Sunday, 5 October 2014

RE: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa

Ni hivi karibuni niliona picha zake mweshimiwa akipiga tizi.  Nikajiuliza hizi picha za nini? Kwani ni yeye peke yake ndiye anafanya mazoezi mpaka kufika hatua ya kupigwa picha na kuziweka kwenye magazeti? Mara tukawa tunapata maandiko ya kumsifia yaliyoandikwa na Profesa.  Kuna na waandishi wengine kutoka Tanzania daima wameandika sana kutoa wasifu wake.  Hivi huyu mweshimiwa haoni anajiuza sana na hajui kuwa kuna msemo unaosema kuwa kibaya chajitembeza na kizuri chajiuza chenyewe? 

Sio mbaya binadamu kupambana hasa kwa anachokiamini lakini mimi binafsi ninaona kuwa kwa mweshimiwa huyu opportunity ya kuwa raisi wa nchi hii haipo na ni kwa sababu mbili (1) CCM imemeguka wanagombana na itakuwa shida sana kwa watu wanaogombana kumuuza kwa wananchi mtu kama huyu mweshimiwa kwani Chama kinahitaji mtu ambaye hajatokana na makundi ili kuweza kukirudisha chama pamoja au kupunguza mpasuko (2) Afya yake sio nzuri kwa hiyo kuhimili mikiki ya ushindani kwenye mazingira ya sasa ndani ya Chama inataka mtu mwenye nguvu na afaya yake kamili.

Ningekuwa ni mimi ningeachana na ndoto hiyo nimshukuru Mungu kwa baraka alizompa na kuweza kufanya yote hayo aliyofanya kwa manufaa yake binafsi na kwa Tanzania.

Ninawakilisha

Herment A. Mrema


Date: Sun, 5 Oct 2014 14:41:07 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa
From: pasamila292000@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Kitila

Siyo lazima,ingawa dalili za kununuliwa kwamba mhusika yupo sokoni zinajionesha kwa matendo Fulani katika nyakati na matukio tofauti

2014-10-03 21:06 GMT+03:00 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ni kweli prof,kutofautiana kimawazo na mtazamo ni kitu cha kawaida lkn kutungiana majina ni dalili ya kufika mwisho wa kufikiri...ngupula

Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com> wrote:

Hivi kila mwenye mawazo tofauti nawe lazima awe amenunuliwa? Tutajifunza lini watanzania kuweza kukabiliana na hoja kinzani bila kupeana majina? Kama una hoja tofauti kwa nini nawe usiandike kile tunaita 'rejoinder'? 

 



2014-10-03 17:30 GMT+03:00 Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>:

Kwa historia ipi?  Ingekuwa kwamba hajawahi kupata fursa sawa ningeelewa.

Field Marshal

On 3 Oct 2014 13:20, "'lesian mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
yap, wewe unaakili kama za nyerere, ndo maaana unaona mbali, with no lowasa  hii nchi haitakaaa istawi,so naomba niwaamasishe kama tunaitakaia hii nchi mema tumpeni atawale mtu anaeweza, a visioned leader, si hawa wanasiasa uchwara wanaokimbia kujadili matatizo badala ya kutoa suluhisho la matatizo ya watanzania
Mzee angekuwepo hata asingepepesa macho, angesema namtaka Edward, aingie Ikulu kwa sasa na kwa hali ilivyo , anyooshe mambo
anaekaaaa akatae lakini ukweli ndio huo


On Thursday, October 2, 2014 7:31 AM, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:


wasipompitisha ccm tutapata Rais kimeooooo


On Wednesday, October 1, 2014 9:54 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Siku ukiona Huyo jamaa kauchukua urais ujue Mwamnyange anaingia magogoni kuokoa jahazi lisizame
--------------------------------------------
On Wed, 10/1/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Edward Ngoyai Lowassa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa
To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, October 1, 2014, 6:39 PM

Ndugu Elisa,acha kumtumia Nyerere
kama hilizi....mwalimu alifanya mema mengi,lkn pia kuna
mengi alikosea....kama mwalim angelikuwepo
leo,angempendekeza Lowassa,kwan ana kila sifa. Kwa lowassa
ujinga mwingi mlioushuhudia  usingefanyika ...huyo
Salim,hebu msahau kabisaaaa,na ukitaka Tz imeguke,ni hapo
mawazo yako yatapofanyiwa kazi....na kwa kukuambia tu,kama
ikibidi mzanzibar,bas sio Salim ni Shein...ngupula

  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
w
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment