Sunday, 18 November 2012

Re: [wanabidii] Re: Semina ya Ujasiriamali

Mafunzo ya ujasiriamali kwa email bila malipo

Tembelea tovuti yangu na ujiunge kupata mafunzo ya ujasiriamali kwa email bila malipo. Pia utapata taarifa mbali mbali zinazohusu mambo ya ujasiriamali na utaweza kupata ushauri kutoka kwangu kwa kunitumia email. Kujiunga bofya hapa;
http://mshauriwabiashara.weebly.com/

CHARLES NAZI
 
Charles ni mshauri wa biashara Kwa ushauri tembelea blogu; http://www.squidoo.com/mshauricharles

Pia ni  mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara tembelea blogu; http://www.squidoo.com/kitabu-mbinu-za-biashara


From: Theodor Congos <tkcongos@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: cnazi2002@yahoo.com
Sent: Thursday, August 13, 2009 4:19 PM
Subject: [wanabidii] Re: Semina ya Ujasiriamali

Asante sana Charles Nazi, tutakuja kwenye hiyo semina ya ujasiriamali.

 
 
 
Theodor Kaijanante
email: tkcongos@yahoo.com

EDC Ltd: Result-oriented, Business skills and Entrepreneurship training for Enterprise Development


--- On Thu, 8/13/09, babalao <cnazi2002@yahoo.com> wrote:

From: babalao <cnazi2002@yahoo.com>
Subject: [wanabidii] Semina ya Ujasiriamali
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: cnazi2002@yahoo.com
Date: Thursday, August 13, 2009, 5:11 AM


Kwa wana Bidii,
Charles Nazi mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara akishirikiana na
James Mwang'amba wa Mwang'amba Communication, Eric Shigongo na Shirati
wanakuletea semina ya ujasiriamali ambayo itaendeshwa katika jengo la
Milenium Tower Kijitonyama Dar es salaam siku ya Jumamosi tarehe
15/8/09 na Jumapili tarehe 16/8/09 saa 8 alasiri. Mada
zitakazozungumziwa ni Siri ya utajiri,namna ya kubuni na kuanzisha
biashara yako, namna ya kutafuta masoko, kutangaza biashara na jinsi
ya kupambana na vikwazo katika biashara yako. Pia utapata fursa ya
kununua vitabu vya ujasiriamali vya kiingereza na kiswahili, kikiwepo
kitabu cha Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri.
Kiingilio ni sh. 5,000.00 kila siku. Nyote mnakaribishwa. Kwa
mawasiliano piga simu namba 0755394701
CHARLES NAZI
Mshauri wa biashara na mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara na
maarifa ya
kupata pesa na utajiri.


--~--~---------~--~----~------------~-------~--~----~
To post to this group, send email to wanabidii@googlegroups.com
To unsubscribe from this group, send email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
For more options, visit this group at
http://groups.google.com/group/wanabidii?hl=en?hl=sw
-~----------~----~----~----~------~----~------~--~---



0 comments:

Post a Comment