Oh! Miruko, Asante sana, kaka. Ila naomba moderator amchukulie hatua yule aliyezusha uongo huu.
Vin
2012/11/21 Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com>
Mhangwa, huyo Tumaini Makene ndio msemaji wa Chadema2012/11/21 Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>
--Sasa mbona mnatu babaisha, ile orodha nyingine ya Mzuri aliitoa wapi? Kumbe ukweli upo, na huu uongo umetoka wapi? Je, kuna hatua zozote zitakazochukuliwa kwa aliyeandika orodha ya kupika? Au hata hii inayoitwa ukweli nayo ni uongo? Nadhani tunahitaji msemaji wa CHADEMA katika hili.
Vin2012/11/21 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Kwanini tusitangulize utanzania wetu badala ya makabila yetu ? watu
wanaleta propaganda ya ukabila na udini na wewe unaingia kwenye mkumbo
huo huo wa kujitambulisha kwa dini au kabila lako .
Pili hili jina lako sio lazima mtu awe kabila hilo ulivyosema nenda
rwanda , burundi , Uganda na baadhi ya maeneo ya Congo kuna watu wana
majina hayo - Hata mimi naitwa Maro jina la mwisho lakini kuna
Wakurya wengi wana majina ya maro , kule kenya kuna maro wengi tu na
sehemu nyingine mbalimbali duniani .
Tukiangalia watu kwa majina yao , dini zao , makabila yao tutaumia .
> 2012/11/21 Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
On Nov 21, 11:03 am, Joseph Ludovick <josephludov...@gmail.com> wrote:
> Yona kabla ya yote namuomba radhi Tonny P Na wanajukwaa kwa maneno ni
> ujinga ambayo ni matusi.sikukusudia kumtukana binafsi.
> kuhusu kujitambulisha kabila langu nimesema ukweli kabisa.hata nisingetaja
> wapo wanaojua majina kama hilo langu linatumiwa na kabila gani.vilevile
> nilikuwa nikisahihisha kuweka kumbukumbu sawa juu ya upotoshaji kuwa
> chadema kimeweka viongozi wachaga vyuo vikuu.sijakuona ukimuonya yeyote
> kuhusu kutaja wachaga kama utambulisho wa viongozi vyuo vikuu.sasa
> ningefanyaje kuonyesha kuwa mimi ambaye nimekuwa mwenyekiti duce sikuwa
> mchaga na kuwa hata kiongozi wa sasa wa duce siyo mchaga? ningefanyaje bila
> kutaja makabila yetu?
> Na kwani watanzania hatuna makabila? ni vibaya mfano kusema mimi fulani ni
> mhaya? kwa nini?
>
> ...>
>
>
>
>
>
>
> > Ndugu Joseph Ludovick naona umefanya hitilafu kwa kutanguliza kabila
> > lako unapojitambulisha au kutetea hoja , nadhani hiyo sio sahihi kaa
> > tena fikiria mara kumi kumi kuhusu hicho ulichosema ni hatari sana kwa
> > kiongozi .
>
> > On Nov 21, 10:27 am, Joseph Ludovick <josephludov...@gmail.com> wrote:
> > > Mwanzo nakumbuka nilisema ccm nao wanamglorify sana meya masaburi.sasa
> > tony
> > > P kuna mtu alisema hapa kuwa chadema cha kikabila ila ccm cha kidini.wewe
> > > baada ya hapo unawaambia watu waache chadema kwa kuwa kina
> > > wenyewe.nahauwaambii wasio waislamu kuhama ccm.huu ni
> > > ujinga.na inaonyesha hicho mnachokisema kuwa ni hila.hamuwezi hata
> > katika
> > > level hii kuhoji kidogo tu lengo la mada? sasa ccm mmezidi uwongo.hili
> > > jambo si kweli.sijui katika vyuo vikuu vingine lakini DUCE haijawahi kuwa
> > > na mwenyekiti wa chadema wa jina hilo wala mchaga.na uchaguzi vyuo vikuu
> > > hausimamiwi kwa namna yoyote na watu wa makao makuu ya chama wala na watu
> > > nje ya chuo.uchaguzi wa DUCE kwa mfano husimamiwa na uongozi wa chadema
> > > wilaya ya TEMEKE kilipo chuo chenyewe.na sijui ni vipi hao wanaweza
> > kuteuwa
> > > wachaga.
> > > Kwa DUCE hapakuwa na established chadema ila kulikuwa na wanaharakati tu
> > > waliodhaniwa ni wanachadema.mwaka 2010 walipokuwa wanahitimu hao
> > > wanaharakati ndo wakatupatia wazo la kuunda tawi.nami JOSEPH RWEZAHURA
> > > mhaya nikawa mwenyekiti wa muda na baadaye 2011 nikachakuliwa kuwa
> > > mwenyekiti wa kwanza wa chadema DUCE na katibu wangu alikuwa JUMANNE
> > > NYAKIRANGH'ANYI MKURYA wa serengeti.tumeachia madaraka january 2012
> > ambapo
> > > tulikabisi kwa PETER JOHN MWENYEKITI wa pili wa chadema anatokea
> > > TARIME.baada ya kuhitimu na mimi nimesimamia uchaguzi huo kama mwenyekiti
> > > mstaafu tulimchagua ndugu ATUPELE MWAKIBULEBULE kutoka mbeya (diwani wa
> > > kiwira aliyemtoa jasho mama kilango malechela) kuwa mwenyekiti wa 3 wa
> > > chadema DUCE. ndo kwanza ameanza uongozi.sasa mchaga mnamtoa wapi? acheni
> > > upuuzi wa ccm aliousema mnyika hapa
>
> > > 2012/11/21 Juma Mzuri <jumamz...@gmail.com>
>
> > > > Na Tumaini Makene
>
> > > > Moja ya kazi ambayo CCM na washirika wao wa kisiasa nje ya chama
> > > > hicho, wamekuwa wakijaribu kuiaminisha jamii ya Watanzania kuwa
> > > > wanaiweza ni kusema uongo. Kudanganya. Na kwa siku au miaka ya hivi
> > > > karibuni, hasa kwenye mfumo wa kisiasa wa vyama vingi, wamefikia hatua
> > > > ya hatari zaidi. Wanaweza kusema lolote, wakafanya chochote, almuradi
> > > > kukidhi political expendiency yao. Na mara nyingi huwa ni hoax au
> > > > quick fix, hata kama taifa na watu wake wataangamia.
>
> > > > Mfano dhahiri ni elements za udini na ukabila zilizoanza kujionesha
> > > > kwa muda fuoani sasa. Lakini hasa zikianza wakati ule CUF kilipokuwa
> > > > kikikubalika miongoni mwa jamii kubwa ya Watanzania. Wakati kulipokuwa
> > > > na ombwe, zikafifia. Zimerudishwa tena na CCM baada ya Watanzania
> > > > wengi kujibainisha na CHADEMA kama tumaini lao jipya.
>
> > > > Nani asiyejua kuwa kwa sasa nguvu kubwa ya Watanzania juu ya matumaini
> > > > ya mabadiliko makubwa ya kimfumo na kiutawala imelalia kwa CHADEMA?
> > > > Kiasi cha kukaribia kuvunja mizani ya upimaji wa mizania ya kisiasa,
> > > > linapokuja suala la kulinganisha CHADEMA na CCM?
>
> > > > Wakati taifa likiwa kwenye mtanziko wa elements za kijinga na
> > > > kipumbavu, zinazolazimishwa kuwepo, za udini na ukabila, CCM
> > > > wameendelea kuchochea kuni. Wakati wanachochea wengine wetu kwa kujua
> > > > au kutokujua, tumejitahidi kweli kusogeza kuni zaidi, lakini walio
> > > > mabingwa wanasogeza na petroli kabisa.
>
> > > > Chochea kabisa. Choma taifa. Unguza ikibidi. Lipua nchi, lipua. Majivu
> > > > yatabaki, eti ili kuokoa CCM ipone dhidi ya CHADEMA. Isiondolewe
> > > > madarakani.
>
> > > > Matokeo ya kuchochea huko ni kama moja ya thread iliyoanzishwa hapa JF
> > > > ikieleza kile kinachodaiwa kuwa safu ya viongozi wa CHADEMA matawi ya
> > > > vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini.
>
> > > > Nitaweka some facts hapa kuonesha uongo huo wa hatari kabisa wa CCM
> > > > kulazimisha watu wajadili ukabila. Na kwa sababu natambua msukumu huo
> > > > wa kuwataka watu wadumae akili wajadili dini zao na kabila zao kama
> > > > vile ndiyo sababu ya gharama za maisha kupanda, kuongezeka kwa
> > > > umaskini, ukosefu wa maisha bora, kuminywa kwa haki za binadamu,
> > > > sitaingia huko...
>
> > > > Hapa chini nitaweka majina baadhi ya viongozi wa matawi ya vyuo vikuu.
> > > > Usiku nimelazimika kufanya kazi ya hovyo kabisa, kumuuliza mtu
> > > > anatokea sehemu gani ya nchi na kabila lake, kwa ajili ya kujenga
> > > > hoja. Lakini ili hoja ibaki na mashiko sitaingia kwenye mtego ambao
> > > > CCM wanataka kila mtu aingie, kujadili kabila au dini ya mtu badala ya
> > > > sifa zingine za msingi katika uongozi, kama uwezo na uadilifu.
>
> > > > Kosa la kwanza kabisa katika thread ile iliyoanzishwa makusudi
> > > > kuendeleza propaganda chafu za ukabila dhidi ya CHADEMA ni kusema kuwa
> > > > Viongozi hao 'waliopangwa' watakisimamia chama kwa miaka 5. This is
> > > > rubbish.
>
> > > > Hivi mwanafunzi yupi anakaa chuoni zaidi ya miaka 5! Ukweli ni kwamba
> > > > uongozi wa CHADEMA katika matawi yote ya vyuo vikuu huchaguliwa kila
> > > > baada ya mwaka mmoja. Na hili linaeleweka kwa kila mtu anayejua nature
> > > > ya masomo ya chuoni au hata kuanzia shule za kawaida, ambapo kila
> > > > mwaka lazima kuna watu wanaondoka baada ya kuhitimu.
>
> > > > Tunakuja kwenye majina. Hakuna haja kabisa ya kutaja kabila la mtu
> > > > hapa, wala anakotokea. Maana hazikuwa sifa zao wakati wakiomba
> > > > kugombea na baadhinyao wakachaguliwa miongoni mwa wengi waliojitokeza.
> > > > Umuhimu wa kuweka rekodi sawa hapa unatokana na ukweli kuwa katika ile
> > > > thread nyingine, umesemwa uongo kwa kutaja majina ya watu kuwa ni
> > > > viongozi wa chama katika matawi ya vyuo vikuu wakati si kweli, huku
> > > > viongozi halisi wakiachwa.
>
> > > > Chuo Kikuu MZUMBE
>
> > > > Mwenyekiti ni Roda Edward
> > > > Katibu ni Bariki Mwakibete
>
> > > > Chuo Kikuu cha UDOM
>
> > > > Mwenyekiti ni Nchimbi Method
> > > > Katibu ni Malale Sende
>
> > > > Chuo Kikuu cha Mwenge
> > > > Mwenyekiti ni Abel Dendwa
>
> > > > Chuo Kikuu cha SAUT
>
> > > > Mwenyekiti ni Patrobas Paschal
> > > > Katibu ni Makoko Obadia
>
> > > > Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT)
>
> > > > Mwenyekiti ni Paul Ndeje
> > > > Katibu ni Masuala Masaga
>
> > > > Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph - Thobias Leizer
>
> > > > Chuo Kikuu cha Jurdan - Newton Chamkongo
>
> > > > Chuo cha Mtakatifu John
>
> > > > Salvatory Sege
> > > > Leiza Maige
>
> > > > Chuo Kikuu Kishiriki DUCE - Atupele
>
> > > > Watakaotaka facts zaidi kwa ajili ya constructive criticism and
> > > > critiques waseme tuwaongezee. Watakaotaka kuendelea kujadili ukabila,
> > > > udini, rangi au eneo analotoka mtu kama vitu vya msingi sana kwao
> > > > katika kujadili viongozi bora waendelee.
>
> > > > Wengine tutajadili sifa za muhimu za kiongozi bora ambaye inawezekana
> > > > akawa hana dini kabisa au hajui mlango wa msikiti au kanisa mara ya
> > > > mwisho ulibadilishwa lini au huenda hata kabila lake halijui.
>
> > > > Haya tunayoyashuhudia sasa ni mwendelezo wa matokeo ya chama au wana
> > > > CCM wanaotapata na kupigania roho zao, wakiliona anguko kuu. Baada ya
> > > > kuona kimeshindwa kusimamia misingi ya utaifa na hasa misingi ya amani
> > > > na utulivu, CCM wako katika hatua za mwisho mwisho ambazo watawala
> > > > wengi hupitia na wako tayari kusema au kufanya lolote...lolote lile,
> > > > ikiwemo assassinations (za aina zote, ikiwemo character)
>
> > > > Amani na utulivu, Mwalimu Nyerere, in one of his radical speeches,
> > > > anasema vilijengwa juu ya misingi ya haki na matumaini (then, based on
> > > > Azimio la Arusha). Kama watu hawaioni haki na matumaini hawana,
> > > > usitegemee amani na utulivu na Watanzania watakuwa wapumbavu
> > > > wakiendelea kukubali kutawaliwa katika hali ya namna hiyo.
>
> > > > Wote wangekuwa ni Wachagga
>
> > > > Nataka tu kuweka rhetoric questions hapa. Kwani wangelikuwa wote ni
> > > > wachaga kulikuwa na tatizo gani? Wapiga kura wote walikuwa wachaga?
> > > > Wachaga hawana haki ya kuchaguliwa na kuchagua? Hivi wakikutana watu
> > > > wengi kuchaguana wakamuona Mchaga au mwislamu au mkristo au mpagani,
> > > > ndiye mwenye sifa na anafaa kuwa kiongozi wao kati ya wengi waliopo ni
> > > > nongwa? Ni tatizo? Where does this character assassination comes from?
> > > > So what?
>
> > > > Inawasaidiaje hawa watawala waliochoka? Je wananchi waliochoka zaidi
> > > > kutokana na maisha magumu badala ya maisha bora wanawaelewa watawala
> > > > wanavyowawekea pilipili machoni na kuwaongoza shimoni?
>
> > > > Mambo yameanza kuwa mabaya, nasikia tetesi kuwa imefikia mahali ndugu
> > > > zetu hawa wanalazimika kuficha majina yao wanapotafuta kazi. Hawasemi
> > > > tena au kutumia majina yao ya kiukoo kama walivyopenda huko nyuma. No
> > > > justice, no hopes, CCM inaua taifa hili. Mtambue hao hao mnawaambia
> > > > chama cha kikabila hao hao mnawaambia chama cha kidini, mnasahau kuwa
> > > > miongoni mwa
>
>
> read more »
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.comHabari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk
CORE 2 DUO
2.0 GHZ CPU
2 GB RAM
DVD/CD - RW
WINDOWS 7 /WINDOWS XP
WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0718 637905
0786 806028
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
RSM
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk
CORE 2 DUO
2.0 GHZ CPU
2 GB RAM
DVD/CD - RW
WINDOWS 7 /WINDOWS XP
WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0718 637905
0786 806028
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk
CORE 2 DUO
2.0 GHZ CPU
2 GB RAM
DVD/CD - RW
WINDOWS 7 /WINDOWS XP
WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0718 637905
0786 806028
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment