Mama Kiwasila,
Umeingia kwenye akili yangu au??
This is exactly what we need. tunalalamika nyumba za serikali na
watumishi, tunaingia gharama kila siku za kuliopa makampuni, hivi JKT
na wafungwa wa muda mrefu wanafanya nini? kweli mfungwa wa miaka 5
kwenda mbele tunashindwa kumpa elimu ya ujenzi, umeme au chochote cha
uhakika kwa miaka 2, and then atufanyie kazi kwa miaka 3 bila malipo!!
Tumeshindwa kabisa kutumia adhabu za makosa mdogo madogo vizur
tukapata watu wa kufanya shughuli ndogo ndogo tunazolipa makampuni
kila siku kama usafishaji wa jiji? hawa watu wanakula chakula cha bure
tu wakati makosa walifanya wao. tunapoteza nguvu zao hatuzifanyii kazi
warudishe chakula kinachonunuliwa na kodi zetu akina sie sie
waliotutendea ufedhuli.
Unasikia Waziri anaringishia mafanikio idadi ya watumia umeme
imeongezeka, hell no!! kwani kazi ya Tanesco ni nini kama sio hiyo??!!
tunataka kusikia serikali imebuni nini kipya na imeleta nini cha
maana, imepunguza mzigo kiasi gani kwa mwananchi, sio tu imefanya nini
wakati mengine ni moja ya majukumu yao!!
HAPANA!! tunahitaji KICHWA NGUMU anayelipenda taifa akaishi MAGOGONI.
hawa wapuuzi wanatuchezea akili tu. Umelia kwa mauaji ya albinism
sawa, we know it hurts, so what!!?? umewekwa pale kutuonyesha emotions
zako au kutenda kulingana na emotion hizo!!?
Mazoea ya Askari na wananchi yamefikia pabaya sasa, hayo yaliyotokea
Morogoro (kama ni kweli ilivyoripotiwa) yanaletwa na mazoea. One thing
more, sikubaliani saana na utekelezaji wa mambo yetu kulingana na
wanavyofanya wengine, ila nashauri tuangalie wanavyofanya, tukae chini
tuangalie wapi walikosea na walipopatia, wapi pa kuboresha and then
tuamue ya kwetu kulingana na hali yetu! sio kila siku bungeni utasikia
"...wenzetu...."
arghhhhhhh.....
--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment