Kwa ushauri,
Kumlaza mtoto katika chandarua iwe mchana au usiku ni muhimu. Kuna mbu mchana na usiku pia. Mtoto asile takataka au vitu vichafu. ataonekana na malaria hata wadudu kidogo kutokana na kuwepo mbu. lakini tatizo linaweza likawa labda anatamaa, anakula ndala, viatu vilivyopo jirani yake. anatamaa anagusa sakafu na vitu vichafu kicha anatia vidole mdomoni. Kama ananyonya maziwa kutumia chupa-dada anaiwacha wazi inzi wanalamba nyonyo haifuniki. Anamuacha anachezea uchafu akiona wazee wanarudi ndio anamsafisha anamuweka ukumbini palipo safi. Yeye anapunguza kazi ya kufua. au-wapo wadada/walezi wanaoonewa na wazazi/bosi wao kwa kulipa kisasi anamlisha mtoto uchafu. Vipindi vya TV vimetuonyesha haya. Mtoto ataugua sana kama anaishi katika mazingira machafu au kula uchafu. Minyoo humfanya mtoto atapike. Minyo hutokana na binadamu na hata mifugo (paka, mbwa, nd'ombe, nguruwe). Ikizidi huharibu maini, utumbo na hufikia kutokea hata puani. Minyoo ya utepe husababisha kifafa kutokana na kuweka matezi upongoni.
Pia kama unapoishi kuma moshi na vumbi baya mfano vumbi la kuranda mbao, kuchonga bati za magari gerege, moshi wa chemicals kutoka saluni na mosho wa mkaa wa mama ntilie unaojaa ndani ya nyumba maeneo hasa yaliyobanana. mtoto akilala anakula haya yote kuvuta pumzi chafu na ya vumbi la chuma na kemikali. Matokeo ya hewa hii mbaya ni ugonjwa wa pumu au kifafa. Mtoto akichaanza kutambaa tu ni wa kuangalia sana maana anaokota vingi na kutia mdomoni. Tusingatie usafi na kuishi katika hewa safi na kujikinga na mbu. Kuumwa kila mara ni kuathiri mishipa ya fahamu na ya damu, figo na maini. Matokeo ni mabaya baadae.
1) Ni hospital/Dispensary gani ambayo ni affordable lakini wanahuduma nzuri sana kwa uzoefu wako hasa mambo yanayosumbua watoto?
2) Kuna Dr yeyote wa watoto unayemfaham au hospital/Dispensary yake ambayo sio ghali sana anaweza kumpeleka huyu mtoto akachekiwe.
Ni hayo tu na samahani kwa usumbufu wowote
Natanguliza shukrani
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Mungu amsaidie. Ila fanya full blood picture, pima kinyesi pia.
On Monday, 11 November 2013, 9:08, Elly R. <be_kind_rewind08@yahoo.com> wrote:
Kwanza nianze kwa kuwaomba radha wanajamii, inawezekana ishu kama hii hili sio jukwaa lake lakini wahenga walisema palipo na wengi haliharibiki neno na pia post hii inaweza kusaidia pia watu wengine hapa jamvini.
Bila shaka humu kuna watu wenye watoto au uzoefu na malezi ya watoto. Nina mdogo wangu anamtoto wa miezi 8. Kwa kipindi kama cha miezi 2 iliyopita afya ya huyu mtoto imekua sio nzuri. Mara ya kwanza kabisa mtoto alikua anatapika kila chakula anachopewa.
walimpeleka dispensary ya jirani na makazi yao hapo wakampima wakasema ana malaria 2, wakampatia dawa na kumchoma sindano kuzuia kutapika. Mtoto alipata nafuu lakini baada ya muda kama wa wili 2 hivi ile hali ikajirudia. Walienda tena pale dispensary wakampima tena wakasema ana malaria 2 wakafanya kama awali ila safari hii walimbadilishia dawa. sasa hii hali imerudia kama mara 4 hivi na kila wakimpima wanasema ana malaria 2. Wamejitahidi nyumbani kuboresha mazingira ikiwa ni pamoja na kutumia dawa ya mbu, kumvalish nguo mwili mzima hasa jioni n.k bila mafanikio.
Wameniomba ushauri na baada ya kuwasikiliza nikahisi hii inaweza kuwa kuna tatizo lingine pia, baada ya hayo maelezo naomba tusaidiane maswali yafuatayo.
1) Ni hospital/Dispensary gani ambayo ni affordable lakini wanahuduma nzuri sana kwa uzoefu wako hasa mambo yanayosumbua watoto?
2) Kuna Dr yeyote wa watoto unayemfaham au hospital/Dispensary yake ambayo sio ghali sana anaweza kumpeleka huyu mtoto akachekiwe.
Ni hayo tu na samahani kwa usumbufu wowote
Natanguliza shukrani
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment