Wednesday, 11 March 2015

Re: [wanabidii] Je, upinzani Tanzania hawaiamini taasisi ya mahakama ?

Yawezekana nia ya kuweka kifungu kile ilikuwa nzuri wakati huu ambao vyama bado havijakomaa sana, ni kama wakati ule mara tu baada ya uhuru tulivyoamua kufuta vyama vya upinzani kwa madai kuwa tulikuwa bado wachanga upinzani ungekuwa kikwazo kwa mipango yetu. Hawa viongoziwaliotunga katiba hizi walikuwa na mawazo mazuri ili kuwa wamoja zaidi badala ya kupelekana mahakamani lakini hawakuwa na mawazo kuwa siku moja wangetofautiana na mmoja wao kutafuta haki yake mahakamani.


From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, March 11, 2015 9:48 AM
Subject: Re: [wanabidii] Je, upinzani Tanzania hawaiamini taasisi ya mahakama ?

Inatatanisha. lakini niulize swali: Wewe unaiamini??
Kwa lipi hasa kuhusiana na kesi zinazogusana na siasa?
Kama hiyo ndiyo sababu ya kutunga katiba inayozuia watu kutumia mahakama, wako sahihi. Vinginevyo utafikiri kifungu hicho kina ukaburu ndani? Sijatukana.
--------------------------------------------
On Tue, 3/10/15, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Je, upinzani Tanzania hawaiamini taasisi ya mahakama ?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, March 10, 2015, 8:33 PM

Je, upinzani Tanzania
hawaiamini taasisi ya mahakama kwa jambo jengine lolote lile
isipokuwa la kumalizana wao kwa wao au ni mahakama ambayo
haiminiki kwa jengine lolote isipokuwa la kuwasaidia
wapinzani kumalizana kisiasa? Changia tu. Usitukane.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment