Naona ipo siku ukweli hasa utabainika juu ya watu mbalimbali wafanyao maovu, na hizi ni dalili za kuelekea huko. Nakubaliana na kamanda kwamba jinai haiozi kwa sababu mambo yanabadilika kulingana wakati. As it goes with the saying that "time will tell"
2013/11/11 mobini sarya <mobinsons@yahoo.com>
--JINAI HAIZEEKI AU JINAI HAIOZI"kwanza nipenda kuwaambia kuwa jinai haizeeki hata hao waliowaumiza akina DK.Ulimboka na Kibanda tutawakamata tu kwani bado uchunguzi unaoendelea………lakini mnapaswa kujifunza kuwa siku nyingine tukio likitokea mtuache tufanye kazi bila presha………hawa watuhumiwa wa Dk.Mvungi tumewakaamata kwa haraka baada ya kubaini kuwa tukio hilo halikuwa na chembe ya siasa…lakini yale matukio yaliyotanguliwa tulishindwa baada ya kuandamwa na mashinikizo hapa tunataka kuchunguza mara tunaambiwa na sisi ni watuhumiwa sasa tutajichunguzaje ndio maana tumechelewa kuwakamata watuhumiwa wale"Suleman Kova akiwajibu wandishi wa habaari leo,kwanini wamefanikiwa kuwakamataa haraka watuhumiwa waliomjeruhi Dk.Mvungi kabla ya wale wa Dk.Ulimboka na Kibanda
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment