Tuesday, 17 July 2012

Re: [wanabidii] Hili la BAKWATA kuteuwa Kadhi wa Tanganyika

Kwani kadhi ikiwepo itawaadhiri mfumo mwingine kwa sababu watakaohusika ni waislam na hata km ukiwa muislamu utenda kwenye mahakama zingine, suala la sensa eti wanahesabu makanisa na misikiti maana yake nini? Wakati inajulikana kabisa kila dhehebu la wakristo lina kanisa lake wakati waislamu ht km tunatofautiana vipi? Lakini tunasali msikiti muda wowote, pia tbc na taasisi fulani walitoa takwimu ambazo waislam hatuzikubali ndio maana tukasema weka kipengele cha ili tujue tuko wangapi? Pia imetokea mwanza serikali imetoa eneo kwa taasisi za dini waislamu wakapata eneo dogo na waislamu kisa eti wenyewe wako wachache. Hizo ni baadhi ya sababu kipengele cha waislamu tunakitaka, kwani wakristo hofu ya nini haswa?




------------------------------
On Tue, Jul 17, 2012 1:15 AM PDT Boniface Magessa wrote:

>Kadhi mkuu wa Tanganyika ni nani?
>
>2012/7/17 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>
>> Ndugu zangu
>>
>> Nimesikia kwamba Baraza Kuu la waisilamu limeteuwa Kadhi mkuu wa
>> Tanganyika siku kadhaa zilizopita .
>>
>> Ninavyojua mimi BAKWATA ni Baraza Kuu la waislamu Tanzania , na sio
>> Tanganyika , nimeshangaa kwanini sasa imekuwa Tanganyika badala ya
>> Tanzania nzima .
>>
>> Pili mimi napongeza uteuzi huu kama masuala ya kadhi yataendeshwa na
>> kadhi Bakwata wenyewe kwa fedha zao na taratibu zao nyingine bila
>> kuathiri mfumo mwingine wa sheria Tanzania ambao upo kwa ajili ya watu
>> wote .
>>
>> Mwisho sasa nimeanza kuhisi ni kwanini waislamu walikuwa wanataka
>> kipengele cha Dini katika Sensa inawezekana moja ya sababu ni hili la
>> ufanyaji kazi wa Kadhi .
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
>
>--
>
>Sent from Samsung Galaxy Ace GT-S 5830 --The future of Android Technology
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment