Kama amesahau security questions hapo hana namna ya kutoka, mwambie tu tu wakati ujao kama atafungua akaunti nyingine ajitahidi kutunza kumbukumbu za taarifa muhimu zitakazomsaidia kurecover account yake kama itavamiwa.
Bupe
On Tuesday, November 6, 2012 3:42:21 PM UTC+3, Jonas Kiwia wrote:
--Wadau naomba msaada.Kuna changamoto nimekutana nayo.Rafiki yangu Email yake ya Yahoo iko blocked. Sasa cha kufurahisha amesahau security questions alizoweka wakati anacreate email.Sasa nakwama hapo.Kuna mwenye kuweza kunisaidia hili??Regards,Jonas Kiwia | DirectorSpeedy ComputersTel:+255 754882825 | Cell: +255 715882825 |
P.O.Box: 55133 | Dar esSalaam | Tanzania
Email:jonask...@gmail.comURL:www.speedycomputersonline. com
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment