Sunday, 18 November 2012

Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo

Matinyi chunga kauli yako.unaweza wewe ukawa wa hovyo kipeuo cha pili kabla ya baba askofu.japo siingilii mjadala wenyewe kwa sasa kwa sababu za conflict of interest.lakini kauli rejareja tu juu ya kilaini kama unavyomuita huyu siyo matinyi.usinitafutie kufungiwa hapa.acha huo uovyo wako.kampeti obama na sera zake za kwenye suruali zetu

2012/11/18 <nevilletz@gmail.com>
Kuna swali nimeuliza sana tangu jana halijibiwi, hiyo taarifa ya Kilaini ilitangazwa wapi? Kuna media yoyote kwa maana ya gazeti ilitumiwa au aliyeiweka hapa aliipata wapi?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

Date: Sun, 18 Nov 2012 12:13:24 -0500
Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo

Muulize mbona hakukana ile ya chaguo la Mungu. Siasa inamhusu nini?

T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "Telesphor Magobe" <tmagobe@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
Date: Sun, Nov 18, 2012 11:19 am


Matinyi, Kilaini anaweza kuwa "hovyo" kama unavyodai lakini je akubali tu
ambacho hajasema hata kama ni yeye hovyo?


2012/11/18 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>

> Huyu mtu aitwaye Kilaini sipendi kusikia kelele zake. Hovyo kabisa,
> akahubiri kanisani kwake huko.
> Matinyi.
>
>
>
>
> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>
>
> ----- Reply message -----
> From: "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com>
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Subject: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La
> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
> Date: Sun, Nov 18, 2012 6:21 am
>
>
> Nilimaanisha Edgar Mbegu.samahani
>
> 2012/11/18 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
>
> > hii kitu imekaa kimtego mtego nami natangaza mgongano wa kimaslahi.so
> > nitakuwa silent mpaka nitakapoona structure ya ukweli inaanza
> kutokea.Edgar
> > Mbega fuatilia hii kitu kwa ajili yetu,na wana mabadiliko fuatilia hii
> > kitu.
> >
> >
> > 2012/11/18 Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
> >
> >>  Mngonge, Mwananchi wathibitishe sasa ili ukweli uwekwe wazi!
> >>
> >>  ------------------------------
>
> >> Date: Sun, 18 Nov 2012 12:30:31 +0300
> >>
> >> Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La
> >> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
> >> From: mngonge@gmail.com
> >> To: wanabidii@googlegroups.com
> >>
> >>
> >> Mwanzo nilifikiri kwamba pengine mwandishi wa habari hiyo alikosea jina
> >> lakini kwa sasa naona jina halikukosewa. Tatizo ni ama yeye (Kilaini)
> >> anakana alichosema au gazeti la mwananchi limempachika maneno mdomoni.
> >> Mbona kumaliza ubishi huo ni rahisi, kinachotakiwa kufanywa na gazeti la
> >> mwananchi ni kutoa ushahidi ambao utatufanya kuliamini na kumshangaa
> sana
> >> mchungaji huyu wa kondoo wa Bwana.
> >>
> >> Gazeti la Mwananchi ni gazeti linalopendwa na watu wengi hapa Tanzania
> >> kwa sababu ya kuandika habari zenye ukweli na zinazojitosheleza. Pamoja
> na
> >> kwamba sijafanya utafiti yawezekana linaongoza kwa kuuza nakala nyingi..
> Ni
> >> juu ya uongozi wa gazeti hili kujisafisha kwa kutujulisha namna
> walivyopata
> >> habari lalamikiwa toka kwa huyo kiongozi wa kanisa.
> >>
> >> 2012/11/17 <nevilletz@gmail.com>
> >>
> >> Kweli ana haki,
> >> Kalalamika wapi na kwa nani? Kaitisha press conference au hiyo taarifa
> >> katuma wapi?
> >> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> >> ------------------------------
> >>  *From: *Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
> >> *Sender: *wanabidii@googlegroups.com
> >> *Date: *Sat, 17 Nov 2012 11:19:51 +0000
> >> *To: *Wanabidii Mawazo<wanabidii@googlegroups.com>
> >> *ReplyTo: *wanabidii@googlegroups.com
> >> *Subject: *RE: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti
>
> >> La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
> >>
> >>
> >> Ina maana Neville alikuwa hajaiona habari hii? Hoja ya msingi ni kwamba
> >> Askofu Kilaini anasema kwamba hajazungumza na chombo chochote cha habari
> >> kuhusu mambo ya chaguzi za ccm. Sasa ni kazi ya gazeti la Mwananchi
> >> kuthibitisha kweli kwamba Askofu alihojiwa na akasema hayo. Vinginevyo
> >> itabidi Gazeti la Mwananchi liombe radhi. Kwa upande mwingine, nadhani
> >> Neville amekurupuka kusema kwamba Askofu Kilaini ni kiroboto, kwani
> >> hajatuthibitishia kweli kwamba kauli iliyoandikwa na Mwanachi ni ya
> Askofu
> >> Kilaini. Hata hivyo, kama Kilaini anahisi kasingiziwa, ana haki ya
> >> kulalamika na kukanusha kwa kufuata njia ambazo yeye anaona zinafaa.
> >>  ------------------------------
>
> >> Date: Sat, 17 Nov 2012 18:02:49 +0700
> >> Subject: Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti La
> >> Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
> >> From: hamisznz@gmail.com
> >> To: wanabidii@googlegroups.com
> >>
> >> Habari ya mwananchi inayolalamikiwa ni hii hapa
> >>
> http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1621274/-/11ojkjk/-/index.html
> >>
> >>
> >>
> >> 2012/11/17 <nevilletz@gmail.com>
> >>
> >> **
>
> >> Haiwezekani Askofu asingiziwe halafu alalamike Ikulu. Taarifa rasmi
> >> ingetolewa na ofisi yake tena kwa vyombo vya habari likiwamo Mwananchi..
> >>
> >> Kitendo cha kupitisha taarifa hiyo kwa mpigapicha wa Rais Ikulu,
> kinaleta
> >> mashaka makubwa sana. Viroboto, kila mahali, hadi Kanisani sasa
> tutamwamini
> >> nani?
> >> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> >> ------------------------------
> >>  *From: *mngonge <mngonge@gmail.com>
> >> *Sender: *wanabidii@googlegroups.com
> >> *Date: *Sat, 17 Nov 2012 13:24:05 +0300
> >> *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
> >> *ReplyTo: *wanabidii@googlegroups.com
> >>  *Subject: *Re: [wanabidii] Askofu Kilaini Akanusha Kuzungumza Na Gazeti
>
> >> La Mwananchi Kuhusu CCM - Mwanzo
> >>
> >> kwa vile e mail address ya Kilaini ipo hapo chini ya message ya Reginald
> >> Miruko naomba Nevilletz uwasiliane na askofu kilaini moja kwa moja
> kuhusu
> >> ukweli wa taarifa hiyo ya kukanusha iliyosambazwa kwa vyombo na hao watu
> >> mbalimbali tulioorodheshewa.
> >>
> >> Nasema hivyo kwa sababu inawezekana kuna watu wa politiq wameiteka email
> >> yake na hivyo kutibua mambo. Kwa mawasiliano zaidi nakupa simu ya askofu
> >> huyo ili upate habari ya uhakika. Simu yake siyo siri sana maana yeye ni
> >> kiongozi wa kanisa na hivyo uwasiliana na waumini mbalimbali ( Mob.
> Phone
> >> No. 0786262836)
> >>
> >> 2012/11/17 Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com>
> >>
> >> Meena unahangaika na nini? Huyu Kilaini aliamua kulalamika Ikulu.
> >> Nimefuatilia mawasiliano yake na Issa Michuzi, wa Kitengo cha
> Mawasiliano
> >> ya Rais, Ikulu. Inaonyesha Tamko lake la kukanusha alilituma kwa Michuzi
> >> (sijui aliombwa, au alilazimishwa), na yeye Michuzi akafanya kazi ya
> >> kulisambaza kwenye vyombo vya habari na watu wengine aliowachagua kadri
> >> alivyoweza. Huenda na huyu mleta mada ambaye hajajitokeza kusema kapata
> >> wapi, alitumiwa na Michuzi, au amechukua kwenye mitandao ya kijamii.
> >> Angalia hapa chini:
> >>
> >> From: MUHIDIN MICHUZI [issamichuzi@gmail.com]
> >> Sent: Friday, November 16, 2012 11:35 AM
> >> To: begumkarim@gmail.com; woindeshizza@yahoo.com; dande15us@yahoo.com;
> >> mtanzania95@yahoo.co.uk; daimanews@yahoo.com; fidelismbaze@yahoo.com;
> >> fungoomar@yahoo.com; omar.fungo1@gmail.com; guardiantz@yahoo.com;
> >> uhurunews@yahoo.com; mwananchipapers@yahoo.com; muhidinuk@yahoo.co.uk;
> >> majira2006@btl.co.tz; majira2006@yahoo.com; habarizapicha@gmail.com;
> >> fadhiliakida@gmail.com; rmwaikenda@yahoo.com;
> jesse.kwayu@guardian.co.tz;
> >> badijohn30@yahoo.co.uk; mpochisel@yahoo.com; rmwangulube@yahoo.com;
> >> haki.yako@gmail.com; selemaninzaro@yahoo.co.uk; gogobichi@yahoo.com;
> >> mohammedzahor@live.com; antonysiame74@yahoo.com; alumwene@gmail.com;
> >> albartjackson@yahoo.com; saidk20@yahoo.com; kalimanzila@yahoo.co.uk;
> >> zanzibarleoo@yahoo.co.uk; mbeyayetu@yahoo.com; rokanda01@gmail.com;
> >> sagatik@yahoo.com; uhurutz@yahoo.com; rokanda01@yahoo.com;
> >> makamutz@gmail.com; contentsfolder@gmail.com; mmaliwanga@vpo.go.tz;
> >> othmanmichuzi@gmail.com; muftiiy@yahoo.com; khatibsuleiman@hotmail.com;
> >> jerrykoto@yahoo.com; sskwayaya@yahoo.com; issamichuzi@gmail.com;
> >> mhamila1@gmail.com; rajabumhamila@yahoo.com; mrokim@gmail.com;
> >> francisgodwin2004@yahoo.com; zai_mzige@yahoo.com;
> >> jofreymwakibete@yahoo.com; bnkoromo@yahoo.com; johnbukuku@gmail.com;
> >> dinazubeiry@gmail.com; mamapipiro@yahoo.com; amichuzi@gmail.com;
> >> lifatash@yahoo.com; salum_mwinyi83@yahoo.com; rwasinaa@yahoo.com;
> >> mjengwamaggid@gmail.com; machellahm@yahoo.com; janejohn02@gmail.com;
> >> othmanmaulid@gmail.com; mushi@thehabari.com; farajakyarwenda@yahoo.com;
> >> josephat.lukaza@gmail.com; michietz@yahoo.com;
> edwardwilly2006@yahoo.com;
> >> jambonewspaper@yahoo.com; ombuguni@yahoo.co.uk; yusuf.badi@gmail.com;
> >> jubetranquilino@yahoo.com; manyerere@hotmail.com; deobalile@yahoo.com;
> >> nmwalyambi@vpo.go.tz; chaleslucas82@yahoo.com; charleslucas82@yahoo.com
> ;
> >> majira@btl.co.tz; sautihuru@yahoo.com; alberkaw14@yahoo.com;
> >> rosemalale@yahoo.co.uk; cathbert39@gmail.com; magomba@gmail.com;
> >> magomba2004@yahoo.co.uk; saibokoblog@gmail.com; stewart@theexpress.com;
> >> kasambalastewart@gmail.com; nipashe.gazeti@gmail.com;
> >> tchilala@hotmail.com; Abdul Saiboko; Absalom Kibanda; Ansbert Ngurumo;
> >> Beda Msimbe; Benny Kisaka; Boniface Luhanga; C Mulinda; changamoto
> >> newspaper; Chris Mfinanga; Esther Mvungi; Gobulutsa; Godfrey Lutego;
> Grace
> >> M Majira; H Mwadini; Habari Leo; Hilary Bujiku; Ikulu Mawasiliano; Ikulu
> >> Press; Info Raia mwema; Jacqueline Liana; Jane M; Janet; Job; John
> Bwire;
> >> John Mapinduzi; Kiongozi gazeti; kulangwa@yahoo.com; MAELEZO; Magnus;
> >> Magori K; majira gazeti; Martin Malera; Mgaya Kingoba; mwananchipapers;
> >> Mzalendo Npaper; National Website; news editor; News Editor Nipashe;
> >> Ngunge; Nipashe gazeti; Nipe Habari; Noor Shija; Nyakati Paper; PST;
> Radio
> >> Uhuru; Rai; Raia Mwema; RFI Kiswahili; Said Nguba; Salvator Rweyemamu;
> >> Salvator Rweyemamu; Sarah; Stella Nyemenohi; Tafakari; Tamali VULLU;
> Tazama
> >> Npaper; Theodatus Muchunguzi; Yahya Charahani; ZNZ Leo; Irene; Bakari
> >> Machumu; News Thecitizen; citizen paper; Express Newspaper; Fumbuka
> >> N'kilala; Ileta; Mbaraka Islam; mbena mwanat; Mwakisyala;
> >> newsdesk@dailynews-tsn.com; Peter Nyanje; Shermax Ngahemera; The
> >> African; The Guardian; Thobias Nsungwe; zasose2007@hotmail.com;
> >> championiyetu2@gmail.com; fatmafereji@yahoo.com;
> >> bilal@bilal2010campaign.org; mkikwete@gmail.com;
> aminasalumali@yahoo.com;
> >> info@kikwete2010.co.tz; elly6083@gmail.com; elly6083@yahoo.co.uk;
> >> kwitemmanuel@gmail.com; team_bilal@bilal2010campaign.org;
> >> smpochi01@gmail.com; muhidinuk@gmail.com; Radio Uhuru FM; Jambo London;
> >> nipashe_gazeti@yahoo.com; Mail Delivery Subsystem; Radio East Africa
> FM;
> >> yvonne kamuntu; ichikaeli maro; Esther Mbussi; RADIO CLOUDS; Mlimani FM
> >> Radio; uhurunewspaper@yahoo.com; kwiteemmanuel@gmail.com;
> >> dinachahali@yahoo.com; badijohn30@gmail.com; Photo Mwananchi;
> >> joycemwak@yahoo.co; nmshija@gmail.com; khalfans2002@yahoo.com;
> >> postmaster@startv.com; Joyce Mhaville; mlimani radio UDSM; TBC
> NEWSROOM;
> >> joyce mwakalinga; Choice FM Radio; C.G. FM Radio; kasabe100@yahoo.com;
> >> news@thisday.co.tz; mpoki Bukuku; habariclouds@hotmail.com;
> >> newsroom@startv.com; newsroom@startvtz.com; Radio Free Afrika; Kitulo
> >> Radio; TBC RADIO; theafrican@newhabari.com; Peter Nyanje; Radio 5
> >> Arusha; Radio Free Africa (RFA); changamotonews1@gmail.com;
> >> ykayombo@yahoo.com; banyongo@yahoo.com; TANZANIA DAIMA;
> >> mailer-daemon@messagelabs.com; salvatori9@hotmail.com; Edwin Mjwahuzi
> >> Laurent; Habari Central; Independent Television; postmaster@hotmail.com
> ;
> >> Magic FM Radio; Daily News TNS; mailer-daemon@yahoo.co.uk; Roderick
> >> LUTEMBEKA; Radio Uhuru FM; Qiblatain FM Radio;
> >> newsroom@radiofreeafrica.com; Daily TSN; Yusuf Badi; audax mutiganzi;
> >> Juma Kengele; Maxence M. Melo; Subi; MR MATEMBELE; Chemi Kadete;
> >> tbcnewsroom1@gmail.com; davidrm@yahoo.com; fastnewstz@gmail.com
> >> Subject: Fwd: TAMKO - STATEMENT YA ASKOFU METHOD KILAINI DHIDI YA GAZETI
> >> LA MWANANCHI
> >>
> >> ---------- Forwarded message ----------
> >> From: Method Kilaini gm <mkilaini@gmail.com<mailto:mkilaini@gmail.com>>
> >> Date: 2012/11/16
> >> Subject: TAMKO - STATEMENT
> >> To: issamichuzi@gmail.com<mailto:issamichuzi@gmail.com>
> >>
> >>
> >> TAMKO – STATEMENT
> >>
> >> Kwa masikitiko makubwa nimesoma katika gazeti la Mwananchi kwamba
> >> nimeiponda safu ya uongozi na sekretariati ya CCM. Mimi sijaongea na
> gazeti
> >> lolote juu ya uongozi wa CCM na wala sina nia au sababu ya kuuponda
> uongozi
> >> huo. Ni vibaya kwa gazeti lo lote lile kutumia jina la mtu kwa kueneza
> >> maoni yake. Kama ni waugwana natumaini watasahihisha waliyoyaandika.
> >> Nasikitika sana kwa walikwazwa na hilo. Askofu Kilaini
> >>
> >> Askofu Method Kilaini
> >> Bukoba Catholic Diocese
> >>
> >> e-mail: mkilaini@gmail.com<mailto:mkilaini@gmail.com>
> >> Web: http://bukobadiocese.catholicweb.com
> >> http://card-rugambwa.catholicweb.com<http://catholicweb.com>
> >>
> >>
> >>
> >>
> >> 2012/11/17 paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
> >>
> >> Jamani sheria inasemaje kuhusu habari ya uzushi
> >>
> >> Kuna chombo kimoja cha habari majuzi kiliandika kwamba katibu mkuu
> wizara
> >> ya nishati na madini ajiuzulu,kumbe sio kweli
> >>
> >> Siku ya pili wizara ikakanusha tu basi
> >>
> >>  2012/11/17 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
> >>
> >>   Ajabu kumzushia Askofu lakini ni mazoea. Mfano, gazeti linathibitisha
> >> watu kunasana Temeke DSM lakini linaweka picha ya kutoka mtandaoni ya
> >> walionasana Kenya (Gazeti la Kisiwa) maana yake nini? Kichwa cha habari
> >> kingine na maelezo wa baadhi ya magazeti wakati  mwingine havioani kwa
> nini
> >> huwa wanafanya hivyo? Tamaa ya hela? Mtu unapata nafasi ya kusilikiza
> >> hotuba ya kiongozi kupitia Television au radio yote unaisikia. Kisha
> >> magazeti kesho yanaeleza vingine na kuongeza chumvi huu udaku utaisha
> lini?
> >> Mbona hupata mafunzo wenzetu hawa kulikoni? Ingefaa uandishi usielekee
> >> upande mmoja aidha wa kukashifu au kusifu sana uwe pia wa kuhoji sio
> kubeba
> >> yanayolaumu tu au kupotosha ukweli. Ukata upo wa kutaka kitu kinunuliwe
> >> hela iingie lakini kuivunja jamii na kuleta mfarakano ni impact kubwa ya
> >> vyombo vya habari. Tubadilike, tupende ukweli wenye evidence sio
> uzushi...

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment