Thursday, 5 June 2014

Re: [wanabidii] Majibu ya Dr. Slaa kwa mwanachama kuhusu kukwepa mazishi ya Mama Zitto

Kifupi Slaa hafai kuongoza nchi jamani hata chama chenyewe kinamfia......Hata busara au hekima hana, majibu yake alomjibu jamaa ni ya kitoto na yasio na logic, wanansiasa hawapaswi kuchukiana hv, yaani kwa kua ana shida nao basi hata akipata tatizo wanamuombea aishie kabisa
--------------------------------------------
On Thu, 6/5/14, 'marcuskabwella@yahoo.com' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Majibu ya Dr. Slaa kwa mwanachama kuhusu kukwepa mazishi ya Mama Zitto
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, June 5, 2014, 12:29 AM

Hivi watu walitakaje kuhusu kuugua
na kufariki kwa mama wa Zito? Ameanza kuugua na kulazwa
hospital mbalimbali tena zenye gharama kubwa, ni kweli
CHADEMA haikushiriki katika mlolongo wote huo?
Tatizo letu wanadamu huwa hatujali wagonjwa
badala yake kutafuta ufahari misibani au ukienda kumuona
mgonjwa lazima uambatane na vyombo vya habari?
Mbowe na Slaa nao ni binadamu wakati wa msiba
huenda nao walikuwa na udhuru uliowafanya washindwe kwenda!

Au ni wafuasi wa mvaa skafu?
Nawasilisha!
Marcus
Sent
from Yahoo Mail on Android








From:

'Eberi Manya' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;



To:


<wanabidii@googlegroups.com>;



Subject:

Re: [wanabidii] Majibu ya Dr.
Slaa kwa mwanachama kuhusu kukwepa mazishi ya Mama Zitto



Sent:

Thu, Jun 5, 2014 4:11:16 AM





Naona huijui siasa ndugu, waachie
wenyewe, badala ya kuendelea kulaumu...


'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Pamoja na ndugu
'mabadiliko' kulenga kumchafulia Dr. Slaa mm
imenisaidia kujua kuwa kumbe viongozi wa CHADEMA kuna kitu
walifanya kwa mgonjwa. Ikumbukwe kuna wkt niliandika humu
kuwa hawa viongozi wamtembelee mgonjwa huyu wkt wakimsulubu
Zitto kuhusu fedha za tanapa. Pia kwa jibu la Dr. Slaa mambo
ya magonjwa au vifo kwao sio jambo la vyombo vya habari.
Kura zingetosha 2010 tungeona katiba mpya ya wa Tz bila
mizengwe, Tungeona bei ya vifaa vya ujenzi ikishuka,
Tungeona elimu bora bila malipo, etc. Lakini tusingemuona
kwenye vilio. Mwana mabadiliko ulitaka tujue hivyo?
Asante.
>
>----------
>Sent from my
Nokia
Phone
>
>------Original message------
>From: MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com>
>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>Date: Wednesday, June 4, 2014 12:53:36 PM
GMT-0700
>Subject: [wanabidii] Majibu ya
Dr. Slaa kwa mwanachama kuhusu kukwepa mazishi ya Mama
Zitto
>
>Majibu ya Dr.
Slaa kwa mwanachama kuhusu kukwepa mazishi ya Mama Zitto
>
>Wadau,
>
>Katika ufuatiliaji
zaidi nimegundua kwambakuna mwanachama wa CHADEMA ambaye
>aliguswa na kisa cha viongozi wakuu wa
chamakususia mazishi ya Shida Salum
>aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA.
Mwanachamahuyo baada ya kuumizwa
>na
kitendo hicho cha viongozi wake, alimwandikia smsifuatayo
Dr. Slaa.
>
>Nimeihariri ili kuondoa vifupisho
vya maneno alivyovitumia ili kila mmoja
>aelewe:
>"Kweli baba
wewe na Mbowe mmeshindwa kabisa kushiriki mazishi ya mjumbe
wa
>kamati kuu!! Ninyi hamna kabisa utu
hata chembe? Sababu za kisiasa
>zimewafanya muwe na mioyo migumu kiasi
hicho? Utadhani nyinyi hamtakaa mfe
>milele?
>
>Mmeshangaza ulimwengu, ubinadamu kwenu siyo
kitu kwa ajili yasiasa? Hivi
>wewe
utakuwa mwanasiasa milele? Kweli hamna hata hata hofu ya
Munguhata
>kidogo, hata wewe ambaye
ulikuwa mtumishi wa Mungu kweli baba? Hata kamani
>ubabe, wa kwenu haujawahi kutokea.
>
>Hata kama Zitto hayuko
CDM mchango wakekatika kujenga chama mmeusahau
>kabisa? Mmelipa kisasi kwa kususa hata
maiti! Kwa ajili ya siasa tu! Duh!
>Hongereni, fanyeni siasa milele. Watu wenye
hekimawamepata somo toka kwenu.
>Mungu
awabariki sana".
>
>Mwisho wa kunukuu.
>
>Sasa soma majibu ya mtu
anayeitwa Dr.Willibrod Slaa ambaye kama kura
>zingetosha mwaka 2010, eti leo angekuwa
rais wa Jamhuri ya Muungano wa
>Tanzania. Sms yake imetoka kwenye namba
yake ya 0783967519 na ili-deliver
>kwenye simu ya huyo kijana saa 18:40:27
jana Jumanne tar 2/6/2014. Nainukuu
>sms
hiyo bila kuhariri chochote:
>
>"Acha ushabiki usiokuhusu. Makamu
Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA, mhe. Issa
>Mohamed alifiwa na mama yake mzazi siku 7
zilizopita. Nani alihudhuria,
>mbona
hata wewe hukuhudhuria! Wala hukuandika sms kama hii, kumbe
Utu wako
>unapimwa kwa fulani tu!
Upuuzi. Chadema haifanyi siasa ya misiba. Utu
>unapimwa uliyomfanyia mgonjwa siyo kwenye
mitandao na magazeti. Fanya
>utafiti
kabla ya kujifanya mjuaji. Dr Slaa"
>
>Mwisho wa kunukuu.
Huyo ndiye rais wa UKAWA.
>
>Mohamedi Mtoi | Facebook
><https://www.google.co.tz/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0CCEQFjAA&url=https%3A%2F%2Fwww.facebook.com%2Fmouddymtoi&ei=GXmPU8TsLafg4QTmvID4DQ&usg=AFQjCNGzi1WvNc69vPsECRWLWh_y4ZIyWQ&bvm=bv.68235269,d.bGE>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email
kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata
Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone
posting to this Forum bears the sole responsibility for any
legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this
message because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
>To
unsubscribe from this group and stop receiving emails from
it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email
kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata
Email ya kudhibitisha
ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone
posting to this Forum bears the sole responsibility for any
legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>---
>You
received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop
receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata
Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment