Sunday, 9 April 2017

Re: [wanabidii] MSAADA WA KUPATA DAWA ZA VIDONDA VYA TUMBO.

Hi,
Tumia maji ambayo umeweka Baking Soda (sodium bicarbonate) kwa kipimo cha kijiko kimoja cha Chai ktk lita moja,. Kunywa kikombe kimoja kila baada ya masaa 4.

Sent from my iPad

On 9 Apr 2017, at 12:18 PM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Habari ya majukumu wandugu?
Tafazali,naomba kama kuna yeyote anafahamu formula/dawa au anamfahamu mtu au Taasisi yenye kutibu vidonda vya tumbo naomba anipe msaada wa mawasiliano au njia ya kuweza kupata matibabu.
Nina imani kupitia hapa naweza kupata msaada na pia naweza kusaidia wengine.Nina ndugu ambaye amekuwa anapata shida kwa muda mrefu sasa bila mafanikio na amejaribu madawa mengi tu.

Nawatakia weekending njema.
 
Mwandumbya,R
Mob 0754/0655 885197

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment