Tuesday, 1 December 2015

Re: [wanabidii] CHADEMA, USIFE. TUNAKUHITAJI!

Sijaona cha kusoma. 

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] CHADEMA, USIFE. TUNAKUHITAJI!

Kuna dhana kuwa chama cha siasa ni mali ya wanachama na mahala pengine viongozi. Mimi sikubaliani. Chama Cha siasa ni taasisi ya wananchi wote. Iko kwa manufaa ya taifa. Chama cha siasa kinaweza kuingia madarakani wakati wowote na kilichopo kuondolewa. Kwa sababu hiyo mimi kuwa mwanachama wa CCM si kwamba vyama vingine kwangu sio kitu. Kama sio CHADEMA kuvurunda wakati wa uteuzi wa mgombea urais huenda kura yangu ingemwendea Dr. Slaa akiwa CHADEMA. Ninapenda kuhakikisha CDM inaendelea kusitawi huku na CCM yangu ikistawi pia.

Watu wanaoweza kuona kupitia ukuta wa zege tuliona kuwa mwenendo inaouchukua CHADEMA toka ipokee wanaCCM unaipelekea kuanguka. Tulipendekeza njia kadhaa kuinusuru na hazikuzingatiwa. Japo maua yanaonyesha uhai lakini magome yanaonyesha kukauka.

Kwa muda mrefu CHADEMA imekuwa ikistawi kutegemeana makosa ya CCM Hayo ndiyo yaliyoipaisha. Kidogo kidogo Dr. Slaa alikuwa akieleza sera mbadala.
Hata wakati wa uchaguzi viongozi wake walitumia makosa ya CCM kuinadi chadema na hii ikaiumiza zaidi kwa sababu makosa ya CCM yaliyokuwa yanahubiriwa yalikuwa ni yale yaliyotendwa na voingozi wanaonadiwa na CHADEMA. naogopa kusema lakini sijui kwa nini CHADEMA haikuliona hilo. mwisho ikashindwa na visingizio havikosi.

Mara baada ya uchaguzi tulitegemea CHADEMA ianze kujijenga.
Sasa Kuna tatizo. Huko nyuma mkakati wa kususia bunge ulikijenga CHADEMA. wamejaribu kufanya hivyo katika bunge la 11 bila kupima mambo chama kimejeruhiwa.

Watanzania wote tunaomboleza kifo cha mwenyekiti wa CHADEMA  wa mkoa wa Geita. Aliuwawa kinyama kama Dr. Mvungi kama mwandishi wa habari mwangozi. katika mauaji yote watanzania hawajaridhika sana kwa jinsi uchunguzi na haki inavyotendeka.

Katika msiba wa mawazo CHADEMA imeuhodhi msiba wote badala ya kuuacha ukawa wa CHADEMA NA watanzania. Kuna dalili kuwa CHADEMA imefanya hivyo ili kuwafanya watu waikasirikie serikali ya CCM. watathmini kama wamefanikiwa lakini nionavyo hawakupata walichotarajia. Kwa ujanja wa hali ya juu serikali imeyanyamazia hata matamshi ya uchochezi ya viongozi wake. Sijui kama CHADEMA wameliona hilo. Msiba huu unaweza kuishia kwa kutenda haki au kuacha muda ukapita na mambo yakesha CHADEMA haitanufaika nao.

Lakini CHADEMA inahitaji kujijenga upya. isisubiri kisichoonekana kikaonekana. inaelekea kubaya.

Inahitaji kufanya mambo mawili ili kujijenga badala ya moja
1) Iweke wazi sera zake. izitofautishe na za CCM au kama zinafanana ijitofautishe katika utekelezaji.
2) Iyasemee yanayotendwa na Serikali sasa. kama ni mazuri iyasifu. Ikifanya hivyo si muda mrefu serikali itakosea. Hapo ikikosoa itaendelea kusikilizwa na waliokuwa wanawasikiliza wakati wanasifu.

Huku kuokoteza makosa ya CCM mpaka hata yasiyo makosa kuyaita makosa kutaiangaimaliza CHADEMA. naiomba CHADEMA isife. Tunaihitaji

Muhingo  
--

 Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la

 'Mabadiliko'.

 Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:

 mabadilikotanzania@googlegroups.com

 For more options, visit this group at:

 http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Mabadiliko Forum" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.

 To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.

 Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.

 To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMD-ye4Ewn4Uusr3WWi6VanooV_6Z5jWFzYCr2HYRYsTxAEThw%40mail.gmail.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment