Tuesday, 17 July 2012

RE: [wanabidii] KISWAHILI SANIFU

Laurean,

Bahati mbaya sikuwa na nafasi ya kuchangia mapema kutokana na kubanwa na shughuli. Naomba niseme hivi – hakuna kitu kama hicho ulichodai – eti Kiswahili Sanifu cha kila nchi kama wanavyotaka wao wenyewe. Hakuna balaa kama hili, na si kwenye Kiswahili tu, bali kwenye kila lugha ya watu makini.


Kilichopo duniani ni Kiswahili kinachoendana na mazoea ya jamii fulani fulani ambapo hata nchi nzima inaweza kuchukuliwa kama jamii lakini Kiswahili hiki kinaweza kisifikie mahali pa kuitwa lahaja kama ambavyo tuna lahaja za Kiswahili za Kiungwana (Mashariki mwa Kongo); Kiunguja, Kimakunduchi, Kipemba, n.k. (Zanzibar), Kimvita, n.k. (Kenya), Kingazija (Komoro), n.k.


Hivyo kuna zaidi ya lahaja, na lahaja hizi huweza kuwa na tofauti na Kiswahili chenyewe katika misamiati yake na hata sarufi. Suala la lahaja ni jambo la kawaida kwenye lugha duniani na mfano mzuri wa lahaja ni lugha za Kibantu na lahaja zake au lugha za Kihindi na lahaja zake. Lahaja huwa na jina lake kamili kama nilivyotaja hapo juu kwenye Kiswahili. Lahaja si suala la hovyo hovyo tu na lahaja hazihalalishi muujiza wa kuwepo kwa lugha sanifu nyingi.


Kwenye hali ya kawaida lugha moja inaweza ikawa na matoleo tofauti (si lahaja haswa) kama ilivyo kwenye Kiarabu ambapo kuna cha Misri, Sudan, Saudi Arabia, Moroko, Lebanon, Yodani, n.k. Kiarabu cha Misri ndicho maarufu zaidi kwenye dunia ya Waarabu kutokana na umaarufu wa utamaduni wa Misri. Hata hivyo, kuna Kiarabu kimoja tu kiitwacho Kiarabu Sanifu (Standard Arabic), na ndicho hutumika kwenye mawasiliano rasmi, na kwenye Kurani Tukufu, vyombo vya habari na dunia ya kitaaluma.


Hali hii ya Kiarabu ndiyo iliyopo kwenye Kiswahili ambapo nchi ama jamii kadhaa zina aina zao za Kiswahili ambacho si SANIFU bali ni Kiswahili chenye mchanganyiko wa matumizi tofauti ya msamiati na wakati mwingine makosa sugu ya kisarufi yaliyokomaa (kwenye Kiingereza cha sayansi ya lugha inaitwa fossilization, yaani mchakato wa kitu laini kufanyika kuwa kigumu kama jiwe). Hapo ndipo unaweza ukapata hivyo 'viswahili' ulivyotaja kama vipo, na ikibidi hata zaidi.


Kama ilivyo kwenye Kiarabu, kwamba hivyo 'viarabu' vingi si SANIFU bali ni matoleo ya viarabu yanayosaidia mawasiliano katika nchi na jamii mbalimbali huku KIARABU SANIFU kikibaki pale pale; ndivyo hivyo ilivyo kwenye Kiswahili kwamba huko kwingine kuna 'viswahili' kibao lakini vyote si SANIFU na inapofika kwenye kutafuta usahihi vinarejea kwenye KISWAHILI SANIFU.


Kiswahili Sanifu ndicho hutoa kitu kiitwacho KAMUSI na kamwe hivyo viswahili vya kuzagaazagaa haviwezi kutoa Kamusi inayokubalika katika dunia ya wasomi wa lugha. Inawezekana kuwa na kamusi ya kihunihuni tu, lakini haitakuwa rasmi.


Ukienda Kenya utakuta kwamba walimu waliofuzu vema lugha hii ya Kiswahili wanazungumza Kiswahili safi kinachopatikana Tanzania na wengi wao ama walifundishwa na Mtanzania au walisomea Tanzania au walifanya juhudi zisizokuwa za kawaida. Mathalani wao hawasemi: Ambia ile mtoto ya rafiki yako ikuje hapa – bali husema: Mwambie yule mtoto wa rafiki yako aje hapa. Hawasemi: Raila afukuza Rutto – bali wanasema: Raila amfukuza Rutto.


Hii mifano ninayokupa ni halisi na imo hadi kwenye gazeti pekee la Kiswahili lililoajiri wataalamu wa Kiswahili kwa kiwango cha Kenya – Taifa Letu. Mimi husoma gazeti hili kila siku kama ninavyosoma magazeti ya Tanzania na sikumbuki siku ambayo sikukutana na kosa la kisarufi. Hiki cha Kenya si Kiswahili Sanifu kwa kipimo chochote kile na ndiyo maana Mkenya anayefuzu vema Kiswahili huachana nacho.


Watu wengi huchanganya dhana inayotajwa kwenye Kiingereza, kwamba kuna British English, American English, Australian, Canadian English, na South African English. Sarufi ya msingi ya lugha hizi – viingereza – ni moja na moja tu. Tofauti ipo kwenye herufi kama color/colour, matamshi au lafudhi, na matumizi ya maneno kwa mfano trash can kwa Wamarekani na dust bin kwa Waingereza au truck kwa Wamarekani na lorry kwa Waingereza. Usanifu wa Kiingereza ni mmoja na ndio unaofuatwa na matoleo yote haya ya viingereza ambayo yanatambulika kama RASMI.


Hicho unachokiita Kiswahili cha Burundi, Uganda, Kongo, n.k. si mfano wa matoleo haya ya Kiingereza kwa kuwa kimebebwa na makosa sugu na udhaifu mkubw awa kilugha. Kingeweza kuwa hivyo kama sarufi ingekuwa sahihi na sawa na Kiswahili Sanifu lakini matumizi ya maneno na lafudhi – na hata herufi kama Akhsante na Asante - zikawa tofauti, mfano stima huko Kenya ambapo kwa Tanzania ni umeme.


HITIMISHO: Kuna Kiswahili Sanifu kimoja tu. Ndiyo, kuna na 'iswahili vingine vya kijamii na lahaja kadhaa lakini KISWAHILI SANIFU ni kimoja tu. Tusiwapotoshe watu kwa kudhania maoni makavu tu yanafaa ili mradi ni maoni. Lugha si suala la maoni tu bali ni kitu kamili na cha kisayansi.


Mobhare Matinyi.


 ***********************************
> From: rugambwa@hotmail.com
> To: mauricejoduor@gmail.com; wanabidii@googlegroups.com
> CC: pauliyai@yahoo.com
> Date: Sun, 15 Jul 2012 18:26:42 +0000
> Subject: Re: [wanabidii] KISWAHILI SANIFU
>
> Maurice na Matinyi:
> Kuna kiswahili cha Kenya, Burundi, DRC na Kiswahili cha Tanzania.
>
> Usanifu wake unategemea mzungumzaji, sikubaliana na Matinyi kuwa kiswahili cha Tanzania ndo sanifu pekee. Usanifu ni makubaliano ya nchi husika juu ya hiyo lugha.
>
> Jioni njema,
>
> LR
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>
> -----Original Message-----
> From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
> Date: Sun, 15 Jul 2012 17:14:19
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Cc: <pauliyai@yahoo.com>
> Subject: Re: [wanabidii] KISWAHILI SANIFU
>
>
> Mobhare,
>
> Salaaaale !!!!
>
> Kabisa baba !!!
>
> Umetusomea kweli. Yaani hata ijapo kwenye mtihani wetu wa taifa wa
> kidatu cha nne niliiongoza Kenya nzima, uminitia shaka sasa na
> Kiswahili changu !!
>
> Oduor Maurice
>
>
>
> On 7/15/12, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:
> >
> >
> >
> > Bwana
> > Paulo,
> >
> > 1. Bila kujali kwenu wapi, hoja yako ya kuhalalisha usemaji huu "Kiswahili
> > yangu" haiwezi kupita bila kupingwa na wazungumzaji wa Kiswahili. Maelezo
> > yako ya ngeli ni hoja za kawaida za walimu/wajuaji wa Kiswahili wa Kenya.
> > Madai
> > kwamba msemaji wa Kiswahili anaposema "Kiswahili yangu" eti anaabudu
> > hadhi ya Kiswahili kama lugha ni kituko - yaani neno hili "lugha" kubeba
> > ngeli ya I/ZI. Hebu naomba uchambue mfano huu hapa:
> >
> > (a) Naomba unipatie hiyo nyama
> > yangu............................................N/N
> >
> > (b) Nani amekula mkate
> > wangu?......................................................M/MI
> >
> > (c) Hili ni tunda lako lakini lile ni tunda
> > langu.....................................JI/MA
> >
> > (d) Naomba mtu asiguse kisamvu
> > changu.........................................KI/VI
> >
> > (e) Bado sijanywa uji
> > wangu.............................................................U/N
> >
> >
> >
> > Nadhani umeshaona ninapoelekea. Hivi vyote vi vyakula. Je, unaweza
> > kutumia "changu" kwenye umilikaji wake eti kwa kuwa unaviheshimu kama
> > "vyakula" katika umoja wake wa chakula hivyo useme hivi: nyama changu,
> > mkate changu, tunda changu, kisamvu changu (hii iko sahihi
> > kwa sababu imo kwenye KI/VI kama chakuka changu kilivyo kwenye KI/VI),
> > na pia uji changu???
> >
> >
> >
> > Jibu ni kwamba kwenye Kiswahili huwezi kufanya hivi labda kwenye lugha moja
> > iitwayo "Kikenya" ambayo inataka kufananafanana na Kiswahili lakini
> > siyo Kiswahili. Kwa kufuata hiyo kanuni yako kwenye umiliki wa majina haya
> > ya
> > vyakula itakuwa ni uwendawazimu wa lugha. Huwezi kusema Kiswahili yangu eti
> > kwa
> > kuwa Kiswahili ni lugha kama ambavyo huwezi kusema mkate changu eti kwa
> > mkate ni chakula. Endelea kusujudia misamiati/nomino lakini usiseme
> > hicho ni Kiswahili; hicho ni Kikenya.
> >
> >
> >
> > 2. Hoja ya pili kwamba eti wasomi wengi hawataki kutumia neno
> > "Swahili" eti kwa kuwa ni kasumba ya kikoloni, si sahihi. Hiyo ni
> > hoja ya wanaojiita wasomi wa Kiswahili wa Kenya ambao hata hivyo, kiukweli,
> > ndio mabingwa wa kasumba ya kikoloni. Ushahidi upo mwingi. Swahili ni
> > jina la lugha yetu kuu Watanzania likiwa katika mzizi wake na ndilo jina
> > linalotumika pindi mtu anapozungumza lugha ambazo hazina vishina vya mwanzo
> > vya
> > kuitambulisha lugha, mfano kwenye lugha za Ulaya. Hivyo unapowasiliana
> > katika
> > Kifaransa au Kiingereza unasema "Swahili". Kitendo cha kuiita lugha
> > hii "Kiswahili" wakati unawasiliana na lugha ambazo hazina viambishi
> > awali vya kuitambulisha lugha ni ubabaishaji na makosa ya kutokujua au
> > kutokujali. Kiswahili ni jina la lugha hii katika lugha yenyewe, kama vile
> > mtu
> > asemapo Deutsche kumaanisha Kijerumani kwa Kijerumani chenyewe.
> >
> > Kuna
> > tatizo kubwa nchini Kenya la watu kukiita Kiswahili eti "Kiswahili"
> > wanapozungumza Kiingereza kwa kudhani wanapigana na ukoloni. Si kweli bali
> > ni
> > muendelezo ule ule wa kukokukijua Kiswahili kwa sababu si lugha ya watu wa
> > Kenya ingawa kule pwani kuna lahaja za pwani zinazokaribiana na Kiswahili,
> > mathalani Kimvita. Tafadhali rejea taarifa ya Baraza la Lugha la Afrika
> > Mashariki la miaka ya 1930. Kiswahili ni lugha ya kimataifa iliyotoka
> > Tanzania
> > kama Kiingereza kilivyo lugha ya kimataifa baada ya kusambaa kutokea
> > Uingereza.
> > Pia, nadhani tunafahamu kuwa Wakenya wa pwani ni Watanzania wa makabila
> > yaliohamia
> > huko miaka mamia kadhaa huko nyuma, mfano Wasegeju na Wataita.
> >
> >
> >
> > 3. Nasisitiza tena: Kiswahili ni lugha ya Tanzania. Ni uwendawazimu kusema
> > kwamba Kiswahili hakina wenyewe. Kuna watu Tanzania ambao lugha yao ni
> > Kiswahili tu. Kiswahili kilikuja Kenya kupitia watu wa pwani ya Afrika
> > Mashariki ambao walilazimika kukijua Kiswahili kutokana na kufanana kwa
> > lahaja
> > zao na Kiswahili na pia muingiliano na watu wa Zanzibar na pwani ya
> > Tanzania
> > Bara. Watu hao pia walitoka maeneo ya mkoa wa Pwani (Tanzania) na Tanga na
> > visiwani kwetu Tanzania. Baraza la Kiswahili lililoundwa kwenye miaka ya
> > 1930
> > mwanzoni na wakoloni wa Kiingereza lilisema wazi kwamba Kiswahili kiko
> > Tanganyika (sasa Tanzania), na likaidhinisha lahaja ya Kiunguja kutumika
> > kukijenga Kiswahili Sanifu ambacho kimsingi sasa kinatofautiana na lahaja
> > yenyewe ya Kiunguja kwa sababu ya usanifu wake uliofuata utafiti wa lugha
> > wa
> > kisayansi na ukuaji wake pia. Ndiyo maana kuna msemo huu: Kiswahili
> > kilizaliwa Zanzibar; kikakulia Tanzania; kikafia Kenya; na kikazikwa
> > Uganda.
> >
> >
> >
> >
> > Mwaka 1973 Dikteta Idi Amin alitoa amri kukitangaza Kiswahili kuwa lugha ya
> > taifa la Uganda baada ya tume yake maalumu kumpa taarifa kwamba Kiganda
> > hakina
> > sifa za kuwa lugha ya taifa. Kwa aibu, Rais Kenyatta naye akamuiga Amin
> > mwaka
> > 1974 kwa kutoa amri (decree). Kama Kiswahili kingekuwa lugha ya Kenya basi
> > ni
> > hakika kuwa hii amri ya Kenyatta isingehitajika. Tanzania hatukuhitaji amri
> > kwa
> > sababu nchi yetu ilizaliwa kwa kukitumia Kiswahili chenyewe. Kenya siku
> > zote
> > haina lugha ya kiafrika ya kujitambulisha bali ina lugha za makabila na
> > Kiingereza. Huu ujanja wa kudandia Kiswahili (eti lugha ya Kenya pia) ni
> > hadithi ile ile ya Mlima Kilimanjaro. Tunawapenda Wakenya na tunajisikia
> > fahari
> > wanapojaribu kuzungumza lugha yetu lakini si busara kwa Wakenya kuanza
> > kuleta
> > ujuaji na kuishia kukiharibu. Tusifanye utani kwenye hili.
> >
> >
> >
> > Wakenya wajifunze Kiswahili kutoka kwa Watanzania badala ya kutembea huku
> > na
> > kule Marekani na Ulaya wakidanganya eti Kiswahili cha Kenya ni kama
> > "American
> > English." Si kweli kwa kuwa "American English is not a broken English
> > but certainly, Kenyan Swahili is a broken Swahili." Nchini Kenya
> > pia hakuna Kiswahili cha aina moja na imebidi Katiba ilazimishe kusema
> > kwamba
> > Kiswahili ni lugha rasmi, baada ya msemo kwamba ni lugha ya taifa
> > kushindwa kukitetea Kiswahili. Ndiyo, Kiswahili kinakua nchini Kenya lakini
> > hakijafikia mahali pa kutumika kama lugha rasmi kwani hata bungeni hakiwezi
> > kuzungumzwa
> > na wala rais hawezi kukizungumza. Gazeti pekee na kubwa la kila siku la
> > Kiswahili nchini Kenya lina makosa kwenye kurasa zake kila siku iendayo kwa
> > Mungu. Nipe toleo lolote la Taifa Leo na nitakuonesha makosa ya
> > Kiswahili - tena ya wazi wazi kama ukosefu wa viambishi vinavyoonesha
> > mtendewa,
> > yaani object markers.
> >
> >
> >
> > Kuhusu Wakenya wanaofundisha Kiswahili huku nje, niseme tu kwamba hawa ni
> > Waafrika Mashariki wenzetu na mimi binafsi nimewahi kuwasaidia na kuwaunga
> > mkono, hasa wale wanaojua kwamba wanahitaji msaada wa Watanzania. Mmoja
> > mwenye
> > shahada mbili za uzamili na moja ya uzamivu - zote za lugha - nilimsaidia
> > kwenye
> > mradi wake mmoja lakini mwingine mwenye ya uzamivu lakini mjuaji,
> > nilimvuruga
> > kweli kweli alipong'ang'ania kufasiri tovuti moja kwa kutumia Kiswahili
> > kichafu.
> >
> > MWISHO: Kiswahili ni lugha ya kimataifa
> > inayomilikiwa na Tanzania/Watanzania ambako ndipo ilipo na inapotokea. Watu
> > wote duniani wakisemo Wakenya wanakaribishwa kujifunza lugha hii na
> > kuifundisha
> > lakini wasiweke madudu yao. Kusema kwamba Kiswahili hakina mwenyewe ni
> > matusi
> > makubwa kama kumwita mtoto eti "mwanaharamu." Wakenya watumieni Watanzania
> > kujifunza Kiswahili badala ya kuupotosha ulimwengu. Mmarekani mmoja rafiki
> > yangu baada ya kukaa Tanzania kwa miaka miwili na kujifunza Kiswahili
> > murwa,
> > alipokwenda Nairobi aliwaambia Wakenya hivi: Ninyi mnazungumza Kikenya,
> > siyo
> > Kiswahili. Alikuwa sahihi.
> >
> > Mobhare
> > Matinyi.
> >
> >
> >
> > Date: Sat, 14 Jul 2012 09:36:28 -0700
> > From: pauliyai@yahoo.com
> > Subject: Re: [wanabidii] KISWAHILI SANIFU
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Oduori na wengine,Kulingana na uakifishaji na matumizi ya Ngeli katika
> > Kiswahili, twaweza kusema Kiswahili yangu kwa sababu Kiswahili ni Lugha na
> > wala si kilugha. Kiswahili ni kama lugha nyinginezo za kibantu, ipo katika
> > Ngeli mbili.  Ngeli ya I-ZI na na KI-VI(kulingana na matumizi ya Wala bin
> > Wala) Ngeli hii ya I-ZI tuliijua kama ngeli ya N. Msemaji wa lugha anaposema
> > Kiswahili yangu, anadhamiria kusema (Kiswahili) Lugha yangu. Jina Lugha hapa
> > linajusudiwa. Wasomi wengi wa lugha hawataki kutumia jina Swahili kwa sababu
> > lina kasumba ya kiloloni.
> > Sioni kwanini Watanzania kujigamba kuwa wao ndio wenye Kiswahili. Kiswahili
> > ni Lugha ya kimataifa na haina wenyewe. Ikiwa wapo wakenya wanaoifundisha
> > lugha hii katika mataifa ya kigeni na wanafanya hivyo kwa hisani ya shahada
> >  walizonazo katika Elimu na ufundishaji wa Lugha wanafanya hivyo kwa sababu
> > wanastahili. Si watanzania tu wanaoweza kuifundisha lugha.ShukuraniPaulo
> >         From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
> >  To: wanabidii@googlegroups.com
> >  Sent: Saturday, July 14, 2012 11:07 PM
> >  Subject: Re: [wanabidii] KISWAHILI SANIFU
> >
> >
> > Bariki,
> >
> > Ahsante.
> >
> > Oduor Maurice
> >
> >
> >
> > On 7/14/12, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
> >> Kupiga kelele
> >>
> >> 2012/7/14 Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
> >>
> >>> Flyimo,
> >>> Ahsante sana kwa huo ufafanuzi.
> >>> Nindakuomba usaidizi mwingine tena; ni ipi inayokubalika kama lugha
> >>> saniifu?
> >>>
> >>> Kufanya kelele
> >>> ama
> >>> Kupiga kelele      ????
> >>>
> >>> kenya tuazitumia zote mbili.
> >>>
> >>> Natanguliza shukrani.
> >>>
> >>> Courage,
> >>> Oduor Maurice
> >>>
> >>>
> >>>
> >>>
> >>> On 7/14/12, flyimo@yahoo.com <flyimo@yahoo.com> wrote:
> >>> > Maurice,
> >>> >
> >>> > Bila kukupa vigezo vya kwa nini unavyofikiri sivyo! Nakuhakikishia
> >>> > katika
> >>> > kiswahili sanifu huwezi sema 'kiswahili yangu' bali unasema 'kiswahili
> >>> > changu'. LABDA itavumilika kidogo na tena inabidi ijulikakane kwamba
> >>> > umetumia kiingereza na kiswahili then ukasema 'swahil yangu' si
> >>> > nzuri!!
> >>> >
> >>> > Pia 'sungura' hakuna plural form ya 'masungura' bali ukitaka plural
> >>> itabidi
> >>> > utaje idadi. 'Raia' haina plural ya 'maraia' bali pia unatakiwa utaje
> >>> idadi
> >>> > kuonyesha wingi. 'Askari' kwa 'maaskari' ni sawa pia unaweza kutumia
> >>> > singular form na idadi ya askari kuonyesha plurality.
> >>>
> >  >
> >>> > Asante
> >>> > Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
> >>> >
> >>> > -----Original Message-----
> >>> > From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
> >>> > Sender: wanabidii@googlegroups.com
> >>> > Date: Wed, 11 Jul 2012 07:50:28
> >>> > To: <wanabidii@googlegroups.com>
> >>> > Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> >>> > Cc: <kitiluj@yahoo.com>; <ngupula@yahoo.co.uk>;
> >>> > <denis.matanda@gmail.com
> >>> >;
> >>> > <kilodani@yahoo.com>; <bkashindye@yahoo.com>; <mosesgasana@yahoo.com>;
> >>> > <mngonge@gmail.com>; <rashidtz@hotmail.com>; <abdu_k@hotmail.com>;
> >>> > <amazrui@binghamton.edu>; <hamimaal@hotmail.com>;
> >>> > <ibrahimnoors@hotmail.com>; <saudabarwani@hotmail.com>;
> >>> > <abdalla@rz.uni-leipzig.de>; <mohammedkhelef@talk21.com>;
> >>> > <abdulaziz.lodhi@gmail.com>; <progressive-kenyans@googlegroups.com>
> >>> > Subject: Re: [wanabidii] KISWAHILI SANIFU
> >>> >
> >>> > Mobhare,
> >>> > Hiyo kaka, sikubaliani nayo. Mwenyewe nimesoma vitabu vya Shabaan
> >>> > Roberts na mara kwa mara ametumia 'Kiswahili yangu' .
> >>> >
> >>> > Hata hivyo, nipe maelezo zaidi.
> >>> >
> >>> > Courage,
> >>> > Oduor Maurice
> >>> >
> >>> >
> >>> >
> >>> > On 7/11/12, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:
> >>> >>
> >>> >> Maurice,
> >>> >> Hapana. Hatuwezi kusema "Kiswahili yangu" bali ni "Kiswahili changu,"
> >>> >> n.k.
> >>> >> kama Kiswahili chako na si Kiswahili yako.
> >>> >> Haya ni
> >  matokeo ya muundo utokanao na sauti na ndio muundo sahihi kwa
> >>> >> Kiswahili sanifu na hata kile cha asili cha lahaja za Pwani ya Afrika
> >>> >> Mashariki.
> >>> >> Ukitaka maelezo zaidi nitakupa.
> >>> >> Matinyi.
> >>> >>
> >>> >>
> >>> >>> Date: Wed, 11 Jul 2012 07:34:21 -0400
> >>> >>> Subject: Re: [wanabidii] KISWAHILI SANIFU
> >>> >>> From: mauricejoduor@gmail.com
> >>> >>> To: wanabidii@googlegroups.com
> >>> >>> CC: kitiluj@yahoo.com; ngupula@yahoo.co.uk; denis.matanda@gmail.com;
> >>> >>> kilodani@yahoo.com; bkashindye@yahoo.com; mosesgasana@yahoo.com;
> >>> >>> mngonge@gmail.com; rashidtz@hotmail.com; abdu_k@hotmail.com;
> >>> >>> amazrui@binghamton.edu; hamimaal@hotmail.com;
> >>> >>> ibrahimnoors@hotmail.com
> >>> ;
> >>> >>> saudabarwani@hotmail.com; abdalla@rz.uni-leipzig.de;
> >>> >>> mohammedkhelef@talk21.com; abdulaziz.lodhi@gmail.com;
> >>> >>> progressive-kenyans@googlegroups.com
> >>> >>>
> >>> >>> Naomba
> >  nisahihishe:
> >>> >>>
> >>> >>> Si Kiswahili changu
> >>> >>> Ni Kiswahili yangu
> >>> >>>
> >>> >>> Courage,
> >>> >>> Oduor Maurice
> >>> >>>
> >>> >>>
> >>> >>>
> >>> >>> On 7/10/12, Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com> wrote:
> >>> >>> >
> >>> >>> > Bwana Mganga,
> >>> >>> > Kiswahili chako hakijapitwa, kwa "usanifu" uliosomeshwa.
> >>> >>> > Lakini kumbuka, kabla ya "kusanifishwa", Kiswahili kilikua na
> >>> >>> > "wenyewe",
> >>> >>> > yaani Waswahili.
> >>> >>> > Sijapata kujigamba kua ninachosema ni "kisanifu". Mimi ni Mswahili
> >>> >>> > wa
> >>> >>>
> >  > mila na temedeni. Lugha ninayotumia ni ya muundo wa lahaja za
> >>> >>> > Waswahili wenyewe, yaani watu wa kingo za Pwani ya Afrika
> >>> >>> > Mashariki
> >>> >>> > (tokea Benadir/Somalia hadi Sofala/Mozambique) na makundi ya
> >>> >>> > visiwa
> >>> >>> > vyake.
> >>> >>> > -------
> >>> >>> > Na kwa kanuni za muundo-sauti ("morphophonology") wa lugha hii,
> >>> >>> > SUNGURA wawili ... huweza pia kuhesabiwa kwa kalima la MASUNGURA
> >>> >>> > WAWILI, kama ilivyo kwa RAIA na MARAIA, ASKARI na MAASKARI n.k.
> >>> >>> > Lakini, kama usemavyo, kusema hivyo si "kisanifu", na mimi si
> >>> >>> > "msanifu"!
> >>> >>> > Upo hapo?
> >>> >>> > Bwanatosha
> >>> >>> > Paris, France.
> >>> >>> >
> >>> >>> > Date: Tue, 10 Jul 2012
> >  04:54:07 -0700
> >>> >>> > From: kitiluj@yahoo.com
> >>> >>> > Subject: RE: KIMBEMBE CHA SENSA NA WOGA WA KANISA/2-3-4-5-6
> >>> >>> >
> >>> >>> >
> >>> >>> > Mheshimiwa mataalam wetu, Salim himid. Kwa kiswahili sanifu hakuna
> >>> >>> > wingi
> >>> >>> > wa
> >>> >>> > neno raia kwa kadri ya ufahamu mdogo nilio nao kuna maneno ambayo
> >>> huwa
> >>> >>> > hayana wingi moja wapo ni raia.. Mheshimiwa labda kama kiswahili
> >>> >>> > changu
> >>> >>> > kimepitwa na wakati kwa kuwa kiswahili kinakua. Nakutakia siku
> >>> >>> > njemaJMKFJapan.
> >>> >>> >
> >>> >>> > --- On Tue, 7/10/12, Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com> wrote:
> >>> >>> >
> >>> >>> > From: Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com>
> >>> >>> > Date: Tuesday, July 10, 2012, 6:34 AM
> >>> >>> >
> >>> >>> >
> >>> >>> >
> >>> >>> >
> >>> >>> >
> >>> >>> > Mheshimiwa mtukufu Kitiluj,
> >>> >>> > Kwa kua unafahamu Kiswahili kuliko mimi, bora nikukumbushe kua
> >>> >>> > iwapo RAIA ni "mtu ...", MARAIA ni "watu ...", yaani MARAIA ni
> >>> >>> > "plural"
> >>> >>> > ya RAIA!
> >>> >>> > Au vipi?
> >>> >>> > Nitafurahi kusoma Kiswahili ziada kwa MSAADA
> >  wako, mtandaoni.
> >>> >>> > Upo hapo?
> >>> >>> > Bwanatosha
> >>> >>> >
> >>> >>> > Date: Mon, 9 Jul 2012 16:44:02 -0700
> >>> >>> > From: kitiluj@yahoo.com
> >>> >>> >
> >>> >>> > Hujamjibu bwna kaaya (RAIA nm 1 mtu mwenye haki za kisheria
> >>> >>> > kutokana
> >>> >>> > na
> >>> >>> > kuzaliwa au kujiandikisha katika taifa fulani na
> >>> >>> > zinazomwezesha kushiriki
> >>> >>> > katika shughuli zote za taifa hilo)
> >>> >>> > Je? Maraia ni kitu gani hicho. usiharibu kiswahili we.......
> >>> >>> > Siku njema
> >>> >>> > JMKF
> >>> >>> > Japan
> >>> >>> > On Mon, 7/9/12,
> >  Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com> wrote:
> >>> >>> >
> >>> >>> >
> >>> >>> > From: Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com>
> >>> >>> > Date: Monday, July 9, 2012, 9:51 PM
> >>> >>> >
> >>> >>> >
> >>> >>> >
> >>> >>> >
> >>> >>> >
> >>> >>> >
> >>> >>> > KAMUSI ya Kiswahili SANIFU/Toleo la Pili/Taasisi ya Uchunguzi wa
> >>> >>> > Kiswahili,
> >>> >>> > Dar-es-Salam (Page 346),
> >>> >>> > latuambia:
> >>> >>> > RAIA nm 1 mtu mwenye haki za kisheria kutokana na kuzaliwa au
> >>> >>> >
> >  kujiandikisha
> >>> >>> > katika taifa fulani na
> >>> >>> > zinazomwezesha kushiriki katika shughuli zote za taifa hilo. 2 mtu
> >>> >>> > asiyekuwa
> >>> >>> > askari.
> >>> >>> > Natumai umetosheka.
> >>> >>> > Kwani huna Kamusi nyumbani?
> >>> >>> > Una Dictionary tu?
> >>> >>> > Bwanatosha
> >>> >>> > P. S.
> >>> >>> > Tizama katika Dictionary, fasiri ya:
> >>> >>> > 1)-CITIZEN
> >>> >>> > 2)-CIVILIAN
> >>> >>> > -------
> >>> >>> >
> >>> >>> >
> >>> >>> >> From: kaayashilia@hotmail.com
> >>> >>> >> Date: Mon, 9 Jul 2012 17:41:47 +0000
> >>>
> >  >>> >>
> >>> >>> >> Maraia maana yake nini? Wengine huenda Kiswahili kinatupiga
> >>> >>> >> chenga!
> >>> >>> >> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> -----Original Message-----
> >>> >>> >> From: Salim Himidi <bwanatosha@hotmail.com>
> >>> >>> >> Date: Mon, 9 Jul 2012 17:07:59
> >>> >>> >>
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> Mwenzangu Mkatoliki,
> >>> >>> >> Tatizo liliopo hapa ni kuwa TAKWIMU RASMI, za Serikali, ndizo
> >>> >>> >> zinazosambaza
> >>> >>> >> sura hii, ambayo inakosolewa na wahusika.
> >>> >>> >> Dai, la taasisi
> >  husika, ni kuwa Serikali inasema UWONGO.
> >>> >>> >> Wao, kama nyinyi, wanazo taratibu zao za kujihisabu, ndio maana
> >>> >>> >> wanasema
> >>> >>> >> kuwa yanaosemwa na Serikali ni UZUUSHI wa Kanisa fulani, lenye
> >>> >>> >> mikakati
> >>> >>> >> ya
> >>> >>> >> kupotosha wananchi/maraia, pamoja na Ulimwengu kamili, kwa njama
> >>> >>> >> za
> >>> >>> >> kudhibiti
> >>> >>> >> amri za Dola na Vyombo Vinginevyo
> >>> >>> > Vya Serikali, kwa
> >>> >>> > "kuvihodhi", na "kukandamiza"
> >>> >>> >> maraia wenzao, kwa njama za UDINI. Na haya kusemeka, wahusika
> >>> >>> >> wameshafanya
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> hisabu zao, na wanaamini kuwa
> >  yanaochapishwa na Serikali, kwa
> >>> >>> >> kusalitiwa
> >>> >>> >> na Viongozi
> >>> >>> >> wa Kanisa hilo, ni DHULUMA kwao.
> >>> >>> >> Ufafanuzi ni wa Serikali tu!
> >>> >>> >> Serikali inawajibika kuwa "neutral" ndio maana ya "secular".
> >>> >>> >> Haiwezi kutumiwa na upande mmoja dhidi ya upande mwingine wa
> >>> >>> >> Umma,
> >>> wa
> >>> >>> >> Taifa la pamoja!
> >>> >>> >> Upo hapo?
> >>> >>> >> Bwanatosha
> >>> >>> >>
> >>> >>> >>
> >>> >>> >>
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> ----------------
> >>> >>> >> From: jmwanya@hotmail.com
> >>> >>> >>
> >  Date: Mon, 9 Jul 2012 16:43:35 +0000
> >>> >>> >>
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> Mh! Kweli hz hbr za udini naona kama zinatuelekeza korongoni. Kwa
> >>> >>> >> nini
> >>> >>> >> taasisi husika zisisimame zenyewe bila kuihusisha serikali?!
> >>> >>> >> Yaani
> >>> >>> >> waislamu wafanye sensa yao, RC wafanye yao, EAGT wafanye yao etc,
> >>> >>> >> etc.
> >>> >>> >> kama wanaona kuna issue! Mie ni mkatoliki, Jimbo kuu la Dsm,
> >>> >>> >> Parokia
> >>> >>> >> ya
> >>> >>> >> Kilungule, Kigango
> >>> >>> > cha Mt.Salome KANA, Jumuiya ya Mt. Salome. Kila mwaka nimeshuhudia
> >>> >>> > viongozi
> >>> >>> > wetu wakifanya sensa kuanzia ngazi ya kaya, then jumuiya, kigango,
> >>>
> >  >>> > parokia
> >>> >>> > mpaka ngazi ya Jimbo kiasi cha kuwa rahisi mno kupata idadi ya
> >>> >>> > wakatoliki
> >>> >>> > ngazi ya familia, jumuiya, kigango, parokia hadi Jimbo. Tuiache
> >>> >>> > serikali
> >>> >>> > ifanye sensa ya watu wote.
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> Napata kigugumizi kwa kweli!! Mungu tuepushe na kikombe hiki
> >>> >>> >> UDINI!
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> JM
> >>> >>> >
> >>> >>> >> ----------------
> >>> >>> >> From: bwanatosha@hotmail.com
> >>> >>> >> Date: Mon, 9 Jul 2012 01:15:53 +0000
> >>> >>> >>
> >>> >>>
> >  >>
> >>> >>> >> Suala hili lilianza kwa malumbano ya madai, ya baadhi ya watu na
> >>> >>> >> taasisi
> >>> >>> >> za kiraia, wenye kutaka
> >>> >>> >> Serikali ikubali kutia kipengele cha DINI GANI, katika fomu za
> >>> >>> >> SENSA
> >>> >>> >> ijao,
> >>> >>> >> kutokana na kile kinacho
> >>> >>> >> onekana kuwa ni UWONGO RASMI wa J. K. Nyerere, na washiriki wake
> >>> >>> >> wa
> >>> >>> >> CHAMA
> >>> >>> >> TAWALA, pale
> >>> >>> >> walipoamua kutokuuliza suala hili, baada ya takwimu za 1957,
> >>> >>> > na kuamua, baadae, kuandika katika
> >>> >>> >> maandishi rasmi, kuwa, dini za Tanzania hugawika kwa namna
> >>> ifuatavyo:
> >>> >>>
> >  >> 33% Wakristo
> >>> >>> >> 31% Waisilamu
> >>> >>> >> 32% Wapagani
> >>> >>> >> 04% "Wengine"
> >>> >>> >> Na kwamba haya yanaosemwa kua ni UWONGO.
> >>> >>> >> Na chanzo ni KANISA LA KIKATOLIKI, kwa nyenzo za waongozi wake,
> >>> >>> >> kutaka
> >>> >>> >> "kuhodhi" Tanzania,
> >>> >>> >> kupitia nyanja na daraja nyeti zote za Serikali na Taifa, kwa
> >>> >>> >> kubana
> >>> >>> >> na
> >>> >>> >> "kudhulumu" Waisilamu.
> >>> >>> >> Sasa, suala ni hili: TUFANYEJE?
> >>> >>> >> Serikali inawajibika kubuni njia ya KUSAHIHISHA haya, au kuchanua
> >>> >>> >> UZUSHI
> >>> >>> >> wa wanaoyasema!
> >>> >>> >> Jawabu na ya
> >  Serikali, sio sisi maraia, tunao "chochea", ili tujue
> >>> ya
> >>> >>> >> KWELI na ya UWONGO!
> >>> >>> >> Mpo hapo?
> >>> >>> >> Bwanatosha
> >>> >>> >> +33-6-33071051.
> >>> >>> >
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> From: rashid martin <rashidtz@hotmail.com
> >>> >>> >> <mailto:rashidtz@hotmail.com>
> >>> >>> >> >
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> Date: Sat, 7 Jul 2012
> >>> >>> > 21:49:00 +0300
> >>> >>> >
> >>> >>> >> Lyimo naomba nikupe maana ya neno KAFIR
> >>> >>> >> ni neno la kiarabu
> >  kiswahili-----mpingaji
> >>> >>> >> kingereza-----protestant
> >>> >>> >> nashangaa kunawatu wanajita madehehebu yao kuwa ni protestants
> >>> >>> >> yaani
> >>> >>> >> wapingaji na pia yaani makafir
> >>> >>> >> neno hili linatumiwa vibaya na waislamu walio wengi kwani ni
> >>> >>> >> Mungu
> >>> >>> >> pekee
> >>> >>> >> anaejua nani kafir na nani sio
> >>> >>> >>
> >>> >>> >>
> >>> >>> >>
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> ----------------
> >>> >>> >> Date: Fri, 6 Jul 2012 10:40:58 -0700
> >>> >>> >> From: abachamani@yahoo.com <mailto:abachamani@yahoo.com>
> >>> >>> >>
> >>> >>> >>
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> We Lyimo,
> >>> >>> >> Kwani mfumo mbadala wa mfumo kristo ni upi katika nchi isiyokuwa
> >>> >>> >> na
> >>> >>> >> dini
> >>> >>> >> mbona mnapenda kupotosha? Kuna sehemu Mzee Mohamed kasema hayo au
> >>> >>> >> anadai
> >>> >>> > hayo?
> >>> >>> >> Kwani Jumapili ikiwa siku ya kazi pana ubaya gani na Ijumaa
> >>> ikaendele
> >>> >>> >> kuwa
> >>> >>> >> siku ya kazi?
> >>> >>> >> Kumbuka madai ya Waswahili siyo hayo mnapotosha kusudi.Waswahili
> >>> >>> >> kwamfano
> >>> >>> >> wanataka japo masaa 2 tu
> >  Ijumaa wakasali basi lakini nyinyi muda
> >>> >>> >> huu
> >>> >>> >> ndiyo
> >>> >>> >> mnapanga vikao.Kumbuka kwa imani ya Waswahili hawana Sabato kwa
> >>> >>> >> hiyo
> >>> >>> >> anayesema habari ya Ijumaa ana lake.
> >>> >>> >> Unamalizia kuwa nchi yetu haina dini nawe unaamini hivyo.
> >>> >>> >> Nami nakukubalia kweli nchi yetu HAINA DINI YA KISWAHILI ILA INA
> >>> DINI
> >>> >>> >> YENU
> >>> >>> >> na huo ndiyo mfumo tunaouzungumza.MFUMO KRISTO.
> >>> >>> >> Walewale.
> >>> >>> >
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> From: mohamed
> >>> >>> > said <mohamedsaid54@gmail.com
> >  <mailto:mohamedsaid54@gmail.com> >
> >>> >>> >> Date: Mon, 2 Jul 2012 23:15:46 +0300
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> Amani ni kudumisha haki na uadilifu.
> >>> >>> >> Haiwi Kanisa likahodhi fursa zote wakatuwekea walevi katika
> >>> >>> >> Baraza
> >>> la
> >>> >>> >> Mitihani na kwengineko wanadhulumu na kuwahujumu Waislam sisi
> >>> >>> >> tukamsikiza
> >>> >>> >> mtu anatuhubiria amani.
> >>> >>> >> Huko ni kupoteza muda.
> >>> >>> >> Amani ahubiriwe dhalimu.
> >>> >>> >> M
> >>> >>> >> On Jul 2, 2012 11:08 PM, "Bariki Mwasaga" <bmwasaga@gmail.com
> >>>
> >  >>> >> <mailto:bmwasaga@gmail.com> > wrote:
> >>> >>> >> Kiu yangu kila mmoja aishi kwa amani na kama kuna njia bora ya
> >>> >>> >> kuwafanya
> >>> >>> >> watu wawe na Amani basi tuitumie vyema
> >>> >>> >>
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> On 2 July 2012 23:02, mohamed said <mohamedsaid54@gmail.com
> >>> >>> >> <mailto:mohamedsaid54@gmail.com> > wrote:
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> Ahsante sana ndugu yangu.
> >>> >>> >> Ni wajibu wetu kuwafahamisha ukweli kuwa Waislam
> >  wanadhulumiwa na
> >>> >>> >> serikali
> >>> >>> >> ambayo imehoodhiwa na Kanisa
> >>> >>> > Katoliki.
> >>> >>> >> Hili hatulifichi Waislam wote kwa sasa wanalijua na ndiyo sababu
> >>> >>> >> leo
> >>> >>> >> unaona uongozi wa Waislam uko nje ya mikono ya BAKWATA na leo
> >>> Waislam
> >>> >>> >> wanaongozwa na viongozi ambao hata serikali hawawajui.
> >>> >>> >> Imetuchukua miaka mingi kufikia hapa.
> >>> >>> >> M
> >>> >>> >>
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> On Jul 2, 2012 10:58 PM, "Bariki Mwasaga" <bmwasaga@gmail.com
> >>> >>> >> <mailto:bmwasaga@gmail.com> > wrote:
> >>> >>> >> Mzee(Sheikh) Mohamed Said. you have my support. Keep on fighting
> >>> >>> >> for
> >>> >>> >> your
> >>> >>> >> rights. Hata mimi nafikiri ningekuwa kwenye viatu vyako ningekuwa
> >>> >>> >> labda
> >>> >>> >> kama wewe....Endeleza mapambano hadi kieleweke. Usikate tamaa.
> >>> >>> >>
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> On 2 July 2012 19:34, mohamed said <mohamedsaid54@gmail.com
> >>> >>> >> <mailto:mohamedsaid54@gmail.com> > wrote:
> >>> >>> >>
> >>> >>>
> >  >> Haiwezekani babu yangu apiganie uhuru wa nchi hii kisha mie nije
> >>> >>> >> nibomoe.
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> Ahsante ya babu yangu na wenzake wengi walopambana na ukoloni
> >>> ilikuwa
> >>> >>> >> kutupwa gerezani na Nyerere na
> >>> >>> > majina yao kuondolewa katika historia.
> >>> >>> >> M
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> On 2 Jul 2012 17:01, "mohamed said" <mohamedsaid54@gmail.com
> >>> >>> >> <mailto:mohamedsaid54@gmail.com> > wrote:
> >>> >>> >> Indeed it is a waste of time.
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> That is
> >  why we went out on a nationwide campaign to alert Muslims
> >>> >>> >> on
> >>> >>> >> Mfumo Kristo.
> >>> >>> >> If the government was deaf let us speak to the umma.
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> M
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> > On Mon, Jul 2, 2012 at 3:04 PM, method francis ngonge
> >>> >>> >> > <mngonge@gmail.com <mailto:mngonge@gmail.com> >wrote:
> >>> >>> >> >
> >>> >>> >> >> Mr Mohamed Said
> >>> >>> >> >>
> >>> >>> >> >>
> >>> >>> > Please note that I am not after protecting any kind of evils
> >  being
> >>> >>> > done
> >>> >>> >> >> by
> >>> >>> >> >>> government officials nor I am saying the government is clean.
> >>> >>> >> >>> No
> >>> >>> >> >>> no
> >>> >>> >> >>> no,
> >>> >>> >> >>> what I am trying to reveal is that we should not think that
> >>> >>> >> >>> our
> >>> >>> >> >>> problems
> >>> >>> >> >>> are just a result of religious discriminations. Do you want
> >>> >>> >> >>> to
> >>> >>> >> >>> tell
> >>> >>> >> >>> us
> >>> >>> >> >>> that
> >>> >>> >> >>> all christians are being favoured by the current system?
> >>> >>> >>
> >  >>> neither
> >>> >>> >> >>> all
> >>> >>> >> >>> muslims are unfavoured by the system. Therefore it is not a
> >>> >>> >> >>> matter
> >>> >>> >> >>> of
> >>> >>> >> >>> being
> >>> >>> >> >>> a muslim or christian but a struggle between the haves and
> >>> >>> >> >>> have
> >>> >>> >> >>> not.
> >>> >>> >> >>> Let
> >>> >>> >> >>> us
> >>> >>> >> >>> join hands for the better struggle
> >>> >>> >> >>>
> >>> >>> >> >>
> >>> >>> >> >> On Mon, Jul 2, 2012 at 2:43 PM, mohamed said
> >>> >>> >> >> <mohamedsaid54@gmail.com <mailto:mohamedsaid54@gmail.com>
> >>> >>> > >wrote:
> >>> >>> >> >>
> >>> >>> >> >>> No it is not ability.
> >>> >>> >> >>>
> >>> >>> >> >>> If you were in our shoes you would have understood our
> >>> >>> >> >>> predicament.
> >>> >>> >> >>>
> >>> >>> >> >>> NECTA NECTA NECTA...
> >>> >>> >> >>>
> >>> >>> >> >>> We are not joking.
> >>> >>> >> >>>
> >>> >>> >> >>> M
> >>> >>> > .......
> >>>
> >  >>> >> >>>> On Mon, Jul 2, 2012 at 1:16 PM, Asanterabi Sang'enoi <
> >>> >>> >> >>>> asangenoi@yahoo.com <mailto:asangenoi@yahoo.com> > wrote:
> >>> >>> >>
> >>> >>> > >>>>
> >>> >>> >> >>>>>
> >>> >>> >> >>>>> Watu wanaoendekeza udini ni wa hatari sana. Wanataka
> >>> >>> >> >>>>> kuwagawa
> >>> >>> >> >>>>> watanzania kwa misingi tu ya dini ambayo kila mtu aliipokea
> >>> kwa
> >>> >>> >> >>>>> matakwa
> >>> >>> >> >>>>> yake mwenyewe. Kwani Waislamu wakiwa
> >  wengi au wakristo au
> >>> >>> >> >>>>> wapagani
> >>> >>> >> >>>>> kuna
> >>> >>> >> >>>>> tatizo gani? Mie najua kuwa kwa kanisa wajibu iliyopewa ni
> >>> >>> >> >>>>> kuhubiri
> >>> >>> >> >>>>> injili
> >>> >>> >> >>>>> ili watu wengi wamwamini Yesu hivyo kadri wanavyofanya
> >>> >>> >> >>>>> bidii
> >>> ya
> >>> >>> >> >>>>> kuhubiri
> >>> >>> >> >>>>> ndivyo na idadi inavyoongezeka. Sijajua dini nyingine kama
> >>> >>> >> >>>>> na
> >>> >>> >> >>>>> wenyewe
> >>> >>> >> >>>>> wanahubiri habari za dini zao ili waongezeke au wanategemea
> >>> >>> >>
> >  >>>>> tu
> >>> >>> >> >>>>> kuzaana.
> >>> >>> >> >>>>> Pia
> >>> >>> >> >>>>> kama kila dini ina taratibu zake
> >>> >>> > kwanini wengine wanataka kuiingiza
> >>> >>> >> >>>>> Serikali kwenye mambo ya dini ilhali Katiba imeshasema kuwa
> >>> >>> >> >>>>> Tanzania
> >>> >>> >> >>>>> ni
> >>> >>> >> >>>>> nchi isiyofuata dini yoyote (Secular state) ila wananchi
> >>> >>> >> >>>>> wana
> >>> >>> >> >>>>> uhuru
> >>> >>> >> >>>>> kufuata
> >>> >>> >> >>>>> dini yoyote? Kwanini tusiuheshimu huo uhuru wa kuabudu na
> >>>
> >  >>> >> >>>>> kuiacha
> >>> >>> >> >>>>> Serikali
> >>> >>> >> >>>>> ifanye kazi zake badala ya kuisumbua kila wakati kwa
> >>> >>> >> >>>>> masuala
> >>> ya
> >>> >>> >> >>>>> dini
> >>> >>> >> >>>>> isiyohusika nayo?
> >>> >>> >
> >>> >>> >> >>>>> ------------------------------
> >>> >>> >> >>>>> *From:* Emma Kaaya
> >>> >>> >
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> >>>>> "In the 1957 census Muslims outnumbered Christians at a
> >>> >>> >> >>>>> ratio
> >>> >>> >> >>>>> of
> >>> >>> >> >>>>> three
> >>> >>> >>
> >  >>>>> to two.[1] Ten years after
> >>> >>> >> >>>>> in 1967, in the post independence census Muslims were 30%,
> >>> >>> >> >>>>> Christians
> >>> >>> >> >>>>> 32
> >>> >>> >> >>>>> and local belief 37%. Reasons were not given for this
> >>> >>> >> >>>>> sudden
> >>> >>> >> >>>>> decrease
> >>> >>> >> >>>>> of
> >>> >>> >> >>>>> Muslims or the growth of pagans. It is on record that the
> >>> >>> >> >>>>> 1967
> >>> >>> >> >>>>> statistics
> >>> >>> >> >>>>> were doctored to show that Muslims were trailing behind
> >>> >>> >> >>>>> Christians
> >>> >>>
> >  >> >>>>> in
> >>> >>> >> >>>>> numerical strength. It is
> >>> >>> > worthwhile to quote in full a letter by one
> >>> >>> >> >>>>> Amiri
> >>> >>> >> >>>>> Mchomvu which appeared in the *Family Mirror* about the
> >>> >>> >> >>>>> 1967
> >>> >>> >> >>>>> census:
> >>> >>> >> >>>>>
> >>> >>> >> >>>>> Last month I chanced to come across Africa Information
> >>> >>> >> >>>>> Newsletter,
> >>> >>> >> >>>>> (September 26, 1994 issue) in which there was an article on
> >>> >>> >> >>>>> Tanzania
> >>> >>> >> >>>>> titled: Islamic fundamentalism worries the government.
> >>>
> >  >>> >> >>>>>
> >>> >>> >> >>>>> I found the article by a renewed Tanzanian journalist,
> >>> Lawrence
> >>> >>> >> >>>>> Kilimwiko to be very anti-Islam. Besides, Mr. Kilimwiko
> >>> >>> >> >>>>> says
> >>> >>> >> >>>>> that
> >>> >>> >> >>>>> about
> >>> >>> >> >>>>> 40%
> >>> >>> >> >>>>> of Tanzanians are Christians and 30% Muslims. I think that
> >>> >>> >> >>>>> is
> >>> a
> >>> >>> >> >>>>> statistical
> >>> >>> >> >>>>> error.
> >>> >>> >> >>>>>
> >>> >>> >> >>>>>
> >>> >>> > During the 1967 Population Census, the
> >  first census since
> >>> >>> >> >>>>> independence,
> >>> >>> >> >>>>> I was one of the census enumerators in Tabora Region. It is
> >>> >>> >> >>>>> believed
> >>> >>> >> >>>>> that
> >>> >>> >> >>>>> this was the only successful of the population census
> >>> conducted
> >>> >>> >> >>>>> since
> >>> >>> >> >>>>> independence (i.e. 1967, 1978 and 1988) as it was wholly
> >>> >>> >> >>>>> conducted
> >>> >>> >> >>>>> by
> >>> >>> >> >>>>> the
> >>> >>> >> >>>>> form V students. Corruption, embezzlement, etc. of census
> >>> funds
> >>>
> >  >>> >> >>>>> and
> >>> >>> >> >>>>> other
> >>> >>> >> >>>>> administrative vices that plagued the last two census (1978
> >>> and
> >>> >>> >> >>>>> 1988)
> >>> >>> >> >>>>> were
> >>> >>> >> >>>>> things unknown at that time.
> >>> >>> >> >>>>>
> >>> >>> >> >>>>> It was the only census which had probed Tanzanians'
> >>> >>> >> >>>>> religious
> >>> >>> >> >>>>> adherence. I clearly remember
> >>> >>> > the bulky questionnaire form, one
> >>> >>> >> >>>>> question of
> >>> >>> >> >>>>> which asked the persons'
> >  religion, whether he was Christian,
> >>> >>> >> >>>>> Muslim,
> >>> >>> >> >>>>> Other
> >>> >>> >> >>>>> (e.g. Hindu, Budhist etc.) or traditional, e.g. pagan.
> >>> >>> >> >>>>>
> >>> >>> >> >>>>> I also remember the census results; published by the then
> >>> >>> >> >>>>> Tanganyika
> >>> >>> >> >>>>> Standard late that year 1967 (I have forgotten the date of
> >>> >>> >> >>>>> the
> >>> >>> >> >>>>> issue)
> >>> >>> >> >>>>> in
> >>> >>> >> >>>>> which it was shown that Muslim constituted 63% of the
> >>> >>> >> >>>>>
> >  population.
> >>> >>> >> >>>>>
> >>> >>> >> >>>>> Now whoever thinks that such verdict is not correct I
> >>> challenge
> >>> >>> >> >>>>> him/her
> >>> >>> >> >>>>> to substantiate otherwise with official results of the 1967
> >>> >>> >> >>>>> Census
> >>> >>> >> >>>>> if
> >>> >>> >> >>>>> they
> >>> >>> >> >>>>>
> >>> >>> > at all can get hold of them."
> >>> >>> >> >>>>>
> >>> >>> >> >>>>> ------------------------------
> >>> >>> >> >>>>>
> >>> >>> >> >>>>> [1] *Africa South of the Sahara*, Europa
> >  Publication,
> >>> >>> >> >>>>> London,
> >>> >>> >> >>>>> No.
> >>> >>> >> >>>>> 20
> >>> >>> >> >>>>> 1991, p. 1027.
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> >>>>> On Sun, Jul 1, 2012 at 11:50 AM, mohamed said
> >>> >>> >> >>>>> <mohamedsaid54@gmail.com <mailto:mohamedsaid54@gmail.com>
> >>> >>> >> >>>>> > wrote:
> >>> >>> >> >>>>>
> >>> >>> >> >>>>> Wanabidii,
> >>> >>> >> >>>>>
> >>> >>>
> >  >> >>>>> Hebu tustaladhi na haya katika attach.
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> >>>>> Mohamed Said
> >>> >>> >>
> >>> >>> >>
> >>> >>> >> --
> >>> >>> >
> >>> >>> >
> >>> >>> >
> >>> >>> > --
> >>> >>> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
> >>> >>> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
> >>> >>> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
> >>> >>> >
> >>> >>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>> >>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> >>> >>> > kudhibitisha
> >>> >>>
> >  > ukishatuma
> >>> >>> >
> >>> >>> > Disclaimer:
> >>> >>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
> >>> >>> > any
> >>> >>> > legal
> >>> >>> > consequences of his or her postings, and hence statements and
> >>> >>> > facts
> >>> >>> > must
> >>> >>> > be
> >>> >>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that
> >>> >>> > you
> >>> >>> > agree to
> >>> >>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>> >>> >
> >>> >>>
> >>> >>> --
> >>> >>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
> >>> >>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
> >>> >>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
> >>>
> >  >>>
> >>> >>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>> >>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >>> >>> ukishatuma
> >>> >>>
> >>> >>> Disclaimer:
> >>> >>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >>> >>> legal
> >>> >>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >>> must
> >>> >>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that
> >>> >>> you
> >>> >>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> >>> >>> Guidelines.
> >>> >>
> >>> >>
> >>> >> --
> >>> >> Karibu Jukwaa la
> >  www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
> >>> >> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
> >>> >> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
> >>> >>
> >>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> >>> >> ukishatuma
> >>> >>
> >>> >> Disclaimer:
> >>> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >>> >> legal
> >>> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >>> >> must
> >>> >> be
> >>> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >>> agree
> >>> >> to
> >>> >> this disclaimer and pledge to abide by our
> >  Rules and Guidelines.
> >>> >>
> >>> >
> >>> > --
> >>> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
> >>> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
> >>> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
> >>> >
> >>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> >>> > ukishatuma
> >>> >
> >>> > Disclaimer:
> >>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >>> legal
> >>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >>> > must
> >>> be
> >>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >>> agree to
> >>> > this disclaimer and
> >  pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>> >
> >>> > --
> >>> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
> >>> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
> >>> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
> >>> >
> >>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> >>> > ukishatuma
> >>> >
> >>> > Disclaimer:
> >>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >>> legal
> >>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >>> > must
> >>> be
> >>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >>> agree to
> >>> > this disclaimer and
> >  pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>> >
> >>>
> >>> --
> >>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
> >>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
> >>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
> >>>
> >>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> >>> ukishatuma
> >>>
> >>> Disclaimer:
> >>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >>> legal
> >>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> >>> be
> >>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >>> agree
> >>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> >  Guidelines.
> >>>
> >>
> >>
> >>
> >> --
> >> Bariki G. Mwasaga,
> >> P.O. Box 3021,
> >> Dar es Salaam, Tanzania
> >> +255 754 812 387
> >>
> >> --
> >> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
> >> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
> >> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
> >>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal
> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> >> be
> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> >> to
> >> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>
> >
> > --
> >
> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > --
> >
> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
> >
> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
> >
> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
> >
> >
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> >
> >
> > Disclaimer:
> >
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >                                   
> >
> > --
> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment