> Date: Thu, 15 Nov 2012 23:19:21 -0800
> Subject: [wanabidii] Re: Sekretarieti Mpya ya CCM
> From:
rehemaki@gmail.com> To:
wanabidii@googlegroups.com>
> Chama kimemtaka kimemuomba wewe shida yako nini ?
>
> On Nov 16, 8:55 am, Reuben Mwandumbya <
ipyan...@yahoo.com> wrote:
> > Comrades;
> > Sina hakika sana lakini naomba unisaidie na kusisahihisha, siku za nyuma kidogo nakumbuka kama Kinana aliwahi kutuambia Watanzania kwamba mambo ya Siasa kwake sasa basi,imekuwaje tena yumo halafu katika position kubwa tu??
> > Kweli sisi Wadanganyika,mana alitakiwa kuwa responsible and accountable kwa kauli na maamuzi yake!!?Hawa ndio viongozi/watawala je sisi wakawaida itakuwaje?Inaleta shaka sana kuwaamini hata katika decisions zao.
> >
> >
> > Reuben
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > ----- Original Message -----
> > > From: mngonge <
mngo...@gmail.com>
> > > To:
wanabidii@googlegroups.com> > > Cc:
> > > Sent: Thursday, November 15, 2012 9:03 AM
> > > Subject: Re: [wanabidii] Sekretarieti Mpya ya CCM
> >
> > > Yetu macho, sijui ni mazingaombwe gani yatafuta baada ya hili
> >
> > > 2012/11/14 Bariki Mwasaga <
bmwas...@gmail.com>:
> > >> From Nape Nnauye's update in Facebook
> >
> > >> NEC YAFANYA UCHAGUZI WA WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA
> > > TAIFA.
> >
> > >> Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (NEC)
> > >> kimekutana katika Ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya chama, maarufu kama
> > >> Whitehouse mjini Dodoma,leo tarehe 14th Nov 2012.
> >
> > >> Kikao hicho kitajadili juu ya kuunda na kupitisha majina yaliyopendekezwa
> > >> na Mwenyekiti wa ChaCha Mapinduzi Mheshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete,
> >
> > >> ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama ya Taifa (CC) pamoja na uundaji wa
> > >> sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa. Ambapo Mwenyekiti wa Chama kwa
> > >> mujibu wa Kanuni na Katiba ya Chama Cha Mapinduzi, anayo fursa ya kuteua
> > >> wajumbe kumi(10) wa Halmashauri kuu ya Taifa, ambapo Mwenyekiti aliwateua
> > >> wajumbe wanne(4) na akabakiza nafasi nyingine sita (6) miongoni mwa wajumbe
> > >> hao ni Mhe. Asha-rose Migiro, Mhe. Zakhia Meghji, Mhe. Nape nnauye na Mhe.
> > >> Abdulrahaman Kinana.
> >
> > >> Baada ya uteuzi huo Mwenyekiti pia alipendekeza majina ya Wajumbe wa
> > >> Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa, ambapo alipendekeza majina
> > >> yafuatayo;
> >
> > >> Nafasi ya Katibu Mkuu, alimpendekeza Mhe. Abdulrahaman kinana.
> > >> Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Mhe. Vuai Ali Vuai.
> > >> Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Bara, Mhe. Lameck Madelu Nchemba.
> > >> Katibu wa Oganaizesheni ni Ndugu Mohamed Seif Khatibu.
> > >> Katibu wa Siasa na Mahusiano ya Kimataifa, Asha-rose Migiro.
> > >> Katibu wa Uchumi na Fedha, Zakhia A. Meghji.
> >
> > >> Baada ya mapendekezo hayo, Halmashauri Kuu ya Taifa ilipitisha majina
> > >> hayo na kuyakubali kuwa hao waliopendekezwa ndio hasa wanaofaa kuwa wajumbe
> > >> wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa.
> >
> > >> Pia, Mwenyekiti akawashukuru wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa
> > >> waliopita na pia kuwataka wajumbe wapya kuchapa kazi, na kuwataka kujenga
> > >> mustakabali wa Chama, Uimara na Umadhubuti kwa kufanya kazi kwa
> > > kushirikiana
> > >> na kusaidiana.
> >
> > >> 2012/11/14 Patrick Kyamba <
pkya...@yahoo.com>
> >
> > >>> Ahsante Bariki, je wajumbe wa Kamati kuu wameshatajwa?
> >
> > >>> ________________________________
> > >>> From: Bariki Mwasaga <
bmwas...@gmail.com>
> > >>> To:
> > >>> Sent: Wednesday, November 14, 2012 2:24 AM
> > >>> Subject: [wanabidii] Sekretarieti Mpya ya CCM
> >
> > >>> Sekretarieti Mpya ya Chama Cha Mapinduzi
> > >>> Katibu Mkuu: Ndugu Abdulrahman Kinana
> > >>> Naibu Katibu Mkuu: Ndugu Mwigulu Nchemba
> > >>> Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar): Ndugu Ali Vuai
> > >>> Katibu Mambo ya Nje: Ndugu Dr. Asha-Rose Migiro
> > >>> Katibu Uchumi na Fedha: Ndugu Zakhia Hamdani Meghji
> > >>> Oganaizeshi: Ndugu Mohammed Seif Khatib
> > >>> Itikadi na Uenezi: Ndugu Nape Moses Nnauye
> >
> > >>> --
> > >>> Bariki G. Mwasaga,
> > >>> P.O. Box 3021,
> > >>> Dar es Salaam, Tanzania
> > >>>
+255 754 812 387> >
> > >>> --
> > >>> Karibu Jukwaa
lawww.mwanabidii.com> > >>> Pata nafasi mpya za
Kaziwww.kazibongo.blogspot.com> > >>> Blogu ya Habari na
Pichawww.patahabari.blogspot.com> >
> > >>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >>>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > >>> ukishatuma
> >
> > >>> Disclaimer:
> > >>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> > > legal
> > >>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> > > must be
> > >>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> > > agree to
> > >>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> > >>> --
> > >>> Karibu Jukwaa
lawww.mwanabidii.com> > >>> Pata nafasi mpya za
Kaziwww.kazibongo.blogspot.com> > >>> Blogu ya Habari na
Pichawww.patahabari.blogspot.com> >
> > >>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >>>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > >>> ukishatuma
> >
> > >>> Disclaimer:
> > >>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> > > legal
> > >>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> > > must be
> > >>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> > > agree to
> > >>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> > >> --
> > >> Bariki G. Mwasaga,
> > >> P.O. Box 3021,
> > >> Dar es Salaam, Tanzania
> > >>
+255 754 812 387> >
> > >> --
> > >> Karibu Jukwaa
lawww.mwanabidii.com> > >> Pata nafasi mpya za
Kaziwww.kazibongo.blogspot.com> > >> Blogu ya Habari na
Pichawww.patahabari.blogspot.com> >
> > >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > >> ukishatuma
> >
> > >> Disclaimer:
> > >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > > to
> > >> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> > > --
> > > Karibu Jukwaa
lawww.mwanabidii.com> > > Pata nafasi mpya za
Kaziwww.kazibongo.blogspot.com> > > Blogu ya Habari na
Pichawww.patahabari.blogspot.com> >
> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> > > Disclaimer:
> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Karibu Jukwaa la
www.mwanabidii.com> Pata nafasi mpya za Kazi
www.kazibongo.blogspot.com> Blogu ya Habari na Picha
www.patahabari.blogspot.com>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
0 comments:
Post a Comment