Saturday, 23 November 2013

Re: [wanabidii] CCM WAMPONGEZA ZITTO KABWE KWA KUIVURUGA CHADEMA

Mmmh siamini nchimbi ashindwe kuandika warioba akaandika waryoba. Hata Nchemba akiwa katingwa na lugha ya nyumbani hawezi kuandika alivyoandika. Tututmie akili tu. Huu ni ubwege. Email address ya Mwigulu siyo hiyo iliyotumika hata kwa akili ya kitoto kwanini iwe shimbi85? Huyo ni dogo tu kazaliwa 1985 kwa akili ya kawaida unagundua hilo

On Nov 24, 2013 7:45 AM, "Magora Hassan" <magorah15@gmail.com> wrote:

Lets wait and see

Rgrds
Magora

On Nov 24, 2013 7:41 AM, "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Ume onclude mapema magora. Nami nafikiri ni IT. Lakini kwa hali tuliyo nayo ili mradi MN na EN hawajakana kwa maneno yatakayoaminika yaweza kuwa ni kweli. Na tukitaka kuwa salama tuamini kuwa ni kweli til proved otherwise. Kama ni kweliTaifa hili linaongozwaje? Na watu wanaoweza kula njama kuhujumu taasisi za Umma kama Chama cha siasa! Huu sio uhaini? Kama uhaini unafanya na  hawa hivi na asiwepo wa kuchukua hatua wewe unaweza kuendelea kusafiri na mtumbwi huu katika bahari hii????
 
Watanzania tunahitaji kujadili ustawi wa Taifa letu na namna taasisi hizi ikiwa ni pamoja na vyama vya siasa vinavyotusaidia kustawisha taifa letu. Tukivishabikia vyama vya siasa kupita mipaka tutakuja kujikuta hatuna taifa hivyo hatuna pa kushabikia vyama hivi!!!!!

From: Magora Hassan <magorah15@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, November 24, 2013 4:38 AM
Subject: Re: [wanabidii] CCM WAMPONGEZA ZITTO KABWE KWA KUIVURUGA CHADEMA

Apo ni kiini macho tu watu wanajaribu kufumba macho tuamini kuwa wailixhofanya ni sahihi.mambo ya IT hayo hakuna jipya
Rgrds
Magora
On Nov 23, 2013 9:09 PM, "Magiri paul" <kiganyi@gmail.com> wrote:
Hizo arafa kama ni za kweli kuna haja ya kujitafakari upya!!
On Nov 23, 2013 8:57 PM, "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Are these true information?????.
Kama ni kweli basi huenda siasa haiwezi kulirekebisha taifa. Ndiyo, ni maneno ya kukata tamaa, lakini sikutarajia ninaowaona kuhusika na kashfa hii. Zamani zile Nixon wa USA alivuliwa madaraka kwa kukihujumu chama cha upinzani na Rais aliyembadili (F0rd) alipomsamehe akanyimwa kura uchaguzi uliofuata. Jambo hili nakumbuka kulipendekeza katika katiba mpya na sikuliona vizuri katika rasimu.
Na hapo wanaposema '......... tutapata Katiba tunayoitaka....' ni baada ya Mvungi au? Sijaelewa

From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, November 23, 2013 6:32 PM
Subject: Re: [wanabidii] CCM WAMPONGEZA ZITTO KABWE KWA KUIVURUGA CHADEMA

Dah,
Nildhani utani lol!
On Nov 23, 2013 6:23 PM, "Pauline Mengi" <paulinemengi@gmail.com> wrote:
Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " <shimbi85@gmail.com> >
To: "Emmanuel Nchimbi" < nchimbie@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote: 

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde 

MN 

2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchimbie@yahoo.com

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma 

Sent from my ipad 

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com> wrote: 

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment