Ludovick,
Shauri yako kama unamwabudu mwanadamu mwenzako. Kwa mujibu wa alichosema mwaka ule, busara zake ziko wapi?
Matinyi.
T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
----- Reply message -----
From: "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
Date: Sun, Nov 18, 2012 6:03 pm
Matinyi chunga kauli yako.unaweza wewe ukawa wa hovyo kipeuo cha pili kabla
ya baba askofu.japo siingilii mjadala wenyewe kwa sasa kwa sababu za
conflict of interest.lakini kauli rejareja tu juu ya kilaini kama
unavyomuita huyu siyo matinyi.usinitafutie kufungiwa hapa.acha huo uovyo
wako.kampeti obama na sera zake za kwenye suruali zetu
2012/11/18 <nevilletz@gmail.com>
> **
> Kuna swali nimeuliza sana tangu jana halijibiwi, hiyo taarifa ya Kilaini
> ilitangazwa wapi? Kuna media yoyote kwa maana ya gazeti ilitumiwa au
> aliyeiweka hapa aliipata wapi?
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> ------------------------------
> *From: *matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
> *Sender: *wanabidii@googlegroups.com
> *Date: *Sun, 18 Nov 2012 12:13:24 -0500
> *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
> *ReplyTo: *wanabidii@googlegroups.com
> *Subject: *Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti
> La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
>
> Muulize mbona hakukana ile ya chaguo la Mungu. Siasa inamhusu nini?
>
> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>
> ----- Reply message -----
> From: "Telesphor Magobe" <tmagobe@gmail.com>
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Subject: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La
> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
> Date: Sun, Nov 18, 2012 11:19 am
>
>
> Matinyi, Kilaini anaweza kuwa "hovyo" kama unavyodai lakini je akubali tu
> ambacho hajasema hata kama ni yeye hovyo?
>
>
> 2012/11/18 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
>
> > Huyu mtu aitwaye Kilaini sipendi kusikia kelele zake. Hovyo kabisa,
> > akahubiri kanisani kwake huko.
> > Matinyi.
> >
> >
> >
> >
> > T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
> >
> >
> > ----- Reply message -----
> > From: "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com>
> > To: <wanabidii@googlegroups.com>
> > Subject: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La
> > Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
> > Date: Sun, Nov 18, 2012 6:21 am
> >
> >
> > Nilimaanisha Edgar Mbegu.samahani
> >
> > 2012/11/18 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
> >
> > > hii kitu imekaa kimtego mtego nami natangaza mgongano wa kimaslahi.so
> > > nitakuwa silent mpaka nitakapoona structure ya ukweli inaanza
> > kutokea.Edgar
> > > Mbega fuatilia hii kitu kwa ajili yetu,na wana mabadiliko fuatilia hii
> > > kitu.
> > >
> > >
> > > 2012/11/18 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
> > >
> > >> Mngonge, Mwananchi wathibitishe sasa ili ukweli uwekwe wazi!
> > >>
> > >> ------------------------------
> >
> > >> Date: Sun, 18 Nov 2012 12:30:31 +0300
> > >>
> > >> Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti
> La
> > >> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
> > >> From: mngonge@gmail.com
> > >> To: wanabidii@googlegroups.com
> > >>
> > >>
> > >> Mwanzo nilifikiri kwamba pengine mwandishi wa habari hiyo alikosea
> jina
> > >> lakini kwa sasa naona jina halikukosewa. Tatizo ni ama yeye (Kilaini)
> > >> anakana alichosema au gazeti la mwananchi limempachika maneno mdomoni.
> > >> Mbona kumaliza ubishi huo ni rahisi, kinachotakiwa kufanywa na gazeti
> la
> > >> mwananchi ni kutoa ushahidi ambao utatufanya kuliamini na kumshangaa
> > sana
> > >> mchungaji huyu wa kondoo wa Bwana.
> > >>
> > >> Gazeti la Mwananchi ni gazeti linalopendwa na watu wengi hapa Tanzania
> > >> kwa sababu ya kuandika habari zenye ukweli na zinazojitosheleza.
> Pamoja
> > na
> > >> kwamba sijafanya utafiti yawezekana linaongoza kwa kuuza nakala
> nyingi..
> > Ni
> > >> juu ya uongozi wa gazeti hili kujisafisha kwa kutujulisha namna
> > walivyopata
> > >> habari lalamikiwa toka kwa huyo kiongozi wa kanisa.
> > >>
> > >> 2012/11/17 <nevilletz@gmail.com>
> > >>
> > >> Kweli ana haki,
> > >> Kalalamika wapi na kwa nani? Kaitisha press conference au hiyo taarifa
> > >> katuma wapi?
> > >> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> > >> ------------------------------
> > >> *From: *Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
> > >> *Sender: *wanabidii@googlegroups.com
> > >> *Date: *Sat, 17 Nov 2012 11:19:51 +0000
> > >> *To: *Wanabidii Mawazo<wanabidii@googlegroups.com>
> > >> *ReplyTo: *wanabidii@googlegroups.com
> > >> *Subject: *RE: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na
> Gazeti
> >
> > >> La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
> > >>
> > >>
> > >> Ina maana Neville alikuwa hajaiona habari hii? Hoja ya msingi ni
> kwamba
> > >> Askofu Kilaini anasema kwamba hajazungumza na chombo chochote cha
> habari
> > >> kuhusu mambo ya chaguzi za ccm. Sasa ni kazi ya gazeti la Mwananchi
> > >> kuthibitisha kweli kwamba Askofu alihojiwa na akasema hayo. Vinginevyo
> > >> itabidi Gazeti la Mwananchi liombe radhi. Kwa upande mwingine, nadhani
> > >> Neville amekurupuka kusema kwamba Askofu Kilaini ni kiroboto, kwani
> > >> hajatuthibitishia kweli kwamba kauli iliyoandikwa na Mwanachi ni ya
> > Askofu
> > >> Kilaini. Hata hivyo, kama Kilaini anahisi kasingiziwa, ana haki ya
> > >> kulalamika na kukanusha kwa kufuata njia ambazo yeye anaona zinafaa.
> > >> ------------------------------
> >
> > >> Date: Sat, 17 Nov 2012 18:02:49 +0700
> > >> Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti
> La
> > >> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
> > >> From: hamisznz@gmail.com
> > >> To: wanabidii@googlegroups.com
> > >>
> > >> Habari ya mwananchi inayolalamikiwa ni hii hapa
> > >>
> >
> http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1621274/-/11ojkjk/-/index.html
> > >>
> > >>
> > >>
> > >> 2012/11/17 <nevilletz@gmail.com>
> > >>
> > >> **
> >
> > >> Haiwezekani Askofu asingiziwe halafu alalamike Ikulu. Taarifa rasmi
> > >> ingetolewa na ofisi yake tena kwa vyombo vya habari likiwamo
> Mwananchi..
> > >>
> > >> Kitendo cha kupitisha taarifa hiyo kwa mpigapicha wa Rais Ikulu,
> > kinaleta
> > >> mashaka makubwa sana. Viroboto, kila mahali, hadi Kanisani sasa
> > tutamwamini
> > >> nani?
> > >> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> > >> ------------------------------
> > >> *From: *mngonge <mngonge@gmail.com>
> > >> *Sender: *wanabidii@googlegroups.com
> > >> *Date: *Sat, 17 Nov 2012 13:24:05 +0300
> > >> *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
> > >> *ReplyTo: *wanabidii@googlegroups.com
> > >> *Subject: *Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na
> Gazeti
> >
> > >> La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
> > >>
> > >> kwa vile e mail address ya Kilaini ipo hapo chini ya message ya
> Reginald
> > >> Miruko naomba Nevilletz uwasiliane na askofu kilaini moja kwa moja
> > kuhusu
> > >> ukweli wa taarifa hiyo ya kukanusha iliyosambazwa kwa vyombo na hao
> watu
> > >> mbalimbali tulioorodheshewa.
> > >>
> > >> Nasema hivyo kwa sababu inawezekana kuna watu wa politiq wameiteka
> email
> > >> yake na hivyo kutibua mambo. Kwa mawasiliano zaidi nakupa simu ya
> askofu
> > >> huyo ili upate habari ya uhakika. Simu yake siyo siri sana maana yeye
> ni
> > >> kiongozi wa kanisa na hivyo uwasiliana na waumini mbalimbali ( Mob.
> > Phone
> > >> No. 0786262836)
> > >>
> > >> 2012/11/17 Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com>
> > >>
> > >> Meena unahangaika na nini? Huyu Kilaini aliamua kulalamika Ikulu.
> > >> Nimefuatilia mawasiliano yake na Issa Michuzi, wa Kitengo cha
> > Mawasiliano
> > >> ya Rais, Ikulu. Inaonyesha Tamko lake la kukanusha alilituma kwa
> Michuzi
> > >> (sijui aliombwa, au alilazimishwa), na yeye Michuzi akafanya kazi ya
> > >> kulisambaza kwenye vyombo vya habari na watu wengine aliowachagua
> kadri
> > >> alivyoweza. Huenda na huyu mleta mada ambaye hajajitokeza kusema
> kapata
> > >> wapi, alitumiwa na Michuzi, au amechukua kwenye mitandao ya kijamii.
> > >> Angalia hapa chini:
> > >>
> > >> From: MUHIDIN MICHUZI [issamichuzi@gmail.com]
> > >> Sent: Friday, November 16, 2012 11:35 AM
> > >> To: begumkarim@gmail.com; woindeshizza@yahoo.com; dande15us@yahoo.com
> ;
> > >> mtanzania95@yahoo.co.uk; daimanews@yahoo.com; fidelismbaze@yahoo.com;
> > >> fungoomar@yahoo.com; omar.fungo1@gmail.com; guardiantz@yahoo.com;
> > >> uhurunews@yahoo.com; mwananchipapers@yahoo.com; muhidinuk@yahoo.co.uk
> ;
> > >> majira2006@btl.co.tz; majira2006@yahoo.com; habarizapicha@gmail.com;
> > >> fadhiliakida@gmail.com; rmwaikenda@yahoo.com;
> > jesse.kwayu@guardian.co.tz;
> > >> badijohn30@yahoo.co.uk; mpochisel@yahoo.com; rmwangulube@yahoo.com;
> > >> haki.yako@gmail.com; selemaninzaro@yahoo.co.uk; gogobichi@yahoo.com;
> > >> mohammedzahor@live.com; antonysiame74@yahoo.com; alumwene@gmail.com;
> > >> albartjackson@yahoo.com; saidk20@yahoo.com; kalimanzila@yahoo.co.uk;
> > >> zanzibarleoo@yahoo.co.uk; mbeyayetu@yahoo.com; rokanda01@gmail.com;
> > >> sagatik@yahoo.com; uhurutz@yahoo.com; rokanda01@yahoo.com;
> > >> makamutz@gmail.com; contentsfolder@gmail.com; mmaliwanga@vpo.go.tz;
> > >> othmanmichuzi@gmail.com; muftiiy@yahoo.com;
> khatibsuleiman@hotmail.com;
> > >> jerrykoto@yahoo.com; sskwayaya@yahoo.com; issamichuzi@gmail.com;
> > >> mhamila1@gmail.com; rajabumhamila@yahoo.com; mrokim@gmail.com;
> > >> francisgodwin2004@yahoo.com; zai_mzige@yahoo.com;
> > >> jofreymwakibete@yahoo.com; bnkoromo@yahoo.com; johnbukuku@gmail.com;
> > >> dinazubeiry@gmail.com; mamapipiro@yahoo.com; amichuzi@gmail.com;
> > >> lifatash@yahoo.com; salum_mwinyi83@yahoo.com; rwasinaa@yahoo.com;
> > >> mjengwamaggid@gmail.com; machellahm@yahoo.com; janejohn02@gmail.com;
> > >> othmanmaulid@gmail.com; mushi@thehabari.com;
> farajakyarwenda@yahoo.com;
> > >> josephat.lukaza@gmail.com; michietz@yahoo.com;
> > edwardwilly2006@yahoo.com;
> > >> jambonewspaper@yahoo.com; ombuguni@yahoo.co.uk; yusuf.badi@gmail.com;
> > >> jubetranquilino@yahoo.com; manyerere@hotmail.com; deobalile@yahoo.com
> ;
> > >> nmwalyambi@vpo.go.tz; chaleslucas82@yahoo.com;
> charleslucas82@yahoo.com
> > ;
> > >> majira@btl.co.tz; sautihuru@yahoo.com; alberkaw14@yahoo.com;
> > >> rosemalale@yahoo.co.uk; cathbert39@gmail.com; magomba@gmail.com;
> > >> magomba2004@yahoo.co.uk; saibokoblog@gmail.com;
> stewart@theexpress.com;
> > >> kasambalastewart@gmail.com; nipashe.gazeti@gmail.com;
> > >> tchilala@hotmail.com; Abdul Saiboko; Absalom Kibanda; Ansbert
> Ngurumo;
> > >> Beda Msimbe; Benny Kisaka; Boniface Luhanga; C Mulinda; changamoto
> > >> newspaper; Chris Mfinanga; Esther Mvungi; Gobulutsa; Godfrey Lutego;
> > Grace
> > >> M Majira; H Mwadini; Habari Leo; Hilary Bujiku; Ikulu Mawasiliano;
> Ikulu
> > >> Press; Info Raia mwema; Jacqueline Liana; Jane M; Janet; Job; John
> > Bwire;
> > >> John Mapinduzi; Kiongozi gazeti; kulangwa@yahoo.com; MAELEZO; Magnus;
> > >> Magori K; majira gazeti; Martin Malera; Mgaya Kingoba;
> mwananchipapers;
> > >> Mzalendo Npaper; National Website; news editor; News Editor Nipashe;
> > >> Ngunge; Nipashe gazeti; Nipe Habari; Noor Shija; Nyakati Paper; PST;
> > Radio
> > >> Uhuru; Rai; Raia Mwema; RFI Kiswahili; Said Nguba; Salvator Rweyemamu;
> > >> Salvator Rweyemamu; Sarah; Stella Nyemenohi; Tafakari; Tamali VULLU;
> > Tazama
> > >> Npaper; Theodatus Muchunguzi; Yahya Charahani; ZNZ Leo; Irene; Bakari
> > >> Machumu; News Thecitizen; citizen paper; Express Newspaper; Fumbuka
> > >> N'kilala; Ileta; Mbaraka Islam; mbena mwanat; Mwakisyala;
> > >> newsdesk@dailynews-tsn.com; Peter Nyanje; Shermax Ngahemera; The
> > >> African; The Guardian; Thobias Nsungwe; zasose2007@hotmail.com;
> > >> championiyetu2@gmail.com; fatmafereji@yahoo.com;
> > >> bilal@bilal2010campaign.org; mkikwete@gmail.com;
> > aminasalumali@yahoo.com;
> > >> info@kikwete2010.co.tz; elly6083@gmail.com; elly6083@yahoo.co.uk;
> > >> kwitemmanuel@gmail.com; team_bilal@bilal2010campaign.org;
> > >> smpochi01@gmail.com; muhidinuk@gmail.com; Radio Uhuru FM; Jambo
> London;
> > >> nipashe_gazeti@yahoo.com; Mail Delivery Subsystem; Radio East Africa
> > FM;
> > >> yvonne kamuntu; ichikaeli maro; Esther Mbussi; RADIO CLOUDS; Mlimani
> FM
> > >> Radio; uhurunewspaper@yahoo.com; kwiteemmanuel@gmail.com;
> > >> dinachahali@yahoo.com; badijohn30@gmail.com; Photo Mwananchi;
> > >> joycemwak@yahoo.co; nmshija@gmail.com; khalfans2002@yahoo.com;
> > >> postmaster@startv.com; Joyce Mhaville; mlimani radio UDSM; TBC
> > NEWSROOM;
> > >> joyce mwakalinga; Choice FM Radio; C.G. FM Radio; kasabe100@yahoo.com
> ;
> > >> news@thisday.co.tz; mpoki Bukuku; habariclouds@hotmail.com;
> > >> newsroom@startv.com; newsroom@startvtz.com; Radio Free Afrika; Kitulo
> > >> Radio; TBC RADIO; theafrican@newhabari.com; Peter Nyanje; Radio 5
> > >> Arusha; Radio Free Africa (RFA); changamotonews1@gmail.com;
> > >> ykayombo@yahoo.com; banyongo@yahoo.com; TANZANIA DAIMA;
> > >> mailer-daemon@messagelabs.com; salvatori9@hotmail.com; Edwin Mjwahuzi
> > >> Laurent; Habari Central; Independent Television;
> postmaster@hotmail.com
> > ;
> > >> Magic FM Radio; Daily News TNS; mailer-daemon@yahoo.co.uk; Roderick
> > >> LUTEMBEKA; Radio Uhuru FM; Qiblatain FM Radio;
> > >> newsroom@radiofreeafrica.com; Daily TSN; Yusuf Badi; audax mutiganzi;
> > >> Juma Kengele; Maxence M. Melo; Subi; MR MATEMBELE; Chemi Kadete;
> > >> tbcnewsroom1@gmail.com; davidrm@yahoo.com; fastnewstz@gmail.com
> > >> Subject: Fwd: TAMKO - STATEMENT YA ASKOFU METHOD KILAINI DHIDI YA
> GAZETI
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment