Monday, 6 October 2014

Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa

Katika Ezekiel 13 manabii wengi wa Israel walikuwa wanatabiri kwa mioyo yao wenyewe, wakifuata roho zao wenyewe na kusema mabashiri ya uwongo na kusema Bwana amesema, ila Bwana hakusema neno. Utabiri uliotoa una interest, pamoja na kwamba ume declare. Hata sasa wapo wengi wanajiita manabii lakini huwezi kusikia wakitabiri kitu wasichokuwa na interest nacho. Naamini wapo manabii wachache sana wa kweli, ila wengi ni wa uwongo wanaotabiri vitu kwa interest zao au sawa na Ezekiel 13. Nabii wa kweli basi aweke hapa jukwaani kitu Mungu alichomwambia ili wote tuupime kama kweli ni Mungu au ni maslahi binafsi. Frank


On Monday, October 6, 2014 9:09 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Ni kweli kabisa...unadhani watz tunastahili adhabu?........kwa uzoefu wangu,Bwana hajawahi toa baraka isiyokuwa na utamu.. ipo neema yake kwa kila afanyalo....Mungu akikuambia hata utumbukie katika bahari kichwa chini miguu juu,utaelea tu na ufukweni utafika...binafsi nina dhamani kubwa na utawala wa nchi hii mbele za macho ya Mungu,hakika yake,sitomsema mtu yeyote kwa nafsi yangu au kwa maslahi binafsi...

'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Mungu alimteua Sauli kuwa mfalme wa adhabu.
 
 
8:10
And Samuel told all the words of the LORD unto the people that asked of him a king.
8:11
And he said, This will be the manner of the king that shall reign over you: He will take your sons, and appoint them for himself, for his chariots, and to be his horsemen; and some shall run before his chariots.
8:12
And he will appoint him captains over thousands, and captains over fifties; and will set them to ear his ground, and to reap his harvest, and to make his instruments of war, and instruments of his chariots.
8:13
And he will take your daughters to be confectionaries, and to be cooks, and to be bakers.
8:14
And he will take your fields, and your vineyards, and your oliveyards, even the best of them, and give them to his servants.
8:15
And he will take the tenth of your seed, and of your vineyards, and give to his officers, and to his servants.
8:16
And he will take your menservants, and your maidservants, and your goodliest young men, and your asses, and put them to his work.
8:17
He will take the tenth of your sheep: and ye shall be his servants.
8:18
And ye shall cry out in that day because of your king which ye shall have chosen you; and the LORD will not hear you in that day.
8:19
Nevertheless the people refused to obey the voice of Samuel; and they said, Nay; but we will have a king over us;
8:20
That we also may be like all the nations; and that our king may judge us, and go out before us, and fight our battles.
8:21
And Samuel heard all the words of the people, and he rehearsed them in the ears of the LORD.
8:22
And the LORD said to Samuel, Hearken unto their voice, and make them a king. And Samuel said unto the men of Israel, Go ye every man unto his city.
 
Materu.
 


On Monday, October 6, 2014 7:54 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Frank,kazi rahisi sana....keti barazani pa Mungu na kuhojiana naye....Mungu ni Mwaminifu,atakujibu au kwa ndoto au maono....lkn,kumbuka unyenyekevu ni uti wa mgongo kwa Mungu....na ufahamu wako katika mambo ya utawala ndio haswaaa....Mungu atakupa jibu sawa na umri wako au uelewa wako katika uliloliuliza.....nakuuliza na wewe swali,je Mungu alimteua Saul kuwa mtume kwa adhabu au heri?

'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Ngupula,
 
Wana wa Israel walipokuwa wanamkosea Mungu, Mungu alikuwa anawatumia maadui zao kama Waahuru(Syria) kuwapiga na kuwapeleka utumwani.[Rejea Ezekiel 33]. Au alikuwa anawaacha watawaliwe na vingozi wabovu waliowachagua wenyewe kama Sauli ili awapige nae na kuwafanya watumwa. [ Rejea 1 Samwel]. Sasa kwa wa TZ ambao uovu ni mwingi, na hatujataka kutubu na kuuacha, naomba ujibu:-
Swali. Huyu Edo, Mungu amemchagua awe rais TZ kwa ajili ya kutubariki au kutulaani? Kumbuka rais anateuliwa na Mungu. Kwanini Mungu amruhusu mtu huyu? Kutuadhibu?, Kutubariki? Uhusiano wetu [TZ] na Mungu okoje?
Ni wapi tumemkosea Mungu? Je, hatuna hatia mbele za Mungu? Kiasi cha kuruhusu mtu huyu? Sisi tunaojiita watu wa Mungu, je, sio vinara wa uovu? Hatuutumii uhuru tulionao kuongeza dhambi juu ya dhambi? Je, hatustahili kupewa dictator?
Hebu tueleze umeambiwa huyo Edo Mungu atamtumia kutufanyaje? Materu
 


On Monday, October 6, 2014 6:01 PM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Ngupula;
Acha Magirini Braza.
 
Reuben



From: 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, October 6, 2014 5:46 PM
Subject: Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa

Frank,Bwana hafanyi jambo duniani bila kuwajulisha watu wake...nilimwomba Mungu kwa habari ya majira yajayo,nikajihudhurisha mbele zake kwa kufunga na kuomba..nikimuuliza Bwana mwenye nguvu,yeye aliye na amri na watawala,nikisema,Bwana Mungu mkuu ni nani sasa atayetufaa baada ya huyu Jk?watanzania wana uchungu mwingi kweli,nao wanajuta kuwa hawatachagua tena kwa akili zao,tusaidie...Bwana akanijibu Lowassa atawafaa.....nikasema,Bwana,je si huyu wanayemtaja kama mwizi na kibaka mpk akajiudhuru na uwaziri mkuu,si atatufilisi huyu.?Bwana akajibu,atakula kiasi lkn atawafanyia watz kazi nzuri....nikamuuliza tena,na kuhusu afya yake?..akajibu,atamaliza kipindi chake cha miaka 10...lkn nitaitumia afya yake kama fimbo ya kumnyenyekesha pale asiponisikia....nikasema,baba,kwa kuwa leo umeshuka kumjulisha mjoli wako mambo yajayo,na Membe itakuwaje?atakuwa mwenye huzuni,kwa kuwa atatumia gharama nyingi bila mafanikio...na isitoshe ,Membe hawezi kulisimamia jina langu kati ya watu,ni chukizo kwangu...nikasema Bwana,mi najua wewe ni Mungu ambaye yaliyotukuka kwa wanadamu ni chukizo kwako,fanya upendavyo kwa maana watuwazia mema...ngupula

'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula,
Unasema unamwombea mpakwa mafuta wa Bwana Edo awe Rais. Kwanini unamlazimisha Mungu akujibu sawasawa na jinsi unavyotaka wewe? Eti Mungu tupe Edo? Yaani unataka kumfundisha Mungu? Umekuwa Mungu? Unataka mapenzi ya Mungu au mapenzi yako ndo yafanyike? Unamwendea Mungu na majibu? ili a ya confirm? Kwanini tunataka kumtawala Mungu? tunamfundisha majibu? Hapo ni kumwomba au ku dictate? Kwa nini usimwache Mungu awe Mungu? Hapana, it is insubordination. Hapo Mungu kavunjiwa heshima-mwanadamu anataka kumtawala. Tusimkasirishe Mungu. Mwombe msamaha. Wana wa Israeli walikuwa hivyo. Wakataka mtawala wa chaguo lao, hawakutaka tena Mungu awachagulie. Waliangalia sura na Sauli alikuwa mzuri wa sura lakini waliishia utumwani na kwenye kuangamia. Tumezoea kuangalia sura. Kwa jinsi mambo yanavyokwenda, naona tunataka kuelekea huko huko, tusipobadilika. Materu


On Monday, October 6, 2014 4:27 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Bwana Mrema,umenena vema kuwa ungekuwa wewe ungeachana na ndoto ya urais...lkn uzuri ni kuwa bwana Edo sio wewe...na pia, kwako yaweza kuwa rahisi kwa kuwa huna uchungu na kero za wananchi kwa upana wake....lkn kwa yeye ari ya kuwatumikia wananchi na msukumo wa ndani yake kwa habari ya mustakabali mwema wa nchi,hawezi kaa kimya eti kwa kuwa yeye anaouwezo wa kula na kushiba...na kwa habari ya afya yake ambayo mpk sasa ni nzuri sana,sisi tunayejua kuwa ndiye mpk mafuta wa Bwana kwa tanzania yenye matumaini,tunamwombea sana...ngupula

Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com> wrote:

Ni hivi karibuni niliona picha zake mweshimiwa akipiga tizi.  Nikajiuliza hizi picha za nini? Kwani ni yeye peke yake ndiye anafanya mazoezi mpaka kufika hatua ya kupigwa picha na kuziweka kwenye magazeti? Mara tukawa tunapata maandiko ya kumsifia yaliyoandikwa na Profesa.  Kuna na waandishi wengine kutoka Tanzania daima wameandika sana kutoa wasifu wake.  Hivi huyu mweshimiwa haoni anajiuza sana na hajui kuwa kuna msemo unaosema kuwa kibaya chajitembeza na kizuri chajiuza chenyewe? 

Sio mbaya binadamu kupambana hasa kwa anachokiamini lakini mimi binafsi ninaona kuwa kwa mweshimiwa huyu opportunity ya kuwa raisi wa nchi hii haipo na ni kwa sababu mbili (1) CCM imemeguka wanagombana na itakuwa shida sana kwa watu wanaogombana kumuuza kwa wananchi mtu kama huyu mweshimiwa kwani Chama kinahitaji mtu ambaye hajatokana na makundi ili kuweza kukirudisha chama pamoja au kupunguza mpasuko (2) Afya yake sio nzuri kwa hiyo kuhimili mikiki ya ushindani kwenye mazingira ya sasa ndani ya Chama inataka mtu mwenye nguvu na afaya yake kamili.

Ningekuwa ni mimi ningeachana na ndoto hiyo nimshukuru Mungu kwa baraka alizompa na kuweza kufanya yote hayo aliyofanya kwa manufaa yake binafsi na kwa Tanzania.

Ninawakilisha

Herment A. Mrema


Date: Sun, 5 Oct 2014 14:41:07 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa
From: pasamila292000@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Kitila

Siyo lazima,ingawa dalili za kununuliwa kwamba mhusika yupo sokoni zinajionesha kwa matendo Fulani katika nyakati na matukio tofauti


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment