Tuesday, 17 July 2012

Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia naKutaka Kufunga Ndoa

Namwona dada Dahlia na vina vya taalabu mtandaoni,

Sijui kiongozi asiyefaa ni yupi hapa anayemzodoa. Ni yule anayetumia
muda wake kuchimba na kufichua vyanzo vya ufisadi uliotufanya masikini
au yule anaye viamuru vyombo vya dola visiwafikishe mafisadi katika
mkono wa sheria? eti "tujadiliane nao warudishe taratibu"

Kwa kweli uelewa wa dada huyu unanichanganya, UOZO anaosema mbona
siuelewi? Uozo ni kiongozi kuwa na migogoro ya kifamilia? Mi nadhani
uozo ni kiongozi kuwa na migogoro ya kitaifa. Kamakweli ukipenda
chongo utaita kengeza.

Nani kafulia hapa? yeye aliyechagua kwa ushabiki na leo analia na njaa
na wizi uliokithiri? au yule aliyekataa?

Jamani pamoja na kuwa mtandao huu ni wa kijamii, pamoja na kwamba kila
mtu anahaki ya kuwa shabiki wa akipendacho lakini kama kweli
tunahitaji kujenga jamii inayofikiri na kuchanganua mambo vizuri ni
mhimu tuanze kuangalia na viwango vya elimu.

mUGAGANJI


On 7/16/12, Dahlia Majid <dahliamajid@yahoo.com> wrote:
> Yona,
> Kazi kwenu mnaopenda kushoboka na UPEPO, mkatupa kura zenu kishabiki, mnalo
> hilo, limewaganda mtalinywa.
>
> Mlishaambiwa mara kibao, wengine hawana sifa za uongozi, mkajitia shetani
> aso mpungaji wake, sasa mwalia majiani hovyo.
> Wengine mwathubutu kutetea uozo, akina Rottson,Lutgard na wengine,
> tukuulizeni nyie mso na haya kutetea upuuzi mnalipwa na nani?! "shame on you
> all plus the one you are defending much... kwli kupenda kubaya,
> ukipenda-chongo utaita kengeza
> Yaani jamaa kaaibisha Jamii, Chama chake, Familia yake and above all KANISA
> bado mnafurukuta??!!
>
> Mie simo... ila ntawaletea maji huko motoni mtakapokuwa, au mnasemaje?
> im out
>
>
> Namastee...
>
>
> ________________________________
> From: Lutgard Kokulinda Kagaruki <lutgardk@yahoo.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Sunday, July 15, 2012 5:41 AM
> Subject: RE: [wanabidii] Re: Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia
> naKutaka Kufunga Ndoa
>
>
> Yona huwa unalipwa kiasi gani kwa hii kazi unayotumwa kufanya?
>
>
> ________________________________
> From: Yona Maro
> Sent: 15/7/2012 13:03
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia
> naKutaka Kufunga Ndoa
>
> Dr Slaa mwenyewe alivyohojiwa alisema ameyazoea , Hakukaa kimya kama wengi
> wanavyotaka wenzao wakae kimya , hili suala lingekuwa la watu 2 yaani rose
> kamili na dr slaa pekee tungeweza kukaa kimya lakini kuna huyo rose kamili ,
> dr slaa , josephine mushumbusi , watoto wao , maisha ya dr slaa kama
> kiongozi wa chama kikuu cha upinzani na maslahi ya chama chake katika suala
> hili .
>
> Sasa kwa wale wasioelewa suala hili vizuri na kwa mapana kaeni kimya au
> chokozeni tutaendelea kuwaelewesha hata viziwi wasikie na vipofu waone hali
> halisi , huyu angekuwa rais sasa hivi nchi ingekuwa anajadili ndoa yake
> badala ya kunyanyua maisha ya watanzania na labda tungeumizwa na mengi zaidi
> ya hili .
>
> Sasa yeye binafsi ajisafishe hata baada ya suala hili kumalizwa na mahakama
> aiweke jamii sawa ielewe .
>
>
> 2012/7/15 Rottson Kabalika <rotts76@yahoo.co.uk>
>
> Yona
>>Kama humwamini mkeo hata kazini au kwenye shughuli yoyote hawezi kwenda.
>> Tuache unazi watu wengi tu wa staus yake wachafu kuliko yeye ambaye
>> ameamua kuishi na mtu mwingine baada ya kushindwana na wa kwanza. Elewa
>> 'there is a very thing line btn love n hate'. Kuachwa kimapenzi kunauma
>> sana, huyo anayelalamika kuwa jamaa katekeleza familia ana uwezo wa kulea
>> pia na anaongea hivyo may b kwa hatred au kutaka kumfanya jamaa aonekane
>> vibaya mbele ya jamii. Mume wa huyo anayetaka kuolewa hujatwambia kama
>> naye kaweka pingamizi. Tunaomba tupashe pia kuhusu hilo ili nasi tuanze
>> kufuatilia mambo haya ya watu binafsi.
>>
>>
>>From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Sent: Saturday, 14 July 2012, 16:19
>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia na
>> Kutaka Kufunga Ndoa
>>
>>
>>Ndugu Jonas na Wengine tukumbuke pia huyu ni kiongozi wa Chama tena chama
>> kikuu cha Upinzani kwahiyo maisha yake na mambo yake hata yakiwa binafsi
>> tunategemea yawe natofauti na wengine kwa tukio kama hili na dr slaa na
>> wale wanaomtetea wengine tunajiuliza ni lipi tofauti analoweza kuleta
>> kwenye jamii kama yeye mwenyewe amechafuka ?
>>
>>
>>Utafauti sio katika kumwaga sera majukwaani tu hata kama maisha ya watu
>> wanayoishi , hivi umeshamsikia freeman mbowe na kashfa yoyote ? Mnataka
>> tuogope hata kuachia wake zetu kwenda kwenye kampeni .
>>
>>
>>2012/7/14 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
>>
>>Dr Slaa needs to get his private life sorted out and he needs to do that
>> pretty soon!!
>>>Hawezi ku-afford all these distractions.....................
>>>
>>>2012/7/14 Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com>
>>>
>>>All men boil to the same thing, including you BARAKA!! LKK
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>Sent: Friday, July 13, 2012 10:41 PM
>>>>
>>>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia
>>>> na Kutaka Kufunga Ndoa
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>Rugambwa can u try to be fair please??? just try please......wapi mimi
>>>> nimehukumu? naomba usome tena posting yangu halafu utoe kauli iliyojaa
>>>> haki na usawa. Nilichokisema ni kwamba, kwangu mimi sioni sababu ya
>>>> kuwazuia watu kumjadili Dkt. Slaa kwani jambo kama hili hata kama
>>>> halilingani lakini linashabihana na sakata la Ndg. Simbachawene ingawa
>>>> mazingira ni tofauti. Kilichofanyika katika sakata la Mh. Naibu Waziri
>>>> lilikuwa ni kujadili maisha binafsi na hapa kinachojadiliwa ni maisha
>>>> binafsi. Ni vema kukawa na uwanja sawa na siyo akiwa mtu ni Mserikali au
>>>> MCCM basi huyo ni mdhambi kuliko wanadamu wengine.
>>>>
>>>>Kiongozi haijalishi ni wa Serikali ama siyo, atajadiliwa tu kwasababu
>>>> anayodhamana pia. Kuna kundi kubwa la watu nyuma yake hivyo ni lazima
>>>> awe kioo hasa katika maadili yetu ya Kitanzania. Wengi ni wadhaifu hilo
>>>> halifichiki ndiyo maana kule Dodoma wako wao wenyewe bila hata wake zao
>>>> isipokuwa wachache tu. Leo hii mimi siyo kiongozi lakini
> miaka 3 ijayo ntakuwa kiongozi. Ndiyo maana hata kuna kitu cha
> Upekuzi/Vetting hufanywa kwa ajili ya watumishi kwa sababu ya kuchunguza mtu
> alivyo kabla ya kukasimiwa madaraka makubwa kwake
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>2012/7/13 Laurean Rugambwa B. <rugambwa@hotmail.com>
>>>>
>>>>Bariki na Yona,
>>>>>Kwa nini mna hukumu mtu kuwa katekeleza familia?
>>>>>
>>>>>Aliye serikalini ndo anajadiliwa kwa sababu kapewa dhamana na watanzania
>>>>> kuwatumikia, story is more juicy, nyie msiwe na jazba kutetea watumishi
>>>>> na wanasiasa au mawaziri wa chama tawala.
>>>>>
>>>>>Wananchi, nikiwemo mimi, tunawaangalia hao viongozi watatue
>>>>> matatizo,kero na shida nyingi tulizo wachagua wafanye.
>>>>>
>>>>>Remember, they have power, privileges and prerogatives, but it comes at
>>>>> the cost. Kuwajadili exclusively and subjectively deeply are one of
>>>>> those costs. Hili ni jambo la kawaida kwenye nchi yoyote.
>>>>>
>>>>>Dr. Slaa has privilege of being a popular opposition leader. Most
>>>>> Tanzanians, feel connected with him because he talk hope while others
>>>>> talk of fear and despair!
>>>>>
>>>>>Hivo msichangae, kwanini watu wanakuwa softer kwa dr. Slaa!
>>>>>
>>>>>Kila la heri,
>>>>>LR
>>>>>Sent from my
> BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>>>>>
>>>>>-----Original Message-----
>>>>>From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
>>>>>Date: Fri, 13 Jul 2012 15:20:23
>>>>>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia
>>>>> na
>>>>> Kutaka Kufunga Ndoa
>>>>>
>>>>>Hii haina tofauti sana na issue iliyojitokeza mwezi uliopita ikimhusisha
>>>>> Naibu Waziri - Nishati. Wengi walilazimisha kwamba katenda na
>>>>> kumnyooshe vidole lakini kwa sababu tu anayejadiliwa ni mtu wa mrengo
>>>>> huu kwa kweli kwa nilivyoisoma hii mitandao ya kijamii hakika hili
>>>>> haliwezi kujadiliwa. Hii ingemtokea kiongozi wa Serikali iliyoko
>>>>> madarakani hakika mengi yangesemwa (NAOMBA NIJINUKUU....WATANZANIA
>>>>> TUMEJAA
> UNAFIKI). Mungu atusaidie tu katika yote
>>>>>
>>>>>
>>>>>2012/7/13 hancy obothe <hanssy84@yahoo.com <mailto:hanssy84@yahoo.com>
>>>>> >
>>>>>
>>>>>Binafs nimeikubali hoja yako lakini nivizuri tukiwa na masuala ya kubeba
>>>>> katika mjadala wa katiba
>>>>>
>>>>>--- On Fri, 7/13/12, Daniel Minja <minjartd@yahoo.com
>>>>> <mailto:minjartd@yahoo.com> > wrote:
>>>>>
>>>>>From: Daniel Minja <minjartd@yahoo.com <mailto:minjartd@yahoo.com> >
>>>>>
>>>>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia
>>>>> na Kutaka Kufunga Ndoa
>>>>> To: "wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com> "
>>>>> <wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com> >
>>>>>Date: Friday, July 13, 2012, 3:18 AM
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>Hivi maslahi ya watoto huwa yanakuja pindi tu mtu
> anapotaka kuvunja na kufunga ndoa nyengine? Je kama watoto walitelekezwa,
> iweje mahitaji yao yasipelekwe ustawi wa jamii au mahakamani hadi ndoa
> itangazwe ndo court injunction ifanyike? Naelewa fika kwa wanandoa kama
> wataamua kupeana talaka ama kuachana kwa namna moja ama nyengine kuna issue
> za kusort out, mojawapo likiwa ni mgawanyo walichochumia wakati wa ndoa,
> matunzo ya watoto na kadhalika. Mimi kwa maoni yangu, sidhani kama hii issue
> ya kutelekeza ina mashiko kwa wakati huu, ingetakiwa kuwepo kabla hata ya
> hili pingamizi lililowekwa sasa ivi. By the way, nani najua responsibilities
> alizo nazo huyo bwana kwa wanawe? Je bado wanaishi na mamayao? au wako shule
> na kama wako shule ama popote pale, nani anawatimizia mahitaji? tusipende
> kurush kwenye conclusions na pia nadhani Slaa siyo wa kwanza kuingia kwenye
> saga kama hizi, lets let the court discuss this issue, muda huu ni wa
> kujikita kujua je, tuko tayari kweli kujadili katiba mpya? kujua mapungufu
> yake kwenye haki za wanandoa na kutalikiana, haki za watoto na kadhalika.
> mfano kuna vipeperushi vya kutosha ili hata wale walioko Nyarugusu na
> maeneo ya karibu wavipate, au nikihitaji hata katiba ya zamani au rasimu ya
> katiba mpya nitaipatia wapi nikiwa Mbezi Temboni ama Nangaru huko Lindi?
> Lets be serious and discuss ideas zenye mashiko kwa mustakabali wa taifa
> letu na siyo bedroom politics!
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>----------------
>>>>> From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com <mailto:oldmoshi@gmail.com> >
>>>>> To: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
>>>>> Sent: Friday, July 13, 2012 12:24 PM
>>>>> Subject: Re: [wanabidii] Re: Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia
>>>>> na Kutaka Kufunga Ndoa
>>>>>
>>>>>
>>>>>Ndugu Elisa
>>>>>
>>>>>
>>>>>Hebu angalia watoto wa mitaani wanavyoendelea kujaa hawana baba wala
>>>>> mama , lakini wengi wao wazazi wao ni miongoni mwetu lakini
>>>>> wametelekezwa kwa sababu ya visa vya wazazi , angalia wale watoto
>>>>> wanaoenda kutumikishwa sehemu mbalimbali , hawa wote wakitendewa vyema
>>>>> sheria zikiwa vizuri ziwatetee na wazazi wao watafutwe wawajibishwe
>>>>> wanaweza kufanya vizuri zaidi na wanaweza kulitumikia taifa vizuri
>>>>> zaidi , tukirudi kwenye suala la dr slaa , hapo ametuhumiwa kutelekeza
>>>>> familia , hatujui hao waliotelekezwa maisha yao yaliharibikaje au
>>>>> walikimbilia wapi na sheria inawalinda vipi labda ni kama wale wengine
>>>>> wanaolalanjiani bila kujua mama wala baba yao au labda
> wanakosa huduma muhimu kwa ajili ya maisha yao .
>>>>>
>>>>>
>>>>>Mwisho ni
>>>>>
>>>>>
>>>>>2012/7/13 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com
>>>>> <http://mc/compose?to=elisamuhingo@yahoo.com> >
>>>>>
>>>>>Kama tukivipa kipaumbele vitu vya namna hii basi watu wanaotuangalia
>>>>> wataanza kututilia mashaka hasa kwa kuangalia maswala yanayolikabili
>>>>> taifa letu.Haya ni mambo ya kutungiwa sheria. Tanzania ni Maskini afya
>>>>> mbovu na wajinga toka uhuru si kwa sababu ya mambo yanayotendeka
>>>>> vyumbani mwa watu. Tuna ukubwa wa ajabu wa serikali na magereza yana
>>>>> vibaka wakati wezi wakubwa haya ndiyo ya msingi kwenye katiba. Lakini
>>>>> waliopendana wakitendana waamuliweje si lazima kuyapa kipaumbele kwenye
>>>>> katiba.
>>>>>
>>>>>--- On Fri, 7/13/12, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com
>>>>> <http://mc/compose?to=oldmoshi@gmail.com> > wrote:
>>>>>
>>>>>From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com
>>>>> <http://mc/compose?to=oldmoshi@gmail.com> >
>>>>>
>>>>>Subject: [wanabidii] Re: Dr Slaa Kushitakiwa kwa Kutelekeza Familia na
>>>>> Kutaka Kufunga Ndoa
>>>>> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com
>>>>> <http://mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com> >
>>>>>Date: Friday, July 13, 2012, 12:10 AM
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>Mada hii inaweza kujadiliwa tu .
>>>>>
>>>>>Tuangalie sasa hivi tulivyokwenye mchakato wa katiba mpya wananchi
>>>>>wanatakiwa kutoa maoni yao kuhusu viongozi wanaowataka na hata sheria
>>>>>za ndoa ziweze kujadiliwa zaidi , haki za wanandoa wanapoachana au
>>>>> mmoja kuwa mbali na mwenzake na vitu kama hivyo sasa tunaweza kutumia
>>>>>mjadala wa dr slaa kama sample ya mijadala kama hiyo .
>>>>>
>>>>>Kama wengi walivyotangulia kusema kwamba kuna viongozi wengi
>>>>>wanawatoto wa nje na wengine wanandoa zisizoeleweka lakini tumekaa
>>>>> kimya . Hapana si kweli pengine hatuna taarifa nao na hata vyombo vya
>>>>>habari havijawahi kugusia masuala hayo ili wengine tupate kujua kama
>>>>>nyie mnajua kwanini msilete kwenye mitandao ya kijamii watu wajadili
>>>>>na wabadilishane mawazo ?
>>>>>
>>>>>Nisiende mbali sana lakini tujue tuko kwenye mchakato wa katiba , kuna
>>>>>watu wanaimba nyimbo za usawa , nyimbo za
> kubadilisha sheria za ndoa
>>>>>na nyingine nyingi matukio kama haya yasiachwe nyuma tunayajadili kwa
>>>>>uwazi na bila kumwogopa mtu ili tuweze kujenga taifa bora .
>>>>>
>>>>>
>>>>>On Jul 13, 9:15 am, method francis ngonge <mngo...@gmail.com
>>>>> <http://us.mc1604.mail.yahoo.com/mc/compose?to=mngo...@gmail.com> >
>>>>> wrote:
>>>>> > Nakuunga mkono Jonas binafsi pia sioni cha kujadili katika hili,
>>>>> Slaa
>>>>>> kufikishwa mahakamani kwa sababu ya mambo ya kifamilia ni jambo la
>>>>>> kawaida na la kwake binafsi, sioni kama inatuhusu sisi kama
>>>>> > watanganyika. Mara nyingi tumeona akina mama wenye uhusiano au
>>>>>> waliowahi kuwa na uhusiano au wanaowabambikia viongozi wa vyama vya
>>>>>> upinzani wakitumiwa kwenye kampeini na hili
> yawezekana ikawa ni
>>>>>> maandalizi ya uchaguzi wa 2015. Ingekuwa kuna mapenzi yanayoendelea
>>>>> > kati ya Slaa na huyo Rose basi isingekuwa rahisi kwa Slaa kutembea
>>>>>> nchi nzima akipiga Kampeini za uchaguzi uliopita akiwa na mwanamke
>>>>>> mwingine bila kificho. Kuna Kesi aliyokwishafunguliwa ya kumpora mke
>>>>>> wa mtu hatujui ilikoishia na hii pia ni ya aina hiyo hiyo. Labda
>>>>>> tumuombe wakili Kitururu atwambie kesi aliyomfungulia Slaa ilivyoisha
>>>>> > au inavyoendelea
>>>>>>
>>>>>> 2012/7/13 <tiko...@yahoo.com
>>>>>> <http://us.mc1604.mail.yahoo.com/mc/compose?to=tiko...@yahoo.com> >:
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>> >
>>>>>>
>>>>> >
>>>>>> > Mwalimu wangu,
>>>>>>
>>>>>> >
> Mimi huwa natamani watu wote wangemchunia akileta hoja isiyokuwa na mshiko
>>>>>> > au yenye maslahi binafsi yake. Toka uchaguzi mkuu 2010 umeisha
>>>>>> > inaonyesha
>>>>>> > Yona Maro anamaslahi binafsi na Dr Slaa.
>>>>> >
>>>>>> > Kimsingi nchi yetu ilipofika kwa rushwa na ufisadi tunahitaji rais
>>>>>> > ambaye
>>>>>> > ana ujasiri wa kutosha na bila kumung'unya maneno atuambie nani ni
>>>>>> > fisadi na
>>>>>> > hatua za hapo hapo. Ndo faida ambayo watanzania wengi wanasubiri.
>>>>>>
>>>>>> > Kwasasa ili ufisadi tuuzike ni raisi pekee anatakiwa aanze kuukana
>>>>>> > na kuwa
>>>>>> > mwiko, ndipo wengine wafuate. Ndo maana Dr. Slaa ameweza kuwavuta
>>>>>> > watanzania
>>>>> > > walio wengi. Si utakatifu wa familia yake bali ni jinsi ambavyo
>>>>> anaweza
>>>>>> > kushughulikia ufisadi katika nchi hii. Watanzania tuliowengi
>>>>>> > tunaamini
>>>>>> > rushwa na ufisadi ndio kikwazo kuu cha maendeleo ya taifa letu. Kama
>>>>>> > kuna
>>>>> > > mtu halioni
> hili kuna tatizo kubwa na safari yetu itakuwa ndefu sana au
>>>>>> > analiona tatizo lakini ananufaika na mfumo huu.
>>>>>>
>>>>>> > Tutafika tu tusonge.
>>>>>>
>>>>>> > Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>>>>> > > ________________________________
>>>>>> > From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukaluga...@hotmail.com
>>>>>> > <http://us.mc1604.mail.yahoo.com/mc/compose?to=kerezesia_mukaluga...@hotmail.com>
>>>>>> > >
>>>>> > > Sender: wanabidii@googlegroups.com <
>
> [The entire original message is not included.]
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>


--
*"The Will of God will never take you where the Grace of God can not protect
you"*
**
*Majura Mugangaji,*
*Commercial Farmer,*
*Morogoro,*
*Tanzania*

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment