Tuesday, 6 November 2012

Re: [wanabidii] Re: YAHOO EMAIL ACCOUNT BLOCKED

Mara nyingi kupata pwd yako upya inategemeana na nia ya yule aliyeingilia Account hiyo .

Kama unashindwa kujibu maswali ya siri inawezekana yule aliyeiingilia amebadilisha swali la siri na jibu lake au amebadili jibu na mambo mengine uliyoandika wakati wa usajili ili yeye aweze kutumia anuani yako kwa shuguli zake za matangazo kwa wepesi zaidi .

Hiyo inaitwa Compromise , unapochagua hatua ya kurecover anuani yako unatakiwa uchague hiyo unaweza angalau kufanikiwa lakini sina uhakika sana ingawa wengi wamefanikiwa .

Siku nyingine usitumie anuani hizi za Bure haswa yahoo ambayo imekuwa ikivamiwa mara kwa mara na kubadilishwa taarifa , kusajili domain ni rahisi sio zaidi ya laki 1 kwa mwaka  hii utakuwa na uhuru nayo na utaweza kupata msaada masaa 24 .

Kama unatumia hizi basi bora uwe na mbili au 3 kwa ajili ya masuala mbalimbali au utumie kama namba za simu na anuani nyingine kuweza kufanya anuani yako kuwa salama zaidi .

2012/11/7 Bupe Berrums <bberrums@gmail.com>
Jonas,

Kama amesahau security questions hapo hana namna ya kutoka, mwambie tu tu wakati ujao kama atafungua akaunti nyingine ajitahidi kutunza kumbukumbu za taarifa muhimu zitakazomsaidia kurecover account yake kama itavamiwa.

Bupe

On Tuesday, November 6, 2012 3:42:21 PM UTC+3, Jonas Kiwia wrote:
Wadau naomba msaada.
Kuna changamoto nimekutana nayo.Rafiki yangu Email yake ya Yahoo iko blocked. Sasa cha kufurahisha amesahau security questions alizoweka wakati anacreate email.Sasa nakwama hapo.Kuna mwenye kuweza kunisaidia hili??
 
Regards,

Jonas Kiwia  |  Director
Speedy Computers
Tel:+255 754882825  |  Cell: +255 715882825
P.O.Box: 55133  |  Dar esSalaam  |  Tanzania
Email:jonask...@gmail.com  URL:www.speedycomputersonline.com
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment