Nachelea kwamba hatuna mahakama ya kadhi kwa wakati huu kutekeleza hukumu hiyo. Na hata kama mahakama ya Kadhi ingekuwepo basi yule ambaye hajawahi kuzini awe wa kwanza kumtupia Juma jiwe
On Nov 15, 2013, at 4:58 PM, Fakhi Karume <fkarume@gmail.com> wrote:
Naomba niulize na pia kwa faida ya waislam wengine. kwa mujibu wa sharia ya kiislaam, hukmu anayotakiwa kupewa Kapuya ni kupingwa mawe mpaka afe na jee hukumu ya mtoto aliebakwa ni ipi? Kwa sababu yeye hakufanya kwa hiyari isipokuwa amelazimishwa kwa nguvu na kama alifanya kwa hiyari alitakiwa apigwe bakora 100 bila huruma. Naomba fatwa kwa mujibu wa kuran na Sunna Biidhini LLahi In Sha Allah.
On Friday, November 15, 2013 4:52:39 PM UTC+3, ELISA MUHINGO wrote:Victor hajasoma mlolongo wote kujua mtoto hatua alizopitia. Sheria ya Mtoto ya 2009 inatutaka wote kumtetea dhidi ya Kapuya na wapuuzi wote wanaomuunga mkono. hata wanaoshangaa muda toka 2011. Mtoto huyu kahangaika sana. Tumemjua baada ya kwenda polisi mwaka juzi, Bungeni, CCM. Hii ingekuwa si kosa la mtu huyu RPC angesimama kijeuri kutoa press conference jinsi wanavyotetea watoto.From: Maurice Oduor <mauric...@gmail.com>
To: wanabidii <wana...@googlegroups.com>
Cc: Hildegarda Kiwasila <khild...@yahoo.co.uk>
Sent: Friday, November 15, 2013 4:33 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Kapuya matatani.
CourageVictor,Una roho ya kikatili kweli kweli. I'm glad i don't know you.--
2013/11/15 Victor Mkoma <victo...@gmail.com>
embu fikiria mtu anafanya mapenzi 2011 leo ni 2013 anasema amebakwa! Hv kweli hata kama n ww inakuingia akilini? Huyo mtoto alikuwa anawashwa sana ndio maana alimfuata kapuya hotelin twice na zaidi ya hapo...sasa ameona mapenzi yamepungua ndio anaibuka na hoja ya kubakwa.....pia naweza nikasema n mbinu za cdm za kumchafua kapuya ili awe sare na yule mwenye 77 yrs eti ana mchumba! Sioni kama cdm ina jambo la maana la kuwaeleza wananchi bali mmebakia kuimba taarabu...la zito mmelikwepa sasa mnamtafuta kapuya!
On Friday, November 15, 2013 11:27:28 AM UTC+3, Hildegarda Kiwasila wrote:Sio masuala binafsi ya kumaliza ktk familia-waende mahakamani. Suala hili si la kutaka serikali au CCM iingilie no. Umebakwa-nenda mahakamani usiyamalize kifamilia ya kutaka ulipwe hela umezee. Ndio kesi za namna hii za ubakaji zinashindikana kijijini. Police wanawaambia-kamalizeni nyumbani muelewane, mtu hapa atafungwa maisha au miaka mingi (35). Ndugu nao wanamjia juu mtu wao aliyebaka-unataka kumfunga mumeo (aliyebaka mtoto wa mke-wa kufikia, mdogo wake au housegirl).Hivyo blood money inatumika kesi inaishia, muathirika hapati huduma ya dawa za ukimwi za masaa kadhaa awe amepata kuzuia ukimwi. Mahakamani story ndefu, vidhibiti vya kutosheleza DNA hana labda ataje alama maalum za mtu huyo maeneo ya mafichoni na mwilini sijui inakuwaje. Mungu atusaidie.
On Friday, 15 November 2013, 11:16, Yona Maro <oldm...@gmail.com> wrote:Polisi imesema haya ni masuala Binafsi wakamalizane wenyewe huko kwenye ngazi ya familia .--
2013/11/15 Hildegarda Kiwasila <khild...@yahoo.co.uk>
--Ahsante, ni wajibu wetu tusiseme/tulonge.Tusitegemee serikali ndio iwe inawashikisha adabu hawa viongozi, na sisi wenyewe tuache kujipeleka tushike adabu tujitunze. Usikubali kudanganyika na kutendewa uovu ili upate msaada.Ukimwi upo kwa kiwango cha juu tena cha kushangaza kwa wasomi na wenye hela/kipato cha juu kutokana na maisha yao ya huko nyuma kabla hatujaujua vizuri na maisha yao ya sasa wafanyavyo kwa makusudi.AIDS ipo nyingi katika ndoa za mitala au kuchangia mume/wake na ktk mila potofu za kuchangia wake, kurithi mume au mke mfiwa; kwenye tohara za kuchangia vyombo na wachangiao sindano za madawa. Migodini unaukuta 30% wakati kiwilata ni 10% kimokoa ni 2% na wanakuambia-tuliacha kutumia condom baada ya kuzoeana na hawakupima kabla ya kuoana na kukaa kinyumba wakatembea mara 3-5 wamezoeana. Usidhanie wanaosafiri sana ndio zaidi takwimu zinaonyesha-ambao hawakusafiri wanaongoza kutokana na nyumba ndogo wasafirio mara nyingi hutumia kifao wa nyumbani-bwana wangu Mheshimiwa fulani, Mkuu fulani, Profesa, Doctor, Msanii fulani, head teacher etc. Ina maana ukiwa na cheo au na pesa unaonekana kama vile ipo immune hupati gonjwa hilo. Ukimwi mwingi kwa waganga wa kienyeji ambao kwanza wana ndoa za mitala. hawa wakitembea/lala na wasichana changu doa wanaokwenda kutafuta dawa za mapenzi na biashara zao. wamekufa waganga, vimada na wake zao wanaugua. Wazee ambao walezi wa watoto yatima na wauguzaji watoto/wajukuu zao bila ya kujua wakitoa huduma bila gloves. Ukivaa gloves-unaninyanyasa anaacha au hajui anaambukizwa. Upo kwa wakunga wajadi wanaozalisha vijijini na miji midogo bila ya kuuvua. wanakutwa wanaugua na hana kulea vitoto wala hana mume kumbe kazi yake ya kuzalisha ambao ni + na amejikata nyumbani, hatumii gloves. watoto wa shule unawakuta wanalamba ice cream wanachezea mate wanajifanya misifa mbele ya watu wanalamba pamoja kupokezana hiyo kitu. Bado hao wanaotaka simu ya kubofya na kujipeleka kwa makondakta na hela baadhi wamepewa ya kula-tamaa. mateso ya yatima yanatokana na familia na ukoo kutokuwajibika. Watadhulumu mali, kuuza mashamba ya marehemu hovyo na mengineyo mengi matokea ni yatima kuteseka namna hii na kuteswa na watu katika jamii. anachukua nafasi ya yatima anampeleka mwanae yeye shule yatima anakuwa housegirl anambaka. Jitu zima na yatima anavumilia badala ya kuondoka na kusema aje kusema baadae when it is too late.Wakati umefika tukubali ukweli pamoja na haya ya kujilinda kimwili na kujilinda kiusalama.Serikali itaajiri wangapi kulinda nyumba hadi nyumba ili watu wasibakane, kuoneana n.k? Au-tusiuane kama alivyouawa Dr Mvungi? Ulinzi ni wetu wote. kwa nini usitoe taarifa ya mume mbakaji badala yake hata akikamatwa umtetee? sasa anatetewa Babu Seya na mwanae!!Mume anayejaza pikipiki za wizi uani na unajua kabisa watu wameuawa unakula jiwe? Anajaza gari za wizi, anashiriki mauaji analeta vitu vinavyotajwa radioni/Tv vimeibiwa-kimya!! Anahusika na ujambazi na kusafirisha wahamiaji haramu-wewe ndio mpishi na mtoa huduma-kimya mpaka majirani watilie mashaka waseme wewe unalinda penzi au kulinda kipato. Sote tulinde miili na maisha yetu na tushiriki kikamilifu tusitafute mchawi. Usihusike kupata watu matope ambapo mwenyewe ukijipeleka kufanyiwa uovu na kuchukua mihela.Nawe unayekubali kutendewa uovu una makosa-ndio ujumbe mkuu. Tutakapowachukulia hatua wale nao wanaoruhusu kutendewa uovu tutapunguza matatizo kiasi fulani kwani mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wanamakosa. Mungu atusaidie kukubali ukweli na kujirekebisha ili kuunda na kulea jamii yenye maadili.Na ifike siku tuone wanaharakati wanavamia juu ya jukwaa ambapo wasanii wanacheza na vichupi wanakata mauno na wengine wamevua suruali mpaka magotini wameweweka chupi nje na kuwaingiza hao mahakamani ili upuuzi huu uishe. Kuchachamaa kuipata Mahakama maalum za Kesi za Ubakaji na Mauaji tu ili haki itendeke kwa waliobakwa kweli na waliouawa maana kwingineko rushwa inacheza ngoma kesi huchukua miaka haziishi. Tuje tuone hao wauaji na wabakaji wapete na huko nako. Mungu ibariki TZ.
On Friday, 15 November 2013, 7:48, shedrack maximilian <shedrack_...@yahoo.co.uk> wrote:ahsante mama Kiwasila
-------------------------------------------- To: "wana...@googlegroups.com" <wana...@googlegroups.com>
On Fri, 15/11/13, Hildegarda Kiwasila <khild...@yahoo.co.uk> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Re: Kapuya matatani.
Date: Friday, 15 November, 2013, 3:11
Suala hili linaukweli? Kiongozi
anafahamu kuwa mitandao haina SIRI, jee, ataendelea kutuma
meseji na vitisho na anajua inarekodiwa?
Hata iwe kweli lakini-Ifike wakati wabakwa na wabakaji
washitakiwe wote. kama zile kesi za ubakaji abambo watoto
hujipeleka wenyewe kupanga foleni kuingiwa kutendewa na
kutoka na vijisenti. Ni hivyo imekomaa siku hizi. Vijana
balehe chipukizi wakijua fulani shoga, humwendea na
kumshawishi ili huyo shoga awape hela. Shoga ana bwana wake
kampangia nyumba ila baadhi ya vitoto humfuata ili navyo
vipate pesa kwa kumpa huduma. yaani shoga sasa ndio
anawahonga wao. Na watoto hao hujaa sana kwenye kumbi za
rusha roho kuwasaka mashoga kama vile wadada wanavyowasaka
watu maarufu na watoao misaada. Bure ilikwisha zamani.
Kesi hizi za kumsaidia yatima kwa
kumnajisi au kumtumia ni nyingi TZ. Nilitaja tafiti za NGO
yetu ambayo ilionyesha kuwa-hata wazazi ambao hukopa dukani
au kumkopa mtu na kuwa mdeni tumekuta mtu huyo hunajisi
watoto nao wakamwambia baba akala jiwe. maana anadeni na
hajalipa na anashindwa kumfanya kitu. Sio hawa wa kuomba
misaada tu na wale wazazi wao kuwa wadeni na kulipiwa deni
na mtu fulani.
Kuna wazazi hutumia watoto wao pia kuwauza au kuwa na
mahusiano na viongozi kwa kipato. Wengine anakuwa anataka
cheo fulani au naye apate vibali fulani vya biashara kwa
kumshawishi mkubwa hivyo. Mara nyingine, ukiona uhusiano
umeingia matatizo kipato hakiji -ndio unaanza mashitaka. Au,
suala la kujua fulani ana AIDS-ndio unaanza kuhaha sio
kuanza mahusiano kwa condom. Kwa nini ushitaki baada ya
kujua fulani ana AIDS sio kabla. Kwingine vijijini-akiingia
mwalimu mpya au mfanyakazi mpya kijijini-visichana hata
vidogo hujipeleka. Mijini na miji midogo ndio balaa-msanii
mashuhuri, mtangazaji na
mtu fulani maarufu ktk media watakuwa na kazi kubwa kukwepa
vishawishi na kuombwa misaada na kupata huduma chafu na
mwingine kuachia mimba iingie ili aje kutumia kama kigezi
ktk media. watakao kugombea uongozi wajiangalie-sura za
watoto wasiotunzwa na wasiowajua lakini ni wao zitaanza
kutumika magazetini hiyo 2015.
Unaweza ukakuta mwalimu au extension staff huyo kila kijiji
katika kata yake amezaa mtoto-kisa fedha na mavazi ya
kistaarafu ananukia perfume pia; kuonekana nawe wa wakubwa.
Akiingia Mfugaji (mmasai) mwenye hela-atazaa kila kijiji.
Daktari mpya wa zahanati-foleni ndefu daily wengine hawaumwi
kwenda kujitongozesha na anaonyesha anaumwa huko kwenye
nanihii mradi tu apimwe aanze vituko. waulize madaktari
wanakuambia adha waipatayo. akiingia DC au RC mpya-ofisini
daily -ana matatizo anamuhitaji mkuu. Kuna wanawake
specialization yao ni viongozi. Kuwapata viongozi kwa namna
moja au ingine. Ninamsifu RC mmojawapo (akiwa RC-Mara in
1980s)-alikuwa anawafukuza ofisini na nyumbani na akifika
nyumbani jioni kutaka kumuona mkuu-alituma wale walinzi
police nje wamkamate wampeleke lockup. Hii iliwakomesha
sana. Usishangae kuwa Age at first sexual intercourse
TZ ipo chini sana ila wazazi tu hatujui na hatuchunguzi
watoto. tafiti nyingi zimefanyika nchini na watu na
Taasisi mbali mbali. baadhi ya mila wanatatizo hili
pia kuingilia vichanga (umri mdogo kimila kama
initiation-haijaisha!). Gender-based Violence, Violence
Against Children (VAC) sex included; Commercial Sex Work in
Children (CSEC) ipo TZ na wazazi, walezi wanahusika. sehemu
nyingine wanakojiuza washichana wadogo tu ni Kijitonyama
Sinza na sio mbali na LHRC na ofizi wa NGOs ambazo zipo
against child abuse. Jee, tunatumia raslimali zetu kukaa
nao, kuangalia matatizo yao na kuwasaidia mbinu mbadala za
kusaidia familia zao kujikimu ili familia zitsitume watoto
kuombaomba yakawakuta haya? Prevention is better than cure.
Na hapo ndipo tunataka tena-wanaopata mimba na kuzaa warudi
darasani. Ina maana-tunaruhusu-fanyeni tu!! Na wakipata
mimba-ni HIV/AIDS watarajiwa-maana si kulaumu bali kama
ulifanya tendo bila condom unategemea nini? kama ulimpa mtu
mimba au ulipata mimba-tegemea unaweza ukawa positive. Hivyo
asilimia ya wanafunzi darasani na vitoto vyao ni %-mzigo kwa
familia na taifa. tuwafundishe wadogo zetu, wanetu
kujikinga. Njaa isikufanye ujiuze, ikufanye utafute mbinu
mbadala za kuishi kujiuza ni kujitakia mabaya zaidi.
Unafanyiwa leo, na kesho na keshokutwa na unakwenda mwenyewe
leo ndio uje kushitaki? ipo kitu hapa. Kama ulijua ni uchafu
na dada alijua-vipi uliendelea?
Ukienda machimboni unakuta ktk sample ya watu 160 watu 53
wanaweza kuwa chini ya miaka 18 kuanzia 10-17 hivi. Na hao
wote wameshafanya tendo (33%) ya 160. Watu wazima wote
tayari na asilimia 81 ya wakubwa hao na watoto watakuambia
huchangia sexual partners. Asilimia 100
wanajua ukimwi ni nini na unaambukizwaje na asilimia 90
wameona mtu au ndugu aliyeugua na kufa lakini asilimia
chache less than 30 (29%) watakuambia hutumia kinga ya
condom. Visichana vimejaa vinauza biashara mbali mbali na
kujiuza. kuna haja ya kulielimisha upya taifa kuhusu HIV,
uonevu wa aina mbali mbali kwa makundi mbali mbali na wajibu
wa kila mtu kujilinda mwenyewe. Usitegemee TAMWA, TGNP,
Police wakati unamwacha mtoto anafanya zinaa na kuleta laki
7 unavaa vivalo na matumizi mengine. pamoja na umuhimu wa
kusaidiwa-nawe unastahili adhabu kama huyo mbakaji
anavyostahili. Ni hivi kwa sasa tunaona visichana vidogo
sana vimezaa na kuolewa au kuishia na vibabu vizee vya
kizungu. utaviona pale Mlimani city. huko kwao huyu mzungu
kibabu angekamatwa. Sisi tunaona sifa. wanakuja na maradhi
mbali mbali hawa.
Tumemee zinaa na tuwaambie watoto wa kike na
wanawake-ukilitafuta nawe utalinywa labda ithibitishwe
vinginevyo. Iwe kama hivi sasa inavyowaambia
wanawake na wanaume wanaojichubua na kumeza vidonge wawe
weupe-hakuna Bima ya maradhi yatokanayo na matumizi ya
kemikali kwa makusudi yako!!
On Thursday, 14
November 2013, 18:28, Lushengo Lutinwa<lut...@gmail.com> wrote:2013/11/14 <fatma...@yahoo.com>
I didn't know, he is a
dead case of AIDS. Hii kali.
Sent from Galaxy Note
On 14 Nov 2013 17:48,From: Abdalah Hamis <hami...@gmail.com>
Abdallah
Hata kama kulikuwa na makubaliano kwa umri aliokuwa nao
mtoto ni ubakaji tu
FatmaSent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo
Tanzania Network
Sender: wana...@googlegroups.com+0300To: Wanabidii<wana...@googlegroups
Date: Thu, 14 Nov 2013 17:07:28.com >ReplyTo:
wana...@googlegroups.comKikuwi <kiku...@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: Kapuya
matatani.
jamani tofautisheni
kubaka na huduma ya makubaliano tena mzee alikuwa akihudumia
kwa gharama kubwa sana tatizo lililojitokeza ukimsikiliza
mtoto vizuri utagundua kuwa ameamua ku disclose information
kisa kasikia mzee amewekeza ktk grid ya taifa Tanesco la
sivyo ingekuwa kimya kabisa
2013/11/14 Gaston
Ukisikia matumizi mabaya ya madaraka na ulevi wa vyeo
ndio huo. Africa tuko busy kujitoa ICC, jamani
tutafika?
On Nov 14, 2013 2:49PM, "gloryk kimenye" <glorykki...@hotmail.com> wrote:From: mago...@gmail.com
Mmmmh!!!!! sijui nisemeje mbona
nashindwa kuelewa? haya sasa ni majanga
Date: Thu, 14 Nov 2013 12:28:12 +0300
Subject: [wanabidii] Re: Kapuya matatani.
To: wana...@googlegroups.com
Rgrds
Magora
On Nov 14, 2013 11:00 AM, "Hassan - DSSSend Emails to wana...@googlegroups.comTanzania" <has...@dssdar.com> wrote:
GAZETI - TANZANIA DAIMA
"NI MAMBO YA KUTISHA YAHUSUYO VIONGOZI WETU"
Kapuya matatani
* ADHIBITIWA NA KITOTO KINACHODAI ALIKIBAKA, AKAKIAMBUKIZA
VIRUSI
Na Waandishi wetu
MBUNGE wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM),
ameingia katika matata. Katika kujaribu kudhibiti mtoto wa
shule ambaye anadai alibakwa naye na kuambukiwa virusi vya
ukimwi, mbunge huyo ametoa vitisho vya kuua mtoto huyo na
kujiua kama njia ya kuepuka dhahama inayoelekea kumkabili.
Siku moja baada ya gazeti hili kuripoti habari za mbunge
mmoja (bila kumtaja jina), jana asubuhi Profesa Kapuya
ameibuka na kumtisha mwanafunzi huyo mwenye miaka 16
anayesoma Shule ya Sekondari Turiani iliyoko Magomeni jijini
Dar es Salaam.
Baada ya kujua kuwa mtoto huyo ndiye alitoa habari za
masahibu hayo, ambayo mbunge hakutaka yajulikane, alimpigia
simu mtoto huyo, na baadaye kutuma meseji kadhaa za
vitisho.
Jana Tanzania Daima ilishuhudia baadhi ya meseji za simu
zilizotumwa na Profesa Kapuya kwenda kwa mtoto huyo.
Alfajiri saa 11:21 kupitia simu yake ya mkononi yenye namba
0784993930, Profesa Kapuya alituma
ujumbe ufuatao kwa mtoto huyo: "chagueni kunisubiri
tuje tuongee au mnataka kufa?"
Baadaye saa 1:07 asubuhi, alituma ujumbe mwingine kutoka
simu hiyo hiyo kwenda kwa mtoto huyo, ukisema:
"Mkiuawa, itakuwa nzuri, itawapunguzia gharama za
kuishi. Usitake kugombana na serikali, mtoto mdogo kama
wewe. Sisi ndo wenye nchi yetu.
"Mwambieni Mbowe mwenye hilo gazeti awape nyumba ya
kuishi. Si mmemuingizia hela leo? Mnatumika bure watu
wanaingiza hela nyingi, mmenitibua lazima niwauwe wiki hiii
haitaisha, nitapanga kambi popote.
"Jana si wamekuficha? Tuone kama utalindwa milele. Kazi
ya kulindwa imeisha, maana wameshatengeneza hela. Lazima
mvae sanda. Hilo sio ombi, ni wajibu wenu. Mnajitia mafia
watoto sio? Watoto wetu wanauza unga, nani anawakamata? Nani
atapigana nasi?"
Hata hivyo, baada ya kuhisi kuwa watoto hao wamedhamiria
kumchukulia hatua, na wamewasiliana na taasisi mbalimbali za
kiraia na serikali zenye uwezo wa kumtia adabu, mbunge huyo
alimtumia mtoto huyo ujumbe wa kuonyesha alikuwa anafikiria
kunywa sumu..
Ujumbe huo uliotumwa kwa mtoto huyo saa 11:2 3 ulisema:
"nimwakosea sana, acha nife mie nakunywa sumu nijiue,
na nyie mje mnizike."
Hasira za Profesa Kapuya dhidi ya mtoto hao zilitokana na
hatua ya mtoto huyo na dada yake kufichua unyama wanaodai
kutendewa na mbunge huyo, ambaye amewahi kushika nyadhifa
kadhaa za uwaziri katika Serikali ya Awamu ya Nne.
Tangu alipogundua kuwa mtoto huyo alizungumza na gazeti hili
juzi, saa 5:17 usiku wa kuamkia jana alituma ujumbe usemao:
"Si mpo Bilz? Sasa tupo pamoja na nyie mpaka
usiku."
Baadaye saa 5:31 alituma ujumbe huu: "Hivi
hamkubali kushindwa? Leo ulifuata nini ofisi ya CCM?"
Ujumbe huo ulitokana na ukweli kwamba dada wa mtoto
anayedaiwa kubakwa alifika Makao Makuu ya Chama Cha
Mapinduzi (CCM) juzi asubuhi kuonana na Katibu Mkuu wa chama
hicho, Abdulrahman Kinana, ili kuomba chama kimsaidie
kumbana Profesa Kapuya, ambaye alikuwa ameanza kuwatisha
yeye na mdogo wake.
Hata hivyo, kwa mujibu wa mtoto huyo, Kinana alisema suala
hilo si la chama bali la Profesa Kapuya binafsi.
Mtoto huyo alikataa ushauri wa kupeleka shauri hilo mbele ya
vyombo vya sheria, akidai kuwa jitihada zake zimekuwa
zinazimwa na mbunge huyo anayedai serikali haiwezi kumfanya
lolote.
Alisisitiza kuwa hana imani na serikali, lakini akasema yupo
tayari kuchukua hatua kali dhidi ya Profesa Kapuya iwapo
atasimamiwa na watetezi wa haki za binadamu.
Baadhi ya mashirika yanayotetea makundi kadhaa yakiwamo
Kituo cha Sheria na Haki za BInadamu (LHRC) na Mtandao wa
Kijinsia Tanzania (TGNP) yalijitokeza kumsaidia watoto hao,
ambao ni yatima.
Mtoto huyo na dada yake, wakizungumza na gazeti hili kwa
hofu mafichoni, walisema kwa sasa hawana imani tena kama
kuna serikali nchini Tanzania kwa kuwa wamedhalilishwa,
wametembezwa hadi Bungeni na wabunge bila hatua kuchukuliwa,
licha ya kutoa taarifa katika kituo cha polisi Oysterbay
tangu mwaka jana.
Hata hivyo, kabla ya tukio la watoto hao kuripoti, ofisi za
gazeti hili juzi usiku kulikuwa na watu waliokuja
wakiwatafuta watoto hao, huku wakiwatisha kwa simu na
kuwatolea maneno ya kejeli, wakidai watawamwagia tindikali.
Mmoja wa watoto hao, alidai kuwa miongoni mwa vijana
waliokuwa wanawatisha juzi walikuwa katika gari T170 BGY,
Benz, Cream Metalic, ambayo inamilikiwa na mbaya wao.
Jana gazeti hili lilichapisha habari kuwa
mwanafunzi huyo aliyesema kuwa waziri huyo
alimbaka kwenye hoteli moja ya kitalii iliyoko jijini
Dar es Salaam mwaka 2011, na kurudia tena kitendo hicho
katika Jengo la Biashara Complex lililoko Mwananyamala Juni
3, 2012 alipoitwa kwenda kuchua ada kwa mara ya pili.
Akizungumza kwa uchungu, alisema mbunge huyo alifanya
kitendo hicho kwenye Hoteli ya Giraffe, Jijini Dar es Salaam
mwaka 2011.
Alisema kuwa yeye alikuwa na urafiki na mwanafunzi mwenzake
Zuhura Mwaking'inda. Mwaking'inda amewahi kuwa
Diwani wa Kata ya Sinza Jimbo la Ubungo, Jijini Dar es
Salaam.
Kwa mujibu wa mwanafunzi huyo, rafiki yake (mtoto wa
Mwaking'ida) alikuwa amepooza hivyo alikuwa analazimika
kumhudumia hali iliyowaunganisha hadi huyo mtoto alipochukua
jukumu la kumtambulisha kwa baba yake ambaye naye
alimtambulisha kwa Kapuya ili aweze kumsaidia fedha kwa jili
ada.
Mwanafunzi huyo alisema baada ya kutambulishwa aliitwa
katika hoteli moja jijini Dar ambapo baada ya kufika
mapokezi wafanyakazi wa hoteli hiyo walimkataza
kuingia chumbani katika maana kwamba umri wake alikuwa mdogo
(mwaka 2011 alikuwa na miaka 14), lakini Kapuya aliamrisha
aje chumbani pamoja na dereva na kumwingiza kwa nguvu.
Akiwa chumbani alimlazimisha kulala naye kisha kumpa sh laki
saba, badala ya sh elfu sitini na saba kiasi ambacho
kilikuwa ndio mahitaji halisi ya ada.
Mwanafunzi huyo amesema baada ya muhula mmoja aliitwa tena
na mbunge huyo katika Jengo la Biashara Complex lililoko
Mwananyamala tarehe 3 June 2012, ambapo pia alimlazimisha
kulala naye kwenye zulia la ofisi yake, kisha kumpa sh
350,000/.
Alisimulia kwamba wakati anatoka kwa huzuni ofisini kwa
mbunge huyo, mmoja wa wahudumu wa hapo alimuuliza kwanini
anatoka kwa huzuni, alimweleza kisa hicho, na huyo mama
aliangua kilio kwa kumwambia "mwanangu umekufa pole tu,
huyu baba ni muathirika wa ukimwi".
Aliongeza kuwa baada ya kuambiwa vile alilia na kufanya fujo
hapo mapokezi hadi alipokamatwa na walinzi wa kisha
kupelekwa kituo cha polisi kufunguliwa mashtaka, lakini
akiwa polisi alipoeleza mkasa wote, Polisi walilazimika
kumwita Kapuya na wakawasuluhisha kwa makubaliano kwamba
Kapuya atakuwa anamlipia ada, na kumpa pesa za matumizi sh.
laki tatu kila mwezi, jambo ambalo amekuwa akilitekeleza
kupitia simu yake ya mkononi 0755993930.
Kwa mujibu wa mwanafunzi huyo, 24 Januari 2013, alifika mtu
nyumbani kwao mtu mmoja (jina tunalihifadhi) na
kujitambulisha kuwa yeye ni jambazi na kuwa alitumwa kwenda
kuwaua kwa malipo ya sh. milioni 50, lakini alipokuta ni
watoto wadogo aliwasamehe, na kusema yeye ni jambazi sugu
hawezi kupoteza nguvu zake kuua vitoto.
Alienda akiwa na bastola, maji kwenye chupa yanayodhaniwa
kuwa ni tindikali na bomba la sindano. Kwa mujibu wa mtoto
huyo, jambazi huyo anasema kuwa tayari alilipwa milioni 15
za awali.
Mtoto huyo alisema jambazi huyo aliwambia kuwa yeye ni
rafiki wa mtoto wa Kapuya na wanamfahamu vizuri, lakini
hataweza kuaua baada ya kubaini kuwa wao ni yatima tu.
Hata hivyo kufikia mwezi Februari mwaka huu, mtu
asiyefahamika alienda nyumbani na kutelekeza gari aina ya
T.199 BGY Mercedes Benzi ya Blue wakati wanafunzi hao wakiwa
shuleni, kisha kuacha ufunguo kwa jirani yao kwa maelekezo
kuwa wakifika awapatie.
Na Kapuya aliwapigia simu kuwaarifu kuwa amempa zawadi ya
gari kwa ajili ya matumizi ila yeye na dada yake
wanaruhusiwa kuuza ili wapate pesa kwa ajili ya mahitaji
yake siku zilizosalia, kwani muda sio mrefu baada ya uchguzi
mkuu 2015, Kapuya atakuwa Waziri Mkuu, hivyo itakuwa ngumu
yeye kumtumia huyo binti pesa kama alivyoelekezwa na jeshi
la polisi kituo cha Oysterbay.
Baada ya mwanafunzi huyo na dada yake ambaye ana umri wa
miaka 20, kupewa gari walishindwa kulitumia hivyo kutoa
taarifa polisi kwani kwa kupokea gari hilo ilikuwa ni
kuwatelekeza kwani yeye hana hata hela ya kuweka mafuta ya
gari, hivyo walienda polisi ili kesi ipelekwe mahakamani
kumshtaki kapuya.
Polisi wa Oysterbay walikubali kulipeleka tatizo hilo kwa
Katibu wa Bunge, ambaye alimwita mwanafunzi huyo na mdogo
wake waende Dodoma kukutana na Kamati ya Haki, Maadili na
Madaraka ya Bunge ingawa walipofika Dodoma walikaa na kamati
ya hiyo kwa maelezo kuwa Kapuya hakuwepo hadi Bunge
lilipoisha walirejeshwa Dar es Salaam.
Mtoto huyo na dada yake alitoka ofisi za CCM lakini akiwa
anaelekea kituo cha basi alithadharishwa na mwanafunzi
mwingine kwa haraka kuwa akimbie kwa kuwa atamwagiwa
tindikali na watu waliokuwa wanamfuata nyuma, alikimbilia
katika mtaa wa Hoteli ya Star light kisha aliomba msaada
baada ya kupotea njia na hivyo alisaidiwa na mama mmoja
kufikishwa chumba cha habari cha Channel Ten.
Ni katika chumba hicho ndio mwandishi wa habari hizi alienda
na kuwakuta watu wawili hao waliokuwa wanamhitaji binti huyo
lakini walikatazwa kumchukua.
[http://ehelp.infodynamic.net/Expo2020.png ]
________________________________
DISCLAIMER
This email and any files transmitted with it are
confidential and intended solely for the use of the
individual or entity to whom they are addressed and
unauthorized dissemination is prohibited. If you have
received this email in error please advise by return email.
It is the recipient's responsibility to maintain
suitable anti-virus mechanisms to protect its computer
systems and we do not accept any liability or responsibility
whatsoever for any claims, losses or damage arising out of
any unlikely transmission of virus. All business is strictly
undertaken subject to our standard trading terms &
conditions, copies of which are available on request. This
email is being sent in the capacity of AGENTS ONLY.
--
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsub...@googlegroups.com from it, send an email to wanabidii+unsub...@googlegroup
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emailss.com. Send Emails to wana...@googlegroups.com

wanabidii+unsub...@googlegroups.com Utapata Email yawanabidii+unsub...@googlegroup
kudhibitisha ukishatuma

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email tos.com. Send Emails to wana...@googlegroups.com

disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email tos.com. Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsub...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaTo unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsub...@googlegroup
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.s.com.
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaTo unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group..
--
Find Jobs in Africa Jobs in AfricaInternational Job Opportunities International Job OpportunitiesJobs in Kenya Jobs in Kenya
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaTo unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.. --
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out .
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out .--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment