
Gikaro;Binafsi nakuunga mkono,hawa jamaa hawastaili kuwa mashirika ya kutoa misaada,wanafanya hivyo kama kichochoo cha upigaji.Otherwise wanaweza kutoa misaada baada ya consent ya wanachama,sijui kama hiki ndicho kinafanyika au utoaji ni maamuzi ya CEOs na Management zao,sababu kama ni social responsibility basi waliyonayo ya kutunza hifadhi...