Alexander nikweli tunaokumbuka sana Zitto alifanya vibaya. Vibaya zaidi alitokea kuwaa ngangali. lakini kwa siasa za sasa Zitto ni mtu muhimu ambaye akikubali kujisahihisha anaweza kuifaa CHADEMA. Ninajua CHADEMA ina hazina kubwa. ila hakuna kosa kumuongeza Zitto. Na kama watatokana watokane nje ya uwanja huu wa maamuzi ya mahakama.
--------------------------------------------
On Wed, 3/11/15, 'alexander chipalazya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] NATANGAZA RASMI ZITTO SI MWANACHAMA TENA WA CHADEMA - TUNDU LISSU.
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 11, 2015, 7:39 AM
Zitto has to go Mzee Mhingo hata
kama wamechelewa kumuondoa hiyo itamfanya ajikosahihishe.
On Tuesday, March
10, 2015 9:06 PM, 'Jovi kamuntu' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Nani
anamsamehe mwingine. Zitto hajawahi kuonyesha kuwa
amekosea. Jovin
Bifabusha
DIRECTOR
KWFF LTD
P. O. Box 313
Skype: jovin.bifabusha
Karagwe, Tanzania
+255 784 709200
On Tuesday, March
10, 2015 8:33 PM, 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kwa hili naungana nawe kuwasihi
kukaa pamoja na kusameheana
From: 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, March
10, 2015 5:41 PM
Subject: Re:
[wanabidii] NATANGAZA RASMI ZITTO SI MWANACHAMA TENA WA
CHADEMA - TUNDU LISSU.
Anger is inversly propotional with time.
Time have lapsed hakuna sababu ya Uongozi wa
CHADEMA na Zitto kuendelea kugombana. Sheria iko hapo
kusaidia lakini si lazima itumike. CHADEMA inayo nafasi ya
kukaa na Zitto kumalizanaa na akaendelea kuchangia maendeleo
ya Taifa hili kupitia nafasi atakayopata ndani ya
CHADEMA.
Tundu ametanzaga haraka hakuna
ubaya. Lakini Mwenyekiti na katibu mkuu wanayo nafasi ya
kulijadili. Tutawapima na katika hilo katika kuendelea
kuwaamini Nadhani Zitto hakutenda dhambi ya ''mauti
isiyosameheka''.
Taifa hili lina
wakosaji wengi tutataka kujua watawafanyaje. Tutaanzia kwa
hili la Zitto kuwapima.
Elisa Muhingo
--------------------------------------------
On Tue, 3/10/15, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
wrote:
Subject:
[wanabidii] NATANGAZA RASMI ZITTO SI MWANACHAMA TENA WA
CHADEMA - TUNDU LISSU.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, March 10, 2015, 1:25 PM
NATANGAZA
RASMI ZITTO SI MWANACHAMA TENA WA CHADEMA- TUNDU
LISSU.Mwanasheria
mkuu wa
chama cha CHADEMA Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa
rasmi uanachama kwa mbunge wa Kigoma
Kaskazini Zitto Kabwe baada ya Mahakama Kuu ya
Tanzania
kanda ya Dar es Salaam kutupilia
mbali pingamizi la mbunge
huyo la kuzuia
asijadiliwe."Kwa mujibu wa katiba ya chama
cha CHADEMA, mwanachama yoyote anapofungua
kesi mahakamani
dhidi ya chama chake,
endapo atashindwa katika kesi hiyo
atakuwa
amejiondoa uanachama wake, kwahiyo natangaza rasmi
rasmi Zitto Kabwe sio mwanachama tena wa
Chadema.Bofya kusoma zaidi http://eatv.tv/…/natangaza-rasmi-zitto-si-mwanachadema-tena…
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment