Mwongeze na huyu(mjlugaziya1@gmail.com)
Sent from Samsung tablet
-------- Original message --------
From: 'Martin Pius' via Wanabidii
Date:22/10/2014 12:57 (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] WALIOKUWA WAJUMBE WA TUME YA KUKUSANYA MAONI YA KATIBA WAKAE KIMYA
Tovuti ya Tume ya Rais ya kukusanya maoni imefutwa. Wajumbe ndo waliobaki kutupa habari. Wajumbe hawa hawakupata nafasi ya kufafanuo walichokutana nacho wakati wa kukusanya maoni, kuchambua na kuandika.
Hakuna shida waachwe waseme sana tena wapewe muda na nafasi ya kutosha. Halafu watanzania wenye akili timamu pia watasikia na kuamua.
Sent from my iPhone
Sent from my iPhone
----Wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba wanayo haki ya kuendelea kutoa maoni yao kwani freedom of expression ni haki yao ya katiba. Tangu mchakato wa katiba uanze katika hatua zake zote kila mtu amekuwa huru kutoa mawazo yake kabla na baada ya kila hatua. Hata wajumbe wa BMK walijiapisha kwenda wananchi na kuitetea katiba wanaliyoipendekeza. Kama wajumbe wa BMK wana haki ya kuendelea kuwashawishi wananchi na yale yaliyopendekeza ndani ya katiba na kuwataka waipigie kura ya ndiyo, basi kila mtu ana haki ya kusema vingine na hata kuwashawishi wananchi walewale waipigie kura ya HAPANA. Haya ni mapambano ambapo kila mtu ana wajibu wa kufanya kile anachoona kinafaa na ndiyo maana hata viongozi wetu wakuu sasa wameanza kampeni ya kura ya maoni. Kila mahali wanapokwenda wanazungumzia katiba inayopendekezwa na kuwataka watu waipe kura ya ndiyo.Wasioipenda wana haki nao kuipinga kama wanavyofanya akina Warioba na wenzake.mwassa.
From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, October 22, 2014 10:36 AM
Subject: Re: [wanabidii] WALIOKUWA WAJUMBE WA TUME YA KUKUSANYA MAONI YA KATIBA WAKAE KIMYA
Juma, unajidanganya bure! Tunajua kinachoendelea. Bunge Maalum la Katiba 'limebaka' maoni ya wananchi na kuingiza baadhi ya maoni, ambayo hayakutokana na utafiti wa tume. Mfano, ni tume gani ilikuwa imependekeza serikali mbili na kwamba wanaogombea ubunge wanatakiwa tu wajue kusoma na kuandika, kwamba kama wana elimu ya chuo ni ubaguzi na kwamba wananchi wasiwe na mamlaka ya kuwaondoa wabunge legelege? Huku kulikuwa ni kuboresha rasimu au kuibadilisha?--2014-10-22 9:46 GMT+03:00 mngonge franco <mngonge@gmail.com>:Hakuna sababu ya kukaa kimya wakati wakiangalia mambo yakipindishwa. Kama watu wote wangekuwa na akili kama hiyo ya kukaa kimya basi hadi leo tungekuwa chini ya utawala ukoloni wa kizamani. Kwa vile baadhi ya watu kwenye jamii huwa wanakataa unyanyasaji, unyonyaj, ubaguzi na aina nyingine za ukiukwaji wa haki za binadamu ndo maana leo tuna uhuru wa bendera na bado tuanutafuta uhuru wa kweli. Mzee warioba, Polepole na wajumbe wajumbe wengine tukiwemo sisi walalahoi endelea kupinga upindishaji wa sheria na taratibu uliofanywa na utakaofanywa kupitisha katiba isiyofuata maoni ya wananchi--2014-10-22 9:12 GMT+03:00 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>:--HUYU POLE POLE ANATUONA SISI WATANZANIA WAJINGA.NAWASHAURI WALIOKUWA WAJUMBE WA TUME YA KUKUSANYA MAONI YA KATIBA WAKAE KIMYA.Kitendo cha wajumbe wa kamati ya kukusanya maoni ya katiba mpya kuendelea kupiga kelele na kampeni ya kuwashawishi wananchi kuikataa rasimu pendekezwa kunatia shaka kidogo.Hivi hawa wajumbe walikuwa hawajui kuwa mchakato wa katiba mpya una hatua kuu tatu yaani ukusanyaji wa maoni kazi iliyofanywa na Tume, Kujadili maoni kazi ya BMK na kura ya maoni ambayo sis wananchi tunahusika.Kila hatua kati ya hatua hizo upo kisheria kabisa sasa kitendo cha hawa wajumbe kuendelea ku defend rasimu yao waliyoandika na kuikataa hii pendekezwa kuna maanisha kuwa kulikuwa hakuna haja ya BMK. Kulikuwa na haja gani ya kuwa na BMK kama maoni yaliyokusanywa hayatachambuliwa na kuboreshwa aidha kwa kuondoa baadhi ya mambo au kuyaongeza??Kwa nini hawa wajumbe wa tume ya maoni haituachii muda wa kusoma rasimu hii pendekezwa na kuamua sisi wenyewe?? huyu Humphrey Polepole ni kwanini anatusaidia kuisoma rasimu pendekezwa na kutushauri tupige kura ya hapana?? anatuchukuliaje labda sisi watanzania:-1. Kuwa hatujui kusoma
2.Kuwa hatujui kufanaya uchambuzi wa mambo
3. Ni wajinga sana
4. Yeye ndiye anayejua kila kitu hapa TanzaniaKwa nini usikae kimya kama kina KABUDI ili tuisome kwanza tuimalize hii rasimu halafu ndio tuingie kwenye mijadala?? kwa nini unatusomea??
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment