Wednesday, 31 May 2017

[wanabidii] ESRF yatoa Mafunzo ya Uandaaji Mipango Mkakati kwa Watumishi wa Serikali za Mikoa na Wilaya

Habari za asubuhi,

Tafadhali pokea CODES hapa chini

Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) imetoa mafunzo kwa watumishi wa Ofisi za Wakuu wa Mikoa,  Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Maofisa Mipango wa Halmashauri za Wilaya wa Mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu kuhusu uandaaji wa mipango mikakati ambayo itatumika katika halmashauri za mikoa hiyo.

Akizungumza kwenye uzinduzi wa mafunzo hayo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mheshimiwa, John Mongela alisema mafunzo hayo ni muhimu kwa watumishi hao kwani yatawasaidia kupata mbinu mpya ambazo watazitumia wakati wa kutengeneza mipango mikakati katika maeneo yao.

Alisema kwa dhamana waliyonayo watumishi hao ni vyema kutumia mafunzo hayo ya siku mbili vizuri ili baada ya mafunzo waweze kupata njia mbadala katika uandaaji wa mipango mikakati ambayo itasaidia kuleta maendeleo

[caption id="attachment_2276" align="aligncenter" width="1299"] Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mheshimiwa, John Mongela akisoma hotuba ya ufunguzi wa mafunzo kwa watumishi wa Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Maofisa Mipango wa Halmashauri za Wilaya wa Mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu kuhusu uandaaji wa mipango mikakati[/caption]

"Hampo hapa kwa ajali, mpo kwasababu dhamana zenu ni kubwa, kwa kupitia mafunzo haya mtapata  nyezo za kupangia mikakati ya kweli na mimi nataraji mtatoka hapa vizuri, haya ni mafunzo muhimu sana,

"Tusiishie kwenye mikakati, tatizo ni jinsi gani ya kuanzisha miradi, tumekuwa na mawazo mengi sana lakini tuna changamoto ya kuyaweka kwenye miradi, tutoke kwenye kuwa na mawazo na sasa tuanze kuyafanyia kazi," alisema Mongela.

Pia Mongela aliwashukuru ESRF kwa kuandaa mafunzo hayo na kuwataka washiriki kufanya kazi kwa ushirikiano na ESRF kwani tayari wameonyesha nia ya kushirikiana nao ili kuhakikisha mipango ambayo wanaipanga inafanyiwa kazi.

[caption id="attachment_2277" align="aligncenter" width="1299"] Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dk. Tausi Kida akitoa neno la ukaribisho kwenye mafunzo kwa watumishi wa Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Maofisa Mipango wa Halmashauri za Wilaya wa Mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu kuhusu uandaaji wa mipango mikakati.[/caption]

"Tuone jinsi gani tunatumia fursa hii vizuri, tunatakiwa tukitoka hapa tukatekeleze mipango hii na ESRF wapo tayari kushikana mikono na sisi hadi waoane mafanikio na mimi niwahakikishie sisi tupo tayari … nategemea mambo makubwa baada ya kuanzisha ushirikiano huu," alisema Mheshimiwa Mongela.

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa ESRF, Dk. Tausi Kida alisema kwa kipindi kirefu wamekuwa  mstali wa mbele kusukuma mbele Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) kwa kufanya shughuli mbalimbali ambazo zinakuwa muhimu kwa maendeleo ya jamii na Taifa kwa ujumla.

"Kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wa nje na ndani ya nchi, ESRF imekuwa ikisimamia na kuhimiza ufikiwaji wa malengo hayo sio tu katika ngazi ya Taifa bali pia katika ngazi ya wilaya na hata Kata," alisema Dk. Kida

[caption id="attachment_2278" align="aligncenter" width="1299"] Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mheshimiwa, John Mongela (katikati) akizindua mwongozo wa kuandaa mipango mkakati ya wilaya.[/caption]

Dk. Kida aliendelea kusema kuwa mafunzo hayo kutakuwa na mada zinazoelezea maelezo ya Jumla kuhusu mpango mkakati, upangaji wa bajeti, ufuatiliaji na namna ya kutoa taarifa, mikakati ya maendeleo ya kitaifa na kimataifa SDGs, FYDP II, Africa Agenda 2063, Vision 2025, mchakato wa kuandaa mpango mkakati na ufuatiliaji, upimaji, na utoaji wa taarifa (reporting, monitoring and evaluation)

Aidha ESRF imezindua mwongozo wa kuandaa mipango mkakati ya wilaya, mwongozo ambao umetokana na andiko kubwa lililoandaliwa na serikali siku za nyuma kuhusu uandaaji wa mipango mkakati ya muda wa kati pamoja na bajeti (Government's Medium Term Strategic Planning and Budgeting Manual).

[caption id="attachment_2279" align="aligncenter" width="1299"] Meza kuu ikionyesha mwongozo huo baada ya kuzinduliwa rasmi.[/caption]

[caption id="attachment_2280" align="aligncenter" width="1299"] Bwana Apolinary Tamayamali kutoka Ofisi ya Rais-IKULU akitoa neno kwa washiriki kuhusu mipango na mchakato wa uandaaji bajeti.[/caption]

[caption id="attachment_2282" align="aligncenter" width="1299"] Picha juu na chini ni Mkurugenzi Mtendaji wa Self Microfinance Fund, Mudith Cheyo akitoa mada kwa washiriki kuhusu uandaaji wa mipango mikakati.[/caption]

[caption id="attachment_2284" align="aligncenter" width="1299"] Picha juu na chini ni Washiriki wa mafunzo ya uandaaji wa mipango mikakati ambayo yamehusisha watumishi wa Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Maofisa Mipango wa Halmashauri za Wilaya wa Mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu.[/caption]

[caption id="attachment_2288" align="aligncenter" width="1299"] Picha juu na chini ni Washiriki wa mafunzo kuhusu uandaaji wa mipango mikakati wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mheshimiwa, John Mongela.[/caption]

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Read More :- "[wanabidii] ESRF yatoa Mafunzo ya Uandaaji Mipango Mkakati kwa Watumishi wa Serikali za Mikoa na Wilaya"

[wanabidii] Worried techies rush to startups amid layoffs

Follow us:
Here are some stories that you don't want to miss today
Worried techies rush to startups amid layoffs
Worried techies rush to startups amid layoffs
The recent IT layoffs have pushed software professionals to throng small- and medium-sized IT companies and startups. In fear of being laid off, several techies are looking for new avenues, many settling for a similar pay or a taking a cut of up to 3...
READ MORE
Get up to 80% off on grooming appliances.#ShopCluesSurety
ShopcluesRecommended by Colombia
India is too big a market for Apple to ignore: Union minister Ravi Shankar Prasad
"We are in dialogue with Apple and once the nature of exchange is formalised, we shall come up with a structured response," Prasad told ET in an interview.
READ MORE
Microsoft plans to expand operations in India
Microsoft has signed a 15-year lease deal for nearly 2,00,000 sqft of premium office space at Knowledge City in Hyderabad and plans to pick up another 2,50,000 sqft of space in its next phase of expansion, two people aware of deal said.
READ MORE
Why term insurance is important for you?
MAX LIFE INSURANCERecommended by Colombia
Reliance Jio, Airtel in 'tariff war' again
While Bharti Airtel and Idea Cellular say some offers need to be kept confidential to retain existing users, Jio believes all plans must be made public on common platform.
READ MORE
The unusual way Google co-founders Larry Page and Sergey Brin take job interviews
Google has an infamously difficult interviewing process. Over the years, it has ditched the brain teaser questions it once asked many candidates, but it's still no walk in the park.
READ MORE
20 popular Android apps you should uninstall immediately
READ MORE
Blame game for cyberattacks grows murkier as spying, crime tools mix
Veteran espionage researcher Jon DiMaggio was hot on the trail three months ago of what on the face of it looked like a menacing new industrial espionage attack by Russian cyber spies.
READ MORE
Nikon announces Coolpix W300 rugged camera, three NIKKOR lenses
Nikon has unveiled a new range of imaging products, including a rugged camera and three NIKKOR lenses. Pricing and availability details of the products will be announced in mid-June.
READ MORE
'Wait for Diwali Dhamaka, Indian smartphone market Bahubali will strike back'
The Micromax chief is not unnerved with the over-the-top aggression of Chinese rivals who have been 'burning' money on a marketing blitzkrieg.
READ MORE
After US setback, now IT firms seeing opportunity in China
Even as Indian IT firms are facing setbacks in the US market, a new opportunity is opening up in China which is keen to invite them to participate in the Big Data sector.
READ MORE
Unsubscribe | Manage Subscriptions
Stories | Gadgets | Reviews | compare | Slideshows | Videos | Brands
Read More :- "[wanabidii] Worried techies rush to startups amid layoffs"

[wanabidii] Top Headlines: US faces isolation as Donald Trump readies Paris pact pullout

Times of India
Daily Newsletter | Thursday, June 01, 2017
fbtwittergoogleplus
TOP HEADLINESMORE »
US faces isolation as Donald Trump readies Paris pact pullout
US President Donald Trump is understood to have finalized American withdrawal from the Paris climate agreement, reneging on an internationally endorsed treaty in a move critics say will deliver a body blow to efforts aimed at containing global warming.
Customizable Life Insurance Plan
Now ensure your term plan has enough coverage against Death, Disability & Disease!
Recommended by Colombia
For the 3rd yr in a row, a woman tops UPSC exam
A woman IRS officer from Karnataka, Nandini K R, has topped the civil services exam 2016. This is for the third year in a row that a woman has bagged the top rank in the elite exam, with Ira Singhal having topped CSE 2014 and Tina Dabi CSE 2015.
No benami law when 'deals' took place: Satyendar
Satyendar Jain moved the Delhi high court on Wednesday and sought quashing of tax evasion proceedings against him by the I-T department relating to hawala transactions on the ground that a penal provision invoked against him was not in force when the alleged illegalities were committed.
CITIESMORE »
Diabetes holding you back from enjoying the mango season?
Monitor your blood glucose with Accu-Chek Active and consult your doctor to enjoy responsibly.
Recommended by Colombia
No succour in sight, mother puts up kidney for auction on Facebook
Aarti Sharma, the mother of four children, including three daughters, has put up on Facebook her kidney for sale after she failed to get any financial aid to fund her kids' education.
Maharashtra farmers set for indefinite strike from June 1
Farmers from more than several villages from different districts in the state will be on an indefinite strike from June 1. If the strike continues beyond 2-3 days supply of milk, vegetables and fruits is likely to be affected in the city and other parts of the state, said traders from the agricultural produce market committees (APMC).
Delhi: Two held in e-rickshaw driver's murder case
Delhi Police on Wednesday arrested a man and apprehended a juvenile in connection with the killing of an e-rickshaw driver who had objected to two men urinating outside the GTB Nagar Metro Station here last week.
TECHMORE »
India is too big a market for Apple to ignore: Union minister Ravi Shankar Prasad
"We are in dialogue with Apple and once the nature of exchange is formalised, we shall come up with a structured response," Prasad told ET in an interview.
Microsoft plans to expand operations in India
Microsoft has signed a 15-year lease deal for nearly 2,00,000 sqft of premium office space at Knowledge City in Hyderabad and plans to pick up another 2,50,000 sqft of space in its next phase of expansion, two people aware of deal said.
Reliance Jio, Airtel in 'tariff war' again
While Bharti Airtel and Idea Cellular say some offers need to be kept confidential to retain existing users, Jio believes all plans must be made public on common platform.
SPORTSMORE »
BCCI officials Sridhar, Amitabh likely to interact with Kohli, Kumble
In a tight corner amid speculation of a rift between chief coach Anil Kumble and skipper Virat Kohli, the BCCI top brass seems to be on damage control mode and some key officials are likely to meet the duo separately in Birmingham.
Champion Djokovic eases into French Open third round
He may be carrying a little more around the middle than in his Roland Garros pomp, but the star appeal of Andre Agassi was undeniable at the French Open on Wednesday as his new charge Novak Djokovic romped to a second-round win.
Kohli, Dhoni, Yuvraj, Raina in list of top 100 athletes
India captain Virat Kohli, former skipper Mahendra Singh Dhoni and stylish left-handed batsmen, Yuvraj Singh and Suresh Raina, have found places in this year's ESPN World Fame 100 list that made its debut last year.
BUSINESSMORE »
Government meets 3.5 per cent fiscal deficit target in 2016-17
"Fiscal deficit is 3.51 per cent of GDP or Rs 5.35 lakh crore in 2016-17," the Controller General of Accounts (CGA) said while releasing the provisional accounts for the last financial year.
PM Modi woos Spanish firms to invest in India
Prime Minister Narendra Modi on Wednesday invited Spanish firms to invest in India whose strong economy offers "many opportunities" for them in various fields as the two countries signed seven agreements and vowed to strengthen their cooperation in the fight against terrorism.
Kingfisher House auction fails for 5th time
Lenders' attempt today to auction Kingfisher House, the erstwhile headquarters of Vijay Mallya- owned, now defunct Kingfisher Airlines, proved to be a damp-squib for the fifth time, despite cut in the reserve price.
ENTERTAINMENTMORE »
Salman Khan to have a double guest role in ‘Judwaa 2’?
Varun Dhawan will soon be seen in a double role for the first time in the upcoming film ‘Judwaa 2’.
Other Newsletters from TOI:
Breaking News | Digest | Tech | Entertainment | Movie Reviews | Life & Style
Unsubscribe | To manage your newsletter subscription settings, click here.
Copyright 2017 Bennett Coleman & Co. Ltd. All rights reserved. For reprint rights: Times Syndication Service
Read More :- "[wanabidii] Top Headlines: US faces isolation as Donald Trump readies Paris pact pullout"

[wanabidii] New content updates

Dear Wanabidii Africa Mashariki,

The following new content has been been added to our website:

Press Releases

31/05/2017 - On May 24, 2017 at the 52nd Global Environment Facility (GEF) Council meeting, the GEF approved a total funding of US $11.2 million for two projects co-financed with the African Development Bank (AfDB). The projects, one in Mali (Scaling up a Multiple Benefits Approach to Enhance Resilience in Agro- and Forest Landscapes of Mali's Sahel Regions) and the other in Benin (Sustainable Forest Management and Conservation Project in Central and South Benin) focused on the "poorest and most vulnerable", particularly Least Developed Countries (LDCs), according to the GEF CEO Naoko Ishii. Mali and Benin are both LDCs and the projects will improve land and forest management to promote sustainable, resilient and healthy agro- and forest ecosystems. The projects comprise new funding for US $8.6 million (Mali) and US $2.6 million (Benin) with a total AfDB co-financing of $78.8 million.

Categories: Benin, Mali, Climate Change, Environment, Partnerships, Global Environment Facility (GEF), Global Environment Facility (GEF)

Documents

Vacancies

You have received this email because you subscribed to content updates of the African Development Bank.

Manage my account

African Development Bank Group
Immeuble du Centre de commerce International d'Abidjan CCIA
Avenue Jean-Paul II
01 BP 1387
Abidjan 01, Côte d'Ivoire
Phone: +225 2026 3900
Email: afdb@afdb.org

This is an automated message, please do not respond. For all enquiries please contact afdb@afdb.org.

© African Development Bank Group - All rights reserved

Read More :- "[wanabidii] New content updates"

[wanabidii] New content updates

Dear Wanabidii Africa Mashariki,

The following new content has been been added to our website:

Press Releases

31/05/2017 - An African Development Bank (AfDB) mission visited Banjul from 8-12 May 2017 to hold talks with the Government and other stakeholders on updating the Second Joint Assistance Strategy (JAS-II 2012-2016). Key among activities undertaken during the mission, was the Country Portfolio Performance Review (CPPR), which was found satisfactory.

Categories: Gambia

You have received this email because you subscribed to content updates of the African Development Bank.

Manage my account

African Development Bank Group
Immeuble du Centre de commerce International d'Abidjan CCIA
Avenue Jean-Paul II
01 BP 1387
Abidjan 01, Côte d'Ivoire
Phone: +225 2026 3900
Email: afdb@afdb.org

This is an automated message, please do not respond. For all enquiries please contact afdb@afdb.org.

© African Development Bank Group - All rights reserved

Read More :- "[wanabidii] New content updates"

[wanabidii] New content updates

Dear Wanabidii Africa Mashariki,

The following new content has been been added to our website:

Press Releases

25/04/2017 - More than 80 lawyers, international arbitration practitioners and government officials gathered in Abidjan from April 20-21 for a lively exchange of ideas and legal opinions. The West African International Arbitration Conference (WAIAC) provided a platform for both African legal firms and government institutions to promote their work, network with peers in the industry and deepen their understanding of emerging challenges in the field of international arbitration.

Categories: Côte d'Ivoire, African Legal Support Facility, Partnerships, African Legal Support Facility

News

31/05/2017 - E-governance is the future of development, and without it African countries will struggle, says Malawi's Secretary to the Treasury, Ben Botolo. Featuring on a panel discussion on "Africa-India Partnerships in E-Governance" on Thursday, May 25, at the AfDB's 52nd Annual Meetings, Botolo said Africa stands to benefit from e-governance as evidence shows that it reduces physical interface, thereby reducing costs.

Categories: India, Economic & Financial Governance, Information & Communication Technology, Partnerships

23/05/2017 - The question of financing African agriculture again featured at the heart of the programme on the second day of the Annual Meetings of the African Development Bank (AfDB). How can the private sector be persuaded to commit significantly in order to meet the need to finance African agriculture?

Categories: India, Agriculture & Agro-industries, Private Sector

You have received this email because you subscribed to content updates of the African Development Bank.

Manage my account

African Development Bank Group
Immeuble du Centre de commerce International d'Abidjan CCIA
Avenue Jean-Paul II
01 BP 1387
Abidjan 01, Côte d'Ivoire
Phone: +225 2026 3900
Email: afdb@afdb.org

This is an automated message, please do not respond. For all enquiries please contact afdb@afdb.org.

© African Development Bank Group - All rights reserved

Read More :- "[wanabidii] New content updates"