Tuesday, 1 December 2015

Re: [wanabidii] HATA KAMA PUTIN NI MWONGO RAIS WA UTURUKI MATATANI.

Hii kama ni kweli, Uturuki itasema nini mbele ya macho yanayoangalia tukio hili? He is hot soup!!

      Idriss

On 1 Dec 2015 16:44, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mgogoro unaofukuta kati ya Urusi na uturuki unaingia hatua nyingine.
Rais Putin anasema Uturuki iliidungua ndege yake baada ya kuwa imeona msafara wa uturuki ukichukua mafuta kutoka kwa magaidi wa Dola la kiislam ISIS. Sasa Rais wa Uturuki amesema kama hii ikidhibitika yuko tayari kuachia madalaka.

Kama kuna kitu cha kishenzi ambacho mtu akikusingizia utapata taabu ni kusema unashirikiana na magaidi hao wa islamic State os Iraq and syria ISIS. Urusi inaomboleza vifo 224 kwa sababu yao. mataifa yanaomboleza watoto wao wanakwenda huko kama hawana akili. wamekata vichwa watu utadhani wanachinja kuku. Ufaransa inalia kwa sababu yao. Inauhamasisha ulimwengu kuungana kuwaangamiza. Halafu tena ionekane mwnachama wa NATO anashirikiana nao??? Haieleweki.

Mtu mmoja aliwahikmusema 'Nitatumia sekunde kumi kusema kaka yako mwizi nawe utatumia myaka miwili kudhibitisha kuwa hata kaka huna'. Siku chache Urusi ilisema imeuzuia msafara wa magari ya Uturuki umebeba chakula ukiingia Syria. Haraka kabla urusi haijasema ulikuwa unawapelekea chakula Islamic State Uturuki ikasema kilikuwa kinakwenda kwa wakimbizi. Sasa Urusi imesdma ndege iliyodunguliwa ilikuwa imeona msafara wa Uturuki ukinunua mafuta ya Islamic state. Rais wa uturuki yuko kwenye defencive kujiosha na kashfa hiyo. Anaweza kujuta kumchokoza jasusi wa KGB.
 --

 Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
 'Mabadiliko'.

 Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
 mabadilikotanzania@googlegroups.com

 For more options, visit this group at:

 http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Mabadiliko Forum" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.

 To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.

 Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.

 To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMD-ye4Ewn4Uusr3WWi6VanooV_6Z5jWFzYCr2HYRYsTxAEThw%40mail.gmail.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment