'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>Ukifika UK-kila kona sasa ni mchina. Mfagiaji na msafishaji mabweni, muuza baga na vyakula restaurant-you name it. Kazagaa kila kona na anafanyakazi efficiently at low cost.
>Ulaya kwa sasa hawana utata tena na kukosa wafagizi pale poor people wapo wagengeni wanavuta sigara na bhangi.Akipewa kibarua mabwenini ni pamoja na kuiba fedha kwenye mashine za simu au washing mashine. Mchina, anafanya kazi kumi kwa siku na anaolewa na wazungu sasa kama kawa.
>
>Tukae tu kwenye bodaboda na kupiga stori mitaani-wataingia kulima kwa power tiller na kutuuzia, kufagia mabweni kwani utakuta makampuni yenye tender za kusafisha institutions wafagizi na wazoa taka wao wamelala ktk bustani wanabofya simu; wanakimbilia kuosha magari ya mabosi wapate senti; inafika ijumaa taka ktk dust bins zipo hazitupi. Taka za ndani ya jengo watu walikula chips na vyakula vingine zinaoza zinanuka. Wanaondoka ijumaa-dustbin limejaa na linanuka. Wasichana wapo kuwabana wafanyakazi na mabosi wao kimapenzi. Hawakemewi maana bosi wa kampuni ni mpenzi na anaposafisha mijengo kesha kuwabana baadhi. Usafi unazorota pamoja na makampuni kulipwa mihela. Wanakuja na wachina wapo mpaka changudoa na watengeneza shanga na wachoma mahindi wao hawajali bora mkono uende tumboni.
>
>
>
> On Sunday, 26 October 2014, 19:48, Projectus Ishengoma Lugumalila <ishengoma1978@gmail.com> wrote:
>
>
>
> WAWEKEZAJI WA KIGENI WATUPIWE JICHO NA SHUGHULI ZAO
>Je ! Huu ndio uwekezaji wenyewe ? Idara ya Uhamiaji mpo wapi ?
>ah ! "MGENI WA MUNGU HUYU" mwache ajitafutie riziki !
>
>
>
>Baadhi ya wawekezaji wa kigeni au pengine watumishi raia wa kigeni wamekuwawakivunja sheria za nchi kwa kujiingiza au kufanya shughuli zisizo katika miktaba yao ya kazi,au nje ya vibali vyao vya kufanyakazi hapa nchini Tanzania,lakini uvunjwaji wa sheria za nchi unaofanywa na wageni hawa unasaidiwa na sisi wenyewe kwa kuzingatiazile mila zetu na misemo ya ah ! "MGENI WA MUNGU HUYU" mwache ajitafutie riziki.Matokeo yake tumekuwa na wachoma mahindi mtaani kutoka china,wabeba zege pia,Kumradhi pengine makahaba au changudoa kwenye madangulo ya siri.tunaweza kuwa na wakaanga samaki, walinzi "Kolokoloni" kutoka Thailand na Bangladesh,inawekana kabisa tunao hapa nchini wapishi na tour guider kutoka nchi za ulaya !Kwa mtindo na utamaduni wetu huu wa ah! wache "WAGENI WA MUNGU " wajitafutie ridhiki tutajikuta tunao akina mama ntilie wakigeni.Tunajiuliza wale wawekezaji wanajiusha na biashara za mitumba au maduka ya nguo kariakoo hivi vibali aliwapa nani? yaani muuza mtumba na duka la sukari atoke china,Yemen,Bangladesh ulaya ! hii kweli inaingia akilini kwa watanzania?Sasa wawekezaji hawa kigeni wanafanya shughuli hizi mcha wa jua kali tena kweupeMkondo wa sheria ya nchi unavunjwa walinzi wa sheria wako wapi?Wizara zinazohusika amlioni hili au ndio ah! TUWAACHE WAGENI WA MUNGU wajitafutie ridhiki ? Watanzania ukarimu ni jadi yetu ! misemo hii haifanani kabisana ukiwikaji wa sheria za uhamiaji na ajira za nchi, kwani katu kwame uruma nahaki havikai pamoja.
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment