Wednesday, 29 October 2014

Re: [wanabidii] Barua ya wazi kwa wanyonge wenzangu!

Ni vyema kukagua matumizi ya fedha za serikali ila swali ni je huyo mkaguzi yuko free and fair katika vyama vyote including CCM? Namshauri huyo CAG akakague pia mapato yanayopatikana kutokana na kodi za maeneo ya wazi na viwanja walivyojimilikisha CCM mikoa yote Tanzania

2014-10-24 10:14 GMT+03:00 'lucas haule' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Hivi bei ya bangi imeshuka enheee?
--------------------------------------------
On Fri, 10/24/14, mchunguzihuru@gmail.com <mchunguzihuru@gmail.com> wrote:

 Subject: [wanabidii] Barua ya wazi kwa wanyonge wenzangu!
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Friday, October 24, 2014, 10:10 AM

 Barua
 ya wazi kwa wanyonge wenzangu!Nimepata
 kuyasikia haya leo kuwa chama chetu cha ukombozi wa wanyonge
 Tanzania kwa taarifa zilizopo mtaani ni kuwa kimepata hati
 chafu ya matumizi mabovu ya fedha za serikali kinacho pewa
 kama (Ruzuku) kikatiba ili zitumike kuendesha chama
 hichokwetu
 sisi wonyenge hichi kidogo tunachopewa kinaweza kuonekana
 ulikuwa kama mtihani kwetu pindi tukipata kikubwa badae
 tutatumiaje?Fedha za watanzania,fedha za
 wanyonge hao na walal hoi wanao tetewa,fedha zangu mimi na
 weweIkiwa
 ni taarifa toka kwa mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali na
 mashirika ya umma CAG kama alivyo maliza ukaguzi wa vyama
 vya sasa mda usio mwingiMimi kama mnyonge
 nambari moja taarifa hizi zimenishutua sana,kuona kama sisi
 ambao ndo kama watetezi wa wanyonge hata hatukupaswa
 kudhaniwa vibaya achilia mbali kuwa tumefanya au kuhusika
 kushiriki kufanya ili kujenga taswira inayo fanana na
 malengo yetu mbele ya jamiiMambo ambayo ni
 makusudio ya wanyonge walio wengi ilikuwa ni kuona sura safi
 na moyo safi unaoambatana na matendo ya viongozi wao
 kuelekea ukombozi unao lengwaKama wanyonge na
 mnyonge mimi,nimefadhaika sana,tunafadhaishwa sana na
 taarifa hii ni mbayaWanyonge wenzagu
 safari ya ukombozi kama ilivyo dhana yenyewe ni ndefu,ili
 tufike huko katika ukombozi unaokusudiwa isije kuwa kama
 Libya,Misri au kwingineko hatupaswi ku cover up(kufunika)
 mambo kama haya ambayo taswira yake inafedhehesha safari
 nzima na wafuasi wake....kama nilivyo wakumbusheni mara tu
 pale katiba ya chama mara ilipo vunjwa ni lazima sisi
 wanyonge ambao ndo tunawapa nguvu ya kusimama na kutusemea
 tuhoji wale wote wanao husika na hayo,bila kumuogopa papa au
 nyangumi wahusika wapewa adhabu na kulingana na fedheha
 hizi...tukifanya hivyo tutaonda matusi mengi yanayo tupata
 sisi ni chama chetu waliomo kwenye skendo hizo na
 wasio,tabia ya kufunika mambo na kuyatetea yalivyo au
 tumetenda sisi au wengine ni mbaya na ni kwa sababu
 itakapokuja dhoruba itawapeteni nyote waliomo na waiso
 kuwemo, ...kama kweli dhamira na malengo ni sawa na
 tuyasemayo siku zote basi tusifanyeni kama jirani au kwa
 kusema mbona jirani anafanya hivi nasi tufanye vile,,na mda
 ukifika wenye dhamira safi na waadilifu watangulizwe mbele
 kutetea wanyonge sisiMsituone tuna sita
 sita kuwaamini wale wote wanao piga kelele za kuwa ni
 wakombozi wa wanyonge sisi,tunafanya hivyo na ni kwa sababu
 tunazo sababu,tunatambaua na tunapima na tumea na tunazo
 sababu....najua walio wachache hawewezi kutulewa kwa leo ila
 mda ukifika mtatuelewa au wengine kwa sababu ya mahaba
 mazito waliyo nayo wamalewaNi kweli
 tunauhitaji ukombozi lakini ni bora zaidi tukajikomboa kwa
 haya kabla ya kwenda huko mbali ambako nahisi tutakuwa
 tumechelewaMnyonge mimi
 nawatakieni asubuhi njema nikiwa nimefadhaishwa
 sana!



 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment