Monday, 26 November 2012

Re: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] Fw: Muhimbili University New Campus

Tonny tena hapa kwetu kuna akina taliban in potency akina shehe ponda na uamusho
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 26 Nov 2012 16:43:47 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] Fw: Muhimbili University New Campus

Mobhare,

Designers naona watakuwa insensitive na hali ya usalama wa dunia kwa sasa! Hilo jengo ukiweka gari chini yake lenye taliban style mentality unaporomosha hospitali nzima chini! Ujinga mtupu huu!

Watu siku hizi watu wana hasira za mkizi na ukiangalia frustration za watu duniani, wanadhani mwisho wa matatizo ni Somalia au Afghanstan peke yake!

Vyema kama hawafikia mwisho, wabadilishe mtindo wa ujenzi, waweke majengo kiidara kukidhi hali halisi.
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 26 Nov 2012 16:35:53 +0000
To: Wanabidii googlegroups<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] Fw: Muhimbili University New Campus

Tony,
Hilo nalo ni tatizo jingine. Si suala la Afrika tu bali nchi zote za kitropiki na hasa inapokuja masuala ya magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa. Lakini pia, kwa usalama wa kawaida tu, ni heri kama una nafasi ukajenga kwa mtindo wa kijiji kuliko jengo moja kubwa tena linalotazamana na jingine kwa karibu namna hii. Ni hakika kwamba hapa watu wazima wenye akili hawakutaka kufikiri - walitaka uzuri wa majengo lakini hawakuangalia vitu vingine. Na hili ni tatizo letu kila tunapofanya mradi mkubwa, kwamba tunatumia akili mbovu kufanya jambo kubwa na zuri. Mimi nimeona video ya mchoro huu na nikashangaa jinsi eneo lilivyo kubwa lakini si Muhimbili wenyewe wala msanifu aliyefikiri kuhusu kuegesha magari, hivyo jengo likiisha, siku ya kwanza tu, watu watalazimika kuegesha magari barabarani, kwenye majani, pembezoni, mbali na jengo kusikokuwa na usalama wa kuegesha, itakuwa vurugu kubwa. Angalia hata uegeshaji magari pale Uwanja wa Taifa na nina hakika hata uwanja wa ndege utakapopanuliwa watu hawatafikiria hili jambo.
 
Ni kama tunatumia akili za vijijini kufanya mambo ya mjini. Pia, ninahisi, hakutakuwa na barabara nzuri ya kwenda huko Kwembe na itakapofikia kazi ya kumpeleka mgonjwa itakuwa balaa jingine. Hapo bado mabweni ya wanafunzi na nyumba wa walimu wao na wafanyakazi. Aidha, sitashangaa kwamba wakajenga wadi wa kukaa watu kama bweni badala ya kujenga wadi za kisasa za chumba kimoja mtu mmoja ama wawili, basi.
 
Nadhani wakati mwingine hawa wazungu huwa wako sahihi kutudharau.
 
Matinyi.
 

Subject: Re: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] Fw: Muhimbili University New Campus
To: wanabidii@googlegroups.com
From: tony_uk45@yahoo.co.uk
Date: Mon, 26 Nov 2012 15:58:51 +0000

Mobhare,

Ukiangalia structure ilivyo inaonyesha kunaweza kuwa na parkase kwenye jengo au underground! Lakini umeuliza swali zuri kwavile naona kama hakuna parkase, ilitakiwa outside parking area kuwa kubwa na pia sijui kama ni salama sana hospitali kuwa kwenye monoblock kama hiyo maana afrika kuna magonjwa ya kuambukiizana pia.

Hawajaishiwa eneo, hospital ingekuwa ingejengwa kwa vijiji kufuata idara; mfano magonjwa ya watoto, akina mama, magonjwa sugu, magonjwa ya kuambukiza, internal medicine n.k. Kila idara ikawekwa mbali mbali na kuunganishwa kwa tunnels kwa ajili ya kuhamisha wagonjwa n.k.
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 26 Nov 2012 15:32:37 +0000
To: <fredrick197958@yahoo.com>; <tafesassociates@yahoogroups.com>; <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] RE: [Mabadiliko] Fw: Muhimbili University New Campus

Fred,
Mchoro mzuri kwa mwonekano lakini kinachonishangaza ni kitu kimoja:
Wanasema kwamba hii itakuwa hospitali yenye vitanda 600 na inayochukua wanafunzi wa udaktari 15,000.
Kwa haraka haraka ni hakika kwamba walimu, wauguzi, wataalamu wa maabara na wengine watakuwa zaidi ya 3,000.
Kutakuwa na watu wasiopungua 1,200 watakaokuja wanakuja kuwaona hao wagonjwa karibu kila siku.
Hivyo, haya majengo, kwa wakati wowote ule, yatakuwa na watu wasiopungua 20,000, ukiongeza na wengine ambao sijawataja.
Kwa hiyo tunazungumzia uwezekano wa kuwa na magari mangapi katika maendeleo ya sasa?
Ninaamini kwa maendeleo ya sasa ya watu binafsi nchini Tanzania na ukuaji wa daraja la kati, watu 20,000 kwenye hospitali wanaweza kuwa na magari walau 2,000. Hata kama ni pungufu zaidi, haitapungua 1,000.
 
SWALI: Hayo magari yatawekwa wapi?
 
Huku kwa wenzetu ukiwa na watu 20,000, hao wanafunzi 15,000 wangekuwa na magari walau 3,000, na hao wagonjwa 600 wangeweza kuwa na magari 100, na watu wao magari mengine walau 600, na wafanyakazi wote, kila mmoja kuanzia na mfagiaji gari moja. Kwa hiyo wao wangeweka sehemu ya kuegeshea magari walau 5,000, kwa uchache. Je, sisi hatuwezi hata magari 500?
 
Ni tatizo la kufikiri tu. Ndilo tatizo la uwanja mpya wa Taifa ambapo ikifika saa ya kupumzika, vyoo vinajaa watu kiasi kwamba wengine wanaamua kukojolea kuta na milango.
 
Kwa nini akili zetu hazipanuki na kufikiri? Yaani muundo mbinu mkubwa namna hii hauna eneo la kuegesha magari walau 500?
 
Matinyi.
 

Date: Mon, 26 Nov 2012 06:33:08 -0800
From: fredrick197958@yahoo.com
Subject: [Mabadiliko] Fw: Muhimbili University New Campus
To: wanabidii@googlegroups.com; TAFESAssociates@yahoogroups.com





Wapendwa huu mjengo wa quality!
 
Michoro ya ujenzi wa Kampasi ya Mloganzila iliyo katikati ya Wilaya za Kisarawe Mkoa wa Pwani na Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam ambayo ni sehemu ya Hospitali kuu ya Muhimbili inajengwa kwenye eneo la ekari 3800 kwa ajili ya kutolea mafunzo kwa wanafunzi wa udaktari na huduma za Afya wapatao 15,000 kwa mwaka, na pia itakua sehemu ya kutolea matibabu ya maradhi yote makuu na ya kawaida nchini. 
Ujenzi wa Hospitali hii, ambayo pesa ya ujenzi wake imeshapatikana, unatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi Januari, 2013 na unatarajiwa kukamilika miaka miwili baada ya ujenzi kuanza. Tayari wataalamu na wafanyakazi wanaotarajiwa kufanya kazi katika kampasi ya Mloganzila wameshaanza mafunzo ndani na nje ya nchi. Mara hospitali hiyo kubwa na ya kisasa itakapokamilika itakua na uwezo wa vitanda vya kulaza wagonjwa mia sita (600). Hii ni mojawapo ya juhudi za serikali ya awamu ya nne katika kuhakikisha nchi inaondokana na adha ya kupeleka wagonjwa nje ya nchi kwa ajili ya matibabu.

Visit a youtube site for more audiovisual
http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=DLzsq3JiUYA



--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group, send email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment