Hilo la family planning limeleta mzozo huko Nigeria haswa kwa viongozi wa kiislamu wa jimbo la kano ambao waliwahi kupinga wananchi wao wasipatiwe kinga ya polio kwa watoto wadogo sijui huu mzozo uliishia wapi lakini .
Tukija kwenye hili suala la gesi la mafuta ambalo liko hot kwa sasa hivi tunaambiwa kwamba kampuni ya shell ambayo ina mkataba huku Tanzania pia imewahi kutuhumiwa kutoa pesa kwa vikundi vya kihalifu huko niger delta ili watengeneze vurugu halafu waweze kuvuna mafuta na kukwepa kodi kwa kile wanachozalisha hii ndio asili ya migogoro mingi katika maeneo wanayovuna gesi hapa kwetu sijui tumejiandaaje maana vurugu na maandamano yameshaanza huko kusini .
Pia kuna suala la ununuzi wa vifaa vya elekroniki kama kompyuta , ipad , laptop na nyingine nyingi tu hizi ipad ,samsong galaxy na vifaa vingine vinavyotumia alama ya vidole kwa ajili ya kufanya kazi vimekuwa vifaa muhimu kwa ajili ya kuhamisha taarifa za mtumiaji kwenda maeneo mengine hii imeonekana kwenye matukio ya udukuzi huko ulaya kwa watu wanaotumia vifaa vya aina hii kwamba unaweza kuibiwa alama zako za vidole au taarifa nyingine zaidi .
Hili la kompyuta kwanza tuanze kwenye programu , kwa uzoefu wangu nchi za jumuiya za ulaya zinatumia windows xp , 7 na 8 kama kawaida lakini zao zimetengenezwa kwa ajili ya umoja wa ulaya kwahiyo kinachofanyika hawa Microsoft au watengenezaji wa program kuna vitu hawaweki au wanatoa halafu wanawapa umoja wa ulaya wanaongezea vyao kwa ajili ya masuala yao ya kiulinzi na kiusalama nah ii imekuwa hivi kwa miaka mingi .
Hapa nchini ni rahisi sana kukuta ofisi ya waziri ina operating system ambayo haijawa customized kwa ajili ya matumizi ya nyumbani ni rahisi kumkuta waziri anatumia ipad Samsung ya kuteleza na anahifadhi vitu huko baadaye akiibiwa au siri zikivuja wanaanza kushikana mashati wakati maandalizi yanatakiwa kuanzia mbali zaidi ya hapo .
Leo naishia hapa ntaendelea tena .
2013/11/25 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Mjadala huu una umuhimu gani? Yanayoandikwa humu ni nyeti na wa maana sana kwa usalama wa Taifa letu. Hizi scholaship na volunteers wanaokuja na namna wanavyoweza kutumiwa kutudistabilise with remote means na bila kuonekana.Hii ni pamoja na mambo mengi tunayobambikizwa na tukakubali.Wamarekani walimtumua daktari mmoja kujaribu kupata DNA za watu waliokuwa wakiishi nyumba iliyohisiwa anaitumia Mbabe Osama.Wamarekani wametwambia kuna aina ya Pneumonia na kuhara kwa watoto wakatuletea chanjo na sasa inatumika nchini. Tuliona tatizo tukawaomba msaada au wao walikuja na 'kuona' tatizo na kutuanzishia chanjo hiyo.Kuna wakati tulikuwa na Program ya Family planning tunasema atoto wa kike chini ya miaka 20 wajizuie kupata mimba.Wao wakaja na nyingine inasema 'wanawake' kuanzia miaka 15 wachanjwe Tetanus Toxoid. Watoto wa miaka 20 watawezaje kuwa wanawake wa wakiwa na miaka 15???????Hayo yote ni maseala ya ki usalama.Hata hili la Ilani kupitiwa na tume ilikuwa na lengo la kuhakikisha ilani za vyama zinapitiwa na tume ambayo ni rahisi usalama wa taifa kuzipitia pia.Tulilinde taifa letu wote.From: Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Sent: Monday, November 25, 2013 9:46 AM
Subject: Re: Re: [wanabidii] TUZUNGUMZE USALAMA WA TAIFA
Ndugu Elisa ahsante kwa mchango wakoKuhusu tume ya uchaguzi kutoa ilani ya uchaguzi na wagombea wadebate hilo ni muhimu na nzuri sana na itawaweka watanzania wote pamoja na hata wagombea hawatakuwa na haja ya kuwekeza sana .Tumeona kule kenya kwenye uchaguzi wao walidebate zaidi kuhusu vision 2030 kila mgombea alielezea kile anachotaka kufanya kulingana na vision hiyo kwenye masuala ya afya , ulinzi , miundombinu , elimu na mengine mengi sana .Tukirudi kwenye hii mada ya usalama wa taifa , kuna suala linguine la kuangalia kwa umakini suala la scholashipu , exchange programs na kujitolea yaani volunteer .Nchi nyingi za kiafrika zimekuwa zinapokea sana wanafunzi wa aina hii haswa kutoka ulaya na marekani wanaokuja chini ya vyuo vyao au wenyewe binafsi tu , wanapokuwa wanaondoka na taarifa nyingi kuhusu sisi na mambo yetu na maeneo wanayopenda wao ni yale yenye resources huku wanaweza kujenga urafiki na watu wa hapo wakasomesha watoto wao au hata kuwapa scholarships na upendeleo mwingine kwenda kwao baadaye wanaweza kuja kuwa vibaraka wao kwenye maeneo hayo wanapokuwa viongozi au wafanyakazi tu .Hizi scholashipu ni kweli zimekuwa na msaada kwa baadhi ya watu lakini wengi wamekuwa wanafanya tafiti kwa maslahi ya nchi huizo wanazoenda na kulizimishwa kurudi nchini ambapo hawezi kuapply fani hiyo au wengine wanabaki huko huko kufundisha au kufanya mambo mengine , nyingine ndio hizo connections na vikundi vya kigaidi na uhalifu mwingine kutumia fursa hiyo haswa maeneo ya warabuni na asia .
On Saturday, November 23, 2013 8:06:34 PM UTC+3, ELISA MUHINGO wrote:Moja kati ya mapendekezo yangu kwenye katiba ilikuwa hili kuwa kuwe na chombo kinachofanya clearence kwa wagombea hasa ngazi ya Urais.Nilikwenda mbali kupendekeza kuwa katiba yetu itamke taifa kuwa Tume huru ya uchaguzi moja ya majukumu yake iwe kuzipitia ilani za uchaguzi.mfano uchaguzi wa 2010 Ilani ya CCM ilikuwa na jambo la Mahakama ya kadhi. Tukikubali tunaona jinsi jambo hili limeleta hatari na hakuna anayekiri kuwa udinni tuliofikia ulichochewa na ilani hiiHivi mnajimu huyu wa nigeria anatumia nguvu gani Hamsingizii Yesu? Nafikiri utabiri huu ungekuwa ni wa Kristo angemwambia la kufanya ili kuepoka utekaji huo.Naanza kuhisi kuwa labda yeye ni wakala wa wanaopanga kumteka kiongozi huyoFrom: Yona Fares Maro <oldm...@gmail.com>
To: wana...@googlegroups.com
Cc: ELISA MUHINGO <elisam...@yahoo.com>
Sent: Saturday, November 23, 2013 9:34 AM
Subject: Re: Re: [wanabidii] TUZUNGUMZE USALAMA WA TAIFA
Kuna mambo 2 napenda kuongezea kwa siku ya leo .Moja nimeona katika nchi za ulaya haswa marekani viongozi wa huko wanakuwa na security clearance ili uweze kuteuliwa kwenye nyadhifa kadhaa , kama kamati za bunge , kiongozi wa bunge , kiongozi wa upinzani , au mbunge au waziri au hata mkuu wa chuo na hata kugombea uraisi hapa nchini kwetu nasikia kuna kiongozi mmoja aliwahi kuingizwa kwenye taratibu hizo akagoma maana unatakiwa uweke sahihi kabisa lakini alipoenda kwenye chaguzi ni vurugu na malalamiko mengi - ni vizuri hili suala liwe wazi kwa wananchi wabunge na wadau wengine wa sekta nyeti ili tusije kuingiza moto ndani ya nchi yetu .Pili ni suala la Utabiri ambao hutolewa na baadhi ya wahubiri wale wa ndani na hata wa nje , mfano yule wa nigeria tunajua kwamba kwao kuna kikundi cha boko haram chenye uhusiano na alkaida ambao wana uhusiano na alshabab wa hapa afrika mashariki , huyu mhubiri alitabiri eti kiongozi fulani wa afrika mashariki jirani na kenya anaweza kutekwa na mashambulizi mengine ya kigaidi wakati tunajua uhusiano wa boko haram wa nchini mwake na alshabab wa afrika mashariki na wananchi wametokea kuaminishwa vitu hivi sasa hivi unakuta hawaamini tena vyombo vyao vya usalama na idara nyeti kwa taarifa zao mpaka watabiri na wapiga ramri .
On Friday, November 22, 2013 9:58:28 AM UTC+3, ELISA MUHINGO wrote:Ndugu zangu.Natamani mjadala huu ungejadiliwa kwa kina. Unaonekana kukosa wachangiaji kwa sababu watu hawajanuza u-CHADEMA vs CCM ndani yake.Lakini tujue kuwa CHADEMA na CCM zinaishi Tanzania iliyo salama.Ninamshukuru sana Mungu kuona kuwa watu wengine wanaliona hili swala la wageni kuenda maskini na kurudi maskini na kujiingiza kwenye miradi inayoweza kuwaingiza kujua mambo mengi na Taifa likauzwa.Yo a ameongelea ulinzi wa pamoja kwa maana raia kujua mambo nyeti na kuwajulisha wana idara husika.Ningependa kusema kweli na bila ushabiki. Atakayeingiza ushabiki katika kipengele hiki tumpuuze.Wakati wa Serikali ya Nyerere kulikuwa na UZALENDO kwa waTanzania wote. Mtu ungeweza kutoa taarifa nyeti zikafanyiwa kazi. Watu walishirikiana kuilinda nchi. Maana yake mshikamano kati ya sehemu husika tatu (Rais-><- Idara-><-Raia) ulikuwa mkubwa kama mishale inavyoonyesha. Nakumbuka kuongea na rafiki yangu aliye katika idara ya Usalama wa Taifa (sasa ni marehemu) wakati wa awamu ya Tatu akasema 'sasa angalau tunafanya kazi. Unaweza kupeleka taarifa zako zikafanyiwa kazi'.Na hii inaumiza sana watu wanaoona usalama wa nchi unachezewa na wanaostahili kuongoza kusimamia.Mathalan mtu kama unamshuku mtu kwamba huyu mtu anajihusisha na mambo haya mara makanisa mara shule mara nini. wakati unamfikiria uanze kueleza mashaka yako unasikia Raisx kamteua kuwa mbunge au mjumbe wa kitu fulani. Unajipimaaaaa, unaamua kunyamaza huku ukiumia. (sikubakiza).From: Yona Fares Maro <oldm...@gmail.com>
To: wana...@googlegroups.com
Cc: Pius Makomelelo <makomel...@yahoo.co.uk>
Sent: Thursday, November 21, 2013 5:27 PM
Subject: Re: Re: [wanabidii] TUZUNGUMZE USALAMA WA TAIFA
Ndugu zanguSuala muhimu na kujua hapa ni kwamba usalama wa taifa au watumishi wake hawafanyi kazi peke yao wanategemea watu wa sekta nyingine mbalimbali katika utekelezaji wao wa kila siku ingawa wao wanaweza kubeba dhamana kubwa zaidi kutokana na kuwezeshwa na kuwa na taarifa nyingi zaidi na wataalamu mbalimbali waliobobea katika eneo husika wanalofanyia kazi au kuchunguza .Tukirudi kwenye mada yetu kuna hili suala lengine limeliona ambalo mmoja wetu amelitaja hapo la watu kwenda nje ya masomo au hata kufanya kazi na kurudi na pesa nyingi na kuwekeza nchini watu hawa wengine wameshapewa uraia wa nchi hizo na kuna hata mawaziri na wabunge wamewahi kutuhimiwa kuwa na raia pacha na ndio vinara wa kupigia chepe kampeni za kuwa na uraia wan chi mbili .hawa ni rahisi kuhatarisha usalama wa kutokana zaidi na kufanya kazi kwa maslahi na hata maelekezo kutoka huko huko na wengi wanakuwa na taarifa nyingi tu utajiuliza wanazipataje .Hawa wanaoenda masomoni kusoma na kurudi ukija kwenye sekta ya ulinzi na usalama ni hatari zaidi maana kwa uzoefu tunaona serikali nyingi zimepinduliwa na watu wa aina hii au kudhoofishwa angalia Libya , Syria , mali hata utawala wa iddi amin uliondolewa kwa msaada wa Tanzania , angalia RFP ya Rwanda and so on hivi ni vitu vya kuangalia .Mwisho niongelee hili suala la watu kuamini sana hawa wanaoitwa au wanaojiita prophets haswa TB Joshua , mara kadhaa amejiribu kutabiri mambo kadha wa kadhaa kutokea sehemu mbalimbali duniani na juzi juzi ametabiri kiongozi kutekwa ukanda wa afrika mashariki jirani na Kenya .Hapo hapo tunaona kwamba Nigeria imewekeza sana hapa nchini haswa kuzini mwa Tanzania huko mtwara , kwenye mabenki NK na kuna wanamuziki wao wanakuja weekend hii hatuwezi kujua kama lolote linaweza kutokea kutokana na tabiri kama hizi au wenyewe kutumia watu wao wanaweza kutekeleza sasa ni wakati wa kujiangalia upya na kwa umakini zaidi .
On Thursday, November 21, 2013 4:21:33 PM UTC+3, Pius Makomelelo wrote:hivi na haya madudu tunayoyaona yakitokea kwenye idara na sekta nyeti kama hii ya elimu, tena yakikumbatiwa na viongozi wakubwa si yanahusiana na usalama wa taifa? tunadhibiti vipi? au tunasubiri kuwa taifa la mbumbumbu!, eeeh watu wanachapisha vitabu vinavyopotosha; wanabadirisha mitaala wanavyotaka; sasa hata alama na madaraja ya ushindi! ooohps, usalama.............!
From: ELISA MUHINGO <elisam...@yahoo.com>
To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
Sent: Thursday, 21 November 2013, 11:49
Subject: Re: Re: [wanabidii] TUZUNGUMZE USALAMA WA TAIFA
Eneo jingine la kujadili mada hii ni hili:Usalama wa Taifa maana yake nini?Usalama wa Rais? Raia, au nini?Nakumbuka enzi za Mwalimu japo kweli watu walichukulia usalama wa Taifa kama walinzi wa Rais lakini ukweli usalama wa raia ulikuwa usalama wa malengo ya Taifa. Yaani mtu angetishia siasa ya Ujamaa na kujitegemea basi huyo ilibidi afichwe mahali.Sasa tuna malengo gani ya pamoja? Siyaoni.Mtu angeniambia nipendekeze malengo hayo ningependekeza Vision Hii:'Tanzania yenye nguvu za Kidemokrasia, kiuchumi, Kisiasa na kiusalama (kijeshi) katika eneo la Afrika mashariki'.Vision hiyo inafikiwa kwa matumizi mazuri ya raslimali zake zilizopo etc etc etc.Mtu au kikundi chochote ikiwa ni pamoja na viongozi waliopo madarakani angeonekana kuhujumu au kutotimiza hayo basi adhibitiwe na idara hizi za usalama wa Taifa. Kuna maneno yaliyowahi kusemwa kuwa Rais Kenedy wa Marekani alidhibitiwa na vyombo vya usalama wa nchi yake baada ya kuona anaelekea kuishusha heshima ya marekani chini ya USSR. Iwe kweli isiwe ila mfano tu.Ukiangalia sasa mambo kwa namna fulani hayako hivyo. Kiongozi anaweza kuvunja katiba wala hakuna anayeshtuka. Naomba nisimuudhi mtu kwa kusema kuwa ukosefu wa dira umepelekea idara zetu kutajwa kuhujumu taasisi za umma kama vyama vya siasa. Hawana cha kulinda hivyo wanamsikiliza mtu.Nimeharibu????From: Jd ChingaOne <chin...@gmail.com>
To: wana...@googlegroups.com
Sent: Thursday, November 21, 2013 7:38 AM
Subject: Re: Re: [wanabidii] TUZUNGUMZE USALAMA WA TAIFA
Binafsi nitaigusa serikali kidogo ingawa umesema tujadili kama wananchi. Nafikiri kuna umuhimu wa serikali kuingilia upya watu wanaowapa ajira kwenye idara ya usalama, hii ni idara nyeti inayohitaji watu walio makini, siku hizi mtu anaona sifa kutangaza kuwa anafanya kazi usalama wakati zamani ilikuwa mgumu kufahamu hilo, siku hizi hao watu wa usalama ndio wa Kwanza kutoa siri baada ya kuzificha nini maana ya wao kuajiriwa kwenye idara nyeti ilihali hawajui wajibu wao?On Nov 20, 2013 9:39 PM, "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Kuna eneo jingine lihusulo Usalama wa Taifa kwa maoni yangu. Kuna waTanzania wanatoka hapa na kwenda nchi za nje. Wengine malofa. Baada ya muda wanarudi na mitaji. Wanawekeza ktk vituo vya radio, mashule, makanisa nk. Ukichunguza mathalan shule zao utakuta malezi ya watoto pale si maadili ya kiTanzania. Ni rahisi kutoona athari za ki-usalama lakini mtu yeyote anayevuruga mila ya mtu kwa njia hiyo sasa anataka kukumiliki kesho. Lakini muhimu huwa najiuliza wangapi wanaliona hivyo?
----------
Sent from my Nokia Phone
------Original message------
From: Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com>
Date: Wednesday, November 20, 2013 7:07:41 AM GMT-0800
Subject: Re: [wanabidii] TUZUNGUMZE USALAMA WA TAIFA
Ndugu yangu Elisa ,
Sijawafunga kuzungumzia taasisi lakini tunaweza kuzungumzia mie hofu yangu
ni labda mtu anaweza kutumia mada hii kuzungumzia watu wa taasisi kitu
ambacho sio sahihi badala ya kuangalia hiyo ya msingi .
Tukirudi kule ulipoanzia wewe nimefurahia mambo machache nami nitatoa
mchango wangu
Kwanza tuanze na hilo la nchi kupeleka majeshi kuondoa waasisi huko kongo
na baadhi yetu kuonekana kuwa upande wa waasi kwa kuwapamba na kuendesha
chuki za kikabila ndani ya mitandao ya mijamii na maeneo mengi dhidi ya
jamii za kitutsi .
Kwenye hiyo upande wa propaganda lazima tukubali tulizidiwa na tutaendelea
kuzidiwa tusipokaa sawa hapa nazungumzia propaganda kwa usalama wa nchi na
watu wake kwa ujumla na hawa jamaa wa nchi jirani wameshajipenyeza mpaka
sehemu nyeti kabisa ya mitandao yetu ya kijamii ile mikubwa mikubwa na
wamekuwa watoa mada na wachangiaji wazuri hata anaposema jambo anaaminiwa
watu hawa wana blogu na akaunti nyingi tu wako tayari kutumia vifaa hivyo
kwa ajili ya maslahi ya wale wanaowatetea ndani ya nchi .
Hilo ni moja nitakuja kuongeza baada ya kusoma michango ya wengine .
On Wednesday, November 20, 2013 1:53:22 PM UTC+3, ELISA MUHINGO wrote:
>
> naogopa kuwa wa kwnza kucangia katika mada hii nyeti.
> lakini napenda kusema haya:
> Mada hii kama Yona alivyoileta ni pana sana Ukiangalia'kushoto' mpaka
> 'kulia' kwa mada hii unashindwa uanzeje. Tena Yona katufunga tusiongelee
> taasisi.
> nawaza hivi Tuliwahi kuongea sana ndani ya Jukwaa hili kuhusu Usalama wa
> Taifa.
> Wkati Rais alipotangaza kuwarudisha Nyumbani wahamiaji haramu tulilijadili
> na kuwaonya wanaopinga kuwa ndani yake kuna usalama wa nchi yetu.
> Nchi ilipopeleka majeshi kuisaidia DRC na watu wakapinga humu hasa Rwanda
> ilipoonekana kutopenda natumbuka kuna aliyesema majeshi yetu kupigana DRC
> ni kuwadhibiti ambao wangetujaribu kesho. na Iliunganishwa na wahamiaji
> haramu kuwa wasiporudishwa kwao sasa yatatupata yanayowapata waCongo.
> Kama nimechanganya naomba anayesoma achanganue ila ninataka kuonyesha kuwa
> tuliwahi kujadili usalama wa Taifa humu.
>
> *From:* Yona Fares Maro <oldm...@gmail.com <javascript:>>
> *To:* wana...@googlegroups.com <javascript:>
> *Sent:* Wednesday, November 20, 2013 11:38 AM
> *Subject:* [wanabidii] TUZUNGUMZE USALAMA WA TAIFA> Send Emails to wana...@googlegroups.com <javascript:>
>
> Ndugu zangu
>
> Hatujawahi kuzungumzia masuala ya usalama wa taifa kwa ujumla ndani ya
> majukwaa yetu ya kijamii na mara nyingi tunapoongelea basi ni kuangalia
> upande mbaya haswa masuala ya kisiasa zaidi .
>
> Nawaalika kuzungumzia masuala ya usalama wa taifa sio kama taasisi
> naongelea masuala sisi kama wananchi .
>
> Nani Aanze kuleta hoja ?
>
>
> --
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:> Utapata Email ya> email to wanabidii+...@googlegroups.com <javascript:>. wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send anwanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/ groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/ groups/opt_out.--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaTo unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaTo unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaTo unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaTo unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment