Yona;
Muhimu kwanza ni kuwa na takwimu sahihi ili kuwa na uhakika kama kweli wanaouwawa nai watz pekee au kuna raia wengine wakiwemo wakenya wenyewe wanauwawa. Matatizo ya uhalifu yamekuwa mengi hapa Africa mashariki na hasa jiji la Dar Es Salaam na ni changamoto kubwa,
Ulivyoliandika ni kama watz Wanauwawa kwasababu ya chuki ,toa uhakika zaidi ili mwisho tuamue cha kufanya.
--------------------------------------------
On Mon, 25/11/13, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] MAUAJI NA UKATILI DHIDI YA WATANZANIA NCHINI KENYA
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, "wanakenya@googlegroups.com" <wanakenya@googlegroups.com>, "Wanazuoni" <wanazuoni@yahoogroups.com>, "youngprofessionals_ke@googlegroups.com" <youngprofessionals_ke@googlegroups.com>, "wanataaluma@googlegroups.com" <wanataaluma@googlegroups.com>
Date: Monday, 25 November, 2013, 6:34
MAUAJI NA UKATILI
DHIDI YA WATANZANIA NCHINI KENYA
Ndugu zangu
,
Kumekuwa na matukio
ya kutisha dhidi ya raia wa watanzania
wanaosoma , kuishi Kenya au kwenda tu kwa ajili ya safari
zao mbalimbali za
kikazi nchini humo matukio haya ni ya kutisha kama sio ya
kuogofya na
ukizingatia hali ilivyo afrika mashariki kwa sasa ya usalama
ndio matukio haya
yanaongezeka .
Binafsi niliwahi
kupoteza ndugu yangu miaka 3 iliyopita kule Mombasa
, huyu ndugu yangu alikuwa anaishi huko na wazazi wake
kwenye biashara ya
mahoteli basi wakamvizia usiku wakaenda wakanyonga mpaka leo
kesi yake
haijulikani ilivyoisha isha .
Wiki iliyopita kuna
mtanzania ameuwawa kinyama alipokuwa
anatoka kwenye ukumbi wa disko , kutokana na maelezo ya
awali wanasema
alishawasiliana na rafiki zake kwamba ndio anatoka ukumbini
kurudi nyumbani
lakini hakufika mpaka alipokuja kuokotwa akiwa ameshafariki
dunia .
Weekend hii ya
kuamkia leo kuna mtanzania amepatikana
hospitali Fulani huko jijini Nairobi akiwa hajitambui kabisa
ikagundulika ni
daktari na mfanyakazi wa wizara ya afya huko Zanzibar mpaka
naandika hivi mkewe
ameshaenda huko lakini hajitambui inaonekana walimpiga na
kitu kizito usoni
upande wa jicho .Hatujui baada ya uhalifu huu wamemwibia
taarifa gani au nini .
Inaonyesha
watanzania wamekuwa target ya uhalifu wa kikenya
haswa jijini Nairobi na Mombasa na muda wote huko serikali
yetu kupitia balozi
wetu huko Kenya hajawahi kutoa tamko lolote wala chochote
hata hii habari ya
huyu daktari pia watu wako kimya sijui wanataka sasa watu
wafanye nini ?
wajilinde wenyewe ?
Hali hii
inanikumbusha kipindi Fulani wakati wa machafuko ya
kibaguzi huko afrika kusini dhidi ya watu wasiokuwa raia wa
afrika kusini ,
siku moja makundi ya vijana wa afrika kusini walikuwa
wanaenda kuvamia kwenye
sehemu walizokuwa wanakaa raia wa afrika magharibi haswa
naigeria hawa jamaa wa
naigeria walikuwa wamejiandaa na silaha zao bastoli ,
bunduki na nyingine
mbalimbali wakawa wanawangoja hawa vijana wa zuma
.
Wale vijana wa
zuma
kuona vile na jeshi la polisi kuona vile
ndio mzozo ukaishia hapo .
Tusingependa itokee
hivi kwa ndugu zetu na jirani zetu hapo Kenya
pale ambapo watanzania watachoka kuumizwa na kuuwawa kwa
kunyongwa kila mara .
Naomba serikali
kupitia waziri mhusika wa mambo ya nje au wa
afrika mashariki na balozi wetu hapo Kenya watoe tamko la
kuhusu kile
kinachoendelea huko Kenya na kuhakikishia watanzania hao
usalama wao huko Kenya
.
--
Find Jobs in
Africa Jobs in AfricaInternational Job
Opportunities International Job Opportunities
Jobs in
Kenya Jobs in Kenya
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment