Saturday 27 May 2017

[wanabidii] Re: [Wanazuoni] Mruma’s Re port vs. Acacia’s response

Kiwasila,

Mbona nchi hii kuna watu wanajijengea maghorofa hadi kumi bila kuwatumia engineers? na siku yakiporomoka tunaishia kuuliza mbona engineers wapo wengi kwa nini hawakutumiwa?

Vivyo hivyo watendaji wetu na wanasiasa wetu wamekuwa wanawatenga wataalam siku nyingi kwenye shughuli nyeti ili kulinda wizi wao, wataalam wakipelekwa wanaandaliwa mizengwe kwa kutumia wanasiasa uchwara na kutunga hadithi ndefu wataalam wanachukia wanajiondoa.

Wakati ni sasa wametumiwa tuwaunge mkono tupate matokeo chanya... hakuna namna ni lazima sasa, hatuwezi kuwa taifa la watu wa kulaumu na kulalamika siku zote, tuchukue hatua tusonge mbele, ikilazimu hata kwa combat tupambane nao tu.

.........../Jumanne.



From: "Hildegarda Kiwasila khildegarda@yahoo.co.uk [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
To: Wanazuoni@yahoogroups.com
Cc: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, 27 May 2017, 9:55
Subject: Re: [Wanazuoni] Mruma's Re port vs. Acacia's response

 
Hao wataalamu walikuwepo wapi miaka yote hiyo toka liberalization of the economi makampuni binafsi yalipoanza? TIC haikuwatumia why kabla ya kusaini mikataba ya uwekezaji? Mikataba nchi iliyosaini nao ilitumia wataalamu gani na tafiti zipi kama evidence kuruhusu wasafirishe nche kwenda kuchakacua hayo mamichanga?

Sielwi mengi kuhusu madini lakini ninajua kuna ulazima wa studies nyingi zifanyike pamoja na EIA kuangalia mazingira. Feasibility studies za uwezekano wakuwepo madini na mine, productivity yake na aina ya madini yatakayotoka hapo kwa miaka mingapi yanategemewa kuchimbwa yaishe. Mkataba ukaingia na makubaliano ya kodi, employment na benefit sharing ya jamii na wilaya husika yalipo machimbo.

Haya yote yalifanywa yakimuhusisha mtaalamu yupi na kiongozi kani wa Wizara au TIC aliyetia haini hayo? Nchi itakuwa salama kweli hatutoshitakiwa kuzuia na kubinafsisha makontena na michanga ya mwekezaji? Leo ndio tunaamka baada ya kusaini mikataba na wataalamu wapo mikataba feki inapitishwa vipi? Makosa ni ya mgeni au mwenyeji mzawa mroho asiye na uzalendo?

Bado kuna hawa waliopewa viwanda na estate farms hawajalima, hawajafufua viwanda; yard za godowns za viwanda wamegeuza karakana za magari mabovu na pa kulaza imported used cars badala ya kuzalisha kama nguo, kamba za katani, viatu au maziwa. Hawa tunawaangalia tu miaka nenda rudi kuna fanicha ndio karakana ya useremala na kuna halls za sherehe na maghorofa ya kupangisha. Hatuchukui hatua na mikopo ya kufufua au kujenga kiwanda walipewa. Hela zao ni kuchangia sana viongozi (huenda) wakati wa mpambano wa uchaguzi aidha chama tawala au pinzani. Wanaachwa na viwanda haviendelei, mashamba hayalimwi. Mazao vijijini yanaoza hayana viwanda vya kuyanunua au pa kupeleka. Kupeleka nchi jirani sasa utata. Kazi ipo hasa. Na sasa ndio ukimpeleka mahakamani au akijua ni wewe umemtaja-unavamiwa nyumbani na kuuawa; risasi barabarani, kuchomwa ndani ya nyumba etc. Tutafika nchi ya viwanda na kujikwamua kata hatuna uzalendo?

Tuangalie hii ya Acacia isije inatugharimu kulipa gharama kubwa kwa kusaini mikataba hata kama ilikuwa ya wizi-ilitiwa sahihi na wahusika!

Napita tu sielewi mengi.
Kama Kawa
--------------------------------------------
On Sat, 27/5/17, 'Dr. A. Massawe' massaweantipas@hotmail.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:

Subject: Re: [Wanazuoni] Mruma's Re port vs. Acacia's response
To: "wanazuoni@yahoogroups.com" <wanazuoni@yahoogroups.com>
Date: Saturday, 27 May, 2017, 9:28


 















 





Werema,



Data
hizo ndizo matokeo ya
vipimo vilivyofanywa na
Tume ya Mruma inayoonyesha
ACACIA
ilizalisha oz 250,000 kwa
mwezi, sawa na
oz 1,200,000 kwa mwaka
na sio oz 25,000 elfu kwa mwezi,
sawa na
oz 120,000 tu kwa mwaka
ilizodeclare.





Mimi sikutarajia
Tume y mkuu wa nchi iliyosheheni walio
mabingwa kwenye fani
husika ingeweza kuyakubali
matokeo ya sampling
kama hayo
na kuyaiwasilisha
kwa Mkuu wa nchi kabla
hata ya
kuyalinganisha
na wastani
wa wingi w dhahabu
na shaba
uliokuwemo kwenye tonnge ya miamba
ya shaba
na dhahabu
iliyochimbwa mwezi husika na
kuzaa michanga
husika
 ambo ni sawa
na hiyo tonnge zidisha na
 average grade
na jibu lingekuwa wastani
 wa oz 25,000 kwa
, sawa na
oz 120,000 kwa mwaka,
10 times less than oz 250,000 kwa
mwezi, sawa na
oz 1,200,000 zilizowasilishwa kwa
mkuu wa nchi na Tume yake!!!!




















#yiv9798046275 #yiv9798046275 --
#yiv9798046275ygrp-mkp {
border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
0;padding:0 10px;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-mkp hr {
border:1px solid #d8d8d8;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-mkp #yiv9798046275hd {
color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
0;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-mkp #yiv9798046275ads {
margin-bottom:10px;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-mkp .yiv9798046275ad {
padding:0 0;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-mkp .yiv9798046275ad p {
margin:0;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-mkp .yiv9798046275ad a {
color:#0000ff;text-decoration:none;}
#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-sponsor
#yiv9798046275ygrp-lc {
font-family:Arial;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-sponsor
#yiv9798046275ygrp-lc #yiv9798046275hd {
margin:10px
0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-sponsor
#yiv9798046275ygrp-lc .yiv9798046275ad {
margin-bottom:10px;padding:0 0;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275actions {
font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275activity {
background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275activity span {
font-weight:700;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275activity span:first-child {
text-transform:uppercase;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275activity span a {
color:#5085b6;text-decoration:none;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275activity span span {
color:#ff7900;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275activity span
.yiv9798046275underline {
text-decoration:underline;}

#yiv9798046275 .yiv9798046275attach {
clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
0;width:400px;}

#yiv9798046275 .yiv9798046275attach div a {
text-decoration:none;}

#yiv9798046275 .yiv9798046275attach img {
border:none;padding-right:5px;}

#yiv9798046275 .yiv9798046275attach label {
display:block;margin-bottom:5px;}

#yiv9798046275 .yiv9798046275attach label a {
text-decoration:none;}

#yiv9798046275 blockquote {
margin:0 0 0 4px;}

#yiv9798046275 .yiv9798046275bold {
font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}

#yiv9798046275 .yiv9798046275bold a {
text-decoration:none;}

#yiv9798046275 dd.yiv9798046275last p a {
font-family:Verdana;font-weight:700;}

#yiv9798046275 dd.yiv9798046275last p span {
margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}

#yiv9798046275 dd.yiv9798046275last p
span.yiv9798046275yshortcuts {
margin-right:0;}

#yiv9798046275 div.yiv9798046275attach-table div div a {
text-decoration:none;}

#yiv9798046275 div.yiv9798046275attach-table {
width:400px;}

#yiv9798046275 div.yiv9798046275file-title a, #yiv9798046275
div.yiv9798046275file-title a:active, #yiv9798046275
div.yiv9798046275file-title a:hover, #yiv9798046275
div.yiv9798046275file-title a:visited {
text-decoration:none;}

#yiv9798046275 div.yiv9798046275photo-title a,
#yiv9798046275 div.yiv9798046275photo-title a:active,
#yiv9798046275 div.yiv9798046275photo-title a:hover,
#yiv9798046275 div.yiv9798046275photo-title a:visited {
text-decoration:none;}

#yiv9798046275 div#yiv9798046275ygrp-mlmsg
#yiv9798046275ygrp-msg p a span.yiv9798046275yshortcuts {
font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}

#yiv9798046275 .yiv9798046275green {
color:#628c2a;}

#yiv9798046275 .yiv9798046275MsoNormal {
margin:0 0 0 0;}

#yiv9798046275 o {
font-size:0;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275photos div {
float:left;width:72px;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275photos div div {
border:1px solid
#666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275photos div label {
color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275reco-category {
font-size:77%;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275reco-desc {
font-size:77%;}

#yiv9798046275 .yiv9798046275replbq {
margin:4px;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-actbar div a:first-child {
margin-right:2px;padding-right:5px;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-mlmsg {
font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
sans-serif;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-mlmsg table {
font-size:inherit;font:100%;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-mlmsg select,
#yiv9798046275 input, #yiv9798046275 textarea {
font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-mlmsg pre, #yiv9798046275
code {
font:115% monospace;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-mlmsg * {
line-height:1.22em;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-mlmsg #yiv9798046275logo {
padding-bottom:10px;}


#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-msg p a {
font-family:Verdana;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-msg
p#yiv9798046275attach-count span {
color:#1E66AE;font-weight:700;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-reco
#yiv9798046275reco-head {
color:#ff7900;font-weight:700;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-reco {
margin-bottom:20px;padding:0px;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-sponsor #yiv9798046275ov
li a {
font-size:130%;text-decoration:none;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-sponsor #yiv9798046275ov
li {
font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-sponsor #yiv9798046275ov
ul {
margin:0;padding:0 0 0 8px;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-text {
font-family:Georgia;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-text p {
margin:0 0 1em 0;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-text tt {
font-size:120%;}

#yiv9798046275 #yiv9798046275ygrp-vital ul li:last-child {
border-right:none !important;
}
#yiv9798046275

__._,_.___

Posted by: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (4)

Have you tried the highest rated email app?
With 4.5 stars in iTunes, the Yahoo Mail app is the highest rated email app on the market. What are you waiting for? Now you can access all your inboxes (Gmail, Outlook, AOL and more) in one place. Never delete an email again with 1000GB of free cloud storage.


.

__,_._,___


0 comments:

Post a Comment