Upinzani wa kweli nchi za Africa bado maana wapinzani wengi ni tonge kama chama tawala tu. Mtu akikosa cheo upinzani anahamia chama tawala au kuunda chama chake. ujue nia hapa ni tonge.
Kuna kumbukumbu huko nyuma waliungana (1995) hisi sikumbuki uchaguzi wa kwanza au wa pili ila waliungana isipokuwa tamaa ya kila mmojawao kugombea Urais ikawasambaratisha. Tatizo ni mtu mwenye tamaa kuweza kukubali kuiacha ampe nafasi mwingine.
Wanawake nao corrupt kama wanaume. Nilisaidia kesi ya mama mmoja Mkomazi ya kuchukuliwa ardhi yake ambayo mume aligawiwa na kijiji enzi za ujamaa mashamba makubwa kuchukuliwa. Lakini sera ilipobadilika waliokuwa na cutomary land zilizochukuliwa na vijiji wakaanza kuzivamia kuzichukua. Vidhibiti vyote vya mume kupewa na barua za kijiji kumtetea vilikwama na shamba likachukuliwa na huyo mwenye uwezo, kabila moja, koo zinafahamiana. Kuliundwa NGO na mzungu volunteer ya kutetea wanawake hapo vijiji vya kata na alikarabati majumba ya zamani ya Kisiwani sisal Estate wakawa na ofisi nzuri ya NGO kuliko ya Kata. Nikivaa joho la msikilizaji na rafiki kumbe mpelelezi akina mama hao wa NGO waliotakiwa kumsaidia wakimshauri akubali kupokea hela toka huyo mtu ili afute kesi hatoshinda ana uwezo atamkomesha. Ilipofika mahakamani Afisa/karani mahakamani mtetezi wa masuala ya Jamii wa Idara ya Ustawi Jamii (mwanamke) alikuja kumfuata mama tulipokaa kuchukua kitu kidogo/hela ili amsaidie kusaka na file lake. Picha niliyoipata si nzuri. wanawake nao pamoja na matatizo wayapatayo-sio clean ni corrupt wana tamaa hata wale waliopo ktk siasa-rushwa nao inawatawala. Mtoto umleavyo...Wanawake wanatetea fisadi, jambazi, mbakaji. Wanaume corruption na tamaa ya kudumu madarakani pamoja na uzee ndio donda sugu.
Kama hatuwajibiki hata ndani ya familia, kudhulumu mali ya yatima; kumpora mfiwa (ke) mali za urithi na unashuhudia hata kwa msomi aliyepewa dhamana ya kusimamia mirathi-anadhulumu. Nani atatetea uchumi wa nchi? Tujitakase pande zote!!
Wanaungana kijijini wazee wa mila wanatoa ardhi kisiri na watu wa kijijini hapo wanawaogopa wao ni wengi, wazee wa mila ni wawili watatu tu unategemea nini? na hao wanaoingiza wahamiaji haram, wageni wenye bunduki na mabomu kuja kuuza wanaokutwa na garage yenye magari na pikipiki zilizoibiwa ndani ya kuta zao mume, mke na watoto wakibadilisha magari ya ufahari wakati wanajua wamiliki waliuawa yamo uwani kwao wanabadili rangi na namba; tunapopigia kura mafisadi na kuwatangaza wema kuficha uovu wao na kampeni zimeanza; tunapokuwa na matajiri ambao hawaungani kuunda makampuni international yakamiliki mali na kuendesha miradi ya kiuchumi ndani na nje ya nchi kama Dangote bali kugharimia Iftah, Miss Tanzania, Mpira, mlo wa kristmas kila mkoa-vijana bodaboda nguvu kazi zijazane mtaani-unategemea nani ataushika uchumi kama sio wageni wajao. Waungane wachukue mashamba ya mamlaka mbali mbali yanayoota magugu kwa sasa, wakajenge nyumba na godown na processing industries huko, walete wakufunzi wafunze vijana na watoe ajira kwa vijana, omba omba mtaani wakae huko wazuke mapambo yauzwe ndani na nje ya nchi. hata ulaya tunanunua nguo za kutoka nchi mbali mbali-vitenge, tie and dye; unga wa muhogo, mihogo na viazi vibichi, dagaa na samaki hongwe, papa, mbaazi etc vinatoka nje ya nchi hizo nasi Tanzania tunaweza. lakini tupo katika Soda na Juice za rangi maembe, machungwa, mananazi yanaoza vijijini. Nani ataushika uchumi kama sio wageni na makampuni ya kitapeli kununua mazao kwa bei ya kuwaibia wananchi. na makampuni hayo na madalali wao ni ya waafrika, watanzania; ni waume na ndugu zetu. Tunajila wenyewe.
Na tusipobadilika ndani ya ubongo na mitazamo yetu kuhusu haki, maendelehi yetu, kuwajibika kiutu; ushindani kihaki kwa maendeleo ya jamii na taifa-itazidi kuwa mbio za sakafuni tu. Ajabu-kuna baadhi ya hata NGO nchini zina viongozi wasioachilia madaraka toka NGO hizo ziundwe. Vyama vya siasa ni hivyo. Baadhi toka viundwe ni viongozi hao hao kugombania uongozi na Urais kila uchaguzi ujapo hawaachii vijana. unategemea huu muungano wa vyama vya upinzani utadumu. Chama tawala CCM ni hivyo, pamoja na kubadilisha wagombea Urais kila baada ya miaka kumi, bado tunashuhudia viongozi wasataafu above 70+ au 65+ kuonyesha nia na kuanza kampeni. Unategemea mabadiliko gani katika maendeleo jamii na kiuchumi ikiwa daima ni wale wale?
Ndani ya vyama vya upinzani hawaachii madaraka na kuna upinzani ndani ya upinzani na wengine kufukuzwa au kutolewa wanapopinga. Kuna udugu na urafiki kama kawa ya chama tawala-know who ipo pande zote kawaida yetu waafrika. Unategemea demokrasia gani? Na ndio maana nchi za africa vita haiishi, hatujifunzi kutoka kwa wenzetu.
Na hata hiyo ebola inayotuua bado tunashindwa kuelewa tunayofundishwa na hatukubali kuacha kuiba na kukumbatia maiti, kuikosha. Jee kisiasa ambapo vita haviishi na uchumi kuharibika inatufundisha nini?
Ninaona upinzani na wasio wapinzani-manzamane. Upinzani sio kupinga tu-kuonyesha mifano ya sustainable development at grassroot level ya majimbo yao na muungano wao utakuwa wa kweli na watapeta kwa kura. lakini-mifano hiyo haionekani ila maandamano-pamoja na muungano wengi wataona-bora jini likujualo halikuli likakwisha.
Ifike wakati-pamoja na miungano, wananchi na watathimini vyama wavipime sio kwa maandamano tu na kupiga kelele na kukimbilia media bali kwa output ya mipango mikakati ya maendeleo katika majimbo yao. Hii kuungana, kutokuungana isitupe shida ikawa tatizo ya kuchagua kiongozi wa chama kwa KURA-OUTPUT ktk maendeleo kijimbo.
On Wednesday, 29 October 2014, 9:02, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ni kweli kabisa upinzani ni chachu ya maendeleo. Ni rafiki anayekuonya usilale...kumpinga rafiki huyo si mzalendo...Ngupula
'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
--- On Tue, 10/28/14, lucas haule <kisacha2003@yahoo.com> wrote:
> From: lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
> Subject: Re: [wanabidii] ZITTO KABWE - UKAWA NI WASAKA TONGE
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tuesday, October 28, 2014, 10:21 AM
> Amesema mwenyewe au watu wengine
> wamemsemea?
> --------------------------------------------
> On Tue, 10/28/14, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] ZITTO KABWE - UKAWA NI WASAKA
> TONGE
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tuesday, October 28, 2014, 3:27 AM
>
> Kwanza wanaogawana madaraka
> wanatafuta tonge? Ndio ni kweli bwana Zitto ila tuambie
> wewe
> unatafuta nini?
> Ebwana huyu dogo sorry kwa anao wawakilisha nilishasahau
> uwepo wake
> Katika simuliziza uhuru nilizopata toka kwa bibi yangu
> hasa baada kuweka kaperegua ilikuwa ni lile anguko la
> planters enzi africa inapata uhuru sasa na huyu Zitto
> kaanguka kama planters.
> Mwambieni kauli zake zote tunazo tunasubiri utekelezaji
> wake nojawapo ni ileeee ya kutogombea ubunge. Vipi
> ashaamua
> atafundisha chuo gani? Zingine mnazifahamu
> On Oct 27, 2014 1:21
> PM, "'ngupula' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> Katika siasa watu hufanikiwa kwa
> njia nyingi lkn mafanikio ya dhati huja kwa moyo wa
> uzalendo,nia ya dhati na haki. ZITO amechagua kufanana na
> popo,lkn anasahau kuwa popo hutembea usiku tu...mchana
> hujificha. Yeye anatembea mchana,matokeo yake ndivyo
> anavyoanguka..mtu mnafikinafiki hafanikiwi muda wote....n --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Bila nchi yetu kuwa upinzani wenye nguvu sana nchi unaozungumza kwa sauti moja yenye nguvu, taifa itaendelea kuibiwa na wawekezaji. Hii ni kwa sababu tutaendelea kushuhudia taifa likiwa na viongozi wanawake na wanaume wasiowajibika kwa wananchi. Yeyote anayepinga hatua ya vyama shindani (pinzani) kuungana na kuwa na sauti moja, si mzalendo na haitakii mema nchi yetu na hakika ni MSALITI wa maslahi ya umma na MSAKA TONGE ORIGINAL. Watu wa aina hii tutawaona wengi tuendako kuelekea kwenye uchaguzi.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
On Tuesday, October 28, 2014 1:52 PM, 'lucas haule' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
--- On Tue, 10/28/14, lucas haule <kisacha2003@yahoo.com> wrote:
> From: lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
> Subject: Re: [wanabidii] ZITTO KABWE - UKAWA NI WASAKA TONGE
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tuesday, October 28, 2014, 10:21 AM
> Amesema mwenyewe au watu wengine
> wamemsemea?
> --------------------------------------------
> On Tue, 10/28/14, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] ZITTO KABWE - UKAWA NI WASAKA
> TONGE
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tuesday, October 28, 2014, 3:27 AM
>
> Kwanza wanaogawana madaraka
> wanatafuta tonge? Ndio ni kweli bwana Zitto ila tuambie
> wewe
> unatafuta nini?
> Ebwana huyu dogo sorry kwa anao wawakilisha nilishasahau
> uwepo wake
> Katika simuliziza uhuru nilizopata toka kwa bibi yangu
> hasa baada kuweka kaperegua ilikuwa ni lile anguko la
> planters enzi africa inapata uhuru sasa na huyu Zitto
> kaanguka kama planters.
> Mwambieni kauli zake zote tunazo tunasubiri utekelezaji
> wake nojawapo ni ileeee ya kutogombea ubunge. Vipi
> ashaamua
> atafundisha chuo gani? Zingine mnazifahamu
> On Oct 27, 2014 1:21
> PM, "'ngupula' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> Katika siasa watu hufanikiwa kwa
> njia nyingi lkn mafanikio ya dhati huja kwa moyo wa
> uzalendo,nia ya dhati na haki. ZITO amechagua kufanana na
> popo,lkn anasahau kuwa popo hutembea usiku tu...mchana
> hujificha. Yeye anatembea mchana,matokeo yake ndivyo
> anavyoanguka..mtu mnafikinafiki hafanikiwi muda wote....n --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment