Kaaaya
Utabir wako hauna mantiki kamandaaaaa
Lowasa rais bhaaaas
--------------------------------------------
On Thu, 6/5/14, 'flano mambo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] CCM NA UCHAGUZI WA MGOMBEA URAIS 2015
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, June 5, 2014, 2:43 AM
Mtu kuwa rais
anahitaji kuwa na political competence, akina mama wengi
hapa kwetu Tz na Africa kwa ujumla hawana hii kitu. Wengi
wao hubebwa bebwa tu japo wapo wenye competence ila si ya
nafasi hiyo. Wapo ambao wanaweza kutunisha msuli wakachukua
jimbo la ubunge japo pia ni wachache sana. Hebu fananisha
mawaziri wetu akina mama hasa Dr. Asha na akina Megawat
Sukanaputri, Kumaratunga wa Sliranka, Gloria Oroyo, na yule
mama aliyechapwa bomu pakistani somebody bhuto kama
sijakosea utaona kwenye siasa wanamaanisha na ni tishio hata
kwa wanasiasa wanaume. Sasa hapa kwetu kweli Dr Asha ana
mbavu za kupimana hata na upinzani tu mfano akikutana na Dr
Slaa?
Ndani
ya chama ndo kabisaaa hana mbavu za kuchuana hata na mh. Dr
John, achilia mbali mzee wa usevya na hao wengine.
Lakini
pia kwa kukosa polical competence kumpatia mwanamama
kuongoza Tz kwa sasa na changamoto zinazoongezeka ni
kutafuta matatizo. maana kwa hakika
hataongoza nchi yeye wataongoza wapambe. we kama unataka
kupima upepo angalia uongozi wa bunge letu.
Karibu
tena mtabiri
On Thursday, June 5, 2014 9:28 AM,
'Ngupula GW'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Si tanzania tu,afrika kwa miaka ya hiv
karibuni haiwez kumchagua mwanamke kuwa raisi...hivyo
utabiri wako most likeky hautatimia. Ni kweli kuna mazingira
mengi na mbinu nyingi za kutaja lowassa asiteuliwe kugombea
urais kupitia ccm...but ndiye atayeibuka kidedea katika
kinyang'anyilo hicho. Membe atamfiatia kwa mbali haswa
akibebwa na nguvu ya familia ya ikulu. Lowassa ni kweli kama
walivyo viongoz wengine,hatawasahau waliomfikisha hapo
atakapokuwako lkn nchi haitaendeshwa kihuni mamna
hiyo...ngupula
'flano
mambo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
tunashukuru kwa utabiri wako. ila
ingekua vema ukawafanyia uchambuzi yakinifu kila mgombea
uliyemtaja yaani uoneshe strenght zake na weakness zake
ndipo utoe utabiri wako. Siasa haiendi hivyo bro. siasa
unawezashindwa kupredict trend yaani kusema kesho itakua
hivi na isiwe. ni mambo ya kawaida kwenye
siasa.
Hivi
karibuni chama fulani kilimuingiza mzee mmoja
mstaafu kwenye uongozi wa juu tena kwa kumuomba ili asaidie
kukinyoosha chama. Mzee wetu akaja na ahadi kibao. Mnh??
amemshughulikia nani aliyetoa rushwa kwenye uchaguzi wa
uongozi wa juu wa halmashauri ya chama?
Revise
your utabiri
On Thursday, June 5, 2014 7:32 AM, Emma Kaaya
<emmakaaya@gmail.com> wrote:
CCM
NA UCHAGUZI WA MGOMBEA URAIS 2015,
Majina:-
1, Asha Rose
Migiro,2,
Benard Membe,3, Edward Lowasa
Ngoyayi,Samwel
Sitta,4, John Pombe
Magufuri,Hawa ndiyo
wanaowania kuchaguliwa kugombea Urais kwa Card ya CCM
2015,Mwanamke atapita
kwa kisingizio cha jinsia kama walivyomufanya Sitta kwenye
usipika wakamupa Anna Makinda,Lowasa hata
chaguliwa na CCM agombee Urais maana wanajua akiupata tu
urais basi mambo yatakuwa hivi,1, Wanakamati wote
wa kamati ya RICHMOND watakiona cha moto,2, Waziri mkuu
atakuwa Chenge,3, Waziri wa
fedha atakuwa Rostam
Azizi,4, Mwanasheria
Mkuu atakuwa Ngereja,5, Waziri wa mambo
ya ndani atakuwa Kangi Lugola,6, Waziri wa
Ulinzi atakuwa Deo Filikunjombe,Hawa jamaa
nitishio kwa serikali ya CCM Iliyopo kwa sasa na kama
wakichukua Nchi watahakikisha wanawafunga watu kuazia ngazi
shina hadi akina NAPE NAUYE, KINANA na wengine
kibao.!!!Huu ni utabiri
wangu na kama hamuamini Lowasa achukue Nchi muone,Ila kwa sababu CCM
wameshaligundua hilo watasema kipindi hiki tunaweka jinsia
ya kike hivyo Lowasa watakuwa wamemkata makari
aksante.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment