Sunday, 9 April 2017

[wanabidii] MSAADA WA KUPATA DAWA ZA VIDONDA VYA TUMBO.

Habari ya majukumu wandugu?
Tafazali,naomba kama kuna yeyote anafahamu formula/dawa au anamfahamu mtu au Taasisi yenye kutibu vidonda vya tumbo naomba anipe msaada wa mawasiliano au njia ya kuweza kupata matibabu.
Nina imani kupitia hapa naweza kupata msaada na pia naweza kusaidia wengine.Nina ndugu ambaye amekuwa anapata shida kwa muda mrefu sasa bila mafanikio na amejaribu madawa mengi tu.

Nawatakia weekending njema.
 
Mwandumbya,R
Mob 0754/0655 885197

0 comments:

Post a Comment