Monday, 2 February 2015

Re: [wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE

Yesu alisema kilicho moyoni ndicho kimtokacho mdomoni. Unashangaa nini?
--------------------------------------------
On Mon, 2/2/15, Kaseko <omarykaseko@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, February 2, 2015, 4:49 PM

Iko
amazing when President says " hao million
8 kila mmoja
 ana
mpenzi, akimshawishi mpenzi wake kuipigia CCM
tutakuwa
 na
kura million 16. 
Kazi
ipo! 
2015-02-02 4:39 GMT-05:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Nchi
itayumba???

Sasa imetulia???. Inaenda vizuri??? Hii kali kweli!
Ninaamini nchi inaweza kuzama kabisa kama CCM itatoa rais
atokanaye na mtandao. Uwezekano wa kupata Rais kutoka CCM
ambaye anaweza kwa kuanzia akaunda serikali ndogo na
kupunguza marupurupu ya wanasiasa ambayo ndiyo yamelifikisha
taifa hapa ni mdogo. Uwezekano wa kumpata rais kutoka CCM
ambaye hatatokana na fedha za ESRCOW ni mdogo sana.
Uwezekano wa kupata rais kutoka CCM anayeweza kuwauliza
watangulizi wake na familia zao waeleze walikopata mali hizo
ni mdogo. Na hayo ndiyo yanaliyumbisha taifa tayari.

Basi tukae kwa namna mpya na kukubaliana namna ya kumpata
rais. Kupitia kampeni hizi hatutampata tunayemtaka wa
kulifaa taifa hili.

Elisa

--------------------------------------------

On Mon, 2/2/15, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
wrote:



 Subject: [wanabidii] RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI
ITAYUMBA - KIKWETE

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Monday, February 2, 2015, 10:39 AM



 RAIS

 AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt Jakaya Kikwete

 amewaagiza viongozi wa chama hicho kuhakikisha Chama cha
Mapinduzi kinashinda

 katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi
Oktoba

 mwaka huu.Dkt Kikwete ametoa agizo hilo katika

 uwanja wa Majimaji mjini
Songea ambapo zimefanyika sherehe

 za maadhimisho ya miaka 38 ya chama hicho.Akimnukuu
mwalimu Nyerere, amesema

 kuwa Rais wa Tanzania anaweza
kutoka chama chochote lakini

 Rais bora ni lazima atoke CCM hivyo amewataka viongozi
wa

 chama hicho kuhakikisha wanafanya mikutano na
kuwatembelea

 wananchi ili kujua matatizo yao kama anavyofanya Katibu
Mkuu

 wa Chama hicho Abdulrahman Kinana.Aidha ameonya
kuwa wana CCM

 wanatakiwa kutambua kuwa
endapo CCM haitashinda, nchi

 itayumba na huenda CCM isibaki kama ilivyo, kwa hiyo ni

 jukumu lao kuhakikisha CCM inaendelea kubaki madarakani
kwa

 kila jitihada.Amewataka wawe

 makini wakati wa kuteua
wagombea hususani katika nafasi ya

 urais ili wapate mgombea mwenye uwezo wa kuendelea
kujenga

 umoja ndani ya chama na taifa kwa ujumla, na pia mwenye

 uwezo wa kuongoza Tanzania na watanzania
wakamkubali."Msifanye makosa katika kupata

 mgombea, chagueni mgombea atakayekubalika na mwenye
uwezo,

 hata kama yupo lakini hajajitokeza, siyo vibaya
kumshawishi

 kama mimi nilivyoshawishiwa…" amesema
Kikwete.Amewataka viongozi wa chama hicho

 kuwashawishi wanachama wote
kujiandikisha katika daftari la

 kupiga Kura kwa mfumo wa BVR ili waweze kushiriki
uchaguzi

 huo wakiwa na vitambulisho vipya.Amesema "Kwa
mahesabu yaliyopo CCM

 ina wananchama zaidi ya Milion 6,
tukiwaongeza na hao kama

 milioni 2 hivi, itakuwa million 8, tayari tutakuwa na
mtaji

 wa Kura million 8 za kuanzia, na hao million 8 kila
mmoja

 ana mpenzi, akimshawishi mpenzi wake kuipigia CCM
tutakuwa

 na kura million 16, ambapo tutaweza kumshinda mtu

 yoyote……"Ameongeza kuwa

 "CCM ni chama cha kuongoza dola, siyo chama cha
michezo

 wala muziki, mambo ya muziki Kapten Komba anatosha, yupo
na

 Diamond pia, wanatosha hao, lakini sisi tuhakikishe CCM

 inaendelea kuogoza dola"







 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.




--
Omar
Kaseko
Kali TV Founder/Producer
http://www.kalitv.com
240-374-2192





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment