Friday, 22 November 2013

Re: [wanabidii] Tido Mhando Mkurugenzi wa Idhaa ya Kiswahili Aljazeera

On Thursday, June 23, 2011 2:16:22 PM UTC+3, Felix wrote:
> Ni habari njema yenye fundisho kubwa kwa watawala wetu. Denis nami huwa najiuliza hivi hawa viongozi wetu wanaenda nje kufanya nini kwani sioni kipya wanachokuja nacho zaidi ya kuendeleza majungu na siasa za fitina. On 23 June 2011 11:49, DENIS NGURUSE <dngu...@yahoo.com> wrote:  Hongera sana bwana Tirdo, nchi yetu majungu mengi ndiyo maana hatuendelei , miimi nipo hukui nje Geneva nimeona watu wanavyojituma na jinsi wenzetu walivyoendelea. Hivi hawa viongozi wetu wakijaga kwenye mikutano huwa hawajifunzi haya ya wenzetu ili wayalete Bongo?HONGERA SANA TIRDO MHANDO. --- On Thu, 6/23/11, Henry Moshi <henrymo...@yahoo.com> wrote: From: Henry Moshi <henrymo...@yahoo.com> Subject: Re: [wanabidii] Tido Mhando Mkurugenzi wa Idhaa ya Kiswahili Aljazeera To: wana...@googlegroups.com Date: Thursday, June 23, 2011, 5:38 AM Bob Marley said, When One door is Closed.......! CCM bado wapo usingizini, wakija kuamka, too late!!! Na huu ni mwanzo tu wa Saa ya Ukombozi.  Hongera Tido na Mungu akubariki. Natumaini utaendelea ku-expose madudu ya Washirikina huko bila kutishiwa wala kuingiliwa. From: Nicomedes M. Kajungu <nicom...@gmail.com> To: wana...@googlegroups.com Sent: Thu, June 23, 2011 11:20:10 AM Subject: Re: [wanabidii] Tido Mhando Mkurugenzi wa Idhaa ya Kiswahili Aljazeera Wow! Habari njema hiyo. Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.From: Barnabas <drbm...@gmail.com> Sender: wana...@googlegroups.com Date: Thu, 23 Jun 2011 08:35:28 +0200To: <wana...@googlegroups.com>ReplyTo: wana...@googlegroups.com Subject: [wanabidii] Tido Mhando Mkurugenzi wa Idhaa ya Kiswahili Aljazeeralink hii hapa http://eastafricaradiousa.com/blog/?p=5103 -- Barnabas Mbogo "Life is a succession of lessons which must be lived to be understood."-Helen Keller -- Kwa Nafasi za Kazi kila siku www.kazibongo.blogspot.com   http://worldngojobs.blogspot.com/ Nafasi za Kazi Kimataifa  Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma  Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Kwa Nafasi za Kazi kila siku www.kazibongo.blogspot.com   http://worldngojobs.blogspot.com/ Nafasi za Kazi Kimataifa  Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma  Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Kwa Nafasi za Kazi kila siku www.kazibongo.blogspot.com   http://worldngojobs.blogspot.com/ Nafasi za Kazi Kimataifa  Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma  Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Kwa Nafasi za Kazi kila siku www.kazibongo.blogspot.com   http://worldngojobs.blogspot.com/ Nafasi za Kazi Kimataifa  Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma  Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Tido and Joseph,naamini Al Jazeera itafuata nyayo za BBC na itakuwa sasa na watazamaji wengi kwanza kwa kujua weledi wako, lakini pia taarifa za haraka na za uhakika. Sometimes wanakuwa wakwanza kuriport zaidi ya hata BBC so Br. All the best!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment