Tony
Nilisema leta ushahidi wa hicho uilchokuwa unashadidia,mbona hii listi inatofautiana ile iliyowekwa na mwanzisha mada?
Tony ,tunaweza kuendelea sasa
2012/11/21 Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com>
Naona kuna thread inayojitegemea katika forum hii inayotoa majibu ya Chadema katika suala hili: Nimeyaleta hapa ili twende pamoja:
Na Tumaini Makene
Moja ya kazi ambayo CCM na washirika wao wa kisiasa nje ya chama
hicho, wamekuwa wakijaribu kuiaminisha jamii ya Watanzania kuwa
wanaiweza ni kusema uongo. Kudanganya. Na kwa siku au miaka ya hivi
karibuni, hasa kwenye mfumo wa kisiasa wa vyama vingi, wamefikia hatua
ya hatari zaidi. Wanaweza kusema lolote, wakafanya chochote, almuradi
kukidhi political expendiency yao. Na mara nyingi huwa ni hoax au
quick fix, hata kama taifa na watu wake wataangamia.
Mfano dhahiri ni elements za udini na ukabila zilizoanza kujionesha
kwa muda fuoani sasa. Lakini hasa zikianza wakati ule CUF kilipokuwa
kikikubalika miongoni mwa jamii kubwa ya Watanzania. Wakati kulipokuwa
na ombwe, zikafifia. Zimerudishwa tena na CCM baada ya Watanzania
wengi kujibainisha na CHADEMA kama tumaini lao jipya.
Nani asiyejua kuwa kwa sasa nguvu kubwa ya Watanzania juu ya matumaini
ya mabadiliko makubwa ya kimfumo na kiutawala imelalia kwa CHADEMA?
Kiasi cha kukaribia kuvunja mizani ya upimaji wa mizania ya kisiasa,
linapokuja suala la kulinganisha CHADEMA na CCM?
Wakati taifa likiwa kwenye mtanziko wa elements za kijinga na
kipumbavu, zinazolazimishwa kuwepo, za udini na ukabila, CCM
wameendelea kuchochea kuni. Wakati wanachochea wengine wetu kwa kujua
au kutokujua, tumejitahidi kweli kusogeza kuni zaidi, lakini walio
mabingwa wanasogeza na petroli kabisa.
Chochea kabisa. Choma taifa. Unguza ikibidi. Lipua nchi, lipua. Majivu
yatabaki, eti ili kuokoa CCM ipone dhidi ya CHADEMA. Isiondolewe
madarakani.
Matokeo ya kuchochea huko ni kama moja ya thread iliyoanzishwa hapa JF
ikieleza kile kinachodaiwa kuwa safu ya viongozi wa CHADEMA matawi ya
vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini.
Nitaweka some facts hapa kuonesha uongo huo wa hatari kabisa wa CCM
kulazimisha watu wajadili ukabila. Na kwa sababu natambua msukumu huo
wa kuwataka watu wadumae akili wajadili dini zao na kabila zao kama
vile ndiyo sababu ya gharama za maisha kupanda, kuongezeka kwa
umaskini, ukosefu wa maisha bora, kuminywa kwa haki za binadamu,
sitaingia huko...
Hapa chini nitaweka majina baadhi ya viongozi wa matawi ya vyuo vikuu.
Usiku nimelazimika kufanya kazi ya hovyo kabisa, kumuuliza mtu
anatokea sehemu gani ya nchi na kabila lake, kwa ajili ya kujenga
hoja. Lakini ili hoja ibaki na mashiko sitaingia kwenye mtego ambao
CCM wanataka kila mtu aingie, kujadili kabila au dini ya mtu badala ya
sifa zingine za msingi katika uongozi, kama uwezo na uadilifu.
Kosa la kwanza kabisa katika thread ile iliyoanzishwa makusudi
kuendeleza propaganda chafu za ukabila dhidi ya CHADEMA ni kusema kuwa
Viongozi hao 'waliopangwa' watakisimamia chama kwa miaka 5. This is
rubbish.
Hivi mwanafunzi yupi anakaa chuoni zaidi ya miaka 5! Ukweli ni kwamba
uongozi wa CHADEMA katika matawi yote ya vyuo vikuu huchaguliwa kila
baada ya mwaka mmoja. Na hili linaeleweka kwa kila mtu anayejua nature
ya masomo ya chuoni au hata kuanzia shule za kawaida, ambapo kila
mwaka lazima kuna watu wanaondoka baada ya kuhitimu.
Tunakuja kwenye majina. Hakuna haja kabisa ya kutaja kabila la mtu
hapa, wala anakotokea. Maana hazikuwa sifa zao wakati wakiomba
kugombea na baadhinyao wakachaguliwa miongoni mwa wengi waliojitokeza.
Umuhimu wa kuweka rekodi sawa hapa unatokana na ukweli kuwa katika ile
thread nyingine, umesemwa uongo kwa kutaja majina ya watu kuwa ni
viongozi wa chama katika matawi ya vyuo vikuu wakati si kweli, huku
viongozi halisi wakiachwa.
Chuo Kikuu MZUMBE
Mwenyekiti ni Roda Edward
Katibu ni Bariki Mwakibete
Chuo Kikuu cha UDOM
Mwenyekiti ni Nchimbi Method
Katibu ni Malale Sende
Chuo Kikuu cha Mwenge
Mwenyekiti ni Abel Dendwa
Chuo Kikuu cha SAUT
Mwenyekiti ni Patrobas Paschal
Katibu ni Makoko Obadia
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT)
Mwenyekiti ni Paul Ndeje
Katibu ni Masuala Masaga
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph - Thobias Leizer
Chuo Kikuu cha Jurdan - Newton Chamkongo
Chuo cha Mtakatifu John
Salvatory Sege
Leiza Maige
Chuo Kikuu Kishiriki DUCE - Atupele
Watakaotaka facts zaidi kwa ajili ya constructive criticism and
critiques waseme tuwaongezee. Watakaotaka kuendelea kujadili ukabila,
udini, rangi au eneo analotoka mtu kama vitu vya msingi sana kwao
katika kujadili viongozi bora waendelee.
Wengine tutajadili sifa za muhimu za kiongozi bora ambaye inawezekana
akawa hana dini kabisa au hajui mlango wa msikiti au kanisa mara ya
mwisho ulibadilishwa lini au huenda hata kabila lake halijui.
Haya tunayoyashuhudia sasa ni mwendelezo wa matokeo ya chama au wana
CCM wanaotapata na kupigania roho zao, wakiliona anguko kuu. Baada ya
kuona kimeshindwa kusimamia misingi ya utaifa na hasa misingi ya amani
na utulivu, CCM wako katika hatua za mwisho mwisho ambazo watawala
wengi hupitia na wako tayari kusema au kufanya lolote...lolote lile,
ikiwemo assassinations (za aina zote, ikiwemo character)
Amani na utulivu, Mwalimu Nyerere, in one of his radical speeches,
anasema vilijengwa juu ya misingi ya haki na matumaini (then, based on
Azimio la Arusha). Kama watu hawaioni haki na matumaini hawana,
usitegemee amani na utulivu na Watanzania watakuwa wapumbavu
wakiendelea kukubali kutawaliwa katika hali ya namna hiyo.
Wote wangekuwa ni Wachagga
Nataka tu kuweka rhetoric questions hapa. Kwani wangelikuwa wote ni
wachaga kulikuwa na tatizo gani? Wapiga kura wote walikuwa wachaga?
Wachaga hawana haki ya kuchaguliwa na kuchagua? Hivi wakikutana watu
wengi kuchaguana wakamuona Mchaga au mwislamu au mkristo au mpagani,
ndiye mwenye sifa na anafaa kuwa kiongozi wao kati ya wengi waliopo ni
nongwa? Ni tatizo? Where does this character assassination comes from?
So what?
Inawasaidiaje hawa watawala waliochoka? Je wananchi waliochoka zaidi
kutokana na maisha magumu badala ya maisha bora wanawaelewa watawala
wanavyowawekea pilipili machoni na kuwaongoza shimoni?
Mambo yameanza kuwa mabaya, nasikia tetesi kuwa imefikia mahali ndugu
zetu hawa wanalazimika kuficha majina yao wanapotafuta kazi. Hawasemi
tena au kutumia majina yao ya kiukoo kama walivyopenda huko nyuma. No
justice, no hopes, CCM inaua taifa hili. Mtambue hao hao mnawaambia
chama cha kikabila hao hao mnawaambia chama cha kidini, mnasahau kuwa
miongoni mwa waislamu kuna wachaga na miongoni mwa wakristo kuna
wachaga, so as to every religion and tribe, ndani ya nchi hii.
Lakini juu ya yote, wachaga ni akina nani hasa? Hivi kuna mtu amezuiwa
kuwa na aggressivennes kama ya warombo, wamachame, na wakinga na
wengine wa namna hiyo katika kutafuta mafanikio kupitia biashara,
kutokana na nature ya mazingira waliyokulia?
Watu wanahitaji haki na matumaini kutoka kwa viongozi wao si umahiri
wa kutunga vitu na kuligawa taifa vipande vipande kuiokoa CCM.
Wanataka badala ya kujadili kushindwa kushughulikia ufisadi, kujivua
gamba, maisha magumu na madai ya makundi mbalimbali ya kijamii kudai
haki na uwajibikaji, tuanze kujadili dini, kabila, ukanda na.
Hawatafanikiwa.--2012/11/21 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>Willy,
Hivi unataka kusema wote uliowataja walikuwa nazo nyingi wakiwa shuleni/vyuoni? Wengi wamejanjaruka baada ya kumaliza vyuo na wengine wamesukumiwa humo bila kujua.
Hivi mfano, uchumi unaendeshwa inavyotakiwa? Hivi sekta ya nishati inakwenda inavyotakiwa au sekta ya elimu na sehemu nyingine nyingi? Siasa sio lazima uwe na akili nyingi ni kuwa na udiriki wa mambo mkubwa. Mfano Kagame hajasoma kihivyo na wala sio profesa, lakini akili za kawaida na kudiriki kwake ni kukubwa kiasi kwamba anasukuma mambo ipasavyo.
Maana yangu ya kusema wanasiasa sio lazima wawe na akili darasana alivyobashiri dada LK, bali ni uwezo wa kudiriki na kutambua matatizo na suluhisho lake. Kubwa ni kutopenda kufumia tumbo, tatizo la walio wengi, wenye na wasio na akili nyingi.Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.From: Willy Makundi <wrlmakundi@aol.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Wed, 21 Nov 2012 03:26:42 -0500 (EST)ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUUTony, tunaomba ufafanuzi angalau mifano michache toka kwa hawa wanasiasa wetu ni kina nani ambao walikuwa vilaza shuleni -
Mwl Julius Kambarage Nyerere - M.A
Ali Hassan Mwinyi - M.A
Benjamin William Mkapa - M.A
Jakaya Mrisho Kikwete - M.A
Or may be these other nincompoops?
Dr Bilal, Dr Shein Prof Muhongo, Dr Mwinyi, Dr Anna Rose Migiro, Prof Mwandosya, Dr Huviza, Dr Kagoda, Prof Jumanne Maghembe, Dr Mary Nagu, Dr Nchimbi, Dr Mgimwa, Prof Ndulu, Prof Mwakyembe, Prof Mbarawa, Dr David Mathayo, Prof Tibaijuka, Dr Mukangara, Dr Kawambwa, Dr Othman
Au labda una maana kina Dr Slaa, Prof Lipumba, Prof Baregu, Dr Mkumbo, Prof Mvungi, Prof Safari, Mzee Mtei, na wengine wa hulka kama hii?
Kama hawa ni vilaza, wale vichwa walikuwa kina nani?
In fact, the reason CCM or in fact our political leadership can NEVER be absolved by history for the state of our country is the sheer amount of brain power endowed to them by God the Almighty that is incommensurate to the ineptitude and dastard theft prevailing in all the machinery of governance in Tanzania.
Naomba kutoa hoja
mchilyi7.0
----
From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, November 21, 2012 8:53 AM
Subject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU
LK,--
Hivi unafahamu wanaopenda kujiingiza kwenye siasa wengi wao ni vilaza shuleni? Fuatilia utakubaliana na observation hizi! Na kwa taarifa zenu, nimeambiwa kuwa hapakuwa na uchaguzi isipokuwa hao wameteuliwa tu. Uchaguzi Chadema haupo kwa makatibu, wanateuliwa kama ccm inavyofanya! Huo ni uteuzi toka senta.Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
From: Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Tue, 20 Nov 2012 20:00:12 -0800 (PST)ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU
gm26 nakuunga mkono kabisa. Ule ulikuwa uchaguzi, watu wakajinadi na wakachaguliwa, hakuna Uchagga hapo, ila uwezo. Nahisi hata ukiingia darasani, utakuta kitaaluma wanaongoza hao hao, hapo sijui utasemaje? Sasa wenye nia mbaya na CHADEMA watalitumia hili kukipaka chama matope kuwa ni cha Wachagga, lakini wenye akili inabidi wauone ukweli huu. LKK
From: "gm26may@gmail.com" <gm26may@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, November 20, 2012 11:09 PM
Subject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU
--
Kama Chaguzi zilifanyika, watu wakagombea kisha wakashinda sioni tatizo
Ile Secretariate ya Chama fulan waliteuliwa na hata waliopigiwa kura zilikuwa ni zile za " NDIYO" - Ndio ni Yeye
"HAPANA" - Hapana mwingine ila yeye
Mwisho wa siku mtu anashindwa kwa asilimia 100 kisha wakitoka nje ya ukumbi malalamiko na vijembe vinaanza
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
From: lilian timbuka <liliantimbuka@yahoo.co.uk>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Tue, 20 Nov 2012 19:57:36 +0000 (GMT)ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU
--
mfumo wa CHADEMA unajulikana mi nawashangaa mnaohangaika na hawa jamaa, Chaga people imetawala hii chama, nini vyuo vikuu, nendeni mkapekenyue makao makuu sambamba na vijana walio front katika masuala yao, mtashangaa!Hebu tutafuteni ugali wa kila siku achaneni na haya mambo bhana! yapo mengi ya kujali katika jamii hii inayotuzunguka mi nadhani cha msingi hapa ni kutafuta shekeli kwa kwenda mbele, lakini tukianza kutazama fulani ana cheo gani sehemu fulani, tutaumizana roho bure.Kwa sababu ukiingia kwa kina utakumbana na mambo lukuki yanayochusha, inafika mahali mtu unajiuliza hivi kwanini huyu ana mnyooshea kidole mwenzake wakati yeye na huyo anayenyooshewa kidole ni bora huyu anayenyooshewa kuliko yeye.
--- On Tue, 20/11/12, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:
From: Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 20 November, 2012, 19:47
Sasa kama Wasukuma na wanyamwezi, Wajita na Wakurya na wengineo hawana interest tuseme je? Wachaga wako aggressive bhana, hongereni sana chagga boys/girls.Vin
2012/11/20 Peter Kafumu <kafumu@yahoo.com>
Kama majina hayakuchakachuliwa huu ni ukabila uliokithiti na ni hatari kwa nchi...
On 20 Nov 2012, at 19:42, "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:
> Juma,
>
> Duuuh! Matawi yote viongozi wa Chadema ni Wachagga? Kama ni hivyo, basi hongereni sana! Maana juzi tuliambiwa secretariat ya ccm ni waislam, leo haya tenaaaa!
>
> Mungu Ibariki Tanzania.
> Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
> Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
>
> -----Original Message-----
> From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tue, 20 Nov 2012 06:28:58
> To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: [wanabidii] VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU
>
> (i) University of Dodoma maarufu kama UDOM ni ELISANTE MUSHI.,
>
> (ii) Chuo Kishiriki cha MWENGE ni JAMES KIMARO.
>
> (iii) Sokoine University of Agriculture (SUA) ni JOHN KIMARIO.
>
> (iv) Chuo Kishiriki cha DUCE ni ELIBARIKI MUSHI.
>
> (v) Chuo Kikuu cha MZUMBE ni FRANCIS TAIRO.
>
> (vi) Chuo cha Teknolojia Dar es salaam (DIT) ni ABSOLOM TEMBA.
>
> (vii) Chuo kikuu Cha Mtakatifu Joseph (ST JOSEPH) ni JAMES URIO.
>
> (viii) Chuo Kikuu kishiriki cha JURDAN UNIVERSITY ni ESTER MASAWE.
>
> (ix) Chuo kikuu Cha Mtakatifu John (ST JOHN) ni GEORGE KIMAMBO.
>
> http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/356625-safu-ya-uongozi-chadema-vyuo-vikuu-ni-hii-2.html
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk
CORE 2 DUO
2.0 GHZ CPU
2 GB RAM
DVD/CD - RW
WINDOWS 7 /WINDOWS XP
WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0718 637905
0786 806028

RSM

0 comments:
Post a Comment