Sunday, 12 October 2014

Re: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni za kimtazamo

Elisa,
Mimi nina nia njema kabisa. Lakini naomba unishawishi kuwa Membe anaweza. Huyu pia ni mtu anayetoa ahadi asizoweza kutimiza.
We do not need another Kikwete in Ikulu.
em

2014-10-12 14:16 GMT-04:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Watu wengi wenye nia njema wanaelewa kuwa Membe anaweza. Na wanaompinga utaona wanavyohangaika. Tumesema waitwe kwenye mdahalo kwa kujua Edward hawezi wanasema tunataka utendaji. Namna hii utakuta watu wanaacha kunwa mirind na kunwa coka kisa Advatisement.
--------------------------------------------
On Sun, 10/12/14, 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni za kimtazamo
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Sunday, October 12, 2014, 9:38 AM

 Ngupula,Niliwahi
 kukuuliza kama una maslahi yoyotena mgombea unayemuuza sana
 ukasema huna, sasa kwa nini unamshambulia sana Membe kuliko
 wote waliojitangaza kuutaka huo urais dhidi ya tu wako? Au
 Benard anawatia hofu sana kuliko kina Kigwa na
 wenzake?Naanza
 kuona Membe anaweza kuwa na kitu cha maana dhidi ya mgombea
 wako ndiyo maana mnatumia muda mwingi kumpaka matope. Kama
  alivyosema Diamond mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe,
 inabidi tumuangalie vizuri BM aweza kuwa mti wa matunda
 ndiyo sababu za kumpiga mawe

      On Saturday, October
 11, 2014 1:52 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

  Kweli kabisa ndugu yangu
 Mollel,kumpambanisha lowassa na membe ni kumuonea
 Membe...ndio maana Jk hawezi kumpa wizara zaidi ya hiyo
 aliyompa ambapo anajua ndio wizara ya kupumzikia. ,yupo mtu
 wanayemuita sokoine wa pili (Mwigulu
  Nchemba)huyo ndio angalau unaweza ukasema
 unawapambanisha..lowassa na membe ni sawa na profesa wa chuo
 kikuu na msanii,halafu unatafuta mwalimu wa
 university...ngupula

  'lesian mollel' via Wanabidii
 <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

 ofcourse
 yesUtendaji
 wa hawa mabwana wawili ni sawa na kuwapambanisha samba na
 pundamlia, kwahy lowasa na Membe? Lowasa jembe hata mh Jk
 alishatamka jamani mbona hamkumbuki records zake za uwazir
 mkuu wa 3 years tu, Mh membe na uwazir wake huo hadi leo
 ubalozi wa Italy tu umemshinda, jimbo lake na mtama kilio
 daily? Nendeni mondoli maji kuwa
  jangwani ni maajabu, wafugaji kule wanasema hivi
 ukimsimamisha jiwe uliite Lowasa na mtu mkubwa mwenye jina
 kubwa pale jimboni wako tayar kulipia jiwe kura than huyo
 mtu, hili ni jiwe na burudoza la kazMsijaribu
 kuwapambanish , MANENO SI MATENDO

      On Friday, October
 10, 2014 11:59 AM, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
 wrote:

  ndupula nakuunga mkono,
 tumeshachoka na porojo tunataka mchapa kazi.
 On Oct 10, 2014 8:04
 PM, "'Ngupula GW' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:
 Hayo ni
 mawazo yako msee,kuna tofauti ya usanii wa kujieleza,na
 uwezo wa kiutendaji..uwezo wa kiutendaji ni record ya
 mtu...sisi wengine huwezi ukatuambia utamnyang'anya
 simba kitoweo wakati ukimuona panya unakimbia...tatizo la
 uongoz wa tz sio sera wala mipango,ni usimamizi wa
 utekelezaji wa mipango mizuri iliyopo ili kuleta tija...na
 ukweli ni kuwa,kama lowassa ni mzee basi mbadala wake hawezi
 kuwa Membe bali ni Mwigulu Nchemba...kumbukeni ni record ya
 utendaji katika kuleta tija...ngupula...

  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

 >Dawa ni kuwapambanisha kwenye Mdahalo. Hapo ndipo
 atakayeonekana mwenye sera za maana na ambaye amepitwa na
 wakati.

 >Ukimtaja humu utashambuliwa na nyigu Lakini mdaahalo
 utaonyesha usee wa ndani ambao unaonekana na nje sasa

 >--------------------------------------------

 >On Fri, 10/10/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
 wrote:

 >

 > Subject: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni
 za kimtazamo

 > To: wanabidii@googlegroups.com

 > Date: Friday, October 10, 2014, 8:46 AM

 >

 > Raia Mwema: Kuna mazungumzo miongoni mwa viongozi
 wa CCM na

 > serikalini kwamba Membe anatajwa na Edward Lowassa
 kuwa

 > ndiye adui yake mkubwa au kwa lugha nyingine, ndiye
 mchawi

 > wake kisiasa. Madai haya unayazungumziaje? Ni

 > kweli? 

 >

 >

 > Membe: Unajua katika masuala haya ya siasa, wapo
 wanaoamini

 > kwamba ni lazima uwe na maadui wa kisiasa. Inawezekana

 > kujitokeza misimamo ikatofuatiana kuhusu masuala fulani
 ya

 > msingi katika mambo haya ya uongozi wa nchi na hasa
 nchi

 > ambayo bado iko kiwango fulani cha umasikini kama

 > Tanzania.

 > Mimi nimekuwa nikiamini katika kuongoza kwa misingi

 > ya ulinzi wa raslimali za nchi, maadili yanayojenga
 uongozi

 > bora na imara pamoja na kulinda, kutetea na kupigania
 hadhi

 > ya nchi yetu popote duniani. 

 > Mtu ambaye pengine haamini katika misimamo hiyo kama

 > yangu, si ajabu akatajwa kuwa ni adui yangu kisiasa,
 kwa

 > sababu viongozi wenzangu wengi wanajua ninachokiamini
 na

 > hata Rais Kikwete naye anajua ninachokiamini

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment