Sunday, 20 December 2015

Re: [wanabidii] NAIBU WAZIRI DKT. KIGWANGALLA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA LEO KATIKA HOSPITALI ZA RUFAA MIKOA YA LINDI NA MTWARA

Ndiyo nafahamu mchango huu sasa umetoka nje kidogo kulingana na kichwa cha habari,
Kwanza kabisa nitoe hongere kwa mtu aliyeamua kujengwe daraja la kuvukia kinyesi, bila shaka wanaohusika wanalifahamu kosa lao, kwanza  kusudi Zima la daraja hilo si kwa ajili ya watu wanaoishi kando na huo mfereji wa kinyesi, ni mtu yeyote atayejikuta anahitaji kupita njia hiyo.

Nimesema walioamua kutmpesa, either za kwao, za mfadhili au ni pesa ya umma ipunguzwe kutoka huduma fulani ili daraja lijengwe, makosa ni hao hao walioamua kujenga hilo daraja, naomba mtu anielewe, sina maana kuwa ni hasa yule mtu aliyetoa angalizo la kujengwa daraja, no! Ninamaana ni idara hiyo hiyo anamofanya mtu aliyeagiza daraja lijengwe ndiyo wenye kosa. Acha niende moja kwa moja na ninachotaka kuzungumzia, swali langu ni kwamba, kwa nini kuacha kinyesi kitiririke kwenye mtaro wa wazi kiasi hicho, kwa nini mtu anachosoma darasani na anachokifanya anapofika kazini huvilingani, je ni ajabu kuona kipindupindi kunatesa watanzania mikoa kadhaa sasa? Nakumbuka vizuri sana mwaka 1977 kulitokea kipindu pindu ambapo hatua za haraka zilichukuliwa, kama mtu alikuwa bado mdogo wakatti huo, nawahakikishia sidhani kama miezi mitatu ilipita suala la kipindupindu likawa ni history, hatua za tahadhali ziliendelea kuchukuliwa hata ya kuaminika kuwa tishio la kipindupindu limekwisha, tuliokuwa mashuleni usafi ulikpewa nguvu ya ziada, wananchi vijiji walisisitizwa kuchemsha maji.

Samahani kwa maaelezo ya hapo chi iwapo hayatawapendezeni, lakini ndiyo niliyoyaona, nikawa nimekwenda likizo, wakati huo karantini ya kusafiri kutoka sehemu zenye kipindupindu kwenda kwingine ilikuwa imekwisha, nilipofika kijiji, nikakuta suala la kuchemsha maji ya kunywa lilikuwa bado enforced na kulikuwa na watu waliochaguliwa kijijini kupita nyumba kwa nyumba kuhakiki kama kweli watu walikuwa wakichemsha maji ya kunywa, watu hao hufika na kwapewe maji kuhakikisha nyumba zinafanya hivyo, ukli hakuna mtu aliyekuwa akichemsha maji bali (Nina maana huko kijiji kwetu, sifaha sehemu zingine). Bali walikuwa wakihakikisha kuna kiasi fulani kidogo cha maji ambacho kilikuwa kikipashwa moto mara kwa mara, ili wakaguzi wakiji, wanachota hayo maji na kuwapa wakaguzi, wakishaona yanajoto kiasi basi hicho ndicho kilikuwa kipimo kuwa kwele wenyeji wanachemsha maji.

Of cause, suala zima ni kutouelewesha umma kiasi cha kutosha, kiasi kwamba unapowaambia wachemshe maji wanaona ni usumbufu usiokiuwa na faida yoyote, hapo nikiri ni kwa sababu kipindupindi hakikuwa kimewafikia watu wa vijiji hivyo, kinyume cha ghara ya kutofanya wanachoambia ingeweza kupoteza kwa maisha ya watu.

Nikirudi kwenye suala na mtaro wa kinyesi, ni kuanzia serikali kuu hadi serikali za mitaa wanahisika kwa uzembe, hakupashwi kinyesi kuelee wazi kiasi hicho, inaeleweka kuna njia nyingi tu za kusafirisha vijidudu vya maradhi kutoka uchafu ulio wazi kiasi hicho, wakiwemo nzi, upepo, maji yenyewe kama kuna mvua nyingi mtaro unaweza ukafurika na kusambaza uchafu hu kusikotegemewa, hata huko mtaro unakoelekea, hivi kuna sewage iliyoandaliwa maalumu kwa ajili ya huo uchafu.
Tatizo la wabongo ni kutaka kutatua tatizo mara moja, wakati huo huo ikiwa inajulikana kuwa hakuna pesa ya kutosha kufanya kazi mara moja, kinyume chake wahusika wangelikuwa ma mipango ya muda mrefu, tuseme mika miwili hadi mitano. Kwa mfano tu, kujenga mtaro wa kufunikwa, au bomba la kupitia huo uchafu, kwa kipindi nilichotaja kukaanza kujengwa hiyo nja tarastibu huku mtaro wa wazi ukiwa unatumikakikawada mitaro ya wazi tumezaliwezeeka ipo vile vile. Mfano niliotoa, mtaro ukishafikia mwisho basi unafungulia uchafu unaanza kupitia kwenye bomba la uchafu, jamani wenzetu wanahamisha mito, sisi hatuwezi kufanya hivyo kwanye mtaro! 
  



On Sunday, 20 December 2015, 14:00, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Mike, Ninampenda Mkuu wa Mkoa wa Dar na ilifika wakati nilimsaka nijitolee kufanyakazi zake buree lakini kumpata ikawa shida. Alishakemea sana sana lakini SIASA imefanya utendaji ulale. Ukitaka kuwaondoa hapa na pale barabarani na wetland areas walivamia mahala unaambiwa-subiri uchaguzi uishe, wapiga kura etc. Kisha waliokosea na kuvunja sheria wanakwenda mahakamani. Mawakili waroho wanakula hela kesi inachjukua miaka. Wanajua sheria na sera ya miapango miji lakini ni tumboni street. Yalipotokea mafuriko ya 2009 RC alisema-hatopeleka boat tena wala msaada wa serikali kuondoa watu Jangwani an mabonde mengine DSM. wamejitakia wenyewe na wanaona jinsi wanavyoathirika. Boat na Red cross wakisaidia. Watu kulala na watoto mashuleni madarasani na kusaidiwa. Wamepelekwa Mabwepande-wameuza ardhi, matabi, cement wamerudi Jangwani sunna. SIASA-Mbunge kawajengea daraja la kuvuka kinyesi; Tanesco na DAWASA wana mabomba ya maji hapa na serikali ya Mitaa inakusanya kodi-Urasimishaji wa makazi.

Sasa politiking imekwisha na tumboni street in mochwari. Bomoa, ondoa miundo mbinu ay umeme na maji ambayo inarasimisha makazi. Ile grace period ya kukomoa  ya miezi 6 ikipita pale walipolipwa au ambapo hawakulipwa-bomoa tupa mijengo-construction materials ambazo Ruksa kubomoa hata kama umelipwa under valuation and Resettlement na hujabomoa baada ya miezi 6 au zaidi uliyopewa serikali tumia wafungwa kama huna wa kuendesha grader au budi ulipie magreda-wapo wafungwa madreva, chukua tingatinga JWTZ wape wabomoe kwa gharama ndogo. Bomoa na vile visima na daraja lililojengwa ili wavuke kinyesi.

Hapa Kazi tu.

--------------------------------------------
On Sun, 20/12/15, 'Mike Zunzu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] NAIBU WAZIRI DKT. KIGWANGALLA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA LEO KATIKA HOSPITALI ZA RUFAA MIKOA YA LINDI NA MTWARA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 20 December, 2015, 14:51

Mimi
nilishangazwa na kelele za mkuu wa mkoa wa Dar kulalamikia
vifusi vya uchafu jijini, mtu huyu kawa mkuu wa mkoa kwa
miaka mingapi? Leo hii ndiyo anaona vifusi hivyo kwa mara ya
kwanza nakuaza kukemea? Kama mimi ni Rais, hao ndiyo watu
hasa wa kutimua kazi. Hatua kama za mkuu wa mkoa wa Dar
zinanikumbusha film za kuchekesha za Eddy Murphy, hasa ile
ya "Well come  to America" Yule mwanamke
aliyeozwa na baba yake, alipomuuliza, niambie utafanya
nini kwenye maisha yetu tukiwa kama mke na
mme? Mwanamnke akasema nitafanya chochote utakacho niambia.
Addy Murphy akamwambia, nyanyua mguu mmoja na uruke ruke
ukibweka kama mbwa, yule kweli akaanza kufanya hivyo kweli,
bila kuhoji kisa cha kufanya hivyo ni nini? Vivyo hivyo,
baadhi ya watu kwenye timu ya Magufuli hawana initiative zao
wenyewe, mara nyingi watakuwa wanafanya mambo kinyume na
yalivyokuwa yanatakiwa yawe.
Any way
sasa hivi bado saa 12:30 asubuhi, ni mapema mno kuamua kama
kila mmoja kaamka. Tusubiri ifika angalau saa 5, 6
hivi.
 

    On Sunday, 20 December 2015, 3:09, De
kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
 

  Akhsante Mama Kiwasila.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


     



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment