Bwana Mjengwa,
Uozo uliokuwepo nchi hii si kwa watendaji wa serikali tu!
Hata wale wabunge wa kamati za kudumu walikuwa ni wanufaika wa uozo wa watendaji.
Kule bahasha zilikuwa zinatembezwa sana. Hawa wanasiasa waangalieni kwa macho ya ziada.
Baada ya majipu ya watendaji tutamuomba JPM apeleke mikasi hiyo kwa wanasiasa hasa wabunge. Wanafahamika na tunajua walivyokuwa wananufaika na mbinu walizokuwa wanatumia kuficha identity zao.
HAPA KAZI TU.
........../Jumanne
From: "Maggid Mjengwa mjengwamaggid@gmail.com [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
To: mabadilikotanzania <mabadilikotanzania@googlegroups.com>; Wanazuoni@yahoogroups.com; wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, 7 December 2015, 21:52
Subject: [Wanazuoni] Kamati Za Bunge Nazo Zilishindwaje Kubaini Madudu Haya?
Ndugu zangu,
Ninapozidi kusikia uoza wa bandari na reli, na huko kwengine najiuliza;
Hivi zile Kamati Za Bunge nazo zilikuwa zianafanya ' Ziara Hewa' kukagua utendaji wa mamlaka hizo. Kwamba zilishindwaje kubaini madudu haya yanayobainishwa sasa? Nini hasa kazi za Kamati za Bunge?
Maggid,
Iringa.
Hivi zile Kamati Za Bunge nazo zilikuwa zianafanya ' Ziara Hewa' kukagua utendaji wa mamlaka hizo. Kwamba zilishindwaje kubaini madudu haya yanayobainishwa sasa? Nini hasa kazi za Kamati za Bunge?
Maggid,
Iringa.
__._,_.___
Posted by: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
| Reply via web post | • | Reply to sender | • | Reply to group | • | Start a New Topic | • | Messages in this topic (1) |
.
__,_._,___
0 comments:
Post a Comment