Wednesday, 9 December 2015

Re: [wanabidii] Kamati Za Bunge Nazo Zilishindwaje Kubaini Madudu Haya?

Mashaka ni gharama kubwa sana kutunga kamati ambazo zinatumia mabilioni na mabadiliko hakuna wala ufanisi.

Pia zile safari za study tours ambapo wakirudi hata majimboni kwao hakuna tofauti. Wamefanya manunuzi na kuona nchi za watu wakafurahia mataa.

Hata wakirudi jimboni kwao kunaweza kuwa na chuo cha kilimo lakini vijiji vyote kuzunguka chuo hakuna anayelima sustainably na waka hawahoji. Kunaweza kuwa na shamba la serikali la mifugo na wana mbegu za kuzalisha mifugo ya kisasa ya kuishi mazingira yetu na wanayo ya mfano na majani ya lishe na chakula cha lishe cha mifugo wanatengeneza. Lakini wafugaji waliozunguka shamba hili wana mifugo mingi ya kienyeji kuliko uwezo wa ardhi yao na wanavamia shamba la serikali na kusababisha vurugu. Diwani, mbunge wapo na watumishi ugani wa sekta za kilimo, mifugo wapo pia.

Na hata mabwawa ya maji ya kuzalisha umeme yanavamiwa na kuwa degraded mpaka hata Nyumba ya Mungu na Mtera Dam. Hivi tupoje sisi watanzania?!

Tuache siasa tufanye kazi za ufanisi. Hebu ona photo attached ya Mto ng'ombe Jangwani ukishuka kinondoni Mkwajuni. Hizo nyumba zitajengwaje kwenye hizo wetlands kama Ofisi ya Ardhi, Bwana Mazingira, DC, Maendeleo na Ustawi wa Jamii na DMO wapo serious na kazi yao. Worse-NEMC haipo plan. Wanajua ugonjwa wa matende na mabusha na dengue. Lakini tunatazama hayo ya kujenga na kuishi hapo kuvamia wetlands yanaendelea na umwagaji taka kujenga nyumba. Nani haoni hayo? Wote tunaona na waliondolewa wamerudi tena.

Tunataka kuwe na Fagia, Fagia vunja na bomoa kuanzia Buguruni Mnyamani, Tabata, Ilala Mchikichini, Kigogo hadi Jangwani Sunna na safisha hadi Salander bridge. Jenga nyumba za juu za hoteli na madaraja ya kuingiza hela na weka nyumba za boat za utalii na boat za mafunzo na mashindano watu wapate ajira na hela ya wanaopenda starehe iingie kusaidia maendeleo. Connect hizo hoteli za kitalii na utalii Mafia, ZNZ, Saadan-Bagamoyo, Rufiji na Mikindani na Arusha. Hamishia wakazi hao pimia viwanja, wajengee masoko, zahanati na shule huko nje ya mji na hati miliki zao weka alama nyekundu-Haati haihamishiki na ukimkuta nayo mtu mwingine-weka ndani kwani wananchi wanauza maeneo yao hovyo na kuvamia ya watu wengine, wawekezaji na right of way za barabara. Lile suala la uhuru kuhamahama kwenda popote linaongeza uzembe, uvamizi ardhi, uuzaji ardhi hovyo na wanafamilia kuoneana. sasa iwe mwisho na ifanikishwe na donors kutusaidia kufanya upimaji ardhi na land use planning. Kila mmoja akae penye ardhi yake na aitimie sustainably. Hii itapunguza moaka uhamaji hamaji na malundo ya mifugo, uhamaji na ukataji misitu. kusiwe na leseni ya mbao au kukata magogo na kuuza kama mtu hana shamba la miti ya mbao. Mwisho wa leseni za magogo bila ya kuwa na shamba la miti!!

Pamoja na kurahisisha manunuzi kwa wapita njia-ondoa wafanya biashara wote wakae panapohitajika. Ndani ya Kituo cha Mawasiliano kuna eneo la biashara-Hawakai wapo barabarani kwenye vumbi. Tususe kula vyakula vyao hapo penye vumbi. Lakini tunajazana tunakula na mainzi na mavumbi tunayaona sisi wanunuzi. Tugomee kula vyakula vilivyojaa mainzi, vinavyouzwa barabarani kwenye mavumbi, kula usiku kucha near mitaro yenye kinyesi na maji machafu yazalishayo mbu wa matende. Kununua maji ya visima ambavyo vimechoimwa maeneo ya vyoo vya shimo na barabarani kunakopita uchafu. Tunayafanya yenyewe. Hapo Mawasiliano-Hao waliozuia soko kwa kununua hizo meza ili waziuze kwa bei ya juu wakamatwe hi hao hao maofisa wa serikali. Wanapopima viwanja Afisa Ardhi anachukua viwanja mwenyewe vingi na kuandika majina mbali mbali halafu kuviuza kwa mamilioni. Hili nalo tunalolisikia lichunguzwe. Ndivyo inavyotokea masokoni wafanya biashara kushindwa kukaa sokoni kutokana na hizo meza kuwa zimenunuliwa na washikaji wao wa maofisa wa soko wanazipangisha kwa bei ghali kwa siku. Manejiment ya Soko inakuwa haina maana kama umoja wa wafanyabiashara hapo sokoni nao unakuwa na uongozi wa rushwa tupu. Ndio maana unaona baadhi ya masoko yapo kama mabanda ya mbwa. Mabati yamechoka, mvua ikinyesha wananyeshewa wao na vyakula vyao, vitu vinaoza hakuna modern storage facilities including cold storage room.

Yote inawezekana ila tumboni street tumeiweka mbele katika utendaji wetu. Government system ilikuwa better na ushirika kuliko sasa under PPP. Ila world Bank hawakujua tu akili zetu waafrika kuwa private sector hjuku nji wezi na vibaka kuliko public setor. Kwamba ubinafsi na udugu, tumboni na chupi street ni kansa ambazo ni challenges katika maendeleo yetu. Bado kuogopana kutokana na visasi ambavyo hufanya watendaji kuogopa kuchukua sheria zinazotakiwa. Watakufuata kwa utendaji wa kutumia sheria mpaka wakumalize. Hili nalo ni tatizo. Bwana Afya atamkamata huyo lakini anakaa mtaa huo nyumba ya kupanga-anatishiwa nae. Viongozi na watumishi wa umma zamani wakikaa maeneo maalum tumetaka kujenga umoja lakini uswahili wetu ndio tatizo-Visasi hata kiongozi wa mtaa ambaye tunataka tumuadhibu kwa kuachia watu wanakiuka sheria akiwa anaona -anatishiwa uhai wake na wa familia yake na kundi la washikaji wa huyo anayemshitaki. Kuna haja ya re-orientation ya bongo zetu ili tukubali sote kubadilika. Sio kuimba tu-Hapa Kazi Tu!! Lakini matendo yetu hayalikani na semi hiyo daima. Tunangojea mabadiliko yatokee ila sisi kiakili na kimatendo hatubadiliki kichanja na kudumu. Hakuna kumungunya mungunya. Hapa Kazi tu ya kweli na yenye uhakika-Tuone wakibomoa Jangwani na vibanda vyote vilivyonyengwa kwenye NHC houses na kubana barabara na feeder roads na kote ambako ni surveyed areas. Marufuku kulala vituo vya bus zaidi ya kulala gerezani segelea waweke mahema!!

Kama Kawa.






On Wed, 9/12/15, 'Mashaka Makana' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Kamati Za Bunge Nazo Zilishindwaje Kubaini Madudu Haya?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 9 December, 2015, 6:21

Kamati pia zinapitia taarifa za
wakaguzi wa ndani na wa nje. Hivyo kamati za bunge
hazitakuwa na umuhimu na kubana matumizi yao ya posho na
mafuta na kuelekezwa ktk elimu, afya na miundombinu n.k kama
wakaguzi hawa ndani na wa nje watakuwa na meno!


From: 'Mike
Zunzu' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

Sent: Tuesday,
December 8, 2015 7:19 PM
Subject: Re:
[wanabidii] Kamati Za Bunge Nazo Zilishindwaje Kubaini
Madudu Haya?

Hivi mimi
sielewi kwa nini mnamumnya wakati ukweli unajulikana? Jibu
liko wazi, ukiwa umekaenye basi huwezi ukawa unapita njia
tofautile dereva anamolipitisha hilo gari. Sasa hivi kila
mmoja anaona bila hata makonda wa kumsaidia dereva twaona
mwendo wake gari na njia linazopita. Kwa hiyo kwa muda wa
miaka kumi hapakuwa na nas dreva wa uhakika, kwanza hizo
kamati ilikuwa lasima wawe waangalifu kufikia uamuzi, laa
sivyo wangeligusa passika.


On Tuesday, 8 December 2015, 14:27,
'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:



Itabidi kwa sasa serikali ipanue magereza kwani
wakosaji niwengi vyumba havitatosha. Waboreshe huduma za
vyoo na maji na wafufue mashamba na viwanda vya magereza ili
waje kuweza kumudu na kulisha wafungwa watakaoongezeka kila
siku ktk kipindi hiki cha KAZI TU NA UTAWALA BORA
UNAOTUKUKA. Wafungwa wasitegemee kula kwa kodi za
wanyonge.

Ifike hatua sasa
kiongozi kuanzia balozi wa nyumba kumi hadi juu wapate
re-orientation ya sheria wanazotakiwa kuzingatia za sekta
mbali mbali. Mfano za mazingira na usafi na ulinzi wa
miundombinu; sheria na sera ya ardhi, kilimo, ufugaji,
misitu; mfumo wa usafi na kukusanyaji taka na malipo; Masoko
na uendeshaji wake; mifuko ya misaada ya maendeleo ili
waelewe wapi watapata misaada mbali mbali. Mtumishi wa ugani
asiyekaa kijijini au kata anapotakiwa afutwe kazi. Kijijini
au Mtaani pale ambapo mtu ameunganisha choo au maji machafu
mtaro wazi na kuna balozi wa shinda na viongozi wa mtaa na
kamati zao husika -wachukuliwe hatua nao pia pamoja na huyo
mharibifu. Kwani-wanaona, hawachukui hatua ina maana
walikula shushwa. Mtendaji Kata na Katibu Tarafa na Bwana
Afya na Afisa wa Maji au Mazingira naArdhi wa eneo hilo
wanaona development zisizotakiwa na wanakaa kimya mto
unafukiwa, watu wanajenga barabarani, kuingilia maeneo ya
shule, kujenga dampo au bwawa la kinyesi kama lile la mabibo
wanaishi hapo na wanatazama tu hawajapeleka hata taarifa juu
kunakohusika-mkong'oto wa sheria kazini uwalambe. Ikiwa
hivi-nchi itakwenda vizuri.

Yupo mtu amejenga ghorofa mwenge sokoni jirani
na vocational training centre ya ushonaji  na mjengo wa mtu
huyo umeunganisha sewerage system yake katika open drainage
system inayopita sokoni. wananchi wamelalamika na kupeleka
taarifa juu tatizo bado lipo. Naye hutoka na kutembea na
pistol kuwatishia wakazi wanaomlalamikia. Mifereji ya mwenge
inajaa maji ya kinyesi kutokana na watu kama hao wenye
maghorofa, butcher ambao hawaunganishi katika underground
sewerage system wanakwepa gharama. Watu kama hawa ni kuwazoa
kuwalaza ndani na kuwavunjia hiyo mijengo yao isiyozingatia
sheria. Wakiwa wafungwa wakafanye kazi za ujenzi nyumba za
sereikali, mashuleni kujenga vyoo etc. Tuache uzembe. Hata
taasisi ya serikali yenye vyoo vinavyovuja au haina choo
bora wapewe kisago. Mashirika ni mengo pamoja na hiyo
Bandari, Railway lakini kuna kuna Taasisi zenye uzembe mfano
mambo ya Kale tunaona majengo ya historia yanaporomoka
yanabomoka badala ya kukarabatiwa yakaingiza hela za utalii.
Hela wanazopata za donors na za utalii zinakwenda wapi?
--------------------------------------------
On Tue, 8/12/15, 'Paulo lunyalula' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re:
[wanabidii] Kamati Za Bunge Nazo Zilishindwaje Kubaini
Madudu Haya?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>,
"mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>,
"Wanazuoni@yahoogroups.com"
<Wanazuoni@yahoogroups.com>
Date: Tuesday, 8 December, 2015, 14:35

Maggid,sio kwamba
hawakubaini, ila walichukua chao ndio maana
hawakuwa na hoja
za kuyaona madudu
hayo.Paulo.




    On
Monday, December
7, 2015 9:52 PM, Maggid
Mjengwa
<mjengwamaggid@gmail.com>
wrote:
 

 
Ndugu

zangu,Ninapozidi
kusikia uoza wa bandari na
reli, na huko kwengine
najiuliza; 
Hivi zile Kamati Za Bunge nazo zilikuwa
zianafanya '
Ziara Hewa' kukagua
utendaji wa mamlaka hizo. Kwamba

zilishindwaje kubaini madudu haya yanayobainishwa sasa?
Nini
hasa kazi za Kamati za Bunge?
Maggid, 
Iringa.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.


     




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment