Friday, 12 June 2015

Re: [wanabidii] KATIBA MPYA IMESAHAULIKA?

Nadhani Molel unacoment kwenye mada inayoongelea kama CCM imebadilika.
Nadhani ukisoma michango iliyopo utaiona logic. Kama hutaiona hakuna atakayekuonea (kuiona kwa niaba yako)
--------------------------------------------
On Wed, 6/10/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] KATIBA MPYA IMESAHAULIKA?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, June 10, 2015, 1:32 AM

Jamani kutangaza nia si official
stand ya chama nimsimamo wa candidate tu na pledge zake
lakin atakapopitishwa atapewa tool ambayo ni ilani ya chama
na strategic plan yake na ndio ataifanyia campaign mbona mna
arguement zisizokua na uelewa kaabisa kumbe kina mhingo
mnaongeaga bila kua na logic
Mgombea ataongozwa na makubaliano hayo na ndio watachokwenda
uza ktk  majukwaaaaa'heeeeeh
Lesian

'Sylvanus Kessy' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

>
>Ndg wanabidii
>
>Kati ya hawa makada wote waliotangaza nia kuwa Rais wa
TZ, hakuna hata mmoja aliyesema kitu kuhusu mwendelezo wa
mchakato huu wa katiba mpya. Ina maana licha ya garama zote
zile WORK DONE =  0?
>
>Kama kuna anayeweza kuwauliza LIVE naomba mnisaidie. Mie
nipo mbali mno
>
>kessy
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment