Njovu, Ushauri uliopewa ni sahihi kabisa. Hii ni kwa sababu AC compressor ili iwake na kufanaya kazi ya kuzugussha gesi inahitaji umeme. Umeme hutoka kwenye betri na siyo injini. Betri kwa mfumo wa gari ulivyo iwe manual au Automatic ina kazi ya kuwasha gari, mara gari ikiwaka mfumo unafanya kazi ya kuiongezea nguvu au kuchaji kama ilivyozoeleka. Wakati gari inatembea injini i afanya kazi ya kuchaji betri lakini sasa betri inafanya ya taa kama indicators au taa kubwa kama ni usiku. Hapa ndipo na AC hupata umeme wake. Kwa hiyo utaona kwamba injini iwe betri haiwashi taa au AC bado matumizi ya mafuta ni yale yale kwa kuwa lazima ichaji betri yake. Mara nyingi mafuta ya gari hutumika sana wakati gari inapoongezewa mzigo unaolazimisha mzunguko wa gari kuwa mzito ili kuzungusha tairi zake. Lakini kwa jinsi mfumo wa umeme wa gari na utumiaji wa mafuta bado mafuta ni yale yale uwashe au usiwashe AC. Ila ushauri tu matumizi ya AC sana siyo mazuri. |
From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] MSAADA TUTAN KWA MADEREVAI: UWASHAJI WA AC KWENYE GARI
Sent: Tue, Nov 12, 2013 12:51:39 PM
Logic inaniambia kitu chochote kinachoongeza matumizi ya engine ( extra engine power) lazima kitalazimu kutumia mafuta zaidi. Nina mashaka na ushauri wa engineer wako. Lutinwa Sent from Galaxy Note On 12 Nov 2013 13:42, "Xavery Njovu" <njovucom@gmail.com> wrote: --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment