--- On Thu, 24/12/15, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
> From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
> Subject: Re: [Wanazuoni] Habari Kubwa 3 Kwa Leo Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Mjengwablog.com [1 Attachment]
> To: Wanazuoni@yahoogroups.com
> Date: Thursday, 24 December, 2015, 8:36
>
>
> Kwa uzoefu wangu ninachangia na kusema:
>
> (i) Sio maduka yote ya dawa ni ya wizi au kuhujumu huduma ya
> afya au au dawa zinaibwa. Daktari kufungua duka la dawa au
> huduma ya kiafya mfano ya maabara na vipimo vingine si wizi
> bali yeye-anafahamu mapungufu ya huduma ya serikali, anaweka
> huduma yake kupata kipato na kutoa huduma ambayo serikali
> haitoi kwa kutoshereza. Mfano wanaandika maombi yao sekta ya
> afya kwa yanapitishwa kiwilaya, kimkoa na kamati husika,
> kufika wizara husika na kuingia katika bajeti. Bunge
> linaweza kupitisha bajeti lakini allocation ya hela ikawa
> maneno tu pesa zikachelewa, kutolewa pungufu au kuhamishiwa
> kwenda Idara, wizara nyingine kugharimia mengine. Hapo
> taasisi ya afya husika-hospital, health centre, dispensary,
> referral hospital ikakosa pesa au vifaa husika. Daktari
> anafahamu prevalence na incidences ya magonjwa mbali mbali
> na mapungufu hayo akatoa huduma hizo hospitali yake binafsi
> au yake ya team yake. Akawatumia madatari, watu wa Xray etc
> wa hospitari za GVT kutoa huduma baada ya masaa yao ya kazi.
> Kama seremala na injinia za GVT Institution anavyokuwa na
> karakana yake au na private drilling Rig naye daktari wa
> medicine ni hivyo pia au Lecturer wa taasisi/chuo cha
> serikali kwenda kufundisha private university kwa muda wake
> kuboresha kipato lakini anasaidia kutoa wataalamu. Utakuwa
> Catchment population ya Health Centre fulani ni kaya 4 elfu
> na watu jumla ni 24,000 lakini kati ya hawa ni 10%
> walionunua Kadi ya Afya. Wana uwezoi wa kununua kadi kwa
> 10,000/= kwa kutibiwa watu 6 kwa mwaka na mwanafunzi kadi
> shuleni 2,000/= kwa mwaka na ana Health Card inayojazwa
> anahama nayo shule matatizo yake ya afya yanaandikwa humo na
> dawa za minyoo alizopewa katika mfumo wa school health
> program. Baba na mama au walezi wanalewa. Ukijumlisha pombe,
> sigara/tumbaku, kula mama ntilie kijijini/mjini ni hela
> nyingi kwa mwezi na mwaka. Lakini kadi ya elfu kumi-No
> anataka huduma bure ambapo sasa ni paying for health
> services and polluter pay principle internationally. Hakuna
> tena huduma za bure za USAID, Danida, SIDA, UK GVT. Changia,
> lipa kodi upate huduma. Ukifunga maduka ya dawa na ya huduma
> nyingine nje ya zahanati-utaua wengi. Muhimu ni kuhakikisha
> MSD inaweka maduka hayo na hata huduma za private za vipimo
> kuokoa pale penye hitaji endapo bajeti na utawala wa health
> system unayumba. Kuwepo kwa magulio, barabara na
> malori/mabasi kunaongeza mzigo wa wageni kufika huduma za
> afya na kuhitaji matibabu. Mzigo huu unabebwa na private
> zahanati, maabada na maduka ya dawa binafsi mradi tu wasiibe
> za hospitali. Zinazokosekama ktk kisanduku cha MSD-doctor
> anajua kipindi hiki ni ungezeko la maradhi gani ambayo dawa
> zake haziji au huja kidogo wageni huyaleta-anaweka dawa hizo
> ktk duka lake la dawa na kuwaambia waende huko.
>
> (ii) Ilionekana jinsi gani mashine ya kupima magonjwa
> muhimbili ilivyokuwa moja haitoshi na mara ilipokarabatika
> ikawa overloaded ikaharibika tena. Kwani miaka yote
> hawakujua kama ilikuwa moja na haitoshi. Budi Doctor ampe
> mtu referral aende private hospital akapime huko na
> hospitali nyingine binafsi hazitaki kadi za afya kutokana na
> milolongo mikubwa ya kupata malipo. Miaka yote hiyo lazima
> utakuta katika taarifa za GVT hospital na muhimbili listi ya
> Changamoto zao walizonazo na bajeti zao-Serikali ilizifanyia
> kazi. Hata Ocean Road watakuwa na list ya changamoto na
> bajeti na maombi ambayo hayajakidhiwa hadi leo. Mgongano wa
> Maslahi ukiutafsiri vibaya inaweza ikawa kiongozi ni mkali
> sana wengine hawana mwanya wa kuzembea kutaka wafanyavyo.
> Mtu anaweza kupewa assessment ya chuki kutokana na ukali,
> kupenda ufanisi na haki na hapendi rushwa na uzembe.
> Utavamia na kufukuza ukaja kujuta baadae. Tatueni matatizo
> ya vifaa na madawa ili hizo hospitali za cancer zihudumie
> watu kiufanisi. Usifukuzw wakati vifaa hununua, dawa hakuna,
> wagonjwa wanalala chini.
>
> iii) Kansa aina mbali mbali zina zababu au chanzo chake.
> Zitaongezeka tu TZ kama hakuna juhudi za uwiano wa
> kuzipunguza.Integration ya sekta ya medicine na sekta
> nyingine ni muhimu sana ili kupunguza overload Ocean Road.
> Mifugo iliyooga dip kuingia mito ambayo sisi tunategemea kwa
> maji ya kunywa; machimbo ya madini mbalimbali kukoshea
> madini kwa kemikali mitoni au kumwaga maji yao mitoni,
> ziwani, mabwawa ya maji na tunakunywa vijijini na haya ya
> DAWASA/DAWASCO kutoa kemikali za aina nyingi nadra labda
> vidudu vya maradhi zaidi. Licha ya kufanya chlorination an
> disinfection bado mabomba yanapasuka-kupasuliwa na maji ya
> choo, ya viwanda, lead na acid za betri kuingia. Magereji
> kila kona, madawa ya mbao, sumu za panya, agrochemical
> kutumika vibaya kumwagia mboga zinazolimwa kando ya mito na
> watu kukoshea maguduria ya dawa mtoni kicha kunywa maji
> hayo. Magari yanayopakia bidhaa mbalimbali mpaka madawa
> unayakuta yaankoshewa mtoni. Ni wazi Cancer zitakuwa nyingi
> na bajeti iongezeke na vifaa pia. Bado akina dada na kaka
> wanaojipaka mkorogo unaotengenezwa kwa sabuni kama Rungu,
> Dettol na kuwekwa acid mbali mbali na lotion kuweka mkorogo
> sawa. Elimu ya Afya ya Mazingira, ya Mwili, Maji na madawa
> ya mashamba na madhara yake iboreshwe. Waganga wanachanganya
> unga wa betri (lead au Risasi) na kuchanganya mabawa kuweka
> katika tunguri na kuchanja binadamu. Nilimuona mtoto
> aliyepata madhara hayo kijiji cha mfereji alipata homa kali
> lakini doctor alipokataa kumtibu mpaka baba akamlete huyo
> mganga wake-Mmasai akatoa bakora kutaka kumpiga daktari
> akitaka ampige sindano mtoto apone homa. Doctor naye alitoa
> bakora yake kazi ikaanza. Mimi nilisepa nje mbio kazi ay
> kukusanya takwimu za afya iliingia mkosi! Niliona
> UELEWA wa waganga wa jadi na wetu raia kuhusu sumu
> mbali mbali na madhara yake. Michicha tunayonunua watu
> wanapiga dawa ya Rungu, Dudu Kill etc na akipiga dawa ya
> fungus au kuua wadudu hasubiri kuvuna kama inavyotakiwa
> baada ya wiki 2 kwa mfano-anapiga leo anavyuna kesho
> anatuuzia mboga, matunda na tunakula hasa. wanavua samaki,
> dagaa kwa sumu use dillusion ndogo tunawala na kupata
> complication kidogokidogo halafu ni figo, cance, kupooza
> etc. Lakini tupo sugu sana kubadilika. Private companies na
> CBO/NGO zinaonekana na wafanyakazi wasio na protective gear
> wanazoa takataka na kupanda malori na kukaa juu ya taka
> hawana gumboots wala gloves. Humo kuna chemicals na sumu
> hatarishi zilitupwa katika takataka wanakanyaga. Na hizo
> nguo akifika nyumbani anaweka na kesho anavaa tena. Dampo
> zetu kiasi cha watu 5 mpaka 10 hufa kwa mwaka wale
> wanaochakura chakura taka kwa magonjwa yasiyoeleweka lakini
> ni hizo sumu. Wadada na wamama kumeza vidonge wawe weupe.
> Bado hizo nyama na maziwa na samaki. Mfugo umepigwa sindano
> leo, kuku kapewa vidonge vya kunenepa kesho tunauziwa nyama
> na maziwa yenye madawa hatarishi kwa binadamu. FUkuza
> madaktari lakini usiweke mkazo katika masuala ya Uwiano ya
> Afya halafu ile kwako. Utafukuza wangapi kama mfumo
> huubadilishi na kuweka huduma zitakiwazo? Ninahoji tu.
> Utavamia vamia uonekane mtendaji mzuri-unabadilisha na
> kuweka the needed tools and the required number of staff?
> Wana nyumba, solar inafanyakazi ili lab ifanyekazi, vyoo
> vipo safi na vitanda na dawa zipo?
>
>
> Kama Kawa.
>
> --------------------------------------------
> On Thu, 24/12/15, Maggid Mjengwa mjengwamaggid@gmail.com
> [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>
> wrote:
>
> Subject: [Wanazuoni] Habari Kubwa 3 Kwa Leo Kwa Mujibu Wa
> Mtandao Wa Mjengwablog.com [1 Attachment]
> To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>,
> Wanazuoni@yahoogroups.com,
> "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, 24 December, 2015, 6:45
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> [Attachment(s) from
> Maggid Mjengwa
> included below]
>
>
>
> 1. Magufuli awageukia madaktari;
> Mkurugenzi Ocean Road atimuliwa
> Hiyo ni
> habari kubwa katika siku ya leo na inayoshika namba moja
> kwa
> mujibu wa mtandao wa Mjengwablog.com. Hatua
> ya Serikali imejibu kero ya miaka mingi ya shida
> wanazopata
> wananchi kutokana na migongano ya kimaslahi ya watendaji.
> Mkurugenzi Kliniki ya kansa Ocean Road kumiliki duka la
> madawa sio sawa kabisa. Katika hali hiyo kwanini
> tunashangaa
> kliniki kukosa dawa. Baada
> ya Ocean Road watendaji wengine walio katika utendaji
> wenye
> mgongano wa kimaslahi waangazwe. Wakibainika
> wahadhibiwe.2. Sumaye avamia eneo la ardhi na kuanza
> ujenzi. Hii
> ni habari inayochukua namba 2 kwa uzito kwa mujibu wa
> mtandao wa Mjengwablog.com. Kitendo
> cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi kwa miaka kumi
> kuhusishwa
> na masuala ya kuvamia maeneo ya ardhi , na si mara ya
> kwanza, kinatoa taswira ya ulafi wa kiongozi. Ni moja ya
> kero za wananchi, kwamba baadhi ya viongozi wanahodhi
> maeneo
> makubwa ya ardhi na wengi hawayatumii.3. Polisi wauana. Ni
> habari ya tatu
> kwa ukubwa. Imezoeleka kusikia polisi kuua majambazi,
> lakini
> polisi kuua polisi ni habari ya kustaajabisha, kama vile
> mbwa kumtafuna mbwa mwenzake. Tukio hili limetokea Mwanza
> na
> limevuta hisia za wengi.Angalia pia katuni bora ya leo na
> habari kubwa ya
> michezo kwa siku ya leo. Ni kwenye http://mjengwablog.com
>
>
>
>
>
>
> __._,_.___
>
>
> Attachment(s)
> from Maggid Mjengwa | View
> attachments on the web
>
> 1 of 1
> Photo(s)
>
>
>
>
>
>
> 01.jpg
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Posted by: Maggid
> Mjengwa
> <mjengwamaggid@gmail.com>
>
>
>
>
>
>
> Reply
> via web post
>
> •
>
>
> Reply to sender
> •
>
>
> Reply to group
>
> •
> Start a
> New
> Topic
> •
>
>
> Messages in this
> topic
>
> (1)
>
>
>
>
>
>
>
> Check out the
> automatic photo album with
> 1 photo(s) from this topic.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Visit Your Group
>
>
>
>
>
>
>
> • Privacy • Unsubscribe • Terms of Use
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> .
>
>
>
>
>
>
>
> __,_._,___
>
>
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765 --
> #yiv2693492765ygrp-mkp {
> border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
> 0;padding:0 10px;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-mkp hr {
> border:1px solid #d8d8d8;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-mkp #yiv2693492765hd {
> color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
> 0;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-mkp #yiv2693492765ads {
> margin-bottom:10px;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-mkp .yiv2693492765ad {
> padding:0 0;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-mkp .yiv2693492765ad p {
> margin:0;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-mkp .yiv2693492765ad a {
> color:#0000ff;text-decoration:none;}
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-sponsor
> #yiv2693492765ygrp-lc {
> font-family:Arial;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-sponsor
> #yiv2693492765ygrp-lc #yiv2693492765hd {
> margin:10px
> 0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-sponsor
> #yiv2693492765ygrp-lc .yiv2693492765ad {
> margin-bottom:10px;padding:0 0;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765actions {
> font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765activity {
> background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765activity span {
> font-weight:700;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765activity span:first-child {
> text-transform:uppercase;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765activity span a {
> color:#5085b6;text-decoration:none;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765activity span span {
> color:#ff7900;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765activity span
> .yiv2693492765underline {
> text-decoration:underline;}
>
> #yiv2693492765 .yiv2693492765attach {
> clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
> 0;width:400px;}
>
> #yiv2693492765 .yiv2693492765attach div a {
> text-decoration:none;}
>
> #yiv2693492765 .yiv2693492765attach img {
> border:none;padding-right:5px;}
>
> #yiv2693492765 .yiv2693492765attach label {
> display:block;margin-bottom:5px;}
>
> #yiv2693492765 .yiv2693492765attach label a {
> text-decoration:none;}
>
> #yiv2693492765 blockquote {
> margin:0 0 0 4px;}
>
> #yiv2693492765 .yiv2693492765bold {
> font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}
>
> #yiv2693492765 .yiv2693492765bold a {
> text-decoration:none;}
>
> #yiv2693492765 dd.yiv2693492765last p a {
> font-family:Verdana;font-weight:700;}
>
> #yiv2693492765 dd.yiv2693492765last p span {
> margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}
>
> #yiv2693492765 dd.yiv2693492765last p
> span.yiv2693492765yshortcuts {
> margin-right:0;}
>
> #yiv2693492765 div.yiv2693492765attach-table div div a {
> text-decoration:none;}
>
> #yiv2693492765 div.yiv2693492765attach-table {
> width:400px;}
>
> #yiv2693492765 div.yiv2693492765file-title a,
> #yiv2693492765
> div.yiv2693492765file-title a:active, #yiv2693492765
> div.yiv2693492765file-title a:hover, #yiv2693492765
> div.yiv2693492765file-title a:visited {
> text-decoration:none;}
>
> #yiv2693492765 div.yiv2693492765photo-title a,
> #yiv2693492765 div.yiv2693492765photo-title a:active,
> #yiv2693492765 div.yiv2693492765photo-title a:hover,
> #yiv2693492765 div.yiv2693492765photo-title a:visited {
> text-decoration:none;}
>
> #yiv2693492765 div#yiv2693492765ygrp-mlmsg
> #yiv2693492765ygrp-msg p a span.yiv2693492765yshortcuts {
> font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}
>
> #yiv2693492765 .yiv2693492765green {
> color:#628c2a;}
>
> #yiv2693492765 .yiv2693492765MsoNormal {
> margin:0 0 0 0;}
>
> #yiv2693492765 o {
> font-size:0;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765photos div {
> float:left;width:72px;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765photos div div {
> border:1px solid
> #666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765photos div label {
> color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765reco-category {
> font-size:77%;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765reco-desc {
> font-size:77%;}
>
> #yiv2693492765 .yiv2693492765replbq {
> margin:4px;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-actbar div a:first-child
> {
> margin-right:2px;padding-right:5px;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-mlmsg {
> font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
> sans-serif;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-mlmsg table {
> font-size:inherit;font:100%;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-mlmsg select,
> #yiv2693492765 input, #yiv2693492765 textarea {
> font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-mlmsg pre,
> #yiv2693492765
> code {
> font:115% monospace;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-mlmsg * {
> line-height:1.22em;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-mlmsg #yiv2693492765logo
> {
> padding-bottom:10px;}
>
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-msg p a {
> font-family:Verdana;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-msg
> p#yiv2693492765attach-count span {
> color:#1E66AE;font-weight:700;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-reco
> #yiv2693492765reco-head {
> color:#ff7900;font-weight:700;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-reco {
> margin-bottom:20px;padding:0px;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-sponsor #yiv2693492765ov
> li a {
> font-size:130%;text-decoration:none;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-sponsor #yiv2693492765ov
> li {
> font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-sponsor #yiv2693492765ov
> ul {
> margin:0;padding:0 0 0 8px;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-text {
> font-family:Georgia;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-text p {
> margin:0 0 1em 0;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-text tt {
> font-size:120%;}
>
> #yiv2693492765 #yiv2693492765ygrp-vital ul li:last-child {
> border-right:none !important;
> }
> #yiv2693492765
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment