.
'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ngupula,
Huwezi kumfananisha mwanadamu symbolically na Yesu. Kwa mfano hakuna mwanadamu anayeweza kuwa jiwe kuu la pembeni. Ni Yesu pele yake. Wala huwezi kumwila mtu Mesia. Mesia ni Yesu pele yake. No divinity in a human being hata kama unampenda kiasi gani Edo.
Siasa ni mchezo mchafu na ni mtego mbaya sana. Kwa mtu aliyeokoka kama wewe na mimi kuwa patriot kwenye siasa ni machukizo tu mbele za Mungu. Frank
On Monday, October 6, 2014 7:35 PM, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Frank,tunaongea kitu kimoja,nami nakuelewa kabisa...katika agano la kale tunaona wana wa israel walikunywa maji katika mwamba,na tukajifunza mwamba huo ni Yesu...katika agano jipya tunaona Yesu anambadilisha Petro jina na kumuita Kefa,maana yake ni Jiwe.....pia tunajifunza injili ya Kristo pia imejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii....kwa hiyo tukubaliane kuwa upo msingi mkuu na ipo misingi midogo...kumfananisha Lowassa na msingi wa matarajio mema ya Tanzania ijayo symbotically,sioni dhambi...
YESU aliitwa masiha wa Bwana,lkn daudi pia...leo hii kumuita mtu masiha si dhambi kwani maana ya masiha ni mpakwa mafuta wa Bwana..
'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
YESU aliitwa masiha wa Bwana,lkn daudi pia...leo hii kumuita mtu masiha si dhambi kwani maana ya masiha ni mpakwa mafuta wa Bwana..
'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ngupula,
0 comments:
Post a Comment