Tuesday, 6 November 2012

Re: [wanabidii] JK ANATUPA MOYO - NI KOMANDA KWELI MWENYE HURUMA!

Nafikiri ameshindwa kujieleza. anachomaanisha nilivyoelewa na kukubaliana naye ni kuwa KUBADILI KATIBA na kuongeza vipindi vya uongozi wa Rais kwa sababu amekwenda kumuona mgonjwa hospitali ukweli nuo ni upuuzi. Nafikiri ndiyo maana yake

--- On Tue, 11/6/12, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:

From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] JK ANATUPA MOYO - NI KOMANDA KWELI MWENYE HURUMA!
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, November 6, 2012, 10:44 AM

Hivi ule uhuru wa mawazo kumbe haupo?? mtu akizungumza anachoamini ni upuuzi. Kweli tuna safari ndefu. Nafikiri kama ni upuuzi ulipaswa ukiishasoma futilia mbali lakini kitendo cha kujibu na kuona ni upuuzi inawezekana kinyume chake ukawa unahusika. Ni bora kama mtu kaongea unachoona ni tofauti na unachoamini basi wewe jitoe kaa mbali kabisa

2012/11/6 Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>

Watu wengine basi punguzeni posts zenu humu.Sasa mnaleta vitu gani hivi?anyway,akili ni nywele na kila mtu ana zake.But please,tuletee post zenye akili na si upuuzi huu.

------------------------------
On Tue, Nov 6, 2012 8:09 PM EET Said Issa wrote:

>Kama Katiba ingeliruhusu basi JK tungelimuachia aendelee kwa miaka 5 myengine. Ni mtu kweli!
>"Rais ambaye amerejea leo Jumanne Novemba 6, 2012 akitokea katika ziara ya kikazi 
>ya takriban juma moja katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Singida", bila hata ya kupumzika 
>
>amjali raia wake aliehujumiwa japokuwa ni wa UAMSHO!!!
>
>
>  http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/11/jk-anatupa-moyo-ni-komanda-kweli-wa.html
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment