Monday 29 May 2017

[wanabidii] Fw: Kuwasilisha Taarifa za Miradi Iliyofanyiwa Upembuzi Yakinifu na Usani

> Habari Engs ?
>
> Mnatakiwa kuwasilisha taarifa za miradi yote
> iliyofanyiwa Upembuzi Yakinifu na Usanifu kwa ajili ya
> utekelezaji wa WSDP II (Kuanzia mwezi Julai, 2016 hadi Mei,
> 2017) katika Halmashauri zilizopo katika Mikoa yenu.
>
> Taarifa hii inahitajika kwa Katibu Mkuu - Maji kesho
> tarehe 30.5.2017 saa sita mchana.
>
> Tafadhali itume kwenye email yangu kabla ya saa sita kesho:
> Asante,
>  Issa Osena,
MoWI.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment