaguliwa
na watanzania kwa sababu hiyo bali kwa jinsi
walivyompima
yeye binafsi. Mabadiliko ya kwanza.
Rais akaingia madarakani. Akaanza kutumbua. Wauza
unga
(madawa ya kulevya) waliokuwa wanafanya kwa uhuru
sasa
wanajificha. Wamo lupango na wengine wamekimbia. Watu
waliozoea kutegemea rushwa sasa wana tahadhali kubwa.
Bado
wapo na wanaiomba. Lakini si kwa uhuru. Waliozoea
kuweka
cha
juu na kufanya kwa uzembe wakashughulikiwa. Lakini
angalau
serikalini kuna nidhamu hata kama ni ya woga, huo
woga
utaisha nidhamu itakuwa tabia. Mabadiliko hayo.
Mabadiliko mengine ndiyo haya tunayoanza
kuyashuhudia.
Rais alipotangaza kuwa Mkoa utakaokumbwa na njaa mkuu
wa
mkoa huo hana kazi watu walishangilia. Hawakujua kuwa
maana
yake ni wao watakaowajibika kuhakikisha mkoa hauna
njaa,
na
si mkuu wa mkoa.
Watu wachache walimuelewa rais aliposema Misaada
iliyotolewa
kufuatiwa tetemeko la Kagera itatumika kutengeneza
miundo
mbinu kama shule na vituo vya afya. Kuna waliojipanga
kuifaidi wakati wa usambazaji hata kama
hawakuathirika.
Sasa
wengi wameishajiweka sawa na wamejenga nyumba
wanazoweza.
Kumbe inawezekana?! Shule ambazo wananchi lazima
watazifaidi; zimejengwa. Najua kuna wajinga wachache
bado
hawajaona na wanaweza kutarajia iwe hoja katika
chaguzi
zijazo
Watu wachache wanamuelewa rais anaposema limeni muuze
kwa
uhuru bila vikwazo. Mabadiliko hayo.
Si mbali sana watanzania wataanza kuwahoji wabunge na
madiwani kuhusiana na barabara ili mazao yao yapite
salama.
Si mbali sana mkulima atagoma kuuza mpunga kwa sababu
anaweza kuuza mchele. Si mbali sana hatutaona mahindi
mijini. Utafika unga na mahindi yaliyokobolewa. Hapo
hakuna
atakayekuwa anauliza viwanda maana vitakuwa
vinaonekana.
Na
huo ndio msingi wa viwanda vya kati na vikubwa.
Waliochukua
mbegu za mawese yetu walianzia huko.
Fikra za watu sasa zitakuwa kujitegemea badala ya
kutegemea
kupewa. Usishangae baada ya myaka kumi Magufuli; kama
alivyosema Obama; akajitokeza kuwashukuru watanzania
kwa
kusimamia mabadiliko yao.
Ninaamini Lowasa anaposema mabadiliko anamaanisha
hayo.
Kama
hamaanishi hayo basi ajiandae kulalamika 2020.
Elisa Muhingo
0787 187 507
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed

for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to

googlegroups.com Utapata Email ya

googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment